Тёмный

DK 15 ZA SHEKH MZIWANDA ALIVYOMPAMBA MTUME HEDARU KWA SHEKH KIDAGO. KWA NINI ALLAH ALIMLETA KWETU. 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@eshasalim5496
@eshasalim5496 10 месяцев назад
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Allahumma Swalli Wassallim Wa Baarik Ala Sayyedna Muhammad Wa Alihi Wa As'Habihi Wassallaam ❤
@TwalibuMkwawa-ib9vt
@TwalibuMkwawa-ib9vt 10 месяцев назад
Muharamu nakupenda Sana maalimu wangu Allah akujaze kheri
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 10 месяцев назад
MaashaaAllah. Shukran Habyb Sheikh Mziwanda.
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 10 месяцев назад
Allah akuhifadhi shekh wangu,tunafaidika sana kupitia wewe
@MuhdharMuhammad-qv3zl
@MuhdharMuhammad-qv3zl 10 месяцев назад
Shukran Sana Sheikh Wetu kwakutuelimisha na Tunakuomba usife moyo hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa shukran sana
@YusufuDunga
@YusufuDunga 10 месяцев назад
Allah akujalie shekh mziwanda we nijeshi nikweli
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 10 месяцев назад
Umeeleweka mwamba, Allah akuweke
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 10 месяцев назад
Allahumma swally alaa sayydina Muhammad
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 10 месяцев назад
Safi sana shkhe mziwanda
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 10 месяцев назад
Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@jamalibella9707
@jamalibella9707 10 месяцев назад
ماشاءالله
@AbassShabani
@AbassShabani 10 месяцев назад
Mawahabi Ni wababe tangia Enzi izo walivyoanza kuaua waislamu wakweli
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 10 месяцев назад
Unakichaaa ndio MAANA
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 10 месяцев назад
Kweli tz mtume anaswaliwa sana tena kwa unyenyekevu mkubwa
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 10 месяцев назад
Mwaka wenu wandengereko
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 10 месяцев назад
Swallu Alaa Annabiiii
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 10 месяцев назад
Bachu atawatesa sana
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 10 месяцев назад
Kivipi
@mohammedal7864
@mohammedal7864 10 месяцев назад
Tumsifu kwa sifa zake zilizothibiti ktk hadithi sahiih
@Feresisimeo-l5n
@Feresisimeo-l5n 10 месяцев назад
Twaybu
@ngoni7944
@ngoni7944 10 месяцев назад
Hivi mbona wanawake hawaonyeshwi katika hizi shughuli za kiislamu au wanawake hawaudhurii
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 10 месяцев назад
Wana kuwepo ila hawachanyikani na wanaume na pili siyo ustaarabu Kwenye uislamu kuwadhihirisha wanawake (wana sitiriwa)
@ngoni7944
@ngoni7944 10 месяцев назад
@@abuujibriltv5233 mbona wanaume wanaonyeshwa, kwani wanaume hawataki kusitiriwa?
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 10 месяцев назад
Mnapiga makelele et mnamswalia mtume s,a,w.
