Тёмный

Dr. Chris Mauki: Maeneo matano (5) zilipo nguvu za mwanamke 

Chris Mauki
Подписаться 309 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Mwanamke ni kiumbe ambaye amekuwa akipitia changamoto nyingi sana kwenye jamii, hususani jamii ya kiafrika, lakini ni ukweli kwamba mwanamke ana nguvu kubwa sana iliyofichika ambayo wengi hawaifahamu wala kuitumia nguvu hii. Laiti kama kila mwanamke na kila mume angefahamu maeneo ziliko nguvu hizi ili waweze kuzitumia nguvu hizo kwa manufaa ya mwanamke mwenyewe, familia na jamii kwa ujumla. Nakukaribisha kutazama maeneo haya matano zilikojificha nguvu hizi

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@leahmungure6538
@leahmungure6538 Год назад
This is powerful message indeed, thank you Jesus
@leonardmjema965
@leonardmjema965 Год назад
Ahsante kwa somo zuri
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Год назад
Somo nzur sana ubarikiwe
@SaidHashil-c1j
@SaidHashil-c1j Год назад
Thankxx so much my brother 👍
@janethmakaranga7709
@janethmakaranga7709 4 года назад
As always he still my number one mentor! Well spoken
@iddyabdul9898
@iddyabdul9898 Год назад
nashukuru sana dokta mauki
@aishamaulidi4679
@aishamaulidi4679 4 года назад
Hizi nguvu doctor ni sahihi kabisaa Tatizo wangi wetu hatujijuwi Ahsante kwa kutuzindua Na ubarikiwe sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 года назад
nashkuru sana
@roseaccont552
@roseaccont552 4 года назад
Asante sana nimefurahia somo especially hapo kwa maneno yenye nguvu ni ukweli kabisa
@phyllismbuthiaofficial
@phyllismbuthiaofficial 4 года назад
Kenya's watching from thika Kenya..tumejua dhamani sasa ,watch our pace
@peninahirungu6928
@peninahirungu6928 4 года назад
Ushauri wa dthamana sana My role mode ...I have learnt something here My sister
@episawaki1281
@episawaki1281 4 года назад
Good msg thankx alot dr chris ubarikiwe zaidi
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 4 года назад
Nmeelewa sanaaaa asnte dctr.....
@episawaki1281
@episawaki1281 4 года назад
@@tausihasheem5051 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 года назад
name pia
@sofiahamisi9373
@sofiahamisi9373 3 года назад
Asnte sana mauki wallai yaani najiona mm vyenye nko kumbe shukrn nshagundua kumbe 🤗🤗🤗
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 2 месяца назад
Waooo asantee
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 3 года назад
Saikolojia inaishi asee ,. Nakubalii 🙌
@eliashope1484
@eliashope1484 4 года назад
Ahsante kwa ujumbe mzuri
@subirachrispin9209
@subirachrispin9209 4 года назад
Kweli kaka somo lako nzuri sana
@marvissimbaya8406
@marvissimbaya8406 4 года назад
Asante dr nimepata kitu apa
@esthermrambamramba1570
@esthermrambamramba1570 4 года назад
Asante mwalimu watching frm Qtr
@happyhaule5865
@happyhaule5865 2 года назад
Balikiwa Sana doctor unatibu
@jeanneluhabanya1252
@jeanneluhabanya1252 4 года назад
Wanawake mpo tunaongelea uku🙈 kazi kwetu thanks Dr👌
@janephermwami6348
@janephermwami6348 Год назад
Kweli kabisa
@winniekodero4422
@winniekodero4422 4 года назад
Nice presentation kindly would you do this clip in English .
@danielshemi1177
@danielshemi1177 4 года назад
thanks for good news doctor mauki.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 года назад
nashkuru sana
@deboramsossi3282
@deboramsossi3282 4 года назад
Asante San, ñmeelewa
@neemajohn7530
@neemajohn7530 4 года назад
