Huyu hawamuezi kitu kimoja huyu mualisia hafichi na hafake na watu wote wanamuona anauza magari dalali na anapata Sana matangazo watu wanamueleww hao wengine hawaeleweki kazi zao shughuli zao ni kulelewa sana mjini kulipiwa kulipiwa Kila kitu then huyu wa mjini sana na kuongea hawamuezi go on dotto u will be another lever soon mdogo wangu
Uyuuu jamaaa nimekugundua hana cha kusema maan kaguswa pabayaa alafuu piaa. Mdomo mwingii , ilaa ina maishaa magumuu 😂😂ila ndugu zake wanampelekaa mjinii b levoo bar hanagwaaa Huyuuu heheebheeheheee 😅😅😅😅