Тёмный

DK. LWAITAMA AZUNGUMZIA KUREJEA KWA LISSU/USALAMA WAKE 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 309   
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 5 лет назад
Unanifundisha uzalendo wa kweli you are real Professor. Uchambuzi wako ni excellent namuona Mwalimu J.K Nyerere anatabasamu kusikiliza hekima zako, Busara na Upendo wako kwa Tanzania. Your speech is our inheritance...Viva Professor Lwaitama Azavery
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Hakika KIONGOZI, professor Azavery anajua sana.
@davidkajigili4643
@davidkajigili4643 5 лет назад
Kikundi cha watu kinaharibu nchi yetu kwa maslahi yao tu
@lawrencekombe6300
@lawrencekombe6300 5 лет назад
Kiongozi wa mtaa je
@bahatibunzali15
@bahatibunzali15 4 года назад
Kwa taarifa yako hata nyerere anampinga
@vsigncoolman3062
@vsigncoolman3062 5 лет назад
High thinking capacity! Nakuelewa sana mwalimu!!!!!/maisha bila ustahimilivu ni sawa na pori!!!! Tena lenye wanyama walao nyama tu....unavutaje picha hatar yake!!! Much Respect Dr. Azavery Lwaitama. Mungu akubariki sana kwa uzalendo wako! We need more teaching!
@jumameneja1245
@jumameneja1245 5 лет назад
Well said Dr . God bless you , Tz inahitaji watu wengi wenye uelewa kama wako
@mathiasmathias5360
@mathiasmathias5360 5 лет назад
Asante, asante, Asante Hon Prof, umeongea ukweli kabisa.. Mungu akubariki
@inyasiinvestment18
@inyasiinvestment18 5 лет назад
Ww ni hazina iliyobaki tanzania ,unaongea ,unafundisha mpaka mtu unaelewa vizuri ,mungu akubariki na akupe miaka mingi Prof .
@chabamzee3550
@chabamzee3550 5 лет назад
Wewe Mzee kaa kimya kila Mara huwa sikuelewielewi hivi kama labuda hats u doctor ulipea pewa tu
@championshahidu2465
@championshahidu2465 5 лет назад
Namnukuu Dr. Lwaitama. "Tundu Lisu tukimuondoa, nchi mambo yatakuwa mazuri huo ni ujinga"
@deusimtewele2301
@deusimtewele2301 4 года назад
Elimu yako ni nzuri Hawa majambazi waone aibu vitendo vyao vinaleta kichefuchefu tukisema wanatudhuru Mungu tusaidie sisi wanyonge
@psychologythestudyof4657
@psychologythestudyof4657 5 лет назад
Huyu Dr. ana kipaji cha kueleza jambo vizuri.
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 5 лет назад
Safi sana profesa lwaitama umesomesha wasiojua sharia na misingi ya haki za watu KITAIFA kiujumla siasa maendeleo mwalimu alisema ili inchi iendelee tunahitaji watu ardhi siasa safi na uongozi bora KWABAHATI MBAYA WALIOPATA VITI VYA UONGOZI WAMESAHAU FALSAFA HIYO MUNGU AKULINDE AKUPE AFYA NJEMA UENDELEE KUTOA MCHANGO WAKO KIUZALENDO ZAIDI.
@mwakipiano4568
@mwakipiano4568 5 лет назад
licha ya point anazo ongea cha ziada anacho ni furahisha hachanganyi kiswahili na kiingereza kitu ambacho anaweza kumuelewa mtu yeyote
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 5 лет назад
Sahihi kabisa Dr. Maana Falsafa Ya Utawala inaonesha Ukimuondoa (Mkolofi) Mmoja kwa Kuupoteza Umri wake Utaongeza Hamasa Mia moja Kwa wafia Mawazo take. Dawa Si Kupambana na Umri Wake bali Kuzijibu (Porojo) zake.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 5 лет назад
Ahsante sana Dr. Kwa kweli tunahitaji kujenga tabia ya kusikiliza na kujibu hoja kwa kutumia hoja. Badala ya kujibu hoja kwa kujaribu kumnyamazisha mtoa hoja. Wengi tumeshasoma maneno haya ''Listen to others, even the dull and ignorant, they too have their story''.
