Тёмный

DOTTO MAGARI ,DIAMOND ACHA UWONGO HAKUNA JET YA BIL 4 ACHA UMBAAMBAMBA NYOOKA 

BONGO 24
Подписаться 121 тыс.
Просмотров 149 тыс.
50% 1

#bongo24 #harmonize #diamondplutnumz

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 366   
@idyamita2896
@idyamita2896 11 месяцев назад
Hapo kwenye miguu sala uyo ugoko wa daimond babu duh gonga like
@SalomObiro
@SalomObiro 9 месяцев назад
Cheapest private jet is around $44 million hio pesa inoto Kenya sh ni around 6.28 billion Sasa kwa Tanzania itakuwa pesa ngapi ? Diamond ni tajiri kwel lakini kununua private jet niuonge iko expensive sana
@salcle9702
@salcle9702 11 месяцев назад
Jet zipo mpaka za Tsh 150 milion used pumbafu
@MiguelRaulMiguel-nf4qe
@MiguelRaulMiguel-nf4qe 11 месяцев назад
Niko na ww kaka Dotto,kwa sababu Diamond muongo sana.🇲🇿🇲🇿
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 11 месяцев назад
Ushauri wangu wa bure kwako Doto Magari,potezea habari za kuwazungumzia Watu wengine na maisha yao,ww komaa na kuyatangaza hayo magari yako tu,kwani siku ya siku utakuwa unaonekana ni snitch tu.Mtoto wa town siku zote anaangaliaga mipango ya maisha yake tu.
@salimakida95
@salimakida95 11 месяцев назад
Kwa sababu ameulizwa na mwandishi ndio maana akajibu kosa la mwandishi sio doto
@DoctorWamchongo-nw2so
@DoctorWamchongo-nw2so 11 месяцев назад
Ushauri gani uo ww wakati doto anafanya yake apo anatangaza biashara zake
@MohamedMjenga-vq8vc
@MohamedMjenga-vq8vc 11 месяцев назад
Upo sahh ndugu
@kamikazejoseph8799
@kamikazejoseph8799 11 месяцев назад
Hivi huyu jamaa mbn kama hamnazo Hivi kichwa chake kipo resi sana....
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 11 месяцев назад
Muulize nyumba anayoishi ni shingapi? Kama anahizohela ainunue ilenyumba mbona anaendelea kulipa Kodi?
@dannywillson5874
@dannywillson5874 11 месяцев назад
Wabongo ndo maan hatufanikiw kuelewa kas Sana ajasema ndege n 4b kasema katapeliwa 4b katika sehm ya manunuzi mean unalipa kwa awamu izo pesa punguzen kuwa mashoga juen nmba
@paulokenedy4090
@paulokenedy4090 11 месяцев назад
Watanzania muwe waelewa diamond ajasema ndege bilioni 4 amesema ametapeliwa bilioni 4 Kwa watu alioingia NAO mkataba wa ndege muelewe Hilo wabongi wagumu
@JohnThomas-zj9rd
@JohnThomas-zj9rd 11 месяцев назад
Unavyomtetea utafikir utaipanda 😂😂😂
@mpenzisamaki9488
@mpenzisamaki9488 11 месяцев назад
Sheria zipo kama katapeliwa afungue mashitaka adai aache kiki katapeliwa
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 11 месяцев назад
Hamkuelewa banaa hakusema jet ya bilion 4 . Billion 4 ni moja kat ya pesa alizo tapeliwa akiw anahitaji kununua jet yan alitapeliwa kama 4b katika harakat za kununua sio price ya jet hyo mue mnaelewa bana
@AhmedHussein-j6c
@AhmedHussein-j6c 11 месяцев назад
hyo ndege ya kimaghumashi,,sehemu halisi ya kununua ndege huwezi dhulumiwa
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 10 месяцев назад
Kampuni gani aliagiza,, viwanda vya ndege ni vichache duniani kwanza ilikuaje,, mbona tunapigwa na kitu kizito.
