Тёмный

HIZI NDIO TABIA ZA MAJINI, DK SULLE AFICHUA YOTE KUHUSU VIUMBE MAJINI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 107 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 595   
@njovuchristopher5162
@njovuchristopher5162 Месяц назад
Hakuna point hapo majini roho chafu unazitumiaje kama wewe mtu wa mungu
@Nasir-zc1mz
@Nasir-zc1mz Месяц назад
Huyu nae mganga yaan hap anachanganya ukwer na uongo kuchanganya watu
@user-vj1mo2uo8e
@user-vj1mo2uo8e Месяц назад
Kipindi unapinga uwe unatoa na dalili zake kaka usipinge t af ikawa huna ushahidi
@selemanigongi8970
@selemanigongi8970 Месяц назад
Je hakuna roho chafu za watu mbona wengi, zinaa ,dhulma, Rushwa , kamali ushirikina
@boscojohnny8980
@boscojohnny8980 Месяц назад
Umeongea vizuri...huyu ni mtu wa mungu wala sio mtu wa Mungu
@KisesaFeruzi-zy9tw
@KisesaFeruzi-zy9tw Месяц назад
Uyo Jamaal atachomwa uyo aaaaaa!
@IslamAhmed-xd5my
@IslamAhmed-xd5my Месяц назад
Asalamu aleykum katika utumizi wa kumtumia jini haifai wanazuoni Shafi hambal Ahmed Maliki Hanafi hakuna hata moja wao anakubaliana nahili lakumtimia jini nooooo
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@kimsamir965
@kimsamir965 Месяц назад
Safi sana DR sule nakupenda sana na mungu akuweke kher nying ziwe juu yako mwalimu
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Месяц назад
Huyu jamaa mshirikina kweli kweli wallahi yani masheikh wa bidaa mtihani sana alhamdulillah kwa neema ya sunna
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Yohana 14 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@hubagacheri9172
@hubagacheri9172 Месяц назад
I am with you on that point ☝️ dua is very important for everything you do in life 💓 may Allah make everything easy for us all
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Месяц назад
Aamin yaa Rabir aalamin
@user-zk5jk2he6v
@user-zk5jk2he6v Месяц назад
Ulinganizi bila elimu lazima uwemganga umesilimisha wengi mashalla ila yamepomoka matendo yako baada yakua mshirikina dktar sule alla akuongoze utubie kabla kufa
@barkanassir2528
@barkanassir2528 Месяц назад
Umenipunga ustadh wetu ❤❤❤❤❤ kweli kabisa
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@RynoFiree
@RynoFiree Месяц назад
Yani Dunia imeisha ushirikina unaharalishwa et majini yapo sawa duh 😢😢😢
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Ndiyo sheikh mbobevu Anatoa dawah Hiyo 😢..Ila pengine anajua tusiyoyajua 🤔
@user-jz2fv1qv7j
@user-jz2fv1qv7j 10 дней назад
Eti
@janepherjackson9693
@janepherjackson9693 Месяц назад
Kila kiumbe ako na malaika lakini sio jini
@user-ld8bs7cr1y
@user-ld8bs7cr1y Месяц назад
unaakili ww soma hadithi ya mtume alipo muuliza jini (ww Aisha au jini unaekaa nae)
@fundimagari5825
@fundimagari5825 Месяц назад
Maraika anakaa na nani? Maraika hana huo mpango wa kukaa na wewe ...iyo ni kazi ya majini...maraika wanaishi mbinguni...wanafikisha ujumbe kwa style yao lakini sio kukaa na wewe
@elishatotolela3843
@elishatotolela3843 Месяц назад
Mbiguni ni wapi?​@@fundimagari5825
@davisngahwela
@davisngahwela Месяц назад
​@@fundimagari5825 mzee uko proud kabisa kwamba majini Yanalinda watu😂 afu usikute ni baba wa familia kabsaa 😂 nyie
@khloevibe7569
@khloevibe7569 Месяц назад
​@@fundimagari5825bac 2fanye ww una majini sie tuna malaika...
@MariamJuma-nj9fc
@MariamJuma-nj9fc Месяц назад
Waislam wenzang. Naihusia nafsi yangu pamoja na nafsi zenu , Wa maa khaltul jinna wal insa illa lia'abudun.
