Тёмный

Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 719 тыс.
50% 1

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge BWEGE amelieleza Bunge kuwa atahamasisha Wabunge wote wa kusini kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

Развлечения

Опубликовано:

 

19 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 422   
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 лет назад
Umetishaaaaa sanaaaaaa Mh. Bwegeeeeee🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 can’t deal yank nairudiaaa kuangalia kila dk jamaniiiiii unaniuaaa Hakiiii yananiiii. Kama hatuna shida Tz tunavyochekaaaa haki yananii
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 года назад
Mbunge apendwae na watz wote🇹🇿👍
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 5 лет назад
huyumzeeee anaongea alichotumwa jimboniiiii kunahaja ya wabunge kuigaaa kwahuyuuu mzee bundalaa
@bennitezcharles5369
@bennitezcharles5369 6 лет назад
bwegee 2, hongera mzee wng. uzee ni dawa bwege. hii srkl y ccm ni mabavu tu na c democracy.
@abdulseif4093
@abdulseif4093 5 лет назад
Me ktk wabunge ambao nawaelewa huyu ni the best 😂😂😂
@olexanderj.6969
@olexanderj.6969 3 года назад
A Parliament where real People's issues are discussed. Hongera Watanzania kwa kujadili maswala yanayowahusu wananchi wenu. Sisi hapa Kenya ni ng'o!
@ambrosdavid3239
@ambrosdavid3239 5 лет назад
noma sana , yaani mpaka raha. bonge la mbunge
@victorguardian3377
@victorguardian3377 3 года назад
This guy is a hero... Naona kwa mbaaaaaaaaaaaaali🇰🇪
@ibrahimmokaya9288
@ibrahimmokaya9288 Год назад
.... kwa mbali sana...
@majumbatv1116
@majumbatv1116 4 года назад
Huyu akili zake za kawaida anaakili sana halafu kasoma mambo saikologia
@josephlyatuu3520
@josephlyatuu3520 2 года назад
Aliyesikia Mmechukua, mmeweka, waaaaah..!!! Agonge like
@mrishompulu7302
@mrishompulu7302 6 лет назад
"Kwa sababu serkali ya ccm inaonekana kama patasi aifanyi kazi mpakkka igongwe"
@bilihaniadriano9446
@bilihaniadriano9446 3 года назад
😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@abasiachimika541
@abasiachimika541 5 лет назад
Nahuyu ndio mbunge alioingia bila rushwa natman angekua mbunge wngu mtafnya kosa sana bila kumrudisha ten bwege
@hilalhazil8727
@hilalhazil8727 4 года назад
Hilo jembe labda life, cc tutamrudisha kila mwaka
@ibrahimchediel4867
@ibrahimchediel4867 4 года назад
Huyo namkubali asilimia mia anaushawishi HIYO NDIYO SIFA YA KIONGOZI SIO HASIRA
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 месяца назад
Daah,nakuombea Mungu akuponye mheshimiwa,nakupenda sana
@hawaaally1639
@hawaaally1639 6 лет назад
tunashukur wa kwetu hakika atujakosea kukuchagua
@viorasaimon8934
@viorasaimon8934 4 года назад
Aaa,bwanaweee,bwegeeeee,jimbo lako wanabahati kukupata,mwenyez mungu akupe nafasi nyingine tena yakuwa mbunge Mala kwa mala uwe unaingia bungeni kila mda,nipate kucheka niongeze siku zakuishi.
@peterndossy3008
@peterndossy3008 5 лет назад
Bwege yupo kiutan ila anafikisha ujumbe vilivyo
@husseinyusuph6838
@husseinyusuph6838 6 лет назад
Yani huyuuu bwege namuelewa sana hanaga woga
@abdillahichicha8035
@abdillahichicha8035 6 лет назад
Big up Spika kwa kwenda na move pia big up kwako Bwege kwa kuonyesha njia nimekubali
@titusrodney1168
@titusrodney1168 2 года назад
Instablaster...
