Тёмный

DOTTO MAGARI AMCHANA BABA LEVO HELA SIO ZAKO/KUMZALIA BOSS WAKO DIAMOND/ANIOMBE MSAMAHA/HAJI MANARA 

Carrymastory
Подписаться 479 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

TUMEPIGA STORI NA DOTTO MAGARI #dottomagari #carrymastorytv #babalevo

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 месяцев назад
Dotto you are the best influencer, no one can take it away from you napa ipo ❤ from Zambia 🇿🇲 😂
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 10 месяцев назад
Uyu jamaa kitu alichokosa ni elimu kidogo tu ila ni promoter mzuri sana
@Djkingfighter
@Djkingfighter 10 месяцев назад
kaka umeona kitu
@tituskaponda9343
@tituskaponda9343 10 месяцев назад
True
@KulwaGuga
@KulwaGuga 10 месяцев назад
Angalau angeishia hata form4😅
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 10 месяцев назад
WE ELIMU YAKO IMEKUSAIDIA NINI SASA 😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 месяцев назад
KUNA WATU WANATENGENEZA MPAKA MANUWARI NA NDEGE ZA KIVITA NA HAWAJUWI KINGEREZA KUSEMA KINGEREZA SIO ELIMU CHAPA KAZI DOTO.
@kombakomba7922
@kombakomba7922 10 месяцев назад
Doto mi nakukubali 100%
@chalakomgomba5183
@chalakomgomba5183 10 месяцев назад
Noma xana dotto nakkubali sasa 🇰🇪
@allybobsaith
@allybobsaith 10 месяцев назад
Huyo mjomba mwenye tshrt. Ya bluu anatamani kucheka lakini anajikaxa😂😂😂😂😂😂😂😂😂dotto magari balaa
@festojoelkichele9382
@festojoelkichele9382 10 месяцев назад
Kisokonolojia😂😂😅 like hapa...
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 10 месяцев назад
Anakaa nyuma ya ushuzi wa mwenzie😂😂😂😂😂😂😂
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 10 месяцев назад
Unatoka mjini unaenda poli kweli mji haujengwi na wenyeji
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 10 месяцев назад
Love love Dotto Mungu azidi kuku bariki 👏👏👏❤❤❤
@AbdulMahmud-ut7ee
@AbdulMahmud-ut7ee 10 месяцев назад
Dotto piga kazi
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 10 месяцев назад
Dotto kila muda unasahau kampuni😂😂😂
@HashimMakungu
@HashimMakungu 10 месяцев назад
Dotto no one like you like you so much my g. Best influencer in the world I swear that
@medidaudi8335
@medidaudi8335 8 месяцев назад
Promoter mzur sn Dotto magari
@andrewmabruki1113
@andrewmabruki1113 10 месяцев назад
Big up doha from qatar
@jameskeya-tp3wb
@jameskeya-tp3wb 10 месяцев назад
Sasa mbona hakuna namba za sm
@rahimhemed3370
@rahimhemed3370 10 месяцев назад
Cc tunamkubalili uyuuyu 7bu anatuwaeshisha wanaume Wale wametuzaririsha xn wanaume malijali
@shabanijuma227
@shabanijuma227 8 месяцев назад
Nataka naombeni namb
@BK60066
@BK60066 10 месяцев назад
Kabda ya kujenga jamani sio vyoo cha shimo kupishwe mabomba kujengwe kisasa you
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 9 месяцев назад
Na hapa ipo😂😂😂😂
@Ataliusatalius-vg7kg
@Ataliusatalius-vg7kg 10 месяцев назад
Chumba ka chungu
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 9 месяцев назад
Dotto magari ametukumbusha vitu vingi xana waelewa tumemwelewa xana xana kaka mkubwa ❤❤
@saudamuro
@saudamuro 9 месяцев назад
kisokonolojia😅
@ezekielemanuel2910
@ezekielemanuel2910 9 месяцев назад
Kisokonolojia
@omaryhamza6008
@omaryhamza6008 10 месяцев назад
Anakaa nyuma ya ushuz wa mwenzie😂😂😂
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 10 месяцев назад
hilo poli ndo unatuonyesha wazee? Hapo hata ukijenga utaishi kivipi huko polini? Hata soko tu hamna! umekuwa mnyama?
@MoriceKendrick
@MoriceKendrick 10 месяцев назад
Na wee doto acha ushoga na wew onesha pesa ulizo agazwa na mme wako rayvanny
@jumamaisara7557
@jumamaisara7557 10 месяцев назад
Hahaaaaaa dotto noma ati urushe jiwe
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 9 месяцев назад
Doto anajua kuongea nyiee dah
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 10 месяцев назад
Unajua watu wakiwaona mitandaoni wanajua mna maisha makubwa sana ila uhalisia wenu tunavyowaona mitaani kwenu huruma sana na kibaya zaidi vijana wengi wanawaiga mwishoe wanaingia kwenye mambo ya hovyo
@uwimana6533
@uwimana6533 10 месяцев назад
Kabisa 😂
@FallonSmit
@FallonSmit 10 месяцев назад
Je sehem Ina itwaje Mimi nipo south Africa
@awazioga1823
@awazioga1823 10 месяцев назад
Ma homie pande zipi izo natoka Brazil
@mactanzania9833
@mactanzania9833 10 месяцев назад
Mvua ikinyesha apo itabidi uje nyumbani na helicopter
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 10 месяцев назад
😂😂😂😂Unajenga jela😊
@mwinyisarai-rm5oo
@mwinyisarai-rm5oo 10 месяцев назад
Afunge mashoga
@AyoubSamwel-t4j
@AyoubSamwel-t4j 10 месяцев назад
