Тёмный

DIPLOMASIA: Safari ya Balozi Polepole kutoka Cuba hadi Tanzania, kulikoni? 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Год назад
Hongera sana Humphrey polepole,nakuunga mkono kwa kuzidi kuuamini ujamaa, hata mi ni mjamaa kwelikweli. Ubepari upite kushoto huko.
@WilliamJk-o1c
@WilliamJk-o1c Год назад
Tanzania itajengwa na watanzania wazalendo sio wahuni.❤
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 Год назад
Hongera muh Humphrey. Ninataman sana kufanya kazi km yako.
@ImaniTete-c9h
@ImaniTete-c9h 9 месяцев назад
Jamaa jembe sana Kwa maslahi ya nchi ,nchi inamhitaji sana Kwa ustawi wa jamii
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 9 месяцев назад
Tz ina Balozi mmoja tu Humfrey Polepole ana weza sana yuko CUBA
@enocksamwel3146
@enocksamwel3146 Год назад
Polepole mungu atatenda tu ! Tunaiman Sanaa na wewe Chuma
@felixmsale9244
@felixmsale9244 Год назад
Hermano mio tu eres uno de los pocos Tanzanos que sabes la insencia de un pais ,culto,educado y patriotico, dios que te vendiga .LA LUCHA CONTINUA,......... HASTA LA VICTORIA SIMPREM.......
@2003hintay
@2003hintay Год назад
Big up Sana balozi wetu wewe ni mfano kwa mabalozi wote. Hajotokea hata mmoja amewahi tokea
@homeboybeyondtheborders4935
Huyu jamaa namuombea maisha marefu sana he has a brighter future for Tanzania 🇹🇿
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Год назад
Yaani Mimi binafsi,, Namhusudu Sana mheshimiwa pole pole,, Kiukweli sichoki kumsikiliza"🙏🏿🇹🇿✍️
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Год назад
Unahusudu kitu gani mtu alihujumu demokrasia kwa kiwango cha lami 2020. WTZ sijui tuko je? Mtu kwa sababu ya uchawa tu alishindwa kabisa kusimama upande wa haki unahusudu sio kweli ina malengo yako!
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 Год назад
Balozi Hamphrey Polepole uko vizuri, cha msingi simama na kuwaunganisha Watanzania na uwaze kujenga Timu ya mawazo yako.Tukiwapata watu wengi wa HEKIMA yako, watanzania watajenga IMANI kwa mlengo wa Kijamaa. Usitumie nguvu kueleweka,tengeneza mtandao wa watu wenye uzalendo wenye misimamo wasiogeuka kama walivyokuwa watendaji wa Dr.Magufuli ili usibaki pekeyako
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi Год назад
Shukrani sana nasisi watanzania tuwehivyo kama cuba pia tuziungemkono nchi za ujamaa
@mselimsuya6952
@mselimsuya6952 Год назад
ASTA la Victoria siempre
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 Год назад
Bro mie nakuelewa sn hadi naumwa, ntafurahi sn siku moja uwe pale
@theohermana5220
@theohermana5220 Год назад
Hasta la victoria siempre!!!Adelante!!
@BethaFweya
@BethaFweya Год назад
We wish U all the Best Hamfrey Pole pole. Watanzania tunakuhitaji sana kuja kuleta maendeleo na mabadiliko ya kisiasa
@brownmwailunda1436
@brownmwailunda1436 Год назад
Polepole kwa njinsi ninavyokufahamu wewe ni Akiba wa Taifa tunakoelekea uko vizuri sana kichwani
@zonko0488
@zonko0488 Год назад
Hizo dola zinakuja kuwanufaisha wakina fulani. Rains are falling but top to top. Mbaya sana
@babazungu3180
@babazungu3180 Год назад
Dah leo tu nilikuwa nakuzungumzia kuna Dereva amekusifu sanaa nchiin malawi.
