Тёмный

DK SULE ALIVYO FAFANUA KUHUSU UTAJIRI NA MALI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 2 месяца назад
Ndugu mtangaazaji mungu akulipe kila lakher kwajitihada zako sana piya shekhe na ww Allah akupe maisha mazur ktk duniya hii
@user-pi4cb1vt9y
@user-pi4cb1vt9y 2 месяца назад
Nampenda sana dr suleiman napata mwangaza nnapo angalia video zake RU-vid.
@user-lu5vg9kc7y
@user-lu5vg9kc7y 2 месяца назад
Mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🌹 mashaa llah 🎉🎉🎉🎉🎉 Shekh hongera sana Kwa Elimu
@Mammy-eq7ef
@Mammy-eq7ef 2 месяца назад
Enyewe nimependa ameongea ukweli kabisa yan zipo riziki za halali na ukiomba mungu anajibu 🙏🙏🙏😢😢😢 nashukuru nahichi ninacho pata tyr
@antongomez7844
@antongomez7844 2 месяца назад
Manshallah shehe sule mungu akupe maisha maref uzidi kuwaelimishe
@stevensosipita
@stevensosipita 2 месяца назад
ANAWAELIMISHA AU ANAWAPOTOSHA UMMA AU ANAELIMISHA KUFUGA MAJINI?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 месяца назад
​@@stevensosipitaMmh hovyooo🤧🤧
@AdowIbrahim-ck3vp
@AdowIbrahim-ck3vp Месяц назад
Masha Allah good
@MuharamiNgasinda
@MuharamiNgasinda 2 месяца назад
Sheeehe la dunia hilooo Dr sule
@user-sg6qz3yw7k
@user-sg6qz3yw7k 2 месяца назад
Lakini amesema yule nikiumbe kuna muda anavyo taka kuingiliana anabadilika😂😂
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 2 месяца назад
Tnakuelewa sna sheikh wetu Dr. Sule cc tnajua ww ni elimu na duniani kila kitu ni elimu,, tnajua ata kuzungumzia Nyuki, majini, na malaika yte ni elimu,, lkn mara zte sheikh wa kizungu za khs majini wa naambiwa washikina
@GoodluckLameck-nh9tq
@GoodluckLameck-nh9tq 2 месяца назад
Nimekupenda Dr sule uko poa
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 2 месяца назад
Barikiwa sana Dr Sule
@user-rn8lz6pm1x
@user-rn8lz6pm1x 2 месяца назад
Dr sulle nahoba Namba yako
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 2 месяца назад
Hakika Mwenyezi Mungu aturehemu usiku na mchana tupate kupone
@user-zb5cj7ft9r
@user-zb5cj7ft9r 2 месяца назад
Amin
@user-zb5cj7ft9r
@user-zb5cj7ft9r 2 месяца назад
Amin
@KambanungaAssani
@KambanungaAssani 2 месяца назад
Swadakta Dr Sulle
@user-lu5vg9kc7y
@user-lu5vg9kc7y 2 месяца назад
ALLah mtukufu akupe mwesho mwema shehk wetu
@user-pi4cb1vt9y
@user-pi4cb1vt9y 2 месяца назад
Hkika ume nifungua sana kuhusu hayo mafungu ya rizki mimi nlikua nme olewa na tajiri sana na ali mjengea mamangu nyumba ila dada ya mamangu ali niroga nanika shikwa na wazimu na mume wangu aka niacha 2014 nli hangaika sana nika pona 2019 na nka mpata mume wangu ame oa na ana mtoto niliacha ndoa nanika safori niko saudia mpaka sasa nilona nyumba zangu mbili zaku pangisha tuktuk zangu mbili mpya nana rudi kwetu mwezzi wa nane 2025 nikiwa na pesa zangu zaku tosha ila yule dada ya mamangu hana maisha analewa aki lala kila mahali ali repiwa hadi ana ukimwi mimi nli msamehe na niki rudi nta mjengea room moja aji sthiri
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 2 месяца назад
Aisee Aisee Aisee
@sabraali1118
@sabraali1118 2 месяца назад
Duh maskini kweli shetwani mbaya ila pole na pia hongera
@user-jw7qq1rt4r
@user-jw7qq1rt4r 2 месяца назад
Daah binadam tunaroho mbaya sana pole sana dada
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 месяца назад
​@@user-jw7qq1rt4rila sasa yeye anawaza kumjengea eti😮
@saidbakari2408
@saidbakari2408 2 месяца назад
Unanifaa kwa moyo ulo nao ukimkosa mtu basi nichek niko Tanga nitakuwa tayar kuoa
@mantosanto3222
@mantosanto3222 Месяц назад
Naomba unisaidie kupata ufanisi nimeishi maisha magumu, unapatikana wapi
@MuharamiNgasinda
@MuharamiNgasinda 2 месяца назад
Maaa shaaa allah
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 месяца назад
HAYO YAPO SHEIKH...NOTE ZINALETWA NDANI KWA MUIJIZA..NINAVYOFIKIRI
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose 2 месяца назад
Hakuna tajiri duniani mtu kama bakhresa ni mtunishi wa umma kama raisi wa nchi. Kwa maana vile vyote anavyo simamia havitumii yeye pekeyake vinatumiwa na wengi. Kwa maana ni kiongozi. Au mthamini! Tajiri ni mungu tu:
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 2 месяца назад
Swadakta ndugu yangu watumishi wa ummah tuu 💯
@ashirafali1117
@ashirafali1117 2 месяца назад
sasa hiyo asali ni ghali zaidi kuliko hilo friji 😂😂😂
@user-ct2yd8lp2o
@user-ct2yd8lp2o 2 месяца назад
Shukran Dr Sule
@user-rn8lz6pm1x
@user-rn8lz6pm1x 2 месяца назад
Sheiky sele endeleia kutipa mawaida, Allah atakulipa, Aly mz.
