Тёмный

KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 222 тыс.
50% 1

KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,3 тыс.   
@ThadeoJoseph
@ThadeoJoseph 8 месяцев назад
Ndio shida ya kuzaa na watu wa uswahilini njaaa tupu mtoto anakula elfu kumi tangu lini
@ellybonke2023
@ellybonke2023 7 месяцев назад
hahaha utapeli tuu
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 7 месяцев назад
😅 hiyo inaitwa..ulinitaka/ulinifata mwenyew, shenz wee mwanaukome..uswahili bana kenge 😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
😅😅
@starjay3052
@starjay3052 4 месяца назад
😁😁 dah ila dotto
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 8 месяцев назад
Big up sana Wasafi TV.Dotto Magari leo umetuvunja MBAVU ,wewe ni mwisho makosa haswa.Naona bado Dotto magari unampenda mzazi mwenzako🎉🎉
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 8 месяцев назад
😅😅😂
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 8 месяцев назад
Wanapendana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 месяцев назад
😂😂😂
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 8 месяцев назад
Doto ni mwanaume nimempenda kweli hataki mambo mengi huyu ni mwanaume ,, sema merry ni mwanamke mwenzangu ila anamdomo sanaa yani kapanic sanaaa hana nidhamu kiasi
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 8 месяцев назад
Yani huyu merry kapitiliza uswahili😊😊
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 8 месяцев назад
Uyo dada jeuli sana
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 8 месяцев назад
Dotto we chukua mtoto wako umlee mwenyewe nko kenya kakangu nakushukuru kwa upole wako wanakufanyiajee mahesabu hawa wanahabari na mtoto ni wako bro
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 8 месяцев назад
Akitoka hapo cha kwanza kwenye vikoba Mm nipo nimekaa pale
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 4 месяца назад
Na beer ju , kana mdomo aka ka dada
@kabeyamediatz
@kabeyamediatz Месяц назад
Tufikie pahala tujaribu kwenda na sheria zinavyosema kwenye katiba. Ifikie sehemu nyingine wanawake muwe na huruma. Nachukia sana kudhalilishana hivi. Tubadilike, hapo mke anatafuta kunufaika tu ashaona Dotto kala shavu duh😂.
@EVENTSPORTAL
@EVENTSPORTAL 8 месяцев назад
Watching from Kenya 🇰🇪 Dotto magari just proved that he has been providing and the lady with her exaggerated prices highlighted how money minded she is.
@KenedyMwaipaja-n8w
@KenedyMwaipaja-n8w 8 месяцев назад
Tatizo na ww doto ulikuwa umuweki sawasawa😢 uyu ungemlaluwa vizuri angekuheshimu sana wala asingekuita babu, sa ukipanda kidogo umeshuka ndo maana anajiita mbabu😂😂
@KenedyMwaipaja-n8w
@KenedyMwaipaja-n8w 8 месяцев назад
Anakuita babuu!!😂😂😂
@kelvinkiangokipingu370
@kelvinkiangokipingu370 8 месяцев назад
Mwanamke mdomo mdomo tu 😠
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 8 месяцев назад
@@kelvinkiangokipingu370mwanaume je?
@EnockSalapion
@EnockSalapion 8 месяцев назад
Wadada fanyeni kazi, yaani unaenda kumkabia mwanaume kwenye media kisa ni influencer! Wanawake wajibikeni wanaume sio maduka.
@Chimamy5242
@Chimamy5242 8 месяцев назад
Kitabu gan kimeandika mwanamke awajibike? Na nyie mkitaka kuitwa baba ingieni leba sisi sio machine ya kufyatua tofali af mkome kutupa majukumu mawili hayo ya kuwajibika ni ya kwenu hakuna kukwepaaaa
@MsNajma-e6e
@MsNajma-e6e 7 месяцев назад
Na wanaume watimize majukum Yao sio mwage mbegu zenu Kisha mzigo wote muachie mma majukum yenu mnayakwepa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 месяцев назад
​@@Chimamy5242asante❤kunywa soda ntalipaa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 месяцев назад
Wanawake tutafte hela hakuna mwanaume anaetoa hela skuizi Wala hakuna mwanaume anaetaka majukumu ya kulea Kaz kutoa mimba TU na kukimbia halaf mtoto bdae akiwa mkubwa anajiweza kama hahudumii baba yake wanaanza kuskitika kwenye media, na wanaume mukome kutongoza wanawake wa nje ikiwa hamuna malengo nao pumbav nyiee!