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
profesa nakukubali kweli usemayo mafisiem hawajielewi na hawajui vema Mawazo ya watz Lissu wakimuondoa wataibuka watu wenye mioyo ya paku zaidi ya Lissu
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 5 лет назад
He is very philosophical but also very updated, kuna vitu anaongea hapo vimetokea Marekani last month. You need to listen to this man hata kama unampinga
@victormagoza2483
@victormagoza2483 5 лет назад
Uko vizir Mzee mungu akujalie sana lakn kwaajiri haupo kwenye chama frani ndomaana Uko vizir sana
@godsonkirita7122
@godsonkirita7122 5 лет назад
Kwa hakika unautendea haki u-profesor wako. Well done professor Lwaitama
@aminamodi8927
@aminamodi8927 5 лет назад
LWAITALA NAOMBA UNIELEKEZE KINYOZI WAKO NAPENDA UNAVYO NYOOOA NYWELE ZAKO
@galilemwakatoga5081
@galilemwakatoga5081 5 лет назад
Nakuelewa Lwaitama, kama wasomi tungeamua kuwa wakweli pasipo na unafiki nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo, kidemokrasia na kiuchumi.
@geoffreymtenzi395
@geoffreymtenzi395 5 лет назад
God bless you Lwaitama
@saiditurabi7752
@saiditurabi7752 5 лет назад
Wenye oxygen kwenye ubongo wao ndio watakuelewa professor. Big up sana
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Yeah exactly the piger capacity minds of peoples is very easy to conform this Dr professor Azavery Lwaitama. Coz and me I'm much respect this people, so Jaah blessing Dr professor Azavery Lwaitama.
@saimonieliya7476
@saimonieliya7476 4 года назад
Dr lwaitama Mimi upata shida sana pale niliposikia kwamba wabunge walikuwa awajui lisu alikuwa wapi? Akafukuzwa bungeni na wabunge wengine wakashangiria km mama inauma sana
@mbatajetv4829
@mbatajetv4829 5 лет назад
Hapa ndounajuwa thamani ya elimu nikama hivi siyo m2 anasema mimi docta mimi profesa lakini hatuoni mchango wake nimekubari.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Waliowengi ni wasomi wa vyeti au wachumia tumbo.
@paultemu7395
@paultemu7395 5 лет назад
Kweli kabisa Arifu
@gracemima5234
@gracemima5234 5 лет назад
Christopher Tv ha ha muchango wa kucheka Cheka kama juha. Tutamuita professor cheka cheka
@mrijaerabdullahmani642
@mrijaerabdullahmani642 5 лет назад
Kweli kaka
@mrijaerabdullahmani642
@mrijaerabdullahmani642 5 лет назад
@@gracemima5234 jua nibabaanko asijielewa nakkulisisha wewe ujug
@jacobmakono389
@jacobmakono389 5 лет назад
..safi kabisa!intention yako Lissu atalindwaje atakaporudi?lakini the you have fused together kwamba ulinzi uanze kwa Diwani,Mbunge na Rais..huko kwingine kote point tupu!rasim ya Katiba ya Warioba ndo kiboko!!
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 лет назад
km unashindwa kumuelewa huyu mzee lazma utakuwa na sababu zako za kipumbafu kbs
@nicholouskuyenga7607
@nicholouskuyenga7607 5 лет назад
Angekuwa ni kijana, ningekubaliana na anayoyazungumzia. Msomi hutakiwi kuongea kinafiki.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Kabisa ni MZEE mwenye akili na upana wa kudadavua mambo.
@gracemima5234
@gracemima5234 5 лет назад
Stephen Shilla wewe ndiyo una sababu za kipumbavu kusikia mawaidha ya Huyu professor uchwara anayezungumza huku akichekacheka cheko za uwongo. Roho yake imejaa chuki na hasira kwa anayoyafanya Rais Magufuli. Cheko zake ni za kebei mpaka uwe na akiri za kutosha ndiyo utaelewa.
@bahatibunzali15
@bahatibunzali15 4 года назад
Ukitumia neno mpumbafu kwa kutomwelewa huyu mnafiki ndo tuache kumchamba? Hebu fikilia hili. Mbunge afanye mazuri jimbon lakin bungeni afanye mabaya kwa nn asiwajibeshwe?
@peterkijanga3354
@peterkijanga3354 5 лет назад
Hongera Dr. Lwaitama,
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 лет назад
Mmoja wa watu wenye upeo mkubwa kabisa asiye mnafiki prof lwaitama
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 5 лет назад
Asante Sana nimejifunza mengi na umekomaza fikra zangu.
@finiasfidelis1475
@finiasfidelis1475 5 лет назад
Kila msomi wa PhD nchini angekuwa na fikra kama hizo hapo na zikatendewa kazi hakika nchi yetu ingekuwa imepiga hatua kubwa kidemokrasia. Big up Prof. Lwaitama, and keep it up
@mwanjalimfaume6639
@mwanjalimfaume6639 5 лет назад
Maprofessor wetu muse kama Huyu
@gracemima5234
@gracemima5234 5 лет назад
Mwanjali Mfaume kwani Huyu ana nini?