@zayumbahussein5766
@zayumbahussein5766 10 месяцев назад
Allah akuongoze Yan kutajwa Allah na Mtume kwako makelele huu ,,,,muombe Allah msamah
@ahmedhassan2619
@ahmedhassan2619 9 месяцев назад
Kale matunda
@hamadimussa2119
@hamadimussa2119 10 месяцев назад
Wewe ni mpotoshaji huna jipya wewe na wenzako woote hapo
@adinanimzimbiry
@adinanimzimbiry 10 месяцев назад
Acha matatizo kijana
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 10 месяцев назад
Mziwanda tukup bachu umfundish maan hpo hajaelew kitu
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 10 месяцев назад
Usilete ushabiki ktk dini wewe baki na bidaah
@mafiatv5479
@mafiatv5479 10 месяцев назад
​@@mohammedlipindula5415wewe mwenyewe bidaatun dhwalala
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 10 месяцев назад
sio rahisi kama unavyohisi
@mafiatv5479
@mafiatv5479 10 месяцев назад
@@aymanmangube4092 sio nahisi weee pia bidaatun dhalala, ni dhwahir wala sihisi
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 10 месяцев назад
Acha kupotosha watu nakueneza uzushi na biadaa
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 10 месяцев назад
Ww bachu kila sehem upo dozi ya shekh said haijakutosh tu wach ujing kasome
@taurehassan7399
@taurehassan7399 10 месяцев назад
Utaishia hyohyo lkn ulitklo haliwi na mtu atazid kupambwa ijapokuwa wanachkia mkafri kw kucfiwa mtume
@saedmakongoro3584
@saedmakongoro3584 10 месяцев назад
Nduguyangu Epuka Sana kukaririshwa maana Kama haujui kitu Ni vizur ukauliza,hapo sheikh amezusha kipi!?? unijibu ukiwa na ushahid Kama hauna Epuka Sana kuzungumza zungumza kila kitu na kila na kila wakati Akhui
@mafiatv5479
@mafiatv5479 10 месяцев назад
wewe mwenyewe zushi la kiyahudi
@mafiatv5479
@mafiatv5479 10 месяцев назад
Fata yako unayoyaamini usiwaite watu wazushi ila hali wewe mwenyewe hujielewi
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 10 месяцев назад
Dini hacienda na akilia zwatu
@mwanawamrima6138
@mwanawamrima6138 10 месяцев назад
Dini inakwenda nacakili za watu ndio maana hakuna mtume Mjinga
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 10 месяцев назад
Wanatoka hapo namadhambi tele. Mtume Gani kafundisha ujinga huo mnakuwa kama Wajinga Wakati mmesoma mnaogopa Kusema ukweli mnapotosha umma Kwaujinga. Mziwanda na wewe namaulidi kumbe maneno yote hamfaham Nini IBADA na mila. Mnachokifanya siyo haki
@FarajiAbdallah-yw2wn
@FarajiAbdallah-yw2wn 10 месяцев назад
hayo madhambi sijuwi unayandika wewe huko . hii dini niyako . wewe mwerevu baki werevu wako wache na ujinga wao.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 10 месяцев назад
Tupe ushahidi wa hizo dhambi
@maulidalyaaamiin46
@maulidalyaaamiin46 10 месяцев назад
Pumbavu bidaa ni wewe mwenyewe mahasid wa kiwahabi nyie.
@ahmedhassan2619
@ahmedhassan2619 9 месяцев назад
Nini maana ya ibada na alafu tuambie ni wapi mtu akikaa akamtaja mtu kwa mazuri yake haandikiwi thawabu na mtu akikaa akawa anamsema mtu vibaya haandikiwi dhambi, alafu uone watu wansema kwa sifa nzuri ama mbaya, shida ya watu wasiompenda mtume kwanza wamesoma kwa kukaririshw lkn hawajaelika, akili zao zimefungwa, yaani jitu liko radhi kumsifu mkewe lkn ukimsifu mtume haifai hhh
@hamynas
@hamynas 10 месяцев назад
mziwanda masuni wenzako wanauawa Gaza wewe na masheikh uchwara mumekaa kimyaaa kama hamna kitu kinaendelea..kila siku kushambuliana madhehebu tuu leo sasa mazayuni yamekupeni mtihani wapalestina wanauawa sijakusikia ukifungua domo lako
@jamaldeenhussein
@jamaldeenhussein 10 месяцев назад
Acha kashfa ndugu tumia kauli nzuri
@HusseinKhatibu
@HusseinKhatibu 10 месяцев назад
Assalaamu a'laykum!ALLAAHU atawafanyia wepesi,ama kwahakika wako katika kheiri na natamani kuwa miongoni mwao kwani wanakufa mashahidi!
@jumaahmadi-oz1zo
@jumaahmadi-oz1zo 10 месяцев назад
Yakufanywa yapo mengi sana tena ya kheri wengine wakiwa huku wewe nenda gaza
@abassmohammedmohammed5948
@abassmohammedmohammed5948 10 месяцев назад
Assalamualaikum ila pia mmi sijakusikia wewe ukifungua domo lako Kwa jambo Hilo kaka waonaje uanze wewe
@zayumbahussein5766
@zayumbahussein5766 10 месяцев назад
Dini sio ya shekhe na ww mchango wako ni wajib wako usema kuhusu parestina
Далее
У КОТЯТ ОТКРЫЛИСЬ ГЛАЗКИ#cat
00:26
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 45 тыс.