@rajabhamis7595
@rajabhamis7595 Месяц назад
Ukumbuke pia Nabii Suleyman aliwatumikisha majini
@sammotv6920
@sammotv6920 Месяц назад
Yule ni nabii. Na alipewa hayo Mamlaka na ndo mana hata yesu alipewa uwezo wa kuumba baadhi ya vitu na mtume Muhammad SAW alioa waake 11 lakin sisi tunaruhusiwa wake wanne tena kwa mashart kwahyo usifananishe mitume na ssi
@danticboy
@danticboy Месяц назад
Yey aabudu majin bali linamlind ebu mskiliz shekh ban
@MariamJuma-nj9fc
@MariamJuma-nj9fc Месяц назад
@@danticboy Kwan MOLA WAKO HAKUTOSHI? MPAKA AKULINDE JINI. Sema HASBYA LLAHU WANNI'IMAL WAKIL
@MariamJuma-nj9fc
@MariamJuma-nj9fc Месяц назад
@@rajabhamis7595 soma Aya vizuri , usikurupuke..!
@bakariawadh4838
@bakariawadh4838 11 дней назад
Sio siri mie huwa nakufutilia sanaaa Dr sule toka enzi za mihadhara uliyokuwa ukishirikiana na akina mazinge,upo vizuri sanaaa Allah akuzidishie kheir duniani na akhera inshallah
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 Месяц назад
Mungu wangu hawa ndio viongozi wa WaIslam 😢😢😢 Utajiri wa Majini 🤔 Njooni kwa Bwana Yesu Njia,Ukweli na Uzima wa Milele
@user-kz7nx8xe4e
@user-kz7nx8xe4e Месяц назад
Kiongozi wa waislamu gani acha upuuzi
@GatekaNene
@GatekaNene Месяц назад
@ Patrickmaina 5459: Hawa ndo waislamu sasa wengi wanampinga doctor Selle eti sii muislam kisa tu anasema maana halisi ya imani yao na majini sasa sijuwi ni kipi kinaco kuwa ca ukweli kwao maana ukisema ukweli kuwahusu wanakuja kukupig vita basi waacane na hiyo dini ambayo aiwapi amani ndani yao. Wa kisikiya ukweli juu yao inakuwa kama mkuki mkali ndani ya miyoyo yao sasa faida gani ya kuwa kwa dini hiyo?? YESU ni Bwana Mwana wa MUNGU aliye hai Amen
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 Месяц назад
@@GatekaNene kweli kabisa
@salamasongoro520
@salamasongoro520 Месяц назад
Wew apo ndo umechemsha ss kwn hakun wtu wanajiit akina yessu😅😅😅
@GatekaNene
@GatekaNene Месяц назад
@@salamasongoro520 kuna YESU KRISTO alafu kuna wanao jiita Yesu ulishawahi sikiya mtu akiijita YESU KRISTO tangu hajaj KRISTO na tangu alipo ondoka hapa duniyani???
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Месяц назад
Tupe Aya inayo SEMA tuletewe Mali na majini
@zedibansa9615
@zedibansa9615 Месяц назад
Wehuna akili nawe tupe Aya inayosema binadam akupemali
@user-iy4uq3zw1b
@user-iy4uq3zw1b Месяц назад
​@@zedibansa9615 Hakuna aya hyo yakumwomba binaadamu Wala jini akupe Mali zaidi ya kumwomba MUNGU
@zedibansa9615
@zedibansa9615 Месяц назад
@@user-iy4uq3zw1b kwaiyo ikitokezea akikupa usichukue ama
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@user-jz2fv1qv7j
@user-jz2fv1qv7j 10 дней назад
Ndio, ushirikina tu
@user-bp4wv4jo2i
@user-bp4wv4jo2i Месяц назад
hii ni kweli mtu wa Mungu endelea hivohivo
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 Месяц назад
Dr Sule iko sahihi. Kama nyiye wapinzani muendeleye kupinga
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Месяц назад
Mashallah sheikh Sulle uko vizuri
@user-vj1mo2uo8e
@user-vj1mo2uo8e Месяц назад
Yupo vizuri sema watu wanapinga ila ushahidi hawana
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Месяц назад
Yesu ni Bwana na tunalindwa kwa moto sitamani hayo majini wala si kitu kwangu
@matikomrimi8222
@matikomrimi8222 Месяц назад
Emu iruhusu akili yako ifanye kazi huo moto ni upi malaika na majini wameumbwa kwa nn si ni kwa moto kwanini akili yako isifanye kazi
@sapduke8691
@sapduke8691 Месяц назад
What is the difference between Jini na Malaika? Where did u get Jesus from? Who were u b4 Jesus the white man?