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂mtoto msenge huyu nimecheka sana😂😂😂
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 месяцев назад
Doto magari iyo nguo mpaka uwitowe rohoo
@naymasaid4389
@naymasaid4389 11 месяцев назад
Doto zungumzia maisha Yako achaujinga wanzania cc tusiwe kama mashoga unamponda msanii wanchi Yako wewepia ilojina lako la doto magari doto nilako ila magari ya watu mikono yawatu tunajuwa embu tangaza unachokifanya mambo yawatu ukiona Ivo unamuonea wivu utakufa naroho Yako ya USDA mshamba mkubwa
@subetizaid6515
@subetizaid6515 11 месяцев назад
Huyu jamaa porojo lkn ukiangalia kweli mondi anakauka
@JansanMokiwa-hr6hl
@JansanMokiwa-hr6hl 11 месяцев назад
20 percent marekani 🤣🤣
@edwinamos9734
@edwinamos9734 11 месяцев назад
Hizo billion nne 4 alibeba BABA LEVO
@MrkajupayeeSharifu
@MrkajupayeeSharifu 11 месяцев назад
Akitaja kamponi yandege iliomtapeli anafunguliwa kesi maakamani
@JohnGyunda
@JohnGyunda 11 месяцев назад
Tunza akiba ya maneno kaka, nko pale kitambaacheupe bossmonday nakula sehem ya azina yangu
@typohneprofiel515
@typohneprofiel515 11 месяцев назад
Diamond muongo. Dotto umesema kweli
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl 11 месяцев назад
Dotto mangari saluti ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@KingSillah-gx5nv
@KingSillah-gx5nv 11 месяцев назад
Kitu Tanzania wanaelewa ni diamond platinum na mama samia suluhu 😂 😂 😂, hapa Kenya hata uwe Tajiri au mtu maarufu aje hatuna shugli na wewe!
@chrissjay7425
@chrissjay7425 11 месяцев назад
Thats y Kenyan's artists don make it
@zombazezu
@zombazezu 11 месяцев назад
Yani ningeshangaa nisingeona neno Kenya. Mnaushamba kama ingekua kabila wakenya wote ni Wahaya kwa kupenda sifa
@spencermwavita
@spencermwavita 11 месяцев назад
​@@zombazezuwe mshamba nyii watanzania wasanii wote kutajirika mpaka afike Kenya,,,Kenya ndio Dubai yenu mjue ilo....😂😂😂😂
@mstaraabusantiago747
@mstaraabusantiago747 11 месяцев назад
​@@spencermwavita😂😂😂 Kama kweli vile
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 11 месяцев назад
Asili yenu si roho mbaya
@SaidiMataka-z7q
@SaidiMataka-z7q 11 месяцев назад
😅😅😅😅hivi we dotto unajua unakipaji kikubwa sana ungie bongo moves iwe kitu cha ziada
@geeva99
@geeva99 11 месяцев назад
Napendaga sana akisema ifulesa akimaanisha influencer 😂😂😂
@AsendeNyota
@AsendeNyota 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂ili ifuluweza
@KelvinJulius-m4n
@KelvinJulius-m4n Месяц назад
AAAAAH JAMAA UMECHEKESHA...IFULESA BADALA YA INFLUENCER
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 11 месяцев назад
How much is a private jet cost to buy? A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million. Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance.
@petroleumexperts3442
@petroleumexperts3442 11 месяцев назад
The cost of buying a private jet can vary significantly based on several factors, including the make and model of the aircraft, its age and condition, and any additional customizations or upgrades. Here are some approximate price ranges for different categories of private jets: Very Light Jets (VLJ): These are the smallest private jets, typically seating 4 to 6 passengers. Prices can range from $1 million to $3 million for new models. Light Jets: Light jets are slightly larger, accommodating around 6 to 8 passengers. New light jets can range from $5 million to $10 million or more. Midsize Jets: Midsize jets offer more cabin space and seating for 8 to 9 passengers. Prices for new midsize jets can vary from $10 million to $20 million and beyond. Super Midsize Jets: These jets provide increased range and space for around 8 to 10 passengers. New super midsize jets typically start at $20 million and can go well beyond that. Large Cabin Jets: Large cabin jets offer luxurious interiors and can seat 10 or more passengers. Prices for new large cabin jets often start at $25 million and can exceed $50 million or more. Ultra-Long-Range Jets: These are designed for intercontinental travel and can range from $40 million to over $100 million, depending on the model and features. It's important to note that the purchase price is just one component of the total cost of owning a private jet. There are additional expenses, including operational costs (fuel, maintenance, crew salaries), insurance, hangar fees, and more. These ongoing expenses can vary widely depending on factors like usage and maintenance requirements.
