Тёмный
No video :(

Dr ISAC MARO Aeleza Kiundani Ugonjwa Wa RUGE / Kwanini Umeshindikana Kupona Kwa RUGE!? 

SamMisago
Подписаться 871 тыс.
Просмотров 151 тыс.
50% 1

Dr ISAC MARO Aeleza Kiundani Ugonjwa Wa RUGE / Kwanini Umeshindikana Kupona Kwa RUGE!?

Опубликовано:

 

26 фев 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@joharajohara4355
@joharajohara4355 5 лет назад
Yes...acute kidney failure happens when your kidneys suddenly lose the ability to eliminate excess salts,fluids and waste materials from the blood.....Rest in peace Ruge...Am a Kenyan but yote ni mipango ya mungu.
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 5 лет назад
Poleni waTanzania.. Nilikuwa naamire Rugue.. Alikuwa smart sana.. Jamani mumepoteza mtu wa muhimu sana.. Nitajaribu nije kumzika.. Lits of live frim Kenya
@gracekazi5492
@gracekazi5492 5 лет назад
Ur welcme
@mariej6962
@mariej6962 5 лет назад
Semeni tu amepewa sumu. I am sure walichukua sampuli kuangalia chemically husika. Ruge hakuwa katika risk hizo unazozisema.
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 лет назад
DR. NAKUKUBALI Sanaa. my bro
@sostensanga5184
@sostensanga5184 5 лет назад
Mwandishi nimependa sana maswali yako good
@benezethbenedict1667
@benezethbenedict1667 5 лет назад
Pole dr msimba huu kwetu sote ni mkubwa ee mwenyezi mungu mpokeee kwa aman boss ruge shujaa mwongoza njia
@kingkhanjunior4930
@kingkhanjunior4930 5 лет назад
duh ple xana na wew ndug kwel umvurugw mpaka unchpia et MSIMBA.....😥😥😥
@kingkhanjunior4930
@kingkhanjunior4930 5 лет назад
DAH!!!!! ISACK ur GENIOUS....
@halfahalfa9728
@halfahalfa9728 5 лет назад
Huyu ni doctor kweli kweli maana hana hata chembe ya presha juu ya kifo maana kashazoea kuona watu wakifa mahospitalini
@kingkhanjunior4930
@kingkhanjunior4930 5 лет назад
😂😂😂duh
@yohanaiulengo8480
@yohanaiulengo8480 5 лет назад
Nakuelewa sana Dr. Isaac big up lakini pia R.I.P Mr. luge
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 лет назад
Big up unajua kujieleza
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 лет назад
I like the explanation of why a kidney transplant is to be a match.
@jamilarajab4287
@jamilarajab4287 5 лет назад
R I P Ruge Mbele yetu nyuma yako
@mossesjonathan5766
@mossesjonathan5766 5 лет назад
Kumbe dkt isack huko hvyo sijawai kukuona kumbe yanki kabisa au ndo mungu kakunyima mwili,R I P ruge
@drex81
@drex81 5 лет назад
Mtangazaji, daaah!!!! blood group A”B na C. Haya sawa
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 5 лет назад
Drex na wewe umesikia hyo ya C 😁
@antoinekatembo8124
@antoinekatembo8124 5 лет назад
Eti side effects LoL, or symptoms ndo swali ambayo alitaka kuhuliza mtangazaji???
@josephzakaria4462
@josephzakaria4462 5 лет назад
Poleni sana familia ya Ruge Mutahaba zaidi poleni sana mke na watoto na pia wa Tanzania wote ambao kwa namna moja ama nyingine mchango wa ndg huyu uliwafikisha Mahali Fulani pazuri , Mungu ailaze Mahali pema peponi roho ya Ruge
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Hivi ruge alikua ana mke? Zaid ya mzazi mwenzie zamarad sijaona wala kusoma popote km anaye pole yake mama mwenzetu
@kuchukuchu4856
@kuchukuchu4856 5 лет назад
Poleni sana yani ndugu jamaa na marafiki
@geofl32
@geofl32 5 лет назад
Ruge alikuwa hana mke na hajawahi kuoa
@abbasmohamed6208
@abbasmohamed6208 5 лет назад
Much credit kwako presenter. Thank you Dr. Issac kwa elimu fupi ulio tupatia 🙏
@msowanelson5452
@msowanelson5452 5 лет назад
Dr uko poa umedadavua kiundani kweli upo poa sana
@mahuvesebastian1916
@mahuvesebastian1916 5 лет назад
So surprise with Dr isack....upo kama fredy waa...sauti out with voice
@issacallando6222
@issacallando6222 5 лет назад
Respect Dr Issac poleni watanzania😭
@slayingtee6044
@slayingtee6044 5 лет назад
Ugonjwa unaitwa acute renal failure,,,ushauri ni kunywa maji sana...
@dullahmodo4651
@dullahmodo4651 5 лет назад
Sister Kwan ww unafani us udikatari?
@calebmasaba5815
@calebmasaba5815 5 лет назад
Dah AKD dawa yake kunywa maji sana seriously?