@josephkiwale374
@josephkiwale374 6 месяцев назад
😂😂😆😆😆😆
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 месяцев назад
Mdada ana penda sana ela kuma make sizai na wanawake wa skuiz njaa zme wazidi
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂ss utazaa na nani
@judyngowi391
@judyngowi391 8 месяцев назад
Zaa na nyau
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini Месяц назад
😂😂😂😂😂
@ramakira7895
@ramakira7895 8 месяцев назад
Daa wanawake wengine sio wakuzaa nao huu ni mkosi mdomo mlefu🤣🤣😂😂😂😂
@allymatilda7519
@allymatilda7519 8 месяцев назад
Kwendraaaaaa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 месяцев назад
Kweli kabisa😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
😅
@willbardmacha7885
@willbardmacha7885 8 месяцев назад
Mtoto wa miaka miwili na nusu sheria ya Tanzania haruhusiwi kwenda shule
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 8 месяцев назад
Wewe muto waselekali. Nini ?
@EmanuelPaskal
@EmanuelPaskal 8 месяцев назад
HIYO SHERIA YA WAPI MKUU
@daudajerry6654
@daudajerry6654 8 месяцев назад
Sheria gani kaka?
@angelgodwin2452
@angelgodwin2452 8 месяцев назад
Sijapenda huyo vuvuzela kisura kidogo sijui anajikuta nani mwanamke anaongea Kama chizi chefu 😏
@simonjuma2912
@simonjuma2912 8 месяцев назад
Basi hizo shule serikal si wangezifungia kama sheria haziruhusu ....shemesha mtoto acha kukwepa majukum
@annakattoa7502
@annakattoa7502 8 месяцев назад
Marry unguza hasira na mdomo mwanamke mwenzangu shukuru huyo baba anatoa hela wengine hawatoi kabisaaa acha hio jeuri mama
@agathaleonard5974
@agathaleonard5974 8 месяцев назад
Mwananke kiboko
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 8 месяцев назад
DADA ANAONGEA KAMA KAMEZA MEMORY CARD DAAAAH!NDIYO MANA MLISHINDWANA.TUANGALIAGE !!!!!!DAAAAAH
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 8 месяцев назад
Mmmhh kweli hapo hakuna mke ni chuma ulete
@BerthaModest
@BerthaModest 8 месяцев назад
Yan😂😂😂
@smarty1064
@smarty1064 8 месяцев назад
😀😀😀
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 месяцев назад
Mary anaongea Sana mpk kichefuchefu, Kafanye kazi acha ujinga wa kutegemea mwanaume, je Akifa Leo utapata wapi hela..
@superwarema2309
@superwarema2309 8 месяцев назад
Ana majuto yaliochanganyika na hasira. Atakuwa halali usingizi mzuri akimuwaza jamaa.
@gamatv2111
@gamatv2111 8 месяцев назад
Iyo Pesa Yakula Qmamae Me Nisingetoa, Ningeenda Kununua Unga Na Maharage Mwenyewe😂 ALAFU WANANGU HAPA TUJIFUNZE, TUPUNGUZE KUZAA NA MADEMU WA USWAHILINI, HILI NI TATZO QMAMAE😢
@EdwardAnthony-c7u
@EdwardAnthony-c7u 8 месяцев назад
Hii point sana
@iscoonline514
@iscoonline514 8 месяцев назад
Kabisa kaka 😂
@NaomiRafael-r5x
@NaomiRafael-r5x 8 месяцев назад
😅😅😅
@tonnnieghm
@tonnnieghm 8 месяцев назад
Mwanangu chukua beer apo nalipia umetoa point mamaqe
@gamatv2111
@gamatv2111 8 месяцев назад
@@tonnnieghm Weka Number Baba, Izo Beer Sio Zakukosa😆😆😆
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 8 месяцев назад
Dotto chukua mtoto uyo lasivyo utakaushwa damu 😂
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 8 месяцев назад
Kweli yaan huyu mwanamke kausha damu😅😅😅
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 8 месяцев назад
Doto umemaliza kiume,safi sana
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 8 месяцев назад
Mwanamke mdomo mrefu sanaaa
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 месяца назад
Wanaume tukubaliane kitu kimoja TUSIZAE NA WANAWAKE WAFUPI
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 8 месяцев назад
