Ayubu 22;21 - Nataka nikujue sana, ili ndipoo hayo mema yatakapo nijiaa.... Kutoka 33; 18-19, neno WEMA WA MUNGU (Amekuonyesha Utukufu -Ukali, Mngao n. K) wake, ukimjua sana Mungu ndipo atajitokeza kwangu) - Umwema umwema kwangu ohhh - All my life u have been faithful, so so good, everybreath..... I will sing for the goodness of You God. Matendo 17;28 Mungu ndio Mwema, ajitambulushe kwangu. Amen. Ahsante sana Mtumishi. Mungu akubariki.
Watching live from Mombasa,, mtumishi wa mungu ubarikiwe imagine nilikua nakidonda kwa moyo ju yale ninayoyapitia ata baada ya kuomba mzigo unazidi kua mzito,,lakin kumbe nilikua nimeeka shda zangu mbele Bila uwepo wa mungu,,today is my first time to watch na kidonda ya moyo kimepona,,tunakukaribisha mombasa wakati ule ulikua Nairobi kwa Sarah k ulituletea habari kua imekamilika,,watu wa mombasa pia tunakukaribisha utuletee injili
Mungu akubariki sana Pastor Ipyana I’m so happy for what the Lord is doing through you I learn a lot Mungu akuweke miaka mingi na ubakie kutembea nae baya lisikupate
pasiiii Nakupenda saaana im learning so much ...may God keep you always for the sake of my Generation ....mungu akujalie nikuone na kina DUnsin Oyekan mnafunza the same concepts in regards to worship.......asante sana love from KE
Zaburi 47;7 Luka 19;41-42 Hosea 4;6 Yohana 17;3 Waegeso 1;13 2 Paulo 1;3 - Nakupa utukufu na heshimaa wewe ni Mungu.... Mwanzo 1;28 - Nataka nikujui Yesu na nizidi kukufahamu..... Kutoka 32; 10-11 Kutoka 3; 7-9 - Wewe ni Mungu mtatua..... - Hosana ndiwe Mungu wangu hosana.... - Wakupewa sifa na Utukufu na heshima ni i Wewe, mwenye nguvu na uweza ni Wewe Bwana..... UAMSHO WA KURUDISHWA KTK NAFASI YANGU -EDEN. Waefeso 1;18
Nairobi twakupenda hata kama kiswahili kinatupiga chenga .Roho mtakatifu amekua msaada tunakufata. Worship is my weakness.More grace to you man of God.