Doto Kasema Utakuja Kuathirika ....... 😂😂😂😂😂. Hatari Tupu
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 10 месяцев назад
Kumbe kweli kelele nyingi harafu unalala ukweni.
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 месяцев назад
Kwani usingizi hauji
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 10 месяцев назад
​@@rizikiabdalla2501😂😂😂
@mankakimaro6411
@mankakimaro6411 10 месяцев назад
@@rizikiabdalla2501 Asante dj🤣🤣
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 месяцев назад
Kumbe kelele za Baba levo ajenge sasa sio blabla 😅😅😅
@fredylucas2484
@fredylucas2484 10 месяцев назад
Anapiga pesa hapo yupo Kazini
@andrewzimba692
@andrewzimba692 10 месяцев назад
Sokonolojia
@silajilikwira6891
@silajilikwira6891 9 месяцев назад
Mbona hakuna namba ya simu.
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 10 месяцев назад
Kisokonolojia😂
@JamesboscoHokororo
@JamesboscoHokororo 10 месяцев назад
Dotto kizimkazi " influencer "
@jogechi2105
@jogechi2105 10 месяцев назад
Na hapo ipo??
@MtopageregeMtopa
@MtopageregeMtopa 10 месяцев назад
Oya taja namba bas
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 10 месяцев назад
Ndo maana wasani wana kukwepeni skuizii hamjielewei
@OscarDzombo
@OscarDzombo 10 месяцев назад
😂😂😂😂etii wewe nae mumbea ama umetumwa
@OmaryHabibu-gs7ld
@OmaryHabibu-gs7ld 10 месяцев назад
Sasa huko si polini unanuwa shamba sio kiwanja huko kibaha
@AsendeNyota
@AsendeNyota 10 месяцев назад
Ndala za dotto 😂😂😂
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 10 месяцев назад
Mi naona Barabara 😅😅 Dotto ww kiboko
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 10 месяцев назад
So beg nigunia la ela
@lisahhans295
@lisahhans295 10 месяцев назад
Nataka pls nitumieni namba zenuu
@MosesMogaka-yw8zn
@MosesMogaka-yw8zn 10 месяцев назад
Sikupingi mzaramo
@jamesmanala3394
@jamesmanala3394 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂Miguuu Tisa kumi Kwa mwenyewe😢😢😢😢😢
@naswiruidrisa-pu2kv
@naswiruidrisa-pu2kv 10 месяцев назад
🤓🤓🤓🤓😀😀
@maase2023
@maase2023 10 месяцев назад
Ww doto hiyo minywele iko siku itatoka tandu huko maana minywele michafu haichanwi na unatisha
@uwimana6533
@uwimana6533 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 21 день назад
Mmmh Mwache lkn anaishi awezavyo
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 месяцев назад
Dotto mshenzi sana hahahah 😂
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 10 месяцев назад
❤❤❤ wazee wako tunakupenda
@projestusphillip5477
@projestusphillip5477 10 месяцев назад
Mbona sio Mamia hasan
@projestusphillip5477
@projestusphillip5477 10 месяцев назад
Kwamba ki nn
@personpeter2221
@personpeter2221 10 месяцев назад
Kumbe unatangaza viwanja
@daudimgalla9455
@daudimgalla9455 10 месяцев назад
Mzaramu wewe ulisema unawavua watu city center mbn umeenda ulikosema unawapeleka watu uko shamban 😆😆😆😆
@kombakomba7922
@kombakomba7922 10 месяцев назад
Na apa IPO ❤❤❤❤
@jumamahiza2997
@jumamahiza2997 10 месяцев назад
Pesa una hama ukweni
@eshamohamed9833
@eshamohamed9833 10 месяцев назад
Make nga jela😂
@mankakimaro6411
@mankakimaro6411 10 месяцев назад
Kisaknolojia🤣🤣🤣
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 10 месяцев назад
Utaharibika kisonokolijia😂😂😂🙌🙌🙌
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 10 месяцев назад
Anae kaa chooni anamcheka alipangiwa nyumba ya laki Saba kwa mwezi.
@Magehem
@Magehem 10 месяцев назад
Ni bola ukae chooni kwa jitihada zako mwenyewe sio kukaa nyumba ya gharama kwa gharama za mwanaume mwenzio
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 10 месяцев назад
Mwanamme aliye pangiwa nyumba ya milioni nane hawezi kulingana na mwanameke aliyepanga chumba Cha elfu 20. Huyo wa elfu ishirini ndie mwanamme kwa wakati huo.
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 10 месяцев назад
Usijenge chumba na sebule tu.
@MoshaVunja
@MoshaVunja 10 месяцев назад
Foto nataka heka mbali
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 10 месяцев назад
Waandishi kilichonwapeleka hapo ni biashara acheni kuweka na mahojiano ya watu wengine mnaafesii tv
@ommylax7231
@ommylax7231 10 месяцев назад
Apo lazima Atajwe mpinzani wake ili kutengeneza content ya kupeleka biashara mjini
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 10 месяцев назад
KATIKA utangazaji hakuna icho KITU inavyo takiwa lilee uliloendeaa NDO unapaswa ulize Suali .so haya mambo yapo tz 2 pekee tena yamezuka miakaaa hii miatatu minne
Далее
#kikakim
00:10
Просмотров 14 млн
Провал со стеклянным хлебом…
00:41
Jua Kali Leo Alhamisi Usiku 03-10-2027
20:05
Просмотров 4,7 тыс.