Vituko vya doto mdada mwenyewe anacheka
@rashidiabongyo
@rashidiabongyo 8 месяцев назад
Dada merry imezidisha nawewe, Dotto ni baba mzuri
@khadijahemedi2594
@khadijahemedi2594 8 месяцев назад
Sana yaani mwanamke ndio bomuu
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 8 месяцев назад
Anamdomo
@kebbymody5606
@kebbymody5606 8 месяцев назад
Mtoto akikua akiangalia anaona jinsi wazazi wake walivyomdhalilisha kwenye malezi yake INAUMA niiiiii😭😭😭😭😭😭
@fikiliibrahim9720
@fikiliibrahim9720 8 месяцев назад
Dotto umepigwa pesa uliotoa nyingi tofauti na fomu inavyosema
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Too bad
@DLSTANZANIA
@DLSTANZANIA 8 месяцев назад
mwandishi wa kipindi hicho ni MPUMBAVU , MLALAMIKIWA NA MLALAMIKAJI NI MPUMBAVU KIPINDIN KINAENDESHWA KWA FUJO NAMNA HIYO
@MwonekanoTv
@MwonekanoTv 8 месяцев назад
Mungu anisaidie nizae na mwanamke sahihi😮
@Chimamy5242
@Chimamy5242 8 месяцев назад
Hata wanawake wanaomba wazae na wanaume sahihi na sio pasua kichwa vile vile
@machozukumuda6596
@machozukumuda6596 5 месяцев назад
Kama unataka mwanaume sahihi kua mwanamke sahihi..... Usije ukawa katika category ya only for sex.... Na ukishika mimba wwe ndio umeruhusu. Wanawake kuna sehemu mnachemsha hata uweje you can be wife material or for sex olny. Kama ukipata mimba 💯 percent wewe ndio umeruhusu ikae
@shamilazalala5347
@shamilazalala5347 7 месяцев назад
Huyu dada anamdomo sana hata hyo Sheria ilotumika hapo cjui ya wapi wamemkuta tu doto mstaarabu kama ni mwingne asingetoa mihela yote hyo naangalia lakn hacra naona mm huku huyu dada anamdomo mchafu mshenzi Yan hafaiii cku ikiingia 18 ya wengne utajutaaa Yan wa ovyo sana huyu mwanamke mwenzetu nmependa doto hajataka maneno meng lkn huyu dada ovyooo
@yagakamsela
@yagakamsela 8 месяцев назад
Ningekuwa ni Mimi nisingetoboa kabisa duh mwanamke mwenye mdomo hivyo ashakula konde kitambo ananundu kila Kona mbona wangeita police mapema sana
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 месяцев назад
Sometimes midomo ndo inayowakimbiza wanaume. Huyu mwanamke mwenzetu jau.🚮
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk 8 месяцев назад
Kiukweli uyu dada anamdomo sana, yan mume atakae ishi nae uyu dada anatakiwa awe na moyo sana! Mwanamke unatakiwa uwe na stara ya mdomo bhana
@sundaysHassan
@sundaysHassan 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 месяцев назад
Kabisa yn ata mm😂😂😂
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 8 месяцев назад
maskin huyu doto mkimya na huruma na angekuwa mkorofi huyu angemchamba hyu mwanamke doto agejuta ila huyu doto anapenda huyy mtt wake
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 8 месяцев назад
Dodo magari mpole sana huyo dada ni jeuri hasa,Doto magari chukua mtoto kalee mwenyewe
@starjay3052
@starjay3052 4 месяца назад
sema wanawake mda mwengine wanazingua mimi adi mtoto wangu nimemchukua anatumia mtoto kama fimbo ili kukuumizia
@SaidOmar-yp7uv
@SaidOmar-yp7uv 8 месяцев назад
Huyo dada lengo lake amzalilishe doto ila hapo kachemka
@RithaWimba
@RithaWimba 8 месяцев назад
Huyo dada awe na shukurani, apokee hata hiyo 5000, mwanae anakula 30000 kwa sku? hamuoni mwenzie chanuo wa madebe hajapewa hata mia na anashukur lakni yeye anapewa kila kitu na analeta dharau khaaaaaaa...😮😮😮😮 Wanaume angalieni wanawake wa kuzaa nao😅😅😅 ebu gonga like kama unakubaliana na mie
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 8 месяцев назад
Mmmmh huyu dada mswahili ana mdomooo du. Dada siupambane tu na maisha
@nzikubossco9517
@nzikubossco9517 8 месяцев назад
