Ukweli diamond 💎 nakupa sarut kijana shupavu moyo safi ni kiboko ya wavivu kijana mchapa kazi na mungu unampenda saana endelea kutaja mungu ndio mlizi wetu lakini kimoja tu naomba kwako na pia najuwa mwanangu ukafanya mjali baba yako mpende baba na mama ili upate maisha bora hata kama alikudhi alikuchoshaga fanya kuwa inatosha mpe upendo wa kutosha mjengee muhudumie mfaliji baba yako ili dunia na walimwengu wazubae hilo nakuombea saana rudisha imani kwa mzee dunia ifurahi in shaa llah mungu akupe nguvu za kusamehe.