Тёмный
No video :(

DOTTO MAGARI CHIEF KIUMBE THE BIG BOSS NI TAJIRI...BINGWA..🏆🏆🏆🏆🏆 

DOTTO MAGARI
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@exsavermateus2670
@exsavermateus2670 9 месяцев назад
Safi uncle dotto keto mwanangu nakukubali sana 💪
@alibinali_
@alibinali_ 9 месяцев назад
Chief Kiumbe aliwahi kufanya kazi na Diamond platnumz na yuwa penda sana kukaa Kenya Mombasa kenya anamarafiki wingi sana Mzee amesaidia wasani wingi
@athumanfuko199
@athumanfuko199 9 месяцев назад
@dotto Magari usipojenga mwaka huu shauri yako ha ha ha ha
@erichakizimana6024
@erichakizimana6024 9 месяцев назад
Wabongo mnaraha dotto ukifa huozi🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️✌️
@gasper90mathias58
@gasper90mathias58 9 месяцев назад
Leo ndo nmemuona live chief kiumbe nasikiaga tyu wasanii wanavyomuimba na kumsifia kumbe ndo huyu
@mohammedshishishi6375
@mohammedshishishi6375 9 месяцев назад
Kumbe uyu ndio chief kiumbe
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 9 месяцев назад
Same to me broh hhhhhhhhhhhh, ila Tunda alimwambia Spark "Chief anamdai Shetta laki nusu amuue"😂 ktk nipe ripoti remix, leo apa twaambiwa eti ana mpk migodi
@danielmwita2136
@danielmwita2136 9 месяцев назад
@@abdulmohd6880 Oyaa huyo ana hela sio poa, unaona kapoa hivyo sababu alisilimu, kawa mpole anaenda msikitini. Kabaki katika business tu ambazo sio za anasa kivile.
@ashaali7154
@ashaali7154 9 месяцев назад
Watanzania munachekesha eti mtu anakwenda kununua gari kwa pesa cash kwani hizo pesa hazikai benki? Halafu mukiuwawa munailalamikia serekali duuh !
@aminattai2676
@aminattai2676 9 месяцев назад
Mwijaku washakua wengi sana,wanawake muliolewa na wanaume kama hawa mupo na hasara,wanaume wanajiuza kama wanawake kwenye mitandao ,it's only Tanzania ndio utakuta mambo kama haya,chawa wamekuwa wengi kama kunguni ufaransa.
@y1h1y1-m
@y1h1y1-m 9 месяцев назад
Iyo maisga wa ulimwngu wa mtandaoni ni msaada wa mtandaoni !tu namualika kwenye ulimwengu wetu wa kawaida atowe uyo msaada !danganyeni ao ao nyoooo
@user-xv9nl5mr4s
@user-xv9nl5mr4s 8 месяцев назад
Kaka mwamed Na MSM tupo jaman tukumbuke chifuu😂😂😂
@adolfmjunguz9794
@adolfmjunguz9794 9 месяцев назад
Kazi kweli
@Bambagatz
@Bambagatz 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂apo IPO
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 9 месяцев назад
wa kwanza
@Alltrendingstar-bi1tp
@Alltrendingstar-bi1tp 9 месяцев назад
Tajiri anakaa pachafu ivy
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 9 месяцев назад
serikali iko wapi watanzania wanamaisha magumu watu wanatupa tupa pesa mitandaoni wekeni sheria nzuri juu ya pesa jaman
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 9 месяцев назад
Oyoo
@themicbandforeveryone19997
@themicbandforeveryone19997 9 месяцев назад
Umesha kua chapa Zamani
@FocasYakuza
@FocasYakuza 9 месяцев назад
Chief kiumbe karudii hija mziki hautaaaaaaaaakiiiiii
@mathewungani9724
@mathewungani9724 9 месяцев назад
Kukanyaga Mafuta Paah
@nyandichearts
@nyandichearts 9 месяцев назад
Kiuje😅
@johaali9959
@johaali9959 9 месяцев назад
𝑼𝒏𝒂𝒇𝒊𝒌 𝒌𝒕
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 9 месяцев назад
Wabongo bwana mtihani sana yaani una mchawia mtu ata hana habari na hizo mambo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 9 месяцев назад
Nachojua Apo Ujinga2 Sasa Sijui Matajiri Tz Walianza Jana Kuwepo Mbona Sifa Zimekua Nyingi Kwa Wanaume Wenzenu Kuliko Kusifia Uwepo Wako Na Ukalibu Na Mungu Mungu Wako Bastola Acha Ujinga Wewe Maisha Yamebadilika Wanaume Wanachukua Nafasi Za Wanawake Aiwezekani Wanaume Kushutana Kila Siku Kwanini Msikutane Ukapigana Ijulikane Yupi Wa Kweli Yupi Feki Kazi Ya Makelele Waachieni Akina Eva Nasio Nyinyi Kweli Mzungu Mjanja Anazunguka Duniani Kuchimba Madini Na Kuweka Kwenye Mataifa Yao Sisi Tunabaki Na Hela Ambazo Uchumi Ukiyumba Dola Mia TZ Lack Tatu Kote Uko Nchi Zetu Kuwa Na Watu Wasiopendana Kuanzia Nanyinyi Apo
@ikramzamando810
@ikramzamando810 9 месяцев назад
Dogo tafuta mume akuoe maana niaibu
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 9 месяцев назад
Acha pang'ang'a usikute ushapenga tayari maneno yanakutoka tu mteja wew🖕
@user-bh4ot3bx9b
@user-bh4ot3bx9b 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@DOTTO_MAGARI
@DOTTO_MAGARI 9 месяцев назад
🔥🔥🔥
@FocasYakuza
@FocasYakuza 9 месяцев назад
Chief kiumbe karudii hija mziki hautaaaaaaaaakiiiiii
Далее
Я ДОСТРОИЛ ЗАВОД - Satisfactory
19:13
Просмотров 146 тыс.
CHIEF GODLOVE AMPA MASHART DOTO MAGARI
3:58
Просмотров 9 тыс.
Я ДОСТРОИЛ ЗАВОД - Satisfactory
19:13
Просмотров 146 тыс.