Sema Uyo Bint kakosa kabisa Heshima
@mwarabuofficial5241
@mwarabuofficial5241 8 месяцев назад
Wanaume wote tunajuana kauli mbiu yetu ni ile ile, kuna demu wa kutafuta nae na kuna demu wa kutumia nae... 😂 #DOTTO baada ya kujipata kaamua kutafuta demu wa level yake! 😂😂
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 8 месяцев назад
huyu dada ni MCHAWI kwa maelezo yake tu kuna namna kamfanya yule mke wa dotto ili asipate mtoto SHINDWA PEPO WEWE MARY
@jaspinbrasio674
@jaspinbrasio674 8 месяцев назад
Amna mwanaume anaweza kukaa na mwanamke mwenye mdomo wa hivi hata siku moja
@matanobaya619
@matanobaya619 12 дней назад
Kimwanamke kijeuri , hapa dotto pambana akikua umchukeue umlee mwenyewe
@Torono_95
@Torono_95 8 месяцев назад
kweli Mungu anakupa wakufanana nae doto ni kiredio uyo dem tv😂
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@MeinadKikalugaa-hb6ll
@MeinadKikalugaa-hb6ll 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 8 месяцев назад
😂😂😂chocolate me
@tonnnieghm
@tonnnieghm 8 месяцев назад
😂😂😂
@thhtthht1485
@thhtthht1485 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@danny_classicwear2805
@danny_classicwear2805 8 месяцев назад
Ukiambiwa usichanganye kuoa ndo apo atakae weka ndani huyu mwanamke kazi anayo😂
@sanityonline4512
@sanityonline4512 8 месяцев назад
Kwahio mtoto ni wa doto tu mbona pesa zote anatoa yeye 😂😂😂
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 8 месяцев назад
Kazi ya mama yake ni kumfulia kumpikia😊😊😊mwanaume atoe pesa
@1tripple9
@1tripple9 8 месяцев назад
@@tajilimtoto5009 hakuna kitu kama hio..pia mama atafute
@tonnnieghm
@tonnnieghm 8 месяцев назад
@@tajilimtoto5009STUPIDITY 🚮
@ramakombo-co3ws
@ramakombo-co3ws 6 месяцев назад
Achamdomo dada utaolewa nakuachwa...juakudekeza,mwanaume mdomo haukusaidii na lolote msamba mkubwa,wewe😮😮😮😮
@queendollie8792
@queendollie8792 8 месяцев назад
Dotto ungeenda hapo shule ukaelezewa vizuri, ujue mtoto wako anasoma mazingira gani, ujuane na walimu n so forth, inshort participate in your child’s life, huyo mtoto hatokumbuka pesa but your presence, ndio maana watoto wengi wanaonaga mama zao ndio kila kitu which is not bad but it’s because wanaume wengi mnazani kutoa pesa ndio kila kitu, mama anaenda kulipa na kununua vitu anampa mtoto then mtoto anasema Asante Mama while baba ndio katoa ela, so mtoto anakua akijua mama ndio provider wake, Anyways ni maisha yenu nipunguze ushauri.
@levinaasenga2794
@levinaasenga2794 8 месяцев назад
Dotooooooo
@pulikisia7963
@pulikisia7963 8 месяцев назад
Nikweli kabisa ,umesema cha maana.
@petermangama330
@petermangama330 7 месяцев назад
Utashinda na mtoto KAZI unafanya Sana ngapi? Mama ana jukumu la kumenta mwanaye juu ya uwepo wa Baba na KAZI nzuri anayoifanya Baba
@nehemia397
@nehemia397 7 месяцев назад
DOTTO mwenyewe shule hajaenda haelewi hata pesa anatoa kwaajili ya vitu gani
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 8 месяцев назад
Haya yote ni Kwa sababu ya umaarufu wa dotto huyu MWANAMKE hajielewi anataka umaarufu 😂😂
@abouybaramia534
@abouybaramia534 8 месяцев назад
Dida mshenz umechngia sana kmtia shimoni Dotto
@azizirania63
@azizirania63 8 месяцев назад
Nilicho gundua huyu mwanamke bado yuwamtaka dotto lkn dotto yuwamtolea nje si kwa hasira hizo mpaka kuchambana na mke wa dotto😮😮
@salama1113
@salama1113 8 месяцев назад
Huyudada ila anamdomo kaah😂😂😂
@ShadyaOmary-ip5jt
@ShadyaOmary-ip5jt 7 месяцев назад
Dada amenikosha hatal
@heritier8236
@heritier8236 8 месяцев назад
Mahakama za tanzania hazina kazi tena, ko kila kitu redioni duh!