@kassimmohammed4949
@kassimmohammed4949 5 лет назад
Nyerere alisema Katiba iliopo ikipata Mtu mbaya aweza kuwa dikiteta
@amanikuntamya9698
@amanikuntamya9698 5 лет назад
Tuuduu lisuuuuuuu njoooo twafaaaasaa
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 5 лет назад
Mzee LWAITAMA hongera sana umeeleweka. Tanzania munavichwa vizuri licha kuna baazi ya viozo kama Bashite, Ndugai .
@fundisofa4847
@fundisofa4847 5 лет назад
Byondo Rujulika kuteua anakoteua mpaka unajiuliza hii ni katiba gani inayo mpa mamlaka makubwa namna hii inamaana viongozi walio pita awakusoma katiba haya kweli ni matusi
@geoffreymtenzi395
@geoffreymtenzi395 5 лет назад
Jamani hivi kwani nchi hii tunakosea wapi mbona mambo yapo wazi kama anavyoongea Lwaitama
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
KIONGOZI tulipokosea mbona papo wazi kabisa! Nihapa tunapokubali kuongozwa na watu wenye sifa za visa chuki choyo na roho mbaya dhidi ya wengine hasa waonao tofautiana nao kisera na kimawazo.
@geoffreymtenzi395
@geoffreymtenzi395 5 лет назад
@@issackchalahani1235 ok ni kweli kabisa nimekusoma boss
@joshuatemu4679
@joshuatemu4679 5 лет назад
Hata kaisaari????alisema sioni hatia ya mtuu huyuu. Lakini wayahudi walipiga kelele msubishe msulubishe vinginevo hutakwa rafiki wa kaisari mwisho kaisari alinawa mikono na kuwaambia muhukumuni kwa sheria yenu mayahudi wakapaza sauti na damu take iwe juu yetu na vizazi vyetu hayaaaa ugomvi hadi Leo wayahudi hauishi ni kuwana tu na ndugu zao wapalesina ndio jibu LA damu ya yesu kwa nadamu yake I we juu. Yao
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 5 лет назад
Kuchanganyikiwa kupo aina nyingi sana si lazima kuokota makopo tu.hata kujiona mjuwaji kuliko wote pia ni kuchanganyikiwa.kuwa na matumaini ya kupewa cheo na usipewe pia kuchanganyikiwa.pole.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 5 лет назад
Katika bara la AFRICA Tanzania ni inchi ya kwanza iliyo na watu wanao uwezo wa kuongea kitu cha maana au ukiwasikiliza unajifunza kitu kutoka kwao.mm ni mkongo ila naipenda sana TZ.
@edgarmwakitwange30
@edgarmwakitwange30 5 лет назад
Haya maneno yanatukumbusha uwezo wa nzi dhidi ya nyuki maana tofauti zao ni mazoea na tabia ndio maana mmoja anachezea uchafu na mwengine anatengeneza asali a
@paull8659
@paull8659 5 лет назад
Tz inalia 😭 , Prof.unaongea vizuri na kweli tupu🤙.Tatizo ni kuwa katiba hii inasaidia utawala wa CCM iendelee madarakani na iendelee kukandamiza na kuwadhuru wapinzani ndiyo maana CCM haitaki mabadiliko ya kikatiba, rais wao ni mfalme . Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.Tz inalia😭😭😭😰😰
@honestikessy3988
@honestikessy3988 5 лет назад
Paul L. huwa hata mm namkubali sn.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 5 лет назад
Wewe usiwangopee watanzania wanalindwa wabunge kwa sababu zipi? Nimeishi nchi za mangharibi sijaona wabunge wanalindwa. Mashambulizi ya lisu yalipangwa na watu wake na lengo halikufanikiwa amejipa ulemavu na hawezi kuwa Raisi Tanzania. Watanzania sio wajinga kama unavyofikiria.