@AbasiShabani-lw2fd
@AbasiShabani-lw2fd 11 месяцев назад
Ugoko kama wa Mbu
@ellgodfather282
@ellgodfather282 11 месяцев назад
Tumaini katika umarufu ni diamond tu ale juu ni aliye juu tu
@sirizawa3360
@sirizawa3360 11 месяцев назад
Kamuulize kizimkzi ndege beigani
@Eliroster
@Eliroster 11 месяцев назад
Iyo ni kweli kabisaaa
@starjay3052
@starjay3052 10 месяцев назад
umeongea pont sana mzee apo mwenye akili ndio atakuelewa mzee wangu dotto ✊
@WankuruMasanja
@WankuruMasanja 10 месяцев назад
Ila watanzania 🇹🇿 acheni mchezo hakuna jet ya billion 4 za kitanzania"
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 10 месяцев назад
Zipo za bilion ngapi za kitanzania
@VicentMillanzi-tw9qe
@VicentMillanzi-tw9qe 11 месяцев назад
Ditto magari nakubali sana ila unapitiliza sana siku bro...kua makin maisha yana badilika sana.....mda mwingi zungumzia KAZI yako...ukiulizwa ukisema no comment inatosha...binafsi nakubali sana
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 11 месяцев назад
Kabisa
@williambenedict6074
@williambenedict6074 11 месяцев назад
40millions for the BMW sounds alot.. Lemmi simplified for y'all,its 1.7 million Ksh. 😂Hope y'all gon breathe in and out well rn
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 11 месяцев назад
Halafu huwezi kununua
@christopherchacha7944
@christopherchacha7944 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 dotto basii inatoshaa
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 11 месяцев назад
Doto kwa hili nimekuelewa Sana 😂😂😂😂 jamaa bwege Sana anatuona Sisi mambugila nini 😂😂😂
@papangomaitala7690
@papangomaitala7690 11 месяцев назад
Mbugilaww unaeshuhulika nauongo usio kuhusu
@aminasalim8708
@aminasalim8708 11 месяцев назад
​@@papangomaitala7690😂😂😂daah
@ayubumtweve5899
@ayubumtweve5899 11 месяцев назад
😂😂😂😂 DAAAAAAH WE JAMAA UMENYOKA KWELI
@NeraKahilu
@NeraKahilu 11 месяцев назад
Dotto t'aime fort tu es vraiment un bon tu parle la vérité mon grand
@bonfilsjoseph3867
@bonfilsjoseph3867 11 месяцев назад
Oui c’est vrai vraiment 😂
@HajjAli-xr5ft
@HajjAli-xr5ft 8 месяцев назад
Oui😁il est très honnête,
@HajjAli-xr5ft
@HajjAli-xr5ft 8 месяцев назад
Vous parlé français aussi😁?
@mirajryder4216
@mirajryder4216 11 месяцев назад
Panki ka mcheza x wa uturuki😀😀😀😀🙌
@josephguerino7416
@josephguerino7416 11 месяцев назад
Elimu muhimu sana. Amini
@henrymoshi9243
@henrymoshi9243 11 месяцев назад
Sasa Dotto humjui hata 20percent unasema ni msanii wa mamtoni 😂
@ramsosykes6486
@ramsosykes6486 11 месяцев назад
😂😂😂😂 eti pank kama mcheza X wa uturuki 😂😂😂daaah we doto msenge Sana ujue
@spencermwavita
@spencermwavita 11 месяцев назад
Wee doto mbona mshamba wasema diamond na humfiki 😂😂😂😂 we lbda akuajiri uwe mfuta viatu kwa diamond tu....