@MohdAli-cn2cs
@MohdAli-cn2cs Месяц назад
Wewe inakutosha uamini kua mungu ni mmoja tu wapekee hana mwana wala hajazaliwa Na nabii issa au wewe unaemwita yesu ni bwana wetu kweli mana yeye ndie mtume wake mungu alie tukuka ila sio mwanae.
@MohdAli-cn2cs
@MohdAli-cn2cs Месяц назад
​@@matikomrimi8222 Wewe akili yako ndio haijafanya kazi mpaka hapo mana swali lakijinga sana Malaika kaumbwa kwa nuru na majini kwa moto Sasa unafikiri ndio hoja hio kwamba moto haupo au Moto upo na unawaadhibu mpaka majini waovu kama huamini kama moto unamuumiza jini bc hebu mtu mwenzio akupige kibao ivi uwone kama hutoumia na kwann uumie na wewe umeumbwa na udongo😂
@PatriciaAkena
@PatriciaAkena Месяц назад
Sisi tunayo roho mtakatifu.. hakuna utuogonza..majini yesu. aliyafukunza
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g Месяц назад
jamani sule mbona kitambi kikubwa hivo 😂🤣 sasa siwambie majini wako wakipunguze🤣😂 astaghfiru
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@dorcasmukhanji5231
@dorcasmukhanji5231 Месяц назад
Waa Waislamu balaa, mimi niko na Yesu ndani yangu,rudieni Mungu, hakun jini mzuri dunga hii, pepo ni pepo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Huyo Yesu ulienae ndani yako ndio jini mwenyewe
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Месяц назад
​@@rumdeesonsoa1811wewe ndungu WA majini hachana na majini mapepo wachafu njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
@@rumdeesonsoa1811 Allah mwenyewe ni jini kamrithisha na swahiba wake Muhammad,yaani mmepigwa kiini macho tu,Amkeni Yehova is watching you,still you’ve time 😎
@GatekaNene
@GatekaNene Месяц назад
​@@rumdeesonsoa1811 huoni aibu kusema kuwa YESU ni jini?? loooo
@mubarakiddy-ll5qs
@mubarakiddy-ll5qs Месяц назад
​@@vincentcharles4385Hapana kaka... Allah ni kiarabu tuu maana yake ni Mungu mkuu...muumba mbingu na nchi na Kila kitu kaka
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Месяц назад
Ushindwe kwa jina la Yesu, nyiye waislamu munaamini katika majini ndoo mu na majini, na mutume wenu alitumwa na mukuu wa majini île Siku maswahaba walimutafuta Waka mukosa Ali itwa na mukuu wa hawo majini akaende aya somee koroani .