@paull8659
@paull8659 5 лет назад
Aloo Hussen, Sijui nchi zipi za magharibu ulizoishi, kwasababu inaonekana ulikwenda na ujinga huko ukarui nao huku tena labda huko uliongezea ujinga mara dufu..Inaonekana huko magharibi hukujifunza lolote kama wenzako walioshi huko. Nikueleweshe labda una ujinga wa kuelewa kiswahili,. Prof.anaongelea mbunge anayehatarishiwa maisha yake kwaajili ya kazi yake( mf.Lissu anavyokosoa serikali) lazima alindwe. Ni hakuna nchi inayolinda wabunge, lakini mbunge anaweza kuomba ulinzi kama yupo hatarini, hata hiyo nchi uliyoishi huko magharibi ingemlinda huyo mbunge aliyeko hatarini. Kwa ujinga wako hukuelewa( samahani nakuelimisha tu) mfumo wa nchi hiyo unayosema ya magharibi. Pili kwa ujinga huo huo unashindwa kuelewa Lissu kaumizwa na watawala, hata mTz ambaye ni mjinga kwelikweli akaelezwa na kuelewa mazingira alivyopigwa Lissu na uchunguzi unaondelea, angeelewa hilo. Bahati mbaya sana we mwenzetu Hussein umefika mpaka huko magharibu, lakini inaoneka ujinga umukuzidi sana. Sisi huko magharibi, tunakusikia tu kwa mbali, hatujafika lakini kwa haya sisi siyo wajinga kama wewe uliyefika mpaka huko magharibi. Pole sana, mtafute Shehe Ponda( katibu wa taasisi za dini yenu ya kiislamu) akuelimishe akuondolee huo ujinga.
@suleimanmustafa5729
@suleimanmustafa5729 5 лет назад
Hongera ila kuamuangalifusana nawaso julikana!
@juliusmugyabuso7560
@juliusmugyabuso7560 4 года назад
Dk Lwaitama ni msuluhishi wa haki za binadamu kweli hapa ni mzee w a busara
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 5 лет назад
Ila huyu pro mi napenda sana jinsi anavyoongea, yani anaongea kama utani hivi ila anamaanisha na kuelewesha kwa kina, na anajua kuitumia elimu yake
@bagambijoas7293
@bagambijoas7293 5 лет назад
Mzee nakuelewa asante
@dominicinocent4746
@dominicinocent4746 5 лет назад
Upo vzr sana
@sahalstephano7848
@sahalstephano7848 5 лет назад
Safi sana mzee wasaidie wasioelewa
@frolianfidel7700
@frolianfidel7700 4 года назад
Huyu mzee anasisitiza mfumo kuw mzur na cio m2 mmoja na mussa asad nae alisema kuwa tahasisi ndio inapaswa kuwa imara na cio m2 binafic nilichogundua hawa wa2 wawil n mapacha katika fikra Plz our God be with them
@winfridaw.mwashala289
@winfridaw.mwashala289 5 лет назад
Proud to be Tanzanian ya watu wenye hekima kama hivi, big up sir.
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 5 лет назад
sisi watanzania tunahitaji ma profesa kama hawa sio kina lipumba
@Juliusmelk
@Juliusmelk 5 лет назад
Pro, Mhe, Lwaitama. Mungu akubariki wewe ni kichwa. Nashangaa kwa nini this government wasikutumie???. Wewe ni hazina
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 лет назад
serkali hii haitaki watu wanaojitambua kwa sababu hawana nia nzuri na nchi hii, wao wanataka wakina bashite
@rakiburashid2224
@rakiburashid2224 5 лет назад
Mimi sikuelewi kwani mbona unaingia na kutoka kwenye mada unatutowa kwenye mada mbunge anafanyakazi yake tuliyo muajili kwa kanuni na shelie za bunge Kama akikiuka ataondolewa iliachaguliwe mwingine atuwakilishe
@jumachitende1758
@jumachitende1758 5 лет назад
Well done proph lwaytama. Problem yetu cc watz ni no education, uwoga na unafq tulionao
@lengaiolesaitoti5927
@lengaiolesaitoti5927 5 лет назад
Viongozi tuliowachagua kwa kura Zetu walindwe,bila kujali ni wa chama gani,na waliotendewa ukatili huo, serekali iwashughulikie bila kujali ni wa chama kipi.hapo tutadumisha Amani ya Taifa letu.