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 4 года назад
Hahahahhaaaaaa yaani huyu mbunge bwege lakini bwege mtetezi wa wanyonge napenda sana kazi zake
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 5 лет назад
pewa beer mbili bill kwangu 😂😂😂 big up hon Bwege
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 Год назад
Waaah mbunge bwege wewe umetisha sana big up sana
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 6 лет назад
Hahahah bwege bhana 😂😂😂😂 eti ajipigae mwenyewe halii 😂😂😂
@rodgersabraham1065
@rodgersabraham1065 5 лет назад
Serikali haifanyi kazi mpaka igongwe hahahahahahahaha
@scolasticamwete754
@scolasticamwete754 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mh bwegee kaah nimecheka.. upyaaaaaaaaa hiyo haina kulala
@petromakilika1131
@petromakilika1131 5 лет назад
huyu mbunge yupo good sanaaaaaa hakika hawa ndo watu wenye uchungu na majimbo yao
@bakarikisimbo3919
@bakarikisimbo3919 6 лет назад
Serikali ya ccm ni kama patasi haifanyi kazi mpaka igongwe
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 года назад
Daaah kichwa sana wallah hy mh bwege😍😍😂😂😂
@JohnJohn-ec5wz
@JohnJohn-ec5wz 6 лет назад
Sijawahi kuchukukia MANENO ya m,bunge wa kusini MUDA MWENGINE NATAMANI kama huyu ndo angekuwa M,BUNGE WA JIMBOLANGU.
@pastor.kanunikayombo7864
@pastor.kanunikayombo7864 5 лет назад
John John daa! huyu nibwege mwenyeakili nyingiiiiiiisana
@abrahamaniismail7333
@abrahamaniismail7333 4 года назад
Yes even me at Kiteto
@fantsonmpango7742
@fantsonmpango7742 5 лет назад
Japo niko mwanza lakini Bwege nakupendaaaaaaga
@saidmungulu7053
@saidmungulu7053 3 года назад
BWEGE tunakupenda sana watanzania. Uko njema sana
@dusabearafatrwigema9248
@dusabearafatrwigema9248 Год назад
Sio tzd peke, mpaka Rwanda kenya Africa mashariki wote twamutambua
@kenethndambile3960
@kenethndambile3960 4 года назад
Kaka selemani naku kubali sana sana kwa ucheshi wako
@ggjghh6245
@ggjghh6245 6 лет назад
Hahahaha we bwegee wasalimie kivinjeeeeee
@stadytvonline9572
@stadytvonline9572 6 лет назад
tunaanza upyaaaaaaaa 😂😂😂😂😂
@colombo_2
@colombo_2 3 года назад
Pole Sana bwege watakukumbuka Sana
@omarmahundu8545
@omarmahundu8545 6 лет назад
mbunge bungala uko vizuri sana pambana mpaka damu ya mwisho wewe mbunge uko sawa tetea wananchi wako woga mwiko! Sasa kilwa tumepata mbunge mtetea Wana kusini Kwa maslahi mapana ya wakulima.......jamani wabunge wa kusini unganeni mutetee wakulima ilitupate maendeleo tumeonewa saaana hongela mbunge bungala........👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 👍👍👍👍👍👍👍
@hawaaally1639
@hawaaally1639 6 лет назад
ni kwel kabisaa
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 года назад
Uyu dingi Ana Akir Nyingi sanaaa
@SaidSaid-vs6ye
@SaidSaid-vs6ye 3 года назад
Namkubali sana bungara km unamkubar km mm gongs like
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 года назад
Huyu mbunge anaongea mambo ya maana sana ila tu wana ............wanachukulia masiala na muheshimiwa ..............anampoteza kwa kumvulugia kuna .....pokea
@nantala299
@nantala299 6 лет назад
Kwer kunafaida ya vyama vingi bungeni.nafuu kuwambiya hvo hvo
@hyasintakundy369
@hyasintakundy369 5 лет назад
Hilo jina la bwege hukulistahili una akili zako bhana.. siyo kama mbunge msukuma