@Mumy564
@Mumy564 2 месяца назад
Masha Allah
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 2 месяца назад
Jamani, astaghriru llah, nioze ilinipate utajir nadhani niwentayar mareehem
@user-jr5ui3hb7v
@user-jr5ui3hb7v 2 месяца назад
Dackta sule mimi naitwa suleimani nyota yangu nimizani naomba kujua iko katika daraja ipi ? (1)au (2)au(3)au (4)?.
@mohammedmussa6740
@mohammedmussa6740 2 месяца назад
The lips of the righteous teach many but fools die for lack of wisdom proverbs 10:21
@omarkapula588
@omarkapula588 2 месяца назад
Sio kweli unachanganya mada utupu wa mwanamke unathani kubwa sana wewe ulitoka wapi utupu kutumika vibaya sio sababu ya kusema hauna thamani hapo umekosea omba radhi
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 месяца назад
Hujamfahamu nadhani katumia luha kww wale wanaozini ndipo aliposema labda uwe wahalali nadhani kiswahili hukifahamu kaka
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 месяца назад
DR.maneno mazidi...lkn mnaweza kumwita mkamuliza na kumpa Kivhapo chake anaejitoa kujikashifu n Dini pia
@AbibaSalleh
@AbibaSalleh 2 месяца назад
Subhanallah
@jamilagalus9705
@jamilagalus9705 2 месяца назад
Subhanallah 😢😢😢😢
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 2 месяца назад
Umesema kweli shekhe
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 месяца назад
😂😂😂😂babu yangu bs kapewa mashariti makubwa zaid😂😂
@musalumbi8490
@musalumbi8490 2 месяца назад
Dr. ungesema tu kwa tasfida kuwa "thamani ya mwanamke inategemea mwanamke mwenyewe alivyojibeba"
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 месяца назад
Ni upuuzi wameuleta tu hakuna mali za short cult
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
Sule mwenyewe Ana Pete ya ushirikina mhh mnapotowa waja wemwewe unataka sifa
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
HUYU SHEIKH UNAWEZA WANDISHI WAKAMFWATA WANAMULIZA VINGINE KUJIBU KWAKE KUJISIFIA MAISHA YAKE UNAULIZA KUUSU MWANAMKE KUISHI NA NYOKA UNATOA DAWA ANAJIFANYA ANAJUA MPAKA ANAUZI
@DavidMatata
@DavidMatata 2 месяца назад
Hiyo Pete uliyoivaa ni Pete ya majini,siyo nzuri!!