@pawagwisu1038
@pawagwisu1038 5 лет назад
Doctor hakika mbegu unayoipanda itazaa na itapendwa na wengi
@mashalafaida3389
@mashalafaida3389 4 года назад
Dr. Hongera saaaaaaana kwa mawazo yaliyojaa ueledi
@henrybovick93
@henrybovick93 5 лет назад
you're right and smart sana
@joshuamkali4598
@joshuamkali4598 5 лет назад
Professor unachosema nikweli kwa 100%. Tatizo linakuja kwa mtawala mkuu anapoamua kuvunja katiba na wawakilishi wetu waposhindwa kumshauri na kuingiza ushabiki na uchama. Wananchi tumekwamishwa sana na wawakilishi wetu
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 лет назад
Joshua mtawala mkuu huyo kavunja katiba kivipi? Unaweza kutaja vifungu alivyovunja? Au unasema tu kwasababu ni haki yako kusema? Nchi yeyote hairuhusu MTU yeyote kudharau Katiba kama anachokifanya huyo professor wenu hapo anaecheka cheka huyo ni Mwanchama ambae anatumia maneno kudhihaki kila kitu hivi unataka kusema huyo anaakili Sana'a kuliko wasomi wengine? Anaponda hivyo kwababu yeye ni mashabiki Wa Chadema Katiba ndio Sheria mama hakuna aliejuu ya Sheria na pia mujue Hakuna Uhuru usio na mipaka Pia hakuna Haki bila ya wajibu. Pia mujue Tundu ameshadharau Mihimili yote na maneno yake yapo mnaposema Leo ahakikishiwe usalama wake nani atamlinda wakati kishasema mihimili yote ni Dhaifu? Mjitafakari Professor anaejifanya anang,ata na kupuliza ha ha haaaa Anajitekenya mwenyewe kisha anachekaaaaaa ha ha ha Professor Wa Chama
@thomasmwaruka8247
@thomasmwaruka8247 5 лет назад
Unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa kwa ajili ya Mawazo yako Mazuri...
@asengasefu2767
@asengasefu2767 5 лет назад
Mzee huwaga nakuelewa sana, unauelewa mkubwa mno, mungu akulinde
@mzalendomkeleketwa7917
@mzalendomkeleketwa7917 4 года назад
Lakini sheria zimewekwa na lazima zifuatwe ni ajabu mtu kama Lissu ambaye ni mwanasheria anavunja sheria makusudi kabisa isitoshe kamati ya uchaguzi inawakilishwa na vyama vyote. Na bado anaendelea kutukana na wewe unatoa mawazo yako sasa ni vipi nchi hii watu hawana uhuru wa kutoa mawazo.
@abdalomari5912
@abdalomari5912 5 лет назад
2020 bila ccm tunaweza tukiamuwa watz
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 года назад
Dr endelea kuwapa elimu baadhi ya Watanzania mazuzu ambao hadi leo hawajui Siasa ni pesa wanabaki kushangilia wenzao. Kwenye Siasa ndiko kwenye mitaji mikubwa.
@rizikimvungi5262
@rizikimvungi5262 5 лет назад
Wasomi wote wote wangekua kama lwaitama basi nchi hii ingekua nautulivu sana hasa upande huu wa siasa,
@MtejaibrahimuSimu
@MtejaibrahimuSimu 5 лет назад
Upo vizuri bba
@zabronmshana3277
@zabronmshana3277 5 лет назад
Ama kweli wasomi wapo wa aina mbili . 1)Msomi alielimika .......................... 2)Msomi wa cheti Sasa Lwaitama ni msomi alieelimika na kufaidisha jamii kwa kwa elimu aliokuwa nayo sio unamuua mtu kwa kuwa na mbadala wa mawazo tofauti na wewe kwwli utakuwa huna tofauti mwendawazimu heko sana Lweitama God bless u
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 лет назад
Huyu prof.anaonyesha jinsi gani watanzania tunahitaji kuungana na si kutengana,Anafaa kujumuishwa ktk viongozi ili alisaidie Taifa letu.Mh Rais muangalie prof.na km itakupendeza mjumuishe kwa wateule wako ili asaidie ana mawazo mazuri
@tashadee106
@tashadee106 5 лет назад
Unamaaanisha nn ,kila mtu awe na Uhuru atakavo akitaka kuingia chumbani mwa babake aingie tu bila hodi hata kama wamelala ndani au
@madetetv6576
@madetetv6576 3 года назад
Ko babako ni Nani hapo acha ufalll
@davidlissu9099
@davidlissu9099 5 лет назад
Aise kweli joto linaletwa na kupanda kwa bei ya mkate wa cku na walasio Tundu Antipac Lissu.
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 5 лет назад
Watu critic kama Huyu hawapewi nafasi kusaidia taifa kamwe!
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 5 лет назад
Hawezi hayo ni maneno mdomoni kwa vitendo atashindwa vibaya sana, uongozi haupo mdomoni.
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 5 лет назад
Hoja za dokta zinalenga kurudisha mamlaka ya wananchi c watawala, falsafa ya kweli na muhimu kwa Tanzania ya leo na kesho
@josephmassawe7306
@josephmassawe7306 5 лет назад
KIUWA MHINA professor anafaa kutuogoza kweli watukama Hawa wakiwa watano katika serikali tutafika Mbali.