@YasiniMahomba-mx6ux
@YasiniMahomba-mx6ux 8 месяцев назад
Dida acha usenge uoutapeli.fomu imebeba garama zote.izo zingine zinatoka wati
@starjay3052
@starjay3052 4 месяца назад
sema nimefrai dotto kajitoa sana mzee ✅🙏🙏
@allyfarahani3029
@allyfarahani3029 8 месяцев назад
Kwa nyie watangazaji wakuda tuu, 120k mmeisoma hapo inajumlisha vitu vyote mpaka pesa ya chakula shuleni, Sasa mnaanza kuitisha tena pesa
@kalamajefwa3581
@kalamajefwa3581 7 месяцев назад
Shukuru mungu sana dadangu.kama ungeigia Tisa yangu ungekosa kila kitu sure from 254
@SalehAwadhHassan
@SalehAwadhHassan 7 месяцев назад
Mtoto wako mwenyewe unashindwa kumshughulikia mpaka upelekwe kwenye vyombo vya habari, maneno mengi kumbe bonge la fala..
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 8 месяцев назад
Dadeq mtoto hari elfu10 kwa siku huyo dem kaja kuchkua mpunga t angekutana na mswahili kam mimi ndo angejua mtoto anakula shingapii
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 8 месяцев назад
😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Yaani
@rajabually8894
@rajabually8894 Месяц назад
Hivi kwanini kama nikweli ww Doto siakupe mtoto ukae nae mwenyewe... Huyo dada hutamueza mana yeye kazaa ili kukukomesha...
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 8 месяцев назад
Huyo dada ana mdomo sana, Dotto mchukue Mtoto umlee mwenyewe. Lasivyo, utajua hujui
@hassansalum2572
@hassansalum2572 8 месяцев назад
Mdomo wake Nini ?
@Faridkhalid-z3p
@Faridkhalid-z3p 8 месяцев назад
Wee tetea mwanamke mwenziyo mpumbavu wewe, anampigania mtoto wake mdomo unatoka wapi, subiri yakukute na wewe jinga wewe
@gracemoshi4362
@gracemoshi4362 8 месяцев назад
Umri wake mdogo mahakama haitoruhusu mpaka akue kidogo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 8 месяцев назад
Mdomo wapi ww ungekubar
@allvibes211
@allvibes211 8 месяцев назад
Baadhi ya wanaume bila mdomo matunzo ziro
@FahamiHamisi
@FahamiHamisi 3 дня назад
Kwakweli huyo dada ana mdomo sana nazani angetunzwa sema mdomo
@LiberatusRaphael-be8hi
@LiberatusRaphael-be8hi 8 месяцев назад
Doto upo makini sana hyo sio mwanamke ni malaya sana mshenzi sana mpumbavu sana mjninga sana kanamdomo sana jinga kbsaaa mshamba kwelii sana
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 7 месяцев назад
Ushalala nae au maneno yanakutoka tu😢😢 wanaume sku hizi mna maneno kuliko kina mama
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 месяцев назад
​@@faithjonathan3845Kwl kwani na ww hujaona
@VictorBugobola
@VictorBugobola 4 месяца назад
😂😂Yan hadi hapo huyu mwanamk n jeuri kwl kwl mdomo wake mchafu ,huyu kuoelewa yataka Moto anapenda shari😂😂
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 8 месяцев назад
Idris kitaa big up nahisi huyo dada umemshtukizia tapeli kidogo😅😅
@yahayakassimu
@yahayakassimu 8 месяцев назад
kama bongo movie vile maana syo kwa vituko hivo dotto vs maria🤣🤣🤣
@BleaHussein
@BleaHussein 8 месяцев назад
Mnihifanyie hii clip mtoto akikuwa ndo aje aone wazazi wake😂😂
@shafiilottazinho3610
@shafiilottazinho3610 8 месяцев назад
Nyie nao watangazaj akil hamna hv kwa Tz hii kuna mtoto anakula Elf 10 kwa siku? Waangazaj wapumbv kabisa akil hana mpo kwa ajil ya kusaport ujinga
@bushbabytz
@bushbabytz 8 месяцев назад
hata kama mama wa mtoto wako ni kichwa ngumu huwezi muonesha dharau na ujinga kama hivi, kwa heshima ya mtoto mwanaume uwe na nidhamu, tatizo dotto umetoka katika maisha ya umaskini