@AthumanMhina-wf9rw
@AthumanMhina-wf9rw 2 месяца назад
Hahahahaaaaa kwa buku
@kenedysamwel9863
@kenedysamwel9863 2 месяца назад
Umeongea point sana mkuu
@MuharamiNgasinda
@MuharamiNgasinda 2 месяца назад
Shee mungu ameruusu utumwa
@mantosanto3222
@mantosanto3222 Месяц назад
Naomba number yako daktari
@SalimMalekela
@SalimMalekela 2 месяца назад
Naomba namba ya dor Sulle
@user-we6bp2me4j
@user-we6bp2me4j 2 месяца назад
Dr Sulle na wewe ni tapeli mkubwa
@saadiwabu3523
@saadiwabu3523 Месяц назад
Sawa
@MajaniIbrahimu
@MajaniIbrahimu 19 дней назад
Dr nipatie namba yako tuongee
@jordan.3109
@jordan.3109 2 месяца назад
MITUME IFAPO NDIPO IZIKWAPO. Kafariki Egypt 🇪🇬 na kuzikwa Palestine 🇵🇸
@Official83640
@Official83640 2 месяца назад
Hakuna kitu sipendi km kutrend kwa vitu vya kipuuzi sasa Shekhe sijui Dr nae anaongia kutrendisha shirk Subhannallah Astaghafilullah Astaghafilullah Astaghafilullah 😢
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 2 месяца назад
Ni sahihi DK
@HusnaShomar
@HusnaShomar 2 месяца назад
Uwongo mtupu
@Niika870
@Niika870 2 месяца назад
Yule bint nyoka Tapeli tu mtakuja kusema ,kuishi na nyoka kama chatu kawaida tu mbona,wamuchunguze vizuri mle chumbani anatisha watu , mtu mweny dangu hatangazi wazi,yule ana biashara mbovu nyuma yake hataki watu wamuchunguze chunguze,anajua akisema nyoka watu wataogopa😂😂
@josephvisenti7416
@josephvisenti7416 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@GoodluckLameck-nh9tq
@GoodluckLameck-nh9tq 2 месяца назад
Ni kweli
@user-qh9jj5xz3p
@user-qh9jj5xz3p 2 месяца назад
Ukweli sai waislam tunafanya mambo ambayo Allah kayakataza 😢😢😢
@DaudMuhammedDjuma
@DaudMuhammedDjuma 2 месяца назад
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mimi shida yangu tu contact za Dr Sule bi idhnillah nitafarijika sana 🙏🙏
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 2 месяца назад
Hata mimi nimeliona hilo yule anataka kutrend tu 🤣
@user-vq2pn6qf7n
@user-vq2pn6qf7n 2 месяца назад
Daa jamani tuache kuparamia wanawake ,mtakuja kulala na nyoka,ila hera halali ni ipi?
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 месяца назад
Tulio toka nje ya Afrika tunaelewa samani ya nyumba za chini ghorofa ni km kibanda
@alicedusabe7510
@alicedusabe7510 2 месяца назад
Kasema kuwa kunamuda anajibadirisha akawa kama binadamu kwahio ni jini
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 месяца назад
Wewe Ni mbishi mtu kwenda kutengeneza umeme Kwa tajiri mmoja darini Kakuta majeneza matatu la mkubwa na watoto binadamu Ni Kiumbe hatari saana
@markmwaghogho9226
@markmwaghogho9226 2 месяца назад
Vipi kuhusu pete ya kijani uliyovaa? ipo sawa...........mafundisho mazuri
@SalimMalekela
@SalimMalekela 2 месяца назад
Naomba namba za for Sulle
@saidbakari2408
@saidbakari2408 2 месяца назад
Nilitaka nikuandikie namba zake ila nimeona hatar kwa hapa coz itakuwa hadharan mno
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 2 месяца назад
Kiburi kikubwa na Mushrik
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 2 месяца назад
Nilimuhishimu ila sikujuwa ni mshirikina mkubwa.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 2 месяца назад
Utupu waa..mwanamke hauna..dhamani kuna waa buku kuna waa chios dhamani. Yaa tupuu.ya mwanamke ni mmiliki mwanamke mwenyewe .anaye utuzee
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 2 месяца назад
ila alisema huwa anajibadilisha kwa tukio
@user-hu3sc4kg1f
@user-hu3sc4kg1f 2 месяца назад
Nikweli Kabisa sheikh
@daudhabona8897
@daudhabona8897 2 месяца назад
Bahati mbaya internet kumejaa wajinga. Kuliko wenye akili. Tunahitaji mambo hayaa
@user-kt3ro2zt5i
@user-kt3ro2zt5i 2 месяца назад
Apo nimekuelewa docta
@MuharamiNgasinda
@MuharamiNgasinda 2 месяца назад
Amna yy mfafanuzi mweleweee
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад
Kabisa
@dandy_unique
@dandy_unique 2 месяца назад
Alisema kuwa yule sio nyoka wa kawaida
@najatsalum2122
@najatsalum2122 2 месяца назад
Wengine ni kutokuvaa viatu,wanatembea pekupeku.