@MatesoShabani-b3g
@MatesoShabani-b3g 8 месяцев назад
Mimi naishi marekani nimeidhi Tazn Miaka20 polepola makonda majaliwa saidieni mama siyo utawala wale utaanguka sababu kina wana CCM wanawinda utawala wa Samia mm ni mkongomani mm ni mkongomani kutoka Congo 205
@judamsaki5609
@judamsaki5609 Год назад
Great explanation....here we appreciate you kada Polepole...moja ya bright waenezi wa ccm
@jacobsimkoko3096
@jacobsimkoko3096 Год назад
Yaani Mkuu, nakupa sana maua yako. Kuna umuhimu wa kukusikiliza mara kwa mara. Huwa unatoa elimu kwa kiasi kikubwa sana. Mungu wa mbinguni akubariki sana
@gerrylufingo387
@gerrylufingo387 Год назад
Polepole nenda polepole kuwakabili polepole hao "Wahuni" maana polepole watakuundia zengwe ili kukutoa relini polepole !!! Asante kwa kutupatia soko la Alizeti, Pia tunaomba soko la mchele
@LeonardUpunda-m6v
@LeonardUpunda-m6v Год назад
Hola Mi hermano.Que dios TE bendiga.
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Tatizo kubwa la watangazaji wengi ni kutokuwa na saikologia na wankuwa tu na maswali waliyo yaandaa hivyo wanaishia tu kufikiria Nini watasema badala ya kusikilizi ili waelewe Nini wanatakiwa kusema😢😢
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Год назад
Bro Polepole,plz ukisoma comment hii ya kwangu basi itilie maanani,MIMI NA SISI TULIO KAMA WEWE TUNAKUPENDA SANA, TUMAINI LETU HAPA NIKUKUONA UPO PALE AMBAPO MWAMBA WETU WALIUHUJUMU. SISI TULIO SOMA HUKO QUBA BASI TUMEELEWANA, TUNAKUPENDA SANA ELEWA HIVO BRO
@musakihama7205
@musakihama7205 Год назад
Ni Raisi ajae,sina shaka na hilo.
@MtaalamwaUfundi
@MtaalamwaUfundi 10 месяцев назад
15th December 2043 DIPLOMASIA AZAM Niwaombe tafadhari mfikishieni huyo mjamaa yeye ni sentesi tatu pamoja na hyo ya Quba RAIS WANGU wa WAJAMAA DINI YANGU itaitwa AFRIKA SISI HATUTARUDI NYUMA
@ReganJohn-b6y
@ReganJohn-b6y 2 месяца назад
Daw zaminguu vipi
@casfeta-tayomikigomatochan9807
Kama mheshiwa unaweza kufanya mkutano kigoma na walima chikichi nitafurahi. Nakupongeza kwa uzalendo
@JohnMihambo-m4o
@JohnMihambo-m4o Год назад
Love u bro siku moja utakuwa rais wetu
@PauloMahona-hw5os
@PauloMahona-hw5os Год назад
Tumaini langu ndani ya ccm limebaki kwako na kwa muzee kishimba musukuma nilimuondoa
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Год назад
upande wa kutafuta masoko tuna mtu ila sasa huu upande wa pili wa "PRODUCTION" sijui!!!!
@laurentkija9403
@laurentkija9403 Год назад
Tanzania yetu niwewe
@elisantebilasi4883
@elisantebilasi4883 Год назад
Balozi weti ni uhakika kuwa rais wetu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Год назад
Mtu yeyote alieshabikia wizi wa kura 2020 hafai. Huyu alisimamie uenguaji wa wapinzani tena akifurahia sana. Kiongozi mzuri lazima awe mpenda haki. Hafai.