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 8 месяцев назад
Kwa hiyo mtu akitoka kwenye familia ya kimaskini anakuwa mshenzi
@smarty1064
@smarty1064 8 месяцев назад
we bado hujakutana na vichwa ngumu, omba yasikukute, omba sana Mungu akuepushie ... kuna watu wapo duniani na hawajui wanataka nini kwny maisha yao kila heshima unayompa yeye anaona ni advantage ya kukutukana sababu ya uungwana wako, weee hujakutana na vichwa vibovu 😀😀😀
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 месяцев назад
Mwanamke kichwa box
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 8 месяцев назад
Mwanamke mwenyewe anamdomo
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 8 месяцев назад
​@@shaabanramadhan6770tena sana
@Topos4kphotography
@Topos4kphotography 20 дней назад
Dotto magari big up sana kaka Wang wee mwamba sana na kukubali kwakweli Kusema kweli ume Tisha sana na uko wazi na life Yako ila merry apunguwe wizi wake wanawake wa fupi walai mbinguni awafiki 😅daaah Yani dotto wewe nakukubali sana ume tupa eshima kubwa brother atajuta bahada ya miaka mbili uyo merry 😂
@ErickMbuma
@ErickMbuma 8 месяцев назад
Mh ila doto unaubinadam sana mm mtoto siwetu wote tutoe nusu nusu afu mtoto ana kula 10 kwasiku mh
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 8 месяцев назад
Ni mutoto wa bos anapashw ushi kama boss
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 8 месяцев назад
Yaan wewe upo km mwanaume wng waswahl et tugawane nusu kwa nusu😅😅😅 Sasa na mim nmemkomesha npeleka watoto shule za kayumba😅😅😅 anatangaza kuumia km unaumia si upeleke private 😅😅😅,. Halaf Hela ya kula hatoi😅😅
@ErickMbuma
@ErickMbuma 8 месяцев назад
@@faithmapondo7370 haki saw asaivi watoto tutuze wote asa mtoto wa miake miwili anakula 10000 Kwa siku duh
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 8 месяцев назад
@@ErickMbuma haki sawa gan hlf huo ndio nnasema n uswahl unatoa Hela kwaajl ya mtoto wko kumbuka yule anayemlea kasimama shughul zake kwaajl ya kulea mtoto wko pia her ya mtoto mkubwa kuliko mdg mdg atatakiwa pampers kila ck angalau 2 atatakiwa kila baada ya wk mbil umsagie lishe je huo uji unapkwa bila ges au mkaa au anakunywa bila blueband atatakiwa maziwa km mama n mfanyakaz ataajir dada wa Kaz kumbuka anazd ongeza familia kwaajl ya mwanao hyo dada atahtaj kula so hata hyo elf10 inapunguza matatzo tu sio kukava
@ReganRingo
@ReganRingo 5 дней назад
DIDA DIDA HUYO MWANAMKEE MNAMLEAAA NA MNAMPA KICHWAA DIDA MNALEA UJINGA
@naahhemed1270
@naahhemed1270 8 месяцев назад
aiii kama ni daycare mama ajipange buana lakin kama ni primary school ni sawa lakin 2yrs watoto wamatajiri ndio uanza shule sasa doto anapesa gani wanawake sisi mungu anatuona
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 месяцев назад
Si chawa😂😂😂😂
@EmmanuelMwaipaja-um3sb
@EmmanuelMwaipaja-um3sb 4 месяца назад
Hamsini na miane bima ya mtoto
@WitnesYusuph
@WitnesYusuph 8 месяцев назад
Nitumie namba ya doto nimecheka san
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 месяцев назад
Km babu ukambuliaje chup?? C ulinogewa mpaka, ukampa cha mtoto,kwenda kuacha mtoto getin co kaxi,Dotto cku mtoto akiachwa getin nawe muache hapo,janaume malaya unakusanya mitoto kila kona ndo shida kuja ku2nxa.