@user-kw9hr5mm9h
@user-kw9hr5mm9h Месяц назад
Vp ungekaa kimya ungepungukiwa na Nini
@MariamAsudi
@MariamAsudi Месяц назад
Samahani kama litakuudhi lakini ukianza kuwatukana waislamu fikiria mara mbilimbili,kwa elimu Gani basi mlio nayo nyinyi , usitudhalilishie Dini yetu kabosa Yani ,mara mia mtukane muislamu ila usiutukane uislamu mara elfu mtukane muislamu ila usijaribu hata kwa bahsti mbaya kututukania mtume!!! ALAFU NASHANGAA YANI WAUMINI WANSTUKANWA PAMOJA NA MTUME WAO ALAFU WAMENYAMAZA 🤔🤔.ALAFU KOOOOMA KAKA Tena mwanzo mwisho kutukana mtume ,,,Aya unayoijuwa ni hiyo tuu yenye mtume alienda kuwasomea majini Quran, ila ayah zingine zinazozungumzia kuwa nyinyi ni makafiri mlio ahidiwa moto huzizungumziii we vpi Qirani yenyewe hujuwi kuiandika alafu unajiproud "(KWA JINA LA YESU)" we ungemjuwa YESU wafkiri ungekuwa mkristo??? Tena koma kututukania mtume kama uko tayari nitafute nikuonyeshe nani wenye elimu bana yetu na nyinyi ☪️☪️☪️ for life
@mwangometabu5461
@mwangometabu5461 Месяц назад
Wacha ujinga wewe,
@MariamAsudi
@MariamAsudi Месяц назад
@@mwangometabu5461 ndio noache ujinga kisa nazungumza ukweli hata mfanye nini hatuingii kwa lolote.Elimu zenu mdogo mnataka kushindana na sisi mtatupatepi kama ukweli upooo basi uzungumziwe tuu ya nini kujibanabana ?? Hamna lolote kwani mie siezi kuwa mjinga kwani ni mwalimu wenu .Toka lini uliwahii sikoa mwalimu Kawa mjinga kwa wanafunzi wake 🤔🤔🤔 kubalin au pingeni uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu na ndio iliyoshushwa nayo manabii wote akiwemo YESU na wamwisho Muhammad (S.A.W) Sisi ndio WAUMINI banaaaa
@BakariWinza
@BakariWinza Месяц назад
Utoto unakusumbua ukikua utaacha
@salimkinabo5897
@salimkinabo5897 Месяц назад
Dr sule hiyo ni elimu ya ukuhani na unajimu..ambayo ni ushirikina na ukafiri..
@onesmosizinga7413
@onesmosizinga7413 Месяц назад
Hakuna ukweli hapo
@Mammy-eq7ef
@Mammy-eq7ef Месяц назад
Mm wa kwanza nitakutafuta kwakweli nimepata mafunzo nanimefunguka akilii
@nixonlangat4005
@nixonlangat4005 Месяц назад
Kuja kwa kristo
@Mammy-eq7ef
@Mammy-eq7ef Месяц назад
@@nixonlangat4005 amen🙏🙏🙏
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j Месяц назад
Mm namuelewa vizur Dokta sule,Na hili swala la kila binadamu anakuwa na jini ama ana rafiki jini ilo ni kweli wala halitaki tochi,tatizo la watu hawana elimu
@arafatali2796
@arafatali2796 Месяц назад
nkweli
@albertbissaga1425
@albertbissaga1425 Месяц назад
Hayo mnayo nyinyiwaislamu tu.
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Месяц назад
​@@albertbissaga1425wakristo na waislam acheni kuabudu vitu vya watu hizo ni tamaduni za watu karibuni kwenye asili yetu
@kanzucentre3468
@kanzucentre3468 Месяц назад
Ni kweli lkn sio wa kutuma wala wa kutoa ulinzi , haya ya Sule ni ushirikina
@rizikinassor5618
@rizikinassor5618 Месяц назад
KENGEREE😂😂😂na we sheikh umshirikana😂😂😂😂😂😂😂
@johngeorge4834
@johngeorge4834 26 дней назад
😂😂🎉
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Yohana 14 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@josephmarwa4623
@josephmarwa4623 Месяц назад
Mwawanyima waathiriwa haki zao kesini kwa kuiba mafaili ya kesi
@musticonka484
@musticonka484 Месяц назад
Sheikh wangu sule nakuelewa sana usemayo ila nawasiwasi kama kwako ipo kibiashara zaidi? Hope haiko ivo maana ni hatari hii sheikh kufundishs watu namna ya kupata mali kupitia majini
@muniraally4091
@muniraally4091 Месяц назад
Shirki tupu
@isaacbuluma
@isaacbuluma Месяц назад
Kama ulipewa mini na mungu mbona ukitumia kibiashara inakuwa shirka. Naamini mungu bila jini mimi
@barakahazard3182
@barakahazard3182 25 дней назад
Ila jini nae ni kiumbe ila tu kagewa nguvu tofauti na binadamu
@jannffer
@jannffer Месяц назад
True wakatoa kwa samaki the holy spirit is great can do anything at any time
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 Месяц назад
Ndio maana Zanzibar watoto wa shule,wanapandisha majini makelele,shule nzima,
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Yohana 14 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
@kanzucentre3468
@kanzucentre3468 Месяц назад
Kwani huyo mganga Sule ni Mzanzibari?