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 10 месяцев назад
Polepole mwaka 2040 atashika uongoz mkubwa tz... atatutoa gizan tanzani
@smallscaleminingsupplies9670
Huyu ni mpuuzi bora wamempeleka Cuba akaone ujamaa ulivo mzuri na maendeleo ulio yaleta Cuba, wa Cuba wenyewe wanakimbilia Marekani, Uongozi wa Cuba wa kiimla na hawa ndio walitamani kuona Tz, wakaiba kura zote uchaguzi 2020
@robertnkovuma7488
@robertnkovuma7488 Год назад
Maneno mengi yasiyo na matendo
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Ni uonevu mkubwa sana kwa Cuba yaani hawa Marekani Mungu atawajibu tu
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 Год назад
Tamaa ya musukuma na huyu je sijui hatabaki kishimba
@tinolutonja8932
@tinolutonja8932 Год назад
hio
@legynsio
@legynsio Год назад
Tumekumiss bro nakumbuka pale kisesa 2020 ukiw na jpm kuipiga tizi za kibabe
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Год назад
Yani siku ukiunga mkono swala la bandali iwechini ya waalabu, staangalia Tena habalizako Yani saivi wendo watanzania wengi wanasubili tamko lako nawanategemea usiunge mkono nakuomba sana mana wewe ndie laisi ujae
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
Polepole washakutupa huko ili wakumalize Sasa hata ukifurukuta bado ndio wamekutoa ktk.mfumo wakikupeleka ktk ubalazo ni kukumaliza kisiasa
@HassanSadick-s4v
@HassanSadick-s4v 7 месяцев назад
Barozi - vipi majina tumejaza sisi wagonjwa sugar, Hadi Leo kimya, au ni kik, maandalizi ya chaguzi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Huyu mkimualika muwe mnatenga saa nzima maana nusu sa haitoshi.
@elisantebilasi4883
@elisantebilasi4883 Год назад
Baba mbuu Bado ni wengi Tanzania tunakuomba ukamkumbushe waziri husika
@MagwaMalala
@MagwaMalala Год назад
Tanzania inataka watuakini wanadipromasiwa kama Mhe. Balozi H.POLPOLE. NAKUOMBEA SANA NIKIAMINI IPO SIKU UTATUDAIDIA WATANZANIA HAPA TULIPO. Tanzania Sasa KISIASA TUNAONA kama tupo njia PANDA..
@kiatu
@kiatu Год назад
Rudi TZ uikoe CCM.
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Год назад
Polepole n mmoja tu dunia nzima na hatobadilika Nasemaje: wamtumainio bwana n Kama mlima sayuni hawatatikisika watakaa milele. #kataawahuni na mambo yao.
@deogratiuskweka8488
@deogratiuskweka8488 Год назад
Wako mabolozi wachache sana waiofanya kazi kama hii… tunamazao mengi lakini Hakuna masoko… na mabolozi wanakula kuku tu huko n’nje! Vitunguu ni shida duniani lakini vinaozea wakulima…
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 Год назад
Hanphrey akili kubwa
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh Год назад
Pole pole yuko wapi yule wa Anko
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Год назад
Hana mali huyo.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Год назад
hizo countries haziitwi karibe🤐bali zinaitwa Caribbean, na huenda Cuba na Guyana hazimo katika Caribbean Islands kama Finland ilivyokua haimo katika Scandinavia Countries ok.thanks
@barakadeusdedit8273
@barakadeusdedit8273 9 месяцев назад
ingia google ujifunze zaidi
@salimamwasankinga
@salimamwasankinga Год назад
Namuelewa mtu huyu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Год назад
Kama wewe ni majamaa huwezi kukubali kuuza Bandari kati ya makampuni aliyoyacha Mwalimu Nyerere. Potea mbali kwani Cuba imeathirika nini mbona bado inaendelea vizuri.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Год назад
Hongera sana Humphrey polepole,nakuunga mkono kwa kuzidi kuuamini ujamaa, hata mi ni mjamaa kwelikweli. Ubepari upite kushoto huko.
Далее
Niliyoyasema kuhusu wagombea wa CCM
39:27
Просмотров 45 тыс.
NYAKATI ZA MWISHO NA HUMPHREY POLEPOLE - WASAFI TV
42:23