🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪Tunajivunia kwa na President of Comedy.. Ericko we love you so much...tuna tu pigania sana ss Vijana WA Kenya... Tz🇹🇿We appreciate you guys for Hosting our beloved brother Eric 🙏🙏🙏
Omondi mchumi sana wazee Katnzwa pesa anajisachi hazioni. Sio kwamba kadondosha haoni 7bu za kumpa huyo mwandishi hata jero,hatakama kamsumbua ye hajali
Wakenya acheni kujifanya hamjui shida iko kenya hao watu wote wenye wanalia ni jaluo peke yao acheni ukabila hamuoni Raila anawatetea sana.kitawaramba kabisa nyinyi m........
Eric kwani joks zimeisha these are repeating joks tumesikia 4 years ago tukikuwa tunakupenda sana lakini siku hizi what we are getting is less na hii ni maoni tu yangu wengine wana yao
Nyosimbaki8787 asante sana kama Kenya ni umbwa ubarikiwa maisha yako yote,sote tumeubwa na Mungu mmoja wewe ni binadamu usiombee yakupate dunia ni duara aliye juu mgonje chini,ubarikiweee sanaaa unaita binadamu ubwa mbona unakosa utu jamani,hio si ni inchi ya amaniiii....
@@tysonagutu4476 sio wivu audience viewers ndio wanaojuwa kizuri na kipya .kisha jokes. Ukianza tu huwa unajuwa nilitoka mwaka gani unless uwe new follower then anyjoke can fit
SAA HII NI KUHARIBIA MTU---- hajamfanyia poa diamond wakati ni nyimbo za Diamond ndio zimempa umaarufu tanzania -- na ni Diamond ndio aliye mu introduce katika audience ya tanzania --- huyu Eriki ashakuwa mjinga
Hivi huyu jamaa si ndiyo alikuwa anawazingua wasanii wa bongo kule kwao. Lakini pia hii issue ya wasanii kuomba hela kibinafsi sijaipenda, halafu kama kwa bongo inakuwa sana. Inaboa watafute content watafute content kama za mc.eliud, mc.madevu na wengine wazuri, si hii blaaa blaaa, bora wawe wachache wenye content
Hajagomea wasanii watanzania yey anapigia wasanii wa kwao wapewe asilimia kubwa kwao nyumbani kam mnavyo wapatia wa kwenu I hope nikikutel utaje wasanii w Kenya utataja 7 tu ila ukiuliza mkenya ata 100 watanzania atakutjia