Ningeshangaa sana kama huyu angesifia kwasababu namfahamu. He is always on a negative side against Simba. He has never appreciated anything done by Simba. Hatujamsikia hata siku moja akiikosoa yanga hata wakosee vipi. Sasa huu si unazi mzuri bali ni upumbavu.
Hii ni league ya Tanzania,musisahau ilo, ko musije mukasema yanga wachawi,tunawajuwa hawo, hawataki wachezaji wetu, muwe na akiba ya mneno, ngoja league ianza.