@sophiezakaria
@sophiezakaria Месяц назад
Ni ukweli,warabu wana majini ya kuwaletea mali 😂
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 Месяц назад
Nahao wanao lala na joka huko Tz. na kulala na wazee wao na Wana wao na mengine mengi. Ni waarabu hao ?
@sophiezakaria
@sophiezakaria Месяц назад
@@sultanaswaleh7813 mimi naongelea jini wazuri wakutumika kuleta mali,wala sio majoka 😜😜nenda Saudi ujionee majini wanavyo hudhuria hijja
@leko3040
@leko3040 Месяц назад
Majini sisi wakristo hatuna holy spirit is with us
@braqutourssafaris4672
@braqutourssafaris4672 Месяц назад
Kwa hiyo mule kanisan mnapo ombewa na wengine wakianguka wale pia ni waislamu😅😅
@majutomusegu
@majutomusegu 21 день назад
Nyinyi.ndio sana
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Месяц назад
Mashaallah 🎉
@johngeorge4834
@johngeorge4834 26 дней назад
Huyu msee hajui Chenye anaongea,anamaanisha malaika😂sio jini
@Deltarm254
@Deltarm254 Месяц назад
Yaani hivi kama mimi nina jini hili jini ni mvivu sana,haleti hela jameni😂😂😂
@MohdAli-cn2cs
@MohdAli-cn2cs Месяц назад
Alete hela kwani wewe umempelekea ata mara moja😂😂😂😂
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o Месяц назад
Huyu sule elimu anayo ila anachanga mada
@madiwamdee4114
@madiwamdee4114 Месяц назад
Elimu inasumbua watu wengi sana..kutumia kiumbe wa M/Mungu kupata mafanikio kwa idhini ya Allah sio ushirikina
@user-cy4xf1eu3q
@user-cy4xf1eu3q Месяц назад
Kweli Elimu zipo ilo silikatai
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz Месяц назад
Ha ha haha ha huyu mtu anaish nairobi mpaka leo simtaji
@muktaromar5501
@muktaromar5501 Месяц назад
Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh bwana Sule. Kutumia majini sawa ila mbona haujasema conditions ama masharti yake?
@DavidMatata
@DavidMatata Месяц назад
Surah Al jinni (72) majini wanasema wao ni waislam kwa hiyu Dr.Sule ni jamaa zake... Takbirrr.
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Месяц назад
😂😂😂😂😂 unawaweza
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
Huyo ni mpiga ramli tu
@DavidMatata
@DavidMatata Месяц назад
@@vincentcharles4385 Kwei kabisa
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Месяц назад
KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Месяц назад
KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Месяц назад
Sheikh ulipoingia utakwenda kujibu kesho Akhera yaani haya yote kwa sababu ya mambo ya dunia
@KambiYusufKambi
@KambiYusufKambi Месяц назад
Dr.sule na kukubali Sana. Well came to simiyu reginal.
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c Месяц назад
Waislamu bado. Mnang'ang'ana. Na uisilamu. Amkeni nisku zamwisho. Mfalume wa wafalume. Yuaja. Msje mkafungiwa mlango warehema jamani duguzangu. Amkeni jamani.
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 Месяц назад
Ww chizi soma vzr ndio utajua dni ipi ya kwl
@mrchinal5407
@mrchinal5407 Месяц назад
We tulia ww unajua nn subiri democracy
@tanzaniayetuchannel2196
@tanzaniayetuchannel2196 22 дня назад
YESU(AMANI YA MUNGU IWE JUU YAKE) HATA SISI WAISLAM TUNAMSUBIRI NA AMETAJWA KITABUNI KWETU KUWA ATAKUJA NA WAKRISTO WATAKAOKUWEPO WATASILIMU
@hubagacheri9172
@hubagacheri9172 Месяц назад
I agree 💯 with you 💯...
@SinankwanaboseAl-islamHamza
@SinankwanaboseAl-islamHamza Месяц назад
Dr.sule good.
@AllySadjid-ch8ze
@AllySadjid-ch8ze Месяц назад
Mashaallah
@yahyasaloummvyongo3536
@yahyasaloummvyongo3536 Месяц назад
Doctor sule Mimi sinaa chochote naomba tuu msaada mkubwa kwako BAASI SITAKI kuweka jambo langu hapa ila najuwa unaweza naomba unisaidie tuu BASII Allah atakulipaaa
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Месяц назад
Wacheni zenu nendeni mitaani mkafanye daawat watu warudi kwa Allah (swt) Mtume likua akitoka
@gracew7460
@gracew7460 Месяц назад
Mungu wake ni shetani
@Young_Chamguhi.