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 4 года назад
Alijiita yeye
@allennabukeera4386
@allennabukeera4386 3 года назад
hilo bwege laukoo nadhani
@denismujinja1993
@denismujinja1993 2 года назад
Bwege alijiita mwenywewe. Anamaana ya mnyenyekevu, mtulivu
@extramen5534
@extramen5534 5 лет назад
Da!! Bungeni kuna burudani, 2020 lazima niingie
@dodoshavu488
@dodoshavu488 5 лет назад
😃😃😃😃😃
@paulamani3936
@paulamani3936 4 года назад
Kila kheri 2020 ndio hii
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 года назад
@@paulamani3936 vp alifankiwa😂
@paulamani3936
@paulamani3936 3 года назад
@@mohammedmhina3973 Hahaaa...we mchokozi eee
@komboomar8275
@komboomar8275 6 лет назад
Cku zote unapo ongea ww mimi huwaga nakuvulia kofia kando na ujumbe wako unaouwasilisha kwa kuchekesha lakini hutoki kwenye points zako za kuwatetea wanyonge wako waliokuchaguwa.. natamani ungekuwa mbunge wangu wa micheweni pemba.
@upendomasai331
@upendomasai331 3 года назад
Watu Kama Hawa ndoo walikuwa wananifanya nafuatilia bunge saiv ctakuwa na huo muda
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 6 лет назад
Nakupenda Sana bwege upo vizuri
@aaroneu07
@aaroneu07 6 лет назад
Nice. Ni hiyo pesa ikitolewa itakuwa na manufaa makubwa kwa wenzetu wa kusini. Mzalendo atasema wapewe. Mnafiki tuuu ndio atakuwa tofauti. Wapewe pesa ya kilimo. Wapewe pesa yao. Waratibu maendeleo yao.
@allymalenga9598
@allymalenga9598 3 года назад
Daah...😂😂 Sauti yake kama ya Joti, Duh
@mikelazaro4479
@mikelazaro4479 6 лет назад
Kweli huyu baba huwa nampenda sana pamoja na kusema kwakwe kwa kuchekesha ila anaongea kwa hisia kali..😂😂😂😂😂
@barakakinogo4427
@barakakinogo4427 6 лет назад
hakika bwege umesimama vema hiyo patasi igongeni
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 6 лет назад
Hahahahahahahaaaaaaaa Uuuuwiiihhhhhhh "Tunaanza uuuppyaaa"
@urassagelas1523
@urassagelas1523 6 лет назад
mh bwege upovizuri
@shailove4785
@shailove4785 5 лет назад
mary karebeti
@samwelnyamhanga2265
@samwelnyamhanga2265 4 года назад
Sikama wabunge wengine vilaza wana lala tuu bwege upo vzr
@hamisinanyata1237
@hamisinanyata1237 6 лет назад
Bwege haujamboooooo.. Umetisha saaaana
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Yani huwa napenda kuangalia bunge sababu ya huyu bwegeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamzahamisi4526
@hamzahamisi4526 3 года назад
Bwege Dah Mimi nadhani hata haowabunge wa ccm walio jazana huko Bungeni Mwaka huu sijui watajifunza kwa nani Bila ya upinzani Hakuna kitu maisha yanahitaji changamoto Bwege Kaka pole sana kwa kilichotokea lakini Mungu yupo
@jaspakashaija5452
@jaspakashaija5452 6 лет назад
Hahahahaha dar anachekesha lakn anaongea point
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 6 лет назад
Kusini pamoja na kumpata Rais mkapa aliwatelekeza. Mpaka leo ndio mikoa maskini zaidi Tanzania. Komaeni otherwise Hali itakuwa ngumu.gesi wameitelekeza saizi ni strigliers gorge
@simonhumphrey4796
@simonhumphrey4796 6 лет назад
Hah hah haha Mzee Babu umetisha sanaaaaa
@oyay2821
@oyay2821 5 лет назад
Man dharaba nafsi la yabuke.... Ajipigae mwenywe halii
@Mufasa_Babu_Bomba
@Mufasa_Babu_Bomba 4 года назад
Ina maaana gan?