@aidanmaganga7051
@aidanmaganga7051 11 месяцев назад
Nimekuja kugundua waandisha wa habari wengi akili hamna,diamond alisema ndege billion nne?? Mimi nilichosikia ni kuwa alikuwa analipa kidogokidogo ndo alikuwa amefikisha billion nne ndo washikaji wakaonesha dalili za utapeli
@JosephTibu
@JosephTibu 11 месяцев назад
doto magari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@l.marley_2542
@l.marley_2542 11 месяцев назад
Billioni nne zilibebwa na baba levo😂😂 na onesmo
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 11 месяцев назад
😂😂
@ChrisRobin-y7q
@ChrisRobin-y7q 11 месяцев назад
Kinda Jet hadi za $14 wewe unazungumzia $2M,tatizo wabongo wanawasikiliza wapumbavu kama nyie,huwezi kuona mtu yeyote anayejitambua anaongea ujinga kama huu,wewe na huyo pimbi msanii wenu wote wapumbavu mnatuharibia watoto!!pumbavu sana nyie!fanya research kabla hujafungua mdomo kuongea matope
@kulyafx-c9h
@kulyafx-c9h Месяц назад
Doto, Baba levo wakisemana utacheka ufe, baba levo Alisema nyumba yake anayojenga swimming pool yake anajenga bafu za nje lakni kabla ujaingia kuogerea uoge kwanza ndoingiie swimming usiingie na madevu machafu mana watoto wake wanaogelea wasikutane na madevu😅 wanatumia swimming 1 😂 sikujua kumbe a amesema doto😂
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 11 месяцев назад
Viatu vyak vile km vyakutembelea kweny matope, ugoko km swala na vinjunga huy fala kweli doto❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@naymasaid4389
@naymasaid4389 11 месяцев назад
Doto Acha ushabiki wapumbavu ndege kwanini usiweze kumilikiwa namtanzania binafsi
@OfficialPizo-hn9gz
@OfficialPizo-hn9gz 11 месяцев назад
20 pacent ulaya tena
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo 11 месяцев назад
Doto magari sema nn mondi tajiri kaka sema nini sawa doto sikupigi baba.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 месяцев назад
DOTTO umetishaaa ana ugonko 😂😂😂😂😂😂😂
@EbondoSounds
@EbondoSounds 11 месяцев назад
“A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million.”
@othmanwadubai2961
@othmanwadubai2961 11 месяцев назад
Eti kama kadondosha miatano kwenye Kinjunga chake 😂😂😂😂😂😂
@saidsalum6101
@saidsalum6101 10 месяцев назад
Acha uongo wewe inamaana tanzania hakuna tajiri wakumiliki ndege je azam huku mwanza tuna dorfin anamiliki zaidi yatano acha uongo mbwa wewe
@deeruta9894
@deeruta9894 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 eti mguu wa mbu😂😂😂
@mastaplan
@mastaplan 11 месяцев назад
Kuna matajiri wa mitandaoni na kuna matajiri ambao hawapo mitandaoni. Hawa ambao hawapo mitandaoni ndio wanazomiliki miliki ndege tena nyingine ndio hizi Dar to Kilimanjaro, Dar to Mwanza na kuendelea.
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 11 месяцев назад
Tra hawakuwepo wakati anatoa hizo b4 😂😂😂😂😂😂
@charlesmwita7484
@charlesmwita7484 11 месяцев назад
Hili nalo kumbe huwa geti😂😂😂
@degemaster2785
@degemaster2785 10 месяцев назад
Unaskia ndege hiyo unaskia ndege hiyo kuma make nimekuskia doto
@urban_select
@urban_select 11 месяцев назад
diamond kaumbuka, price ya ndege inategemea kwanza na aina ya ndege mamae, bomberdier tu ndogo kama zetu tz ina cost b24
@Zenny89
@Zenny89 11 месяцев назад
Huyu mdomo utaanza kumponza...anazidisha sasa
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 11 месяцев назад
Diamond say they pin his money😢
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 6 месяцев назад
Privat jjet inaanzia 5,100,000,000 na sio billion 4
@ZakayoPatrick-jt6gn
@ZakayoPatrick-jt6gn 11 месяцев назад
Nilicho kiona saiv umeanza kuongea huku umelewa
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 11 месяцев назад
Ndege anaiweza davido,burner na wizkid
@FredyLipamba-g1b
@FredyLipamba-g1b 10 месяцев назад
Kizimkaz chizi ujue nae kavurugwa kimaslai zaidi.