@Young_Chamguhi. Месяц назад
Africa tumepumbazwa kwa kuaminishwa na wazungu(dini) kwamba elimu zao technolojia alafu za kwetu ni ushirikina na uchawi, ili tuendelee kuwa tegemezi kwao na mafukala😂
@Putin331
@Putin331 Месяц назад
Huyo shee mbwa❤ mwizi
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 Месяц назад
sio sheikh huyu ni mpuuzi fulani tu
@harrietkiden7808
@harrietkiden7808 Месяц назад
😂😂😂😂
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Месяц назад
@@salumuledisalum8038 sule ni sheik tena mukubwa yeye alisimama kwenye mihadahalo mikubwa mikubwa pamoja na mazinge na Saidi kinyogori , tena hawo masheik wakakubali katika midahalo hiyo yakwamba shetani ni mwislamu . Nyie wa waislamu wa dogo wa dogo hamujaenda kusoma dini ndoo hamujui wale masheik wa najuujua wislamu, yani nyie wadogo wadogo ni bubu tu .
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Месяц назад
Amna kitu apo akunaga jini mzur, misikit yote ina majini
@majutomusegu
@majutomusegu 21 день назад
Sasa wewe tutakushugulikia
@VailetAthanas
@VailetAthanas Месяц назад
Docta sulle yupo sawa hivi hamuoni mfano wa nabii sulieman bin daudi alivyokuwa anawatmikisha majin mpak lufa kwake na alkuwa binadam kama ss
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b 16 дней назад
Watakuelewa wanaoipenda dunia kama wewe lakini sii wasiomshirikisha mungu,
@LizenMaker
@LizenMaker Месяц назад
Amina
@listerferdinand9653
@listerferdinand9653 Месяц назад
ALLAH anajua kuumbua watu ukifanya siri dhambi ikakua ALLAH anakuweka wazi. Ukiswali nyuma ya huyu mtu huna swala ewe muislam. Huyu leo kautangaza uganga wake 1. Anachinja kwa ajili ya majini ila sio kwa ajili ya ALLAH 2.anadai Dua zake kwa ALLAH ilihali katikati yake na ALLaH kuna majini 3. Kutegemea msaada kwa kiumbe kwa mambo ambayo anayaweza ALLAH peke yake mfano rizki,mvua,shifaa ni SHIRKI kubwa. Hakuna jambo kaongea kwa ushahidi wa aya na mafundisho ya mtume. Jiwekeni mbali na huyu mtu asipotubia akafa katika hali hii ataenda motoni
@JofryDaud
@JofryDaud Месяц назад
Eeeee,Aya,wabeba Majin,mganga wapoli na mwisilam wore sawa,
@MariamAsudi
@MariamAsudi Месяц назад
Imani yenu na wale wanao abudu miungu nyote sawa tofauti ni mviabudivyo basi ila Imani zenu nyote wamoja
@Nasir-zc1mz
@Nasir-zc1mz Месяц назад
Wakristo mnajificha ila ukisoma dini yako utaamua kuwa mchawi
@fatmajuma2940
@fatmajuma2940 Месяц назад
Ayo unayosema shehe yapo sana ni kwel taaluma hiyo imejificha sana mpaka mtu aijue
@SamiaRamadan-us4zp
@SamiaRamadan-us4zp Месяц назад
Naam kbs ni uelew tu na elim
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Yani wee mjinga sana
@majutomusegu
@majutomusegu 21 день назад
Pumbavu wee
@IliveforAllah
@IliveforAllah Месяц назад
Unapotoza watu. Ndo mwisho wake unamshirikisha mungu. Anaetoa Mali. Anaesuluhisha mambo ni Allah . Huo ni ushirikina tu .