Asante dr dah wengine visiki hawasikiii jamani 🤗🤗🤗🤗
@samueljeremiah757
@samueljeremiah757 4 года назад
Well.
@rukiamusa9916
@rukiamusa9916 4 года назад
Nikweli kabisa ahsante kwa somo la leo
@jossyjassy678
@jossyjassy678 4 года назад
Wauuu..pont taken
@halimahalima1984
@halimahalima1984 4 года назад
Nilikuwa simfahamu zote izo asante
@florasamwel5104
@florasamwel5104 4 года назад
Doctor Mauki I have a problem and i really wanna talk to you
@razatrazat6833
@razatrazat6833 2 года назад
It's true
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 4 года назад
Kweli mimi nilikuwa siyafahamu kabisa haya,sasa nimeyafahamu acha nifanyie kazi
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 года назад
kila la heri
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 4 года назад
@@ChrisMauki1 amen kaka
@halimalipena6111
@halimalipena6111 4 года назад
Ujumbe murua
@dorisjessy5960
@dorisjessy5960 4 года назад
Unanijenga saaana
@khadijaidd7514
@khadijaidd7514 4 года назад
Sw lkn co Kwa mume wangu hashitushwi na maneno yangu
@elibarikikateman5846
@elibarikikateman5846 4 года назад
duuu jitahd abadrke sasa
@mariarolesia4588
@mariarolesia4588 3 года назад
Ukitaka kujua ex wako bado anakupenda?
@mariarolesia4588
@mariarolesia4588 3 года назад
Anakuwa anaonesha dalili gan?
@marymusangi5568
@marymusangi5568 4 года назад
mm ni mkenya na ninafanya kazi Saudia niko na mume WA ndoa na Nina watoto watatu nilikuwa naomba unisaidie na usahuri nilimtumia mume wangu pesa za miezi mitatu na nikapata uamisho kutoka Saudia mpaka Dubai Sasa pesa za mwezi huwo sikutuma nilifanya shopping yangu basi shida ilianzia hapo hapokei cm zangu wala Hajibu msg zangu nimemuomba msamaha lakini hajajibu lolote naomba unisaidie na usahuri plz😭😭😭😭
@nattydominic5097
@nattydominic5097 4 года назад
Huyo hakupendi anakupendea pesa
@ramsonilkamafa3162
@ramsonilkamafa3162 3 года назад
hapana usiseme alimpendea pesa,mbali na kumpendea pesa hakuna kitu nzuri kama taarifa. jiulize haya:- je, kabla ya kufanya hivo ulimpa taarifa? je, angekua ni yy kafanya ivoo bila kukujuza ungejisikiaje/ ungemwelewa mapema ? coz kaa nae mweleze atakuelewa na kukusamehe. (Kabla ya.... tambua kuna tofauti sana kati ya KUONGEA na KUZUNGUMZA). gd love
@sarahjuma6044
@sarahjuma6044 3 года назад
Hapana huyo Hana mapenzi ya thati si alijua kabisa mwenzake yupo kwenye makazi mapya kwa nin anune na mwenzake katumia pesa kujikimu
@subirachrispin9209
@subirachrispin9209 4 года назад
Kaka naomba namba yako nataka kuongea na wewe
@fatumamohamed1010
@fatumamohamed1010 4 года назад
Plz naitaji no za whastpp🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 4 года назад
0713407182
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 4 года назад
😂😂hpo kwenye machale nmecheka
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 3 года назад
Saikolojia inaishi asee ,. Nakubalii 🙌
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 года назад
Asante sana rafiki. Natumaini ume subscribe
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 3 года назад
@@ChrisMauki1 siku nyingi mno Kaka
Далее
Как улучшить шоколадку Милка?
00:35
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 1,5 млн
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 2,4 млн
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Просмотров 41 тыс.
Nguvu Ya Mwanamke - Joel Nanauka
1:10
Просмотров 4,5 тыс.
Как улучшить шоколадку Милка?
00:35