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 3 года назад
Hakika mwaka huu tutamis Sana vituko vya seleman bungara(bwege)
@oyay2821
@oyay2821 5 лет назад
Tena mpaka patasi ambayo ni.... igongwe nyuma ndio ifanye kazi
@mohameddyandumbo2826
@mohameddyandumbo2826 6 лет назад
Bwege hongera sana
@Isack-hj8cf
@Isack-hj8cf 6 лет назад
Hahahahahaaa nakukubali mzee bungala bwege
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Hakika wewe mbunge bwege nimekuelewa sana yaani upo kimatani lkn ujumbe unawafikia.
@kfastak
@kfastak 6 лет назад
Really talk mh. Bwege. Wew mpango kila mtu anakulani yani
@FabianBwakila
@FabianBwakila 6 лет назад
Yani viongozu wetu wamekuwa vituko wanatuchekesha sanaaaaa tunaanza upyaaaaa
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 лет назад
NI KAMA PATASI ,HAIFANYI KAZI HADI IGONGWE 💥
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 6 лет назад
buzzfeed TZ bango Kali sana kwa ccm
@officialsonofficialson253
@officialsonofficialson253 6 лет назад
hngera xna muheshimiwa bwege uko vizuri xana
@LeopardsHereThere
@LeopardsHereThere 2 года назад
would listen tp him all day
@iddyking2677
@iddyking2677 5 лет назад
Hahahahahaha!!!! At mpaka igongwee !!!! Mbavu jamaniiii!!!!....
@paulokilenga1116
@paulokilenga1116 6 лет назад
He is soo bright
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Wana Lindi chonde chonde chaguzj zijazo kama patatendeka haki huyu mpigieni kula za ndio akawatetee kwa nguvu na machungu yote
@suzanampanda6242
@suzanampanda6242 5 лет назад
😂😂😂sio stakabadhi ghalani ni malipo halali 👐👐👐 bwege bwana.
@dusabearafatrwigema9248
@dusabearafatrwigema9248 Год назад
Huyu Mp watanzania mumulegeshe kazi mana Ni panafricanitse wakikweli. Yasema ukweli kabisa Africa mashariki Ni number wani kutoka tzd ug kenya burundi mpaka Rwanda akuna kama yeye. Uliskia wapi mzee muzima kama yeye
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 лет назад
Huyo ndio bwege bwana kiboko huyo muhulizeni Madabida anamjua vema
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Ndugai anajaribu kumzingua bwege😂😂😂
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 3 года назад
Unafaa kuwa Rais wa nchi.
@haidanthomas6544
@haidanthomas6544 5 лет назад
Mh:Bwege uko vizuri
@bashiribashiri5109
@bashiribashiri5109 4 года назад
HahahahahaAhaaaaa baba mung aendele kukupa afya njemaa
@hamedalsaadi7350
@hamedalsaadi7350 6 лет назад
Saw baba upo vizur San
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 6 лет назад
Wewe bwegee upo vizuri
@arabimandindi5930
@arabimandindi5930 6 лет назад
Dahh uyu mzee balaaaa sanaaaaa
@husseinitaba8550
@husseinitaba8550 5 лет назад
Namkubali Sana Bwege
@beenarry7233
@beenarry7233 5 лет назад
Nkuelewaga sana mzee baba
@issambamba1106
@issambamba1106 4 года назад
Mwaka huu ni uchaguzi mkuu,jembe hili lirudi mjengoni jamani wana kilwa.
