@@Kujason12 hujui? Soma.biblia ikupe ufaham wa kumwelewa mungu humo utapata habari za mbinguni. Uweza wa mungu na utendaji wake nguvu iliyomo. Ndani ya jina la yesu kumtegemea mungu na kumtumaini kumwamini ktk neno lake. ..imani.iliyojaa nguvu za mungu ktk yesu Kristo. Yohana 14:13.. 14.