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 месяца назад
Kasema nyoka anabadili anakuwa mwanadamu
@fatmasaid6660
@fatmasaid6660 2 месяца назад
True sheikh
@SIMONOMULALO
@SIMONOMULALO 2 месяца назад
🤔🤔🤔🤔🤔🤫🤫
@hassanmchwakachangama888
@hassanmchwakachangama888 2 месяца назад
Ahsant kwa Elimu yako Mwalimu
@Rushatsiog
@Rushatsiog 2 месяца назад
Hio Pete aliovaa muwe makini nayo
@SisterSister-lf6ib
@SisterSister-lf6ib 2 месяца назад
مشاءالله
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 месяца назад
Subhanna Allah 😭
@dhahabukalama2635
@dhahabukalama2635 2 месяца назад
Pipiiiiiiiii 🚴‍♀️🚴‍♀️🚴‍♀️🚴‍♀️🚴‍♀️hadi comment section
@JofreydamasMassawe-sl6qr
@JofreydamasMassawe-sl6qr 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
Yemwewe sule mshirikina
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 месяца назад
Acha chuki
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm 2 месяца назад
Paukwa pakawa 😂
@salumumohamedy
@salumumohamedy 2 месяца назад
hii mikono na uso watu wa VAR Mtuambie
@jordankomba4224
@jordankomba4224 2 месяца назад
VAR 😂😂😂
@AshaMwawako
@AshaMwawako 2 месяца назад
Analabwa
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 месяца назад
Nomejikuta nacheka 😂😂Astaghfirullah ya Rabb mwenyewe kasema nyoka anajibadili anakua kiumbe huwenda ni jinni Utupu wa mia 5😢😢😢😢😢
@LeilaAbdull-jg6ho
@LeilaAbdull-jg6ho 2 месяца назад
Hauna samani wake zako
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
Wemwenyewe unaabudu pete
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 2 месяца назад
Unaunwa wewe Kwan vp
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@NadhiraNa-vm5hs mama pia anaumwa ila hajakwambia ndio maana hujui
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@NadhiraNa-vm5hs wembuzi mshirikina mmoja we
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@NadhiraNa-vm5hs kazi.kupotowa watu tu kwenda kule.mbuzu ulokosa maarifa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@NadhiraNa-vm5hs kama upo tayar njoo inbox mpumbavu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
BABU MASIFA
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 месяца назад
Shekhe wa mchongo
@AmCool_
@AmCool_ 2 месяца назад
Kwanini?
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
Hili shekhe linamaneno mengi namisifa
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 месяца назад
Kwakua huyataki anayoyoyasema ndomaana unasema hivo mwenye kuyataka tunafahamu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@ukhtyrayyan7884 mtajuwa wenyewe kwendeni huko shekhe gani muhuni anajitapa eti anatongozwa kila siku kama siuhuni kitu gani
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@ukhtyrayyan7884 Tatizo hili shekhe linamasifq uislam kazi mashekhe wenyewe wanafiki
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@ukhtyrayyan7884 sijawahi kuona shekhe anajisifia kutongozwa hili hili jamaa nililisema linatogozwa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 месяца назад
@@ukhtyrayyan7884 mimi nimemchukia mbinafsi sana huyu shekhe tuliwahi kumpigia tunashoda halikupokea ila kumbe likitogozwa linapokea
@stevensosipita
@stevensosipita 2 месяца назад
KWAHIYO WEWE SHEKHE WA MCHONGO KWA AKILI ZAKO HUJUWI KAMA NYOKA NSHETANI?WOTE NYIE MASHETANI WEWE PIA UNA MILIKI MAJINI
@user-us1wc1qy9n
@user-us1wc1qy9n 2 месяца назад
Sasà ww na sule nani jini kasome din sio kukulupuka tu huyu ni doctor sule na ametembea nchi nyingi
@user-us1wc1qy9n
@user-us1wc1qy9n 2 месяца назад
Alafu ww ndio stev wa mchongo
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 месяца назад
Aahh hakuna maneno ya utupu wa kike hauna thamani, basi utupu wa kike ndio wenye thamani ukipimia tabu zinazotokea kwa mwanamke.
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 2 месяца назад
Sio kila nyoka ni jini
@stevensosipita
@stevensosipita 2 месяца назад
@@user-us1wc1qy9n USIYEJUWA NI WEWE HAPO HAKUNA WANAFIKI HAO NA WATU WASHIRKI WACHAWI WAKUBWA MIX KUFUGA MAJINI POLENI SANA
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 2 месяца назад
Kma warab vile
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 2 месяца назад
Waarabu tena
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 месяца назад
Ukiona mtu anakuongelea sana ujuwe ana wivu na wewe na roho inamuuma ndio maana unakuwa kwenye mdomo wake😂😂
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 2 месяца назад
@@user-gb3sf9fy2u eeh warab wengi sn hutajir wao ni wamashaka mashaka waeza ona mtu mzim hajielew kumbe nichumo lao la pesa...mean mazezeta
Далее
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 29 тыс.
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 3,4 млн
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47