Nakumbuka niliumwa mpka nilitaka kukufuru mungu niliswali swala zote nahisi nikamaliza dua zote nikalia nikaomba usiku mmoja niliona kama mwaka mzima ila nilishuruku mungu ata usingizi ulipotokea nikaja kustuka asubhi walh mungu ni mwema ❤
Uislam hapa duniani unajaribiwa kwa kila NJIYA ili tubaguwane. .yote haya kama si huyu NYERERE kuja kuivamiya ZANZIBAR basi tungekuwa mbali sana.. LAKINI mpaka hii leo. Tunaufuwata mzimu wake. Halafu kuna dude linaitwa MUNGANO. Hili ndilo hatari kubwa. Munakjuwa mashekh wangapi waliuliwa .januwari 12 1964. Hebu Msikilize LUKUVI kule kanisani Halafu msikilize na MAREHEM ustadh ilunga kuhu mfumo KRISTO
@@NanaHsn525 anajua hasa kuongea na kila rika Allah azidi kutuwekea, mimi sijawahi kumuona ndoto yangu niende kumuona pia nakusikiliza darsa lake au sira ya kipenzi chetu mtume Muhammad s.a.w