Тёмный

Dr. Chris Mauki: Ukiwa na mambo haya matano utachagua mwanaume sahihi 

Chris Mauki
Подписаться 309 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Mabinti wengi wamekwama kwenye kuchagua wanaume bora kutokana na mabinti hawa kukosa vigezo binafsi vya kwao. Kuna mazingira ukiwa nayo ujue tu utachagua vibaya na kuna mazingira ukiwa nayo utachagua vema

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Год назад
Niliapa mwili wangu sitapeana hadi siku Mungu atanibariki na mume wa maisha yangu
@SylvieSalma
@SylvieSalma 2 месяца назад
Kweli
@ashireydaimu3148
@ashireydaimu3148 Год назад
Asante sn. Mi nafanya kazi na najitegemea, niliachana na aliyekuwa mume wng ila nahitaji sana kuwa na ukaribu na washauri
@leonardmjema965
@leonardmjema965 Год назад
Very nice I like it knowledge
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Год назад
Asante Dr kwa mafundisho yako mungu akubariki sana umekuwa mwalimu mzuli kwangu toka nikujue sijawah juta ❤❤❤❤❤❤
@gaudenciaiganja7737
@gaudenciaiganja7737 Год назад
Asante Baba Kwenye point ya tatu. Ilishanishinda Kuwa na marafiki na washauri. Sina hata marafiki. Sina hata mtu wa Kumueleza jambo langu nitaweza kuwapata washauri wazuri ikiwa sina urafiki nao!????
@cheka480
@cheka480 Год назад
God is the best of the best friends my dear
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Год назад
Unasema kweli kabisa hiyo ndiyo thamani ya mwanamke
@BlessHaule-lu9gw
@BlessHaule-lu9gw Год назад
God bless you my father you always teach us correct things
@TwahaShaban-vd7mh
@TwahaShaban-vd7mh Год назад
Asantee kwaushauri wako kaka mwenyezi mungu akupe umri mrefu na mwisho mwema
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 Год назад
Be blessed Dr
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Год назад
Hii imeenda dr.
@ElizabethAmos-c5q
@ElizabethAmos-c5q Год назад
Asante sana Dr kwa somo zuri.
@cheka480
@cheka480 Год назад
Well said
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Thanks
@DillyHassan
@DillyHassan Год назад
Ahsante mauk umenifunza meng au Kwa machache nimejikuta na aman sana naposhndwa Huwa nakuja kwenye masomo Yako nakuwa jasir nakuendelea mbele
@DillyHassan
@DillyHassan Год назад
Nikivumb hapo point ya tano
@bahatikahogo5502
@bahatikahogo5502 Год назад
❤❤❤
@SaidHashil-c1j
@SaidHashil-c1j Год назад
Point ya kwanza na ya pili nimezikubal sana kaka ❤
@janethernest534
@janethernest534 Год назад
👏
@AminaAmina-s5g
@AminaAmina-s5g 6 месяцев назад
mm nataka kitabu nisome nimefurahi sana
@anishdasirlankan812
@anishdasirlankan812 Год назад
Mm nipo zenji nikitaka nitakipataje
@TundaEmanuel-ns8kj
@TundaEmanuel-ns8kj 2 месяца назад
Kushindwa kumudu hisia nilijikuta naingia kwenyahusiano namwanaume , Anavuta bangi nikawa naona poa tena namkumbusha kabsa leo umevuta😆 Mwanaume ambae nilimkuta anamatatizo makubwa nasema mazito kes nzito nanilikuwa tayal kuzibeba sikuona hatalee kisa tu anajua sex 😢 Mwanaume ambae nimshikina ananisimlia kabs mimi nimchawi naloga nina mganga wangu anatembea juu yamaj km yesu asee tena nilikuwa namsapot kisa sex duh .. Nashukulu nimekuwa naujasr wakumuacha japo ilikuwa ngumu sana 😭
@rachelsam8912
@rachelsam8912 Год назад
💯✍️👏
@tatumaalim1160
@tatumaalim1160 Год назад
Nipo na mahusiano na mtu kwa miaka 10 now na hatujaona hanitafuti kwa muda lakin siku akinipigia anaanza kunipa mipango yake ya baadae lakin Hua nahis kama ananidharau nifanyejw
@isikesamike
@isikesamike Год назад
Zungumza naye (kama hujafanya hivyo) kuhusu hicho kinachokutia mashaka juu ya mwenendo wake juu yako, ikiwemo hayo mawasiliano mliyonayo.
@idrisanassor7744
@idrisanassor7744 Год назад
Kaka nahitaji kujua njia za kuishi na wazee (wazizi)
@gaudenciaiganja7737
@gaudenciaiganja7737 Год назад
Wazazi au wazizi?!
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
​@@gaudenciaiganja7737😅😅😅
Далее
ЧТО ВЫРОСЛО ОТ КОКА КОЛЫ😱#shorts
00:26
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 kuiteka akili ya mpenzi
7:10
Dr. Chris Mauki: Dalili 4 kwamba anakuchezea tu
5:58
Просмотров 181 тыс.
Dr. Chris Mauki: Mambo 3 mumeo ana kiu kuyaona kwako
6:03
Dr Chris Mauki : Mambo ya kufahamu kuhusu Wanaume
7:13