@saudaally9938
@saudaally9938 5 лет назад
Yani huyu mzee namkubali sana anatufungua macho sana
@joshuamkali4598
@joshuamkali4598 5 лет назад
Rain yangu Viongozi na Watawala pamoja na Wananchi kujenga utamaduni wa kuheshimu katiba. Watanzania tuungane nakuvumiliana pamoja na tofauti ya itikadi za kisiasa.
@njozijackline6765
@njozijackline6765 5 лет назад
Huyu anayo ongea ni upuuzi tu ni mchochezi usomi gani huo umefikia uongozi wa uingeleza?
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 5 лет назад
@@njozijackline6765 wewe humueleli huyu MSOMI basi unalaana
@njozijackline6765
@njozijackline6765 5 лет назад
Hapana bwana namwerewa sana tu nanina mkubari kinoma sana
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 5 лет назад
Pttofesa lwaitama unaongea ukweli mtupu kungekua na watu 10 tu kama wewe tanzania ingekua ipo mbali tatizo tanzania kuna maprofesa wengi wanafiki wasakatonge
@gracemima5234
@gracemima5234 5 лет назад
Saleh Madawa Mbona tulikuwa nao. Rugemalila, prof. Tibaijuka, Membe , Lowassa, kikwete junior, kikwete senior Tundu Lissu, Mbowe, Zitto Kabwe na Mkapa na bado nchi ilizama. Ni Magufuli tu ndio ametuonyesha maajabu na uongozi wa ukweli. Wengine ni ubinafsi na ufisadi we cant gamble with our lives to with a lounging professor without actions
@issahassan3533
@issahassan3533 4 года назад
Tunahitaji watu Kama Hawa kwa manufaa ya nchi yet sio wale maprofesa uchwala Alina lipumba na kabudi
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 5 лет назад
MZEE GOMBEA CHEO CHOCHOTE TUTA KUPATIA KURA KWANI MAWAZO ULO NAYO NIHAZINA KUBWA KWA TAIFA LETU YAKO KI AKILI SANA!! PIA YANA FIKIRISHA SANA!! BE BLESSED!!
@nassernajm5417
@nassernajm5417 5 лет назад
True...!! Anafaa kuwa Spika huyu Mzee...
@davidsonstevenson2653
@davidsonstevenson2653 5 лет назад
Anasema yeye sio mwanasiasa
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 5 лет назад
I real enjoy your words, i wish I could be among of your Student, Unaongea mambo ambayo yanatikisa ubongo na kumfanya mtu apate maana zaidi ya kuwa Mamlaka ya Nchi kama Raia. Hivi Bunge likimfungia Mbunge uwakilishi ndani ya Bunge wakati mikutano inaendelea uwakilishi wake kwa wananchi waliomchagua kwa kipindi hicho unakuwa wapi?
@yassnibahati3042
@yassnibahati3042 5 лет назад
Tumepoteza pesa nyingi kuunda na kukusanya mawazo yaliyounda rasmu ya katiba mbona haitumiki TUNATAKA KATIBA MPYA
@ndelenimrashida5484
@ndelenimrashida5484 5 лет назад
Wasiojulikana waliomdhuru Tundu Lissu mwenye mlengo WA mawazo wanayotaka wao wangeshakamatwa.
@mpokianyitike7800
@mpokianyitike7800 5 лет назад
Unanifurahisha
@joelsadala2676
@joelsadala2676 5 лет назад
Tumejitengenezea waungu wadogowadogo Tanzania wakuamua waokama wao watakavyo
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Wamejivika umamlaka wa kutoa roho za wengine.
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 5 лет назад
Rasimu yetu ya Mzee Warioba itumike hiyo
@amosmjulizi3181
@amosmjulizi3181 5 лет назад
big up, Mzee Wang.
@collethazamuna4616
@collethazamuna4616 5 лет назад
hii ndo tz pamoja na akiri zako nzuri Huwezi kusikilizwa hata na wanaoteseka
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 5 лет назад
Suala ni usalama wa watu na Mali zao ,vizuri
@michaelmwaluko2882
@michaelmwaluko2882 5 лет назад
Kwel mzee unajua nn unafanya
@juliusmapunda4982
@juliusmapunda4982 5 лет назад
Hicho kicheko chake natamani nikiweke ringtone.
