Kwani Tanzania watu wanauza Gari kama maembe pembeni mwa barabara. Hapa Kenya hamna Tajiri ambaye utamuona akisifiwa, na pia hawapendi kuonekana. Utapigwa risasi 🔫🔫🚔
Acha makasiriko km hujui Issa na Doto ni watani Shinyanga, Mwanza,Tabora ni watani wa Wazalamo km hujui sasa ndy maana unaona utani upo sana hawakasirikiani ss ww mwenye kisirani chako peleka huko kwa watani zako 😂😂
@@josephguerino7416 make wake na yy mwenyewe nilikutana naye nikamwambia shemej unaniju naomba umwambie mkeo mbona nampingia simu yangu hapokei ndio nikabock kabisa