@ferdinandfelix-jx7wt
@ferdinandfelix-jx7wt 11 месяцев назад
Afya si unene na sili ya pesa ajuaye mtafutaji kaka weee unawivu kinoma
@sultanmaxmed366
@sultanmaxmed366 11 месяцев назад
😂😂😂😂 Doto Umeuwaa..🙌
@leonardaugustino4072
@leonardaugustino4072 11 месяцев назад
Kwani ww ni dotto magari au dotto mandege??😂
@HappyJuma-g1i
@HappyJuma-g1i 11 месяцев назад
Ww doto ,mondi ,niatali, acha uwivu, wabongo ndivyo mlivyo, mtu, akifanikiwa, mnamchukia, kumbuka Aya nimatusi, jela inakuita ,mshamba mkubwa www
@l.marley_2542
@l.marley_2542 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂 doto yuko sahihi kabisa
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 11 месяцев назад
Tuachane masihara bilioni 4 sio mchezo YAANI bilioni 4 mpaka TRA wanahusika sio masihara kabisa ulinzi lazima uwe mkali KULIKO maelekezo.
@GeorgeRichard-o8h
@GeorgeRichard-o8h 11 месяцев назад
Huna bayaaaa kakaaaa D, Tema mdini kakaaa, ninakuelewaga vibaya mno kakaaaaa Doto.
@ASALABOY
@ASALABOY 11 месяцев назад
Uyu pacha w Kingwendu😊😊
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 11 месяцев назад
#ww kweri kufananisha unajua
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 10 месяцев назад
Nimecheka kweli kweli! ila tuseme tu ukweli! Diamond hajawahi kuishika hio bilion nne! Bilioni nne ni pesa ndefu unajaza gunia zima! Akome kutudanganya!
@bensonbugz
@bensonbugz 11 месяцев назад
elimu muhimu sana😂
@mohamedkige2535
@mohamedkige2535 11 месяцев назад
Bila elaaa
@mbajisaburi
@mbajisaburi 11 месяцев назад
Mshamba mkubwa ww, mtu kumiliki ndege yaezekana silazima rais, ni venye wabongo mwataduta kiki za ujinga hamna nyoote uko bongo cz mwamaliza data zetu tu na vitu zaujinga
@HalfaSaid-vl6ki
@HalfaSaid-vl6ki 11 месяцев назад
Kuma la mamaake kama Moo ana Ndege bac Kweli nyadomo awezi kuanayo 😅😅😅
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 11 месяцев назад
Kwa nini mtu aitwe the owner of Tanzania.
@abuibra
@abuibra 11 месяцев назад
Vipi hakuna ndege ya ShT4,000,000,000 zipo nyingi tu.unaona wivu tu.
@chamypash5731
@chamypash5731 11 месяцев назад
Actually according to google diamond platnumz net worth is $10 million but a private jet costs roughly around $2 million- $100 million including all the Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance. So it makes sense for him to own a private jet its possible but the fact of him saying that he has been scammed now thats a red flag🤷🏽‍♂️
@chamypash5731
@chamypash5731 11 месяцев назад
Someone with $ 1.5 billion networth hamiliki ndege in Tanzania
@vitalismassay5925
@vitalismassay5925 11 месяцев назад
@@chamypash5731 A private jet can cost anywhere from $2 million to over $100 million. Ongoing expenses may include flight crew salaries and expenses, the costs of routine maintenance and unforeseen repairs, hangar rental, and aircraft insurance
@hamisisalim
@hamisisalim 11 месяцев назад
He said he buy private jet big one no one like that even government jet 😂😂 ka sikize tena interview yake
@bonnybonny8337
@bonnybonny8337 10 месяцев назад
Ati Diamond is worth 10 million dollars. Wewe mtoto wachana na mambo ya online 😂
@muhydinaden552
@muhydinaden552 7 месяцев назад
It's only in Africa you hear people own planes but they don't have a national carrier ??? Don't you see the business opportunity to own a small company & lease planes if banks can listen to you to ease air travel in your country & make more money a private jet??? I can understand owning a Cessna for cargo or a helicopter for hire to business people &. Politicians .......🇰🇪
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 10 месяцев назад
Kigoma uku kuna tajiri ana ndege 9
@zebuubane5353
@zebuubane5353 11 месяцев назад
Dotto anataka kupotea sasa
@williamchenjelu3838
@williamchenjelu3838 8 месяцев назад
20 percent ulaya tena ?😂😂😂
@edwinamos9734
@edwinamos9734 11 месяцев назад
Kweli mjomba Doto unacho sema Diamond katupiga na chuma kizito
@salehemohamed981
@salehemohamed981 11 месяцев назад
Kuwa na akili wewe chibu kasema malipo ya awamu ya kwanza ndio yalikuwa 4B
@edwinamos9734
@edwinamos9734 11 месяцев назад
@@salehemohamed981 kua na akili mzee uchoki kudanganywa unafikiri ndege ni matako kila mtu anayo tatizo umenyoa nywele ukasahau akiri ni nywere unaonaje tukisema umezaliwa bila ubongo
@iniestakawambwa7107
@iniestakawambwa7107 11 месяцев назад
Tusione Ronaldo au messi wanamiliki ndege ukadhani simple. Huyo moo tu hana
@edwinamos9734
@edwinamos9734 11 месяцев назад
@@iniestakawambwa7107hahahahaha kweli aseh.