@zabronmshana3277
@zabronmshana3277 5 лет назад
Hahahahahahh
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 5 лет назад
Watanzania nikama makunguru mzee sasa toka lini kunguru akafugika ukitaka kujuwa muulize nuhu wa biblia japo mawazo yako nimazuri lakini bado matatizo haya wezi kuisha na pia madaraka ya kirudishwa kwa wanainchi hapo mambo ndiyo yatakuwa mabaya kabisa Kwani kunabaazi ya wanasiasa wangeweza kutumia ufinyu wa uelewa wa wanainchi ambao ni kweli kuwa upeo wa kuchanganuwa mambo ni mdogo sana kwa watanzania walio wengi hivyo wanasiasa hawa wangetumika kuwa hadaa na kuleta kilio kikubwa pia kufananisha mataifa makubwa ya ulaya na afrika sizani kama ni sahihi sana.
@nathanmapunda1052
@nathanmapunda1052 5 лет назад
professor nakuelewa sana, lkn Nina kaswali kadogo; Ivi hamuwezi mkajumuika wasomi wachache wenyeuelewa kama wako, mkaenda Ikuru kuongea na Mr. President?
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 лет назад
Safi sana
@davidngomuo250
@davidngomuo250 5 лет назад
...hawa inzi wakijani wakisha jua nia yenu ya kwenda kumuona namba 1 kibali hakuna hapo
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 5 лет назад
ALISEMA HATAKI USHAURI WA MTU YEYOTE HATAKAMA MALAIKA ANGESHUKA LEO! SEMBUSE WASOMI!! MZEE KITUMBUWA KIMEINGIA MCHANGA! JUHUDI ZA MAKUSUDI ZIFANYIKE ILI KUKIOSHA KITUMBUWA CHETU!!!
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 лет назад
@@ezekielmwadomba4675 sizani kama ulielewa vizuri ushauri alioukataa ni wa unafiki ata wewe unajua hill ndugu yangu
@agabalufulani7247
@agabalufulani7247 5 лет назад
Inatakiwa ujasili
@kelvinjelas3923
@kelvinjelas3923 5 лет назад
Elimu hii ni muhimu sana kwa taifa letu japo wanasiasa wengi katika nchi yetu hawajui siasa safi. Mwl Nyerere alipotangaza maadui wa taifa hakutaja majina ya waafrika na wazungu waliokuwa wakitofautiana naye kifikra bali alitamka UJINGA, UMASIKINI NA MARADHI... maadui hawa wamefanywa miradi ya kudumu ya kupatia uongozi... Ujinga wa watanzania unaimarishwa zaidi kwa kuyakataa au kuyayumbisha mambo muhimu kama katiba mpya(RASIMU YA WARIOBA)
@jeidamgimba557
@jeidamgimba557 5 лет назад
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti. Mpe nchi uone.
@ndakinyalali9286
@ndakinyalali9286 5 лет назад
Hats akipewa atatenda kama anavyoongea tu kwani hayo ndio mawazo take harisia
@robertadolf562
@robertadolf562 5 лет назад
Huyu ni mshaur halali na wa kwanza wa Rais kidemokrasia kabisa
@lusajomwakalinga1374
@lusajomwakalinga1374 5 лет назад
Real professor.
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 5 лет назад
Kuanzia sasa niitwe Azavery Lwaitama II
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 лет назад
Hahahaaa! KIONGOZI hilo mbona linawezekana wala halina shida, ila unapashwa kufuata taratibu ambazo zitapelekea tukutambue maalumu. Ila hata Mimi natamani Leo Mungu anipe ile Biggest capacity mind yangu iwe kama ya huyu Dr professor Azavery Lwaitama, maana ukubwa na ujazo wa Akili alionao sio wa ma-proffessor uchwara tulionao wengiwao ktk nchi hii. Binafsi huyu ni miongoni mwa Ma-proffessor wangu watano (5) au (10) bora.
@umulithoumulitho2871
@umulithoumulitho2871 5 лет назад
Kazi kulaumu tu, Mbona mbowe, Lisu na Lema nao ni madikteta Wa Chadema je Katiba ya chama chao hampeñdekezi ifanyiwe mabadiliko!!!!!!!ww Dr. Umechoka ,kalee wajukuu Wa kihaya.
@oscarmwambene4411
@oscarmwambene4411 5 лет назад
Hujielewi
@suzanamsambazi6465
@suzanamsambazi6465 5 лет назад
Umulinyo huna hekima HUYO MZEE UNAONGEA vitu Sa HIVI wewe utaona sawa kwa MWENZIO yakikukuta ndio utajua
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
😃😃😃😃😃😃😃😃 kuteua teua kweli kazidi yaani anaharibia watu future zao teua tumbua.