@bensonmmari
@bensonmmari 3 года назад
Tutammiss sana huyu jamaa, sijui kama kashinda kwakweli ila ni mtu mwenye akili sana.
@jojikeneth9024
@jojikeneth9024 2 года назад
Alikatwa
@elymuna498
@elymuna498 6 лет назад
tunaaaanzaaaaaaaaaaaaa upyaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
@mwatumathmani586
@mwatumathmani586 4 года назад
Hahahaaaa bwege ni nomaaaaa
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
😂😂😂😂
@ShortyShorty-mr3jb
@ShortyShorty-mr3jb 2 месяца назад
Nimemiss sana mzee bungara
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 6 лет назад
Kilwa mrudisheni Bwege tena 2020
@sinkalatz4099
@sinkalatz4099 5 лет назад
bonny ngowo tunamrudisha mzee baba maana anatufaa sana😁😁
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 4 года назад
Hakikaa arudishweee
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 4 года назад
Hakikaa arudishweee
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Год назад
Mrudisheni huyu mbunge
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Год назад
Yani kusini mmepoteza mtu muhimu sana
@flavian-augustino.pangah
@flavian-augustino.pangah 6 лет назад
Nakuelewa sana bwege
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 4 года назад
Jina la Bwege la nini?anajenga hoja vizuri.
@khaleedallyk7227
@khaleedallyk7227 6 лет назад
sawa mzee sugu wanakubali umerudi naukali tupu
@dicksonakyoo4019
@dicksonakyoo4019 2 года назад
Tunaanza upyaaaaaaaa😁😁
@0710434073
@0710434073 4 года назад
Aisee mzee bwege unatisha sana.kama vile mchezo lakini taarifa imefika ikulu....hata nadhani pombe anacheka ikulu maana hiyo dawa yako inateremka vizuri...... taarifa butu usiipokee
@esperancenathali
@esperancenathali 4 года назад
Naona mh salome kakaaaa hana maneno mengi leo nimsikivu tuuu
@pwagupwagujitu4700
@pwagupwagujitu4700 5 лет назад
Huyu jamaa licha ya kua anavituko ila anaonekana anaelewa anachokisema.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 лет назад
#BWEGE kanywa #MOFAYA nyingi Leo...
@saidishayo1974
@saidishayo1974 6 лет назад
Msg sent na vichekesho safi xna
@abdallahngwame5679
@abdallahngwame5679 6 лет назад
mze mungu akuweke by ngwame
@davidnicas8431
@davidnicas8431 6 лет назад
Ramazani Mulongeca 😂😂😂😂😂😂😂😂
@AUGUSTMUCHKNOW
@AUGUSTMUCHKNOW 5 лет назад
Ramsey hahaha umetishaa mbaya
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 4 года назад
Gombea uraisi unayaweza mzee
@annabellemartin5559
@annabellemartin5559 6 лет назад
hahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha....... nomaaaaaa
@elishamollel2131
@elishamollel2131 6 лет назад
hongera sana mh
@halimanassor7309
@halimanassor7309 3 года назад
Dah! Bunge lipooza sana safari hii kukosekana bwege 😂
@christerrodgers6519
@christerrodgers6519 3 года назад
Hahahahahaha nimechekaaaaaaa nakupenda Sana
@sechomemmbaga1172
@sechomemmbaga1172 5 лет назад
Huyu mzeee huwaaa namkubali sn
@kimweritz6364
@kimweritz6364 2 года назад
Ndugu zangu wa kusini tumrudishe Bwege tena
@allymbonde4525
@allymbonde4525 3 года назад
Bunge limepoa 2021 tutamis sana ivivi2
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bwege nakukubali sanaa
Далее
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Просмотров 732 тыс.
Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni
21:52
Просмотров 719 тыс.
Cheka na vituko vingine vya Mbunge 'Bwege' Bungeni
16:06
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Ревнивый песик😁
0:30
Просмотров 2,2 млн