@MinaChaiHouse
@MinaChaiHouse 11 месяцев назад
Doto Magari mbingu sio yako maana sio kwa kumchamba diamond, ananatembea kam sceretoni Yani nimecheka san kwenye hiyo statiment ya miguu kama spoko anatembea kama skeleton 😂😂😂😂😂😂😂😂
@AliALIMOHD-n3f
@AliALIMOHD-n3f 10 месяцев назад
wewe bahresa uwezo anao sifaa tuu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 9 месяцев назад
Hakika ndege sio mchezo
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 11 месяцев назад
Nyinyi wa tz ushamba ni mwingi kweli! Ndege mtu yeyote anapesa anaweza.....
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 11 месяцев назад
Pesa bei gan unajia
@kassimussimachanoh6971
@kassimussimachanoh6971 11 месяцев назад
Wewe, kaka doto kiboko yao yani hata interview unazipigia debe daah. Sema ni ukweli tupu halafu unachana kibiashara na fact tupu.
@olivernyange2349
@olivernyange2349 11 месяцев назад
Sio kwa kumchamba huko msamehe
@HaruniMfaume
@HaruniMfaume 11 месяцев назад
Mm bado nasubili ndege ambayo mondi alituaidi na kile kiapo cha H BABA Aliapa kuwa kama mondi hatununua ndege atatembea uchii kimyaa ndege yaja lini 😢
@NikyHassan
@NikyHassan 11 месяцев назад
20% wa ulaya😂😂
@ChrisRobin-y7q
@ChrisRobin-y7q 11 месяцев назад
Acha ujinga we pimbi billion 4 za kitanzania hazizidi $2M za kimarekani
@SikituMaiko
@SikituMaiko 9 месяцев назад
Toka hapo ww mjinga tu
@simonballu1124
@simonballu1124 11 месяцев назад
acha upumbavu wewe dalali hata ROYCE ROLLS nayo mlibisha hivi ilipokuja mkaanza tairi zimeisha mwenzenu ni tajiri kubalini ugonjwa wa akili ni pamoja na kuwa mbishi wa kila kitu.
@WilondjaBuleshi
@WilondjaBuleshi 10 месяцев назад
Ila Dotto kama mkweli kbs
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 10 месяцев назад
Uyo kweli mzaramo duh linamaneno hatari diamond kayatimba😂😂😅😂
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 11 месяцев назад
Kumbe uyu jamaa mjinga to
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 11 месяцев назад
Maisha yanabadilika nyinyi doto nitakutafuta tukumbushane tulikotoka dah lafumona au twetr
@severiniseverini4351
@severiniseverini4351 10 месяцев назад
Kuacha kumfuatilia influenza doto magari hapa Tz unajitafutia stress dotto ni influenza anajiamini na ameshatengeneza brand yake anakushawishi unanunua gari kama utani hongera kwake salute
@fahadfahmy
@fahadfahmy 11 месяцев назад
Ndege mpaka dola lakitatu unapata
Далее
КАК БОМЖУ ЗАРАБОТАТЬ НА ТАЧКУ
1:36:32
ПОЮ ВЖИВУЮ🎙
3:19:12
Просмотров 881 тыс.