Msomi mkubwa namna hii anaamini Yesu na anaongea mambo kwa upeo mkubwa, Mungu wangu niondolee huu moyo wa jiwe, nipe kukuamini wewe na kufuata mapenzi yako Amen!
Joel Nanauka wew ni zaidi ya Pastor, Kwa Hakika Leo ninatoka katika kila aina ya utumwa kwa haya mahubiri na mafundisho Yako kupitia DAMU YA YESU,Ubarikiwe sana, Leo kwa mara ya kwanza ninacomment
Hii DAMU ya YESU ni halisi jamani nimeongeza kitu coz nimetumia sana hii damu nimepata utajiri kwa muda mfupi sana adi watu wanaiita freemaso ila ni DAMU sasa naitumia niweze kuolewa 🎉
Hallelujah yani n madini madini madini ❤❤ooh Yesu mwema awatunze n kwel tunaiundermine damu ya Yesu ,Mungu atusamehe sana.Mungu awatunze pst Nanauka na Dr Ipyana
MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU kwa kutufunulia maandiko yenye kutujenga kwa viwango vya juu kabisa.... Asanteni, Again MUNGU awabariki sana, musichoke kutuhubiria .... #DAMU YA YESU..... #BabaParoko .... God is alive, God is super
Nimesikiliza, nilikuwa napita pagumu mno, nikafanyia kazi Damu ya Yesu nimevuka kwa kishindo na kuanzia niliposikia sitamani kuacha kuomba kupitia damu ya Yesu na nategemea mambo makubwa mna
Amen, Asante Yesu kwaajili ya watumishi wako hawa, kaka Joel nilikuwa nakufahamu upande mmoja tu, upande huu wa kiroho nilikuwa sijakujua kaka upo vizuri, huo upako najingamanisha nao kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu Kristo. Waooo ❤
Praise the Almighty GOD, this is powerful lesson we need to understand,to live within , to dominate and to be champions over everything. BLESSED THE JESUS CHRIST. 🙏