Kama kuna kazi ambayo nilitaka ndio huh ,sasa kama kawa ,kama kweli kazi ambayo Steve ameuchukua nafasi huh unakufurahisha angusha like yako hapa ukisema hongera
HAISEE MUKIKUTANA STEVE NA NDALO DU! Vichaa nyinyi du angelikuwa Ndiyo mkewangu ningelikuuwen Mkewangu yupo na uchungu Halafu munamfanyia mchezo AKIFA KWA KUKOSA UDUMA ZA HALAKA
Kina tangulia kichwa au miguu kutoka 😅😅 hawa jamaa ni hatari sana ukijichanganya kwenda kwenye hii hospital,,umekwisha una umwa malaria unafanyiwa upasuaji
Steve jamani nyie ndo madokta kama Hawa jamani sindano kama ya mbuz duuuuu mmeuwa sasa jamani nyie duuu alafu Steve kuongea bila kumtaja Fatuma huja sema na ndoro huyo ndo mna saidina mpa fisur sana 😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💖🤹