@nanahmekaupbeautifu237
@nanahmekaupbeautifu237 8 месяцев назад
Mhhh uyo dada ana mtaka bado doto nilicho kiona
@Topos4kphotography
@Topos4kphotography 20 дней назад
Mwanamuke adabu akuna merry mdomo imesha muponza wdada wafupi wanakula sana elfu kumi Kila siku duuuuh Dotto achana naye uyo njaa tu anayo ww dotto Mungu akupe maisha marefu kk all the best nipo Kenya Nairobi nafata kipindi but dotto Ubarikiwe zaidi kk
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 8 месяцев назад
Mmmh hyu mwanamke aonesha mshenzi kweli kweli ana mdomo mpk doto mwenyewe ame blow
@MariamSaidy
@MariamSaidy 20 дней назад
Yani tanzania 🇹🇿 masomo.ya watoto ni Hali hivi akienda primary inakuwaje jamani ?
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 8 месяцев назад
Dah nngepata mwanaume anipe hata hyo 5000 kwa sik nisingejarb kujb hvyo na ada juu loooh
@issamsunye1880
@issamsunye1880 8 месяцев назад
Pole sana
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 8 месяцев назад
M nna watoto wawil lkn mwanaume anaweza kukaa miez 9 halfu anakupa lak au 50
@Decodisuza
@Decodisuza 2 месяца назад
Mm ni mwanaume ila nimempenda merry alivyomyoosha dotto maana uyo dotto inaonyesha ukimlegezea anakufanya mboga saba
@ashaahmad720
@ashaahmad720 8 месяцев назад
hahah jmn nimecheka mie dadya ana kikomwe
@FadhiliSabihi
@FadhiliSabihi 8 месяцев назад
Anaonekana kabisa huyo MDADA mambo yamemshinda huko mtaani kama sio vikoba basi mipango migumu ndio maana anamsumbua mwamba sasa kitu kikubwa ambacho DOTTO kakifanya nikumaliza mzozo
@Edomasawe-er5mw
@Edomasawe-er5mw 8 месяцев назад
Dida sio mtu nzuri
@ElifAthanas-or1dt
@ElifAthanas-or1dt Месяц назад
Kisukari kimepanda jaman wanawake tufanye kazi nchi hii vituko haviishi
@ibrahimkhatib760
@ibrahimkhatib760 8 месяцев назад
Waching from china Bother doto hongera umeweza kuonesha kua unatoa huduma zote muhimu kwa mtoto huyu mdada izo cost anazopiga hapana na hazilingan kwa mtoto wa miaka 2 1/2 Dada hizo hela anaend fany vikoba
@abdulissa6591
@abdulissa6591 8 месяцев назад
Doto elfu kumi kwa siku umejichanganya hiyo ni laki tatu kwa mwenzi mshahara wa mtu
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 8 месяцев назад
Doto umenichekesha kweli😅
@AdmiringNautilus-ew9wh
@AdmiringNautilus-ew9wh 7 месяцев назад
Duuuh hadi kula wallah kaaah inamaana yy anachikula hawwz kumpa mtoto akala? Loooh mhhh me nna watoto 2 na wote wadogo siku napewa elf10,7 hadi elf5 nahakuna hamna lolote linaloemdelea na sipigi kelele na siku napewa siku spewi na nimetulia kaaah hatar wakiumwa naumiza kichwa mwanangu wa kwanza anamiaka 2na nusu nampeleka shule mwenyewe nnavyojua leo kaemda kesho haendi maisha yanasonga ika huyu dada mdomo anao na vitu anataka😂
@nassirali7499
@nassirali7499 8 месяцев назад
Hizi media za Tz zimekua za kipuuzi na kisenge kweli! Watu baada ya kukaa nyumbani au wakenda kwa wazazi au mamlaka za serikali kusuluhisha mambo yao wanakuja kwenye media kutangaza mambo yao, very shameful
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 месяцев назад
Media inakosa gani?!! Si amekwenda mwenyewe mwanamke na upumbavu wake, Akili yake ni mbovu na siyo wa kulaumu media
@kalebuenosh7694
@kalebuenosh7694 8 месяцев назад
Wao ndo wametafuta media au media ndo imewatafuta
@nassirali7499
@nassirali7499 8 месяцев назад
@@faithfaith-zr6gz kuwakaribisha na kuendesha mijadala ya kipuuzi ndo kosa lao, si wangewaambia waende kwenye dawati la polisi km wamekosa wazazi wa kutatua shida zao binafsi?