@user-ct2yd8lp2o
@user-ct2yd8lp2o Месяц назад
Hii Aya vipi suratul jinni Aya ya 15
@user-sg6qz3yw7k
@user-sg6qz3yw7k Месяц назад
Tusio kua Na elimu tunajifunza kwako shekhe
@user-ys8hi7iy5j
@user-ys8hi7iy5j Месяц назад
Ushindwe kwa damu ya yesu mm Sina jini ninyie waisilam ndio mume jiaminisha hivo ndio Mana waisilam mna majin
@stanleyjuma4377
@stanleyjuma4377 Месяц назад
Nakupenda sana Dr Sule, una hekima mfuti
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y Месяц назад
Asthakafiru llah minkulidhanmbii.
@user-nv9jn7xc4f
@user-nv9jn7xc4f Месяц назад
Nakubali ilo
@user-ic9hq2ut3r
@user-ic9hq2ut3r Месяц назад
Dr Suleman ww ni mshirikina period
@gracew7460
@gracew7460 Месяц назад
Hakuna jini mzuri wote ni mapepo watumishi wa shetani. Malaika wa Mwenye Enzi Mungu alieumba mbingu na ardhi.
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 Месяц назад
Sheikh uwe unatoa na dalili kutoka kwenye vitabu ya Mungu. Lakn ukisema tu majini kuyatumia halali tunakuwa hatukuelewi maana wengi elimu finyu ya dini. Tupe aya na hadith kwa kila nukta. Vinginevyo mh!
@user-lr9zc1yx2t
@user-lr9zc1yx2t 17 дней назад
Mw mungu ametuumba binadamu na majin kwa ajili ya kumuabudu tu uuu sikwajengine
@user-cl7qh8mv1d
@user-cl7qh8mv1d Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅Walai Mimi Sina jini katika Maisha yangu,,,,,Waaahhhh, mafundisho Gani haya
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 8 дней назад
Dr kusena mashekh wakubwa duniani wanatumia jini wasema uongo jiretea nisawa lakini s8bkwa urongo
@lucasanthony4619
@lucasanthony4619 Месяц назад
Aise shampoo waislamu
@DesireHenk-pr8qp
@DesireHenk-pr8qp Месяц назад
Ishaallah mungu akupe maisha marefu kwa elimu ulio tupa alakini uwe unatujibu tukikuakiandia private namba yako
@AlhajiMuhammad-cd3pr
@AlhajiMuhammad-cd3pr Месяц назад
Dr nipe namba yako
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w Месяц назад
Kumbe Sule zuzu kweli kweli. Huyu hata Aqida ya Ahlu sunnah haijui
@user-lr9zc1yx2t
@user-lr9zc1yx2t 17 дней назад
Lakin tunapoyatumia hayo majini si tunaudhalilisha uislamu jamani 😭
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips Месяц назад
😂😂jamaa liongo ili daah
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@omarmutta4999
@omarmutta4999 Месяц назад
Pyramidi za Egypt zilijengwa Na majini.
@jacquesedgardJES
@jacquesedgardJES Месяц назад
Uongo huo. Ni wamisri walio ya jenga
@davidkihara9890
@davidkihara9890 Месяц назад
Asante sana Kwa hii elimu
@user-gl9tp4kv4x
@user-gl9tp4kv4x Месяц назад
Doctor Kam unazeeka vibaya
@SeifJuma-yt1pk
@SeifJuma-yt1pk Месяц назад
Na mungu sio mjinga kiasihivyo kumpa binadamu aliemuumba jioni never
@gracew7460
@gracew7460 Месяц назад
Mungu hawazi kumpatia nguvu mtu atumie jini hiyo ni kazi ya shetani
@user-lt2qh5dj1b
@user-lt2qh5dj1b Месяц назад
Nakubar mkubwa
@beatman401
@beatman401 Месяц назад
Ata mwana damu atajua maechayako nyuma wakati anaenshi nawewe, lakini Mwabieni jini akutafutie maensha yako ya mbele 😅😅Hawezi kuuijua maesha yako ya mbele, hakuna kiumbe lolote duniani anaojua siri ya mungu.Mwana damu ana guvu kuliko jini, #From#COMOROS
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo Месяц назад
We mdada wa mbengo kuna mtu anaitwa daruweshi kimicha mwite umuhoji juu ya aliyoyaongelea dr sule alafu nakwambia kwann nmemwambia utamfute hyo mtu ukitaka no niambie ntakupa uwende kumuhoj
@stuartsika3051
@stuartsika3051 Месяц назад
Mambo Kuluthumu, nilipenda kumfahamu daruweshi nitamfikiaje!?