@kilingohjuma1682
@kilingohjuma1682 5 лет назад
Prof. Upo vzuri SNA na unazungumza kama upo ndan ya mhadhara pale UDSM, lakni sdhan wenye akili ndogo kama wanakuelewa , weng pia wanaweza kukuona ww ni mchochez tu, tunaokuelewa zaid ni sis wenye taaluma ya political Science , HONGERA SANA KWA HOTUBA NZR , UMEELEWEKA SANA. UBARKIWE
@dinnamwendo4348
@dinnamwendo4348 5 лет назад
Kilingo hjuma kabisa
@hoseakaponya5070
@hoseakaponya5070 5 лет назад
Dr.shikamoo! We ni taa yetu edelea
@jumashewiza9058
@jumashewiza9058 5 лет назад
asante mzee
@jumamrope7277
@jumamrope7277 5 лет назад
we ni profesa wa ukweli kabisa
@shukurunzenzule5963
@shukurunzenzule5963 5 лет назад
mzee uko vizuri sana watanzania wenye akili timamu tumekuelewa
@renatuskapenda4998
@renatuskapenda4998 5 лет назад
"Ni ukweli tu utakaotuweka huru"
@methewmeja5619
@methewmeja5619 5 лет назад
Kijana kijana
@renatuskapenda4998
@renatuskapenda4998 5 лет назад
@@methewmeja5619 Kaka tuko pamoja.
@williammunuo2117
@williammunuo2117 5 лет назад
God is great
@kasongosalehe3471
@kasongosalehe3471 5 лет назад
Watu kama hawa wengeleta chachu kwenye bunge upande wa chadema kwa sababu ni mwanachama hai, lkn wanateuliwa watu kwa kujuana, tunakosa michango ya watu muhimu kwa mambo muhimu.
@hizim6699
@hizim6699 4 года назад
Mtu anaongea usiyoyajua unasema anacheka cheko la uwongo chuki na hasira Mambo ya kilimbukeni bado yamekumbatiwa (yani walioanzi sha wameyatupilia mbali alafu humu ndo yamekumbatiwa sshv na kua mwongozo) w Cheka ata km ndege saahv ni kuchanana mwanzo mpk mwisho
@stevenfrancis9115
@stevenfrancis9115 5 лет назад
Wataamka wengi nakusema,na wasiposema hata mawe yatasema,,wanaojifanya wanajua watavikwa upofu wasijue walitendalo. Excellent ....,Please copy from him.we will move forward.
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 5 лет назад
WW NI MZALENDO SANA.PROF
@robertadolf562
@robertadolf562 5 лет назад
Ni tatizo kubwa saana kwa ccm mwakilishi akitoka chama pinzan
@wiliamsongolala5238
@wiliamsongolala5238 5 лет назад
Wenye uelewa kama wako hawako madrakani
@josephambrose260
@josephambrose260 5 лет назад
Hongera kwako.
@ulomistephen7679
@ulomistephen7679 5 лет назад
Umeongea ukweli kabisa
@joelephraim1661
@joelephraim1661 5 лет назад
Hata rais anaweza kuondolewa na Bunge anapoenda kinyume na Katiba.....
@davidlissu9099
@davidlissu9099 5 лет назад
Kuna tofauti lakin kati ya bunge na spika wa bunge.
@saidmamadou8155
@saidmamadou8155 5 лет назад
Eti raisi anaweza kuondolewa na bunge akivunja katiba, hicho kikao cha kumng'oa raisi kitafanyika wapi, na raisi atakuwa wapi, itakuwa hujui kama raisi anaweza kuvunja bunge, kwa hiyo raisi atasubiri kutimuliwa na wale anaoweza kuwatimua.
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 5 лет назад
Wabunge wanaongeleshwa km wakata nyasi wa ng'ombe wa speaker? Heri ya mikutano ya ngazi za chini ya chama kwenye ubalozi, kuna staha kuliko bunge la sasa!
@mwampikamelkzedek7817
@mwampikamelkzedek7817 5 лет назад
DNA OF GOD TV
@davidlissu9099
@davidlissu9099 5 лет назад
Hakika ni ujinga wa hali ya juu sana. Wahusika na waache completely.
@mashalafaida3389
@mashalafaida3389 4 года назад
Akishinda mpinzani aipitishe katiba wa warioba
Далее
"WANAOGOPA WARAKA WA WAZEE'' DK. LWAITAMA AIBUKA
37:15
Просмотров 108 тыс.
DR  LWAITAMA: BUNGE LIMEJIDHALILISHA/CAG HANA MAKOSA
30:56