@josephkiwale374
@josephkiwale374 6 месяцев назад
​@@nassirali7499bro itakuwa unachuki zako2 kiongz
@dominicmwangi-u3y
@dominicmwangi-u3y 8 месяцев назад
waTanzania mnachezeA hakili zetu saana mshatuona sisi mazuzu ,Kila kukicha mnaleta content na skendo za mchongo ili mradi muishi kwa views zetu, mala ManalA, mala doto mabeiskeli, Sasa tushawajuwa nyoo hakuna na view Wala Nini kafanyni kazi za kueleweka Niina !
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 8 месяцев назад
Khaaa mwanamke heshima hakuna eti analingana na baba yake alimpendea nini mpaka kuzaa nae duuu unatwa Babu Bado unatoa Hera hahaha dida mbaya sanam
@Aaron-nu7dv
@Aaron-nu7dv 4 месяца назад
wanawake wa bongo wakishazalishwa wanakuwa vilema...stupidddddd
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 8 месяцев назад
Dada choko mswahili sana aiseee
@munikhatythabit8687
@munikhatythabit8687 8 месяцев назад
Unajitapa Mungu amekunyanyua unapesa, unapeleka mtoto shule ada 30,000😅😅😅 kula mtoto 5,000😅😅😅😅 labda akale kwa mama ntilie kama anapikiwa na mama ake atapikiwa nn mtoto kwa 5,000 kuanzia asubuhi hadi ucku? Mkaa au gas 5,000 muache kujigamba mitandaoni, ushamba na ulimbukeni ndio umewajaa 😅😅😅😅😅
@bakaromar8135
@bakaromar8135 8 месяцев назад
Nakubali doto
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 7 месяцев назад
Eti mashononelf 2 na viatu elf 5... hawa ndo wanaume wanaosaidia na wauza bucha. Anaacha elf 5 wale asbh, mchana na jioni na wako 6😂😂😂
@MussaSongo
@MussaSongo 8 месяцев назад
Mdomo sana huyo dada
@JulietLongwe
@JulietLongwe 3 месяца назад
Yaani dotto magari ili akwepe huo usumbufu wa huyo dada Amchukue huyo mtoto aishi nae yeye mwenyew ili akate mawasiliano na huyo mtot
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 8 месяцев назад
Kwa mdomo km huu hata me sihudimii😂😂😂😂😂Doto mbwage hyo
@hassansalum2572
@hassansalum2572 8 месяцев назад
Mdomo upi uyo doto yeye Hana mdomo
@1tripple9
@1tripple9 8 месяцев назад
LAKI 3 Inatajwa kwa vishindo kumbe Ni 19,000 kenyan shillings😂😂😂😂
@rizikikibage4465
@rizikikibage4465 8 месяцев назад
Na ndio maana haitumiki tz ni huko huko kwenu kenya hard life peoples😂😂😂😂
@1tripple9
@1tripple9 8 месяцев назад
@@rizikikibage4465 😂😂😂nani kwa kwambia ni hard life..tumekomaa😁😂😂
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 8 месяцев назад
Unayo
@1tripple9
@1tripple9 8 месяцев назад
@@mustaphahassan589 hio ni swali ama utafiti
@ErickGadson-yg2xj
@ErickGadson-yg2xj 5 месяцев назад
Huyo Dada Kama namuona mzazi mwenzangu kama chuchunge 😂😂😂😂😂 hata lazayakuwa nahisia hana
@SikujuaGeorge
@SikujuaGeorge 8 месяцев назад
Ningekuwa Mimi angekula kibao huyo dada humo studio
@bennamush4616
@bennamush4616 8 месяцев назад
Yani anakera mnooo ni mwizi halafu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 месяцев назад
Yn hata mm duh
Далее
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 89 тыс.
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 1 млн
ХОККЕЙНАЯ КЛЮШКА ИЗ БУДУЩЕГО?
00:29
МАЛОЙ ГАИШНИК
00:35
Просмотров 273 тыс.
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 89 тыс.