@faroukfarouk477
@faroukfarouk477 Месяц назад
Kuna mambo hayajawafika yakiwafika mtaendawenyewe kwa sule
@IssaFumo-uw8de
@IssaFumo-uw8de Месяц назад
Hahahaaaa....ni kweli kaka,,,watu wengi hawajui.usilolijua ww bas yupo analolijua.nq uchawi upo kweli.hawa wanaosema hovyo hayajawafika.ndo wanakuwaga wakwanza kutaka msaada hao
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Месяц назад
Hahahahaha mtu ukipigwaa ndio utajuwa sule alikuwa anaongea nini
@sharifnassor4417
@sharifnassor4417 Месяц назад
DR Sule kabla ya kuwa na Pete Je . 1 ) ilikuwa hauna bahati 2)ilikuwa hauna mvuto 3) Rizki ilikuwa haupali 4) Dua zako ilikuwa hujibiwi kama hujibiwi tuseme Pete Leo ndio inakuji Dua zako
@suleimanally9127
@suleimanally9127 Месяц назад
Sasa kama jini tunae na ni rafiki mbona hatufai kwa lolote tunapata matatizo mengi lkn hatuoni msaada wao ni marafiki gani hao
@SalimKarama-fw7tt
@SalimKarama-fw7tt 28 дней назад
Wa ufawwidhuu Amryy ilallah innallaha baswirul-bil ibaad
@freenaturetv
@freenaturetv 27 дней назад
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
@byamashshaban9246
@byamashshaban9246 Месяц назад
Haruka jini mzuri ao mbaya wote mwisho wao ni moto,lakini lakini sisi tungali nafasi ya tubu
@user-vj1mo2uo8e
@user-vj1mo2uo8e Месяц назад
Af hao majini wameumbwa nanani
@KhalfanBona
@KhalfanBona Месяц назад
Quran 13:11 =ANAKILA MTU KUNDI LA MALAIKA MBELE YAO NA NYUMA YAO.....kwahy hii kusema kila mtu ana jiti sio mpango wa Mungu.kuwa nàjini nimfumo wakishetan
@user-lr9zc1yx2t
@user-lr9zc1yx2t 17 дней назад
Dk sule unafata yesu au muhhamad s A w
@user-ci9lj2vq9n
@user-ci9lj2vq9n Месяц назад
Usiseme Kila mtu anajini sama Kila muislam ana majini ,,,sis tuna YESU na majini yakisikia saut ya YESU yanakimbia
@albertpike6208
@albertpike6208 Месяц назад
Nasoma comments za wakristo naona balaa tupu hivi anayoyazungumza Sulle hata kwa movies hamuyaoni??? Hapa sio kusingizia udini hapa tunajifunza ulimwengu wa Majinn sasa msiwe wapumbavu ??? Majinn wamejaa makanisani hapo vipi???
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c Месяц назад
We ukome Mimi snajini. Bali ninaye rafiki ambaye niyesu. Ushindwe. Labda waislamu ndomnayo
@user-hd7vt8fk5t
@user-hd7vt8fk5t Месяц назад
Koma wewe usimtusi shekhe
@user-sk9qr8jk7b
@user-sk9qr8jk7b Месяц назад
Ww tulia mambo ya yesu yametuka wp sasa uko nayo ww juzi sihulinisho😅😅😅😅
@user-sk9qr8jk7b
@user-sk9qr8jk7b Месяц назад
​@@user-hd7vt8fk5takome tena sana
@mussakamando2678
@mussakamando2678 Месяц назад
Biashara hii. Mihela yote hiyo? Eti milion 70😂😂
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Usiwapotoshe watu wee do mjinga yesu ni nabii wa mungu wewe je
@MuadhamSharif
@MuadhamSharif Месяц назад
Tuliyopewa uwezo huo /& 30 tu duniani mpk uwe najicho latatu linalokuonesha kufanya miujiza
@saidmsuya3165
@saidmsuya3165 Месяц назад
Mungu tusaidie
Далее
DK SULE ALIVYO FAFANUA KUHUSU UTAJIRI NA MALI
31:45
Просмотров 47 тыс.
Վարդավառը Գյումրիում
00:15
Просмотров 134 тыс.
Luiza Rasulova #luizarasulova
00:37
Просмотров 1 млн