@sirchuti
@sirchuti 5 лет назад
Kindly stop misleading on this health topic where you don't have a clue. Acute kidney failure once it occurs survival chances are minimal
@ismaelmanhica790
@ismaelmanhica790 5 лет назад
Poleni
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 5 лет назад
Daktari ana tiba Mungu ana ponya au achukue. Yote ni za ulimwengu. Asante Dr
@yohanamapunda2654
@yohanamapunda2654 5 лет назад
Mshkaji ana Phd huyo msimchukulie poa.... big up
@michaelbigvai1199
@michaelbigvai1199 5 лет назад
yohana mapunda people take too simple... IQ kubwa sana hii ya isack
@yohanaiulengo8480
@yohanaiulengo8480 5 лет назад
yohana mapunda Nikweli mzee baba jamaa yuko nondo big up pia kwasababu unajina kama language.
@dativaherman9235
@dativaherman9235 5 лет назад
PHD sio mchezo
@yohanamapunda2654
@yohanamapunda2654 5 лет назад
@@dativaherman9235 ndio hivyo alikuwa anasoma Japan kama unakumbuka kunakipindi njia panda alikuwa anaongoza kipindi akiwa huko japan masomoni sahzi katusua and ana PHD
@yohanamapunda2654
@yohanamapunda2654 5 лет назад
@@yohanaiulengo8480 ahsante wajina hata mimi ninandoto hiyo siku moja niwe na Phd japo fani yangu ni tofauti na ya isack
@hellenlucy5312
@hellenlucy5312 5 лет назад
Mungu ndo Hakim we kweli
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 лет назад
Tatizo la figo nadhani asilimia kubwa watu hatunywi maji ya kutosha MAJI NI MUHIMU SANA
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
ilyn Payne ,Figo mbona inabadilishwa?
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 5 лет назад
Interview bora kabisa Ww mtangazaji nakuona mbalisana ukizidisha jitihada..
@ashasaid3828
@ashasaid3828 5 лет назад
kama damu tu ukibadilishiwa unaumwa kama kichaa je figoo.ee mungu msaidie uyu boss ruge kaumwa sana
@albertkimaro1678
@albertkimaro1678 5 лет назад
Nimekuelewa sana. RIP ruge
@nasibukapati5801
@nasibukapati5801 5 лет назад
Mimi naamin kuwa maombi yana nguvu sana hvyo kama ugonjwa wa ruge ungewekwa waz tungemuombea kwa maombia ya nguvu angepona tu Kama tumeweza kumuombea tundu lisu akapona tusingeweza kumuacha ruge afe ee mungu mlaze mahali pema pemoni
@kimomwemotors5293
@kimomwemotors5293 5 лет назад
Allah akipanga amepanga huwezi pangua.
@mumybhay4984
@mumybhay4984 5 лет назад
Nasibu Kapati ..cku yake imefika.ucngeweza kuizuia hata kwa dua na maombi ya aina gani..aandikalo mola hua halifutiki ..mungu hakufanya makosa kuchukua mja wake..hakuna cha dua wala maombi..cku ikifika hakuna anaeweza kuzuia.kaka.tucjisahau.
@aliadinafabian4543
@aliadinafabian4543 5 лет назад
Nasibu Kapati ,kufa kuko palepale
@alfredmnzava3295
@alfredmnzava3295 5 лет назад
@@kimomwemotors5293 Allah hapangi kifo, ikukae akilini.
@mauwam3627
@mauwam3627 5 лет назад
Unasemaaneno.ayo wew hivi kwel.una iman na dini yako lwan kwenu hakuna mtu alikufa acha zKo mwenyez mungu akisema saiv mda wako tayar utaondoka tu kikubwa ni kumuomba mung tumalize salama dunian
@ashasalum9637
@ashasalum9637 5 лет назад
Umejibu vizuri dr isaac hujajibu crash umetuelimisha pia
@deusdedithcyprian410
@deusdedithcyprian410 5 лет назад
R. I. P ruge but nilifikiliaga izack ni bonge la mtu kumbe kakijana kadogo, mie nakukubari speech zako bro
@wangestephen9467
@wangestephen9467 5 лет назад
Daah !! Pesa haikufaa kitu boss amekwenda rest in peace boss ruge
@maryraphael7995
@maryraphael7995 5 лет назад
Life is too short jaman 😭😭
@azizaamry9167
@azizaamry9167 5 лет назад
nampenda sana isac maro so mwaaaaa
@neemasalum950
@neemasalum950 5 лет назад
R. I. P
@kidphantom142
@kidphantom142 5 лет назад
Uruma snaa Kweli kama wamuamini bonyeza apa
@samykrip6260
@samykrip6260 5 лет назад
vyanzo vya ugonjwa wa figo: kisukari,shinikizo la damu,autoimmune deseases,magonjwa ya kuambukiza ambayo ushambulia mfumo wa utoaji taka mwili,matumizi ya pombe kali,matumizi holela ya madawa mfano antibiotics,kutokunjwa maji ya kutosha , magonjwa ya mishipa midogo ya damu na sumu .
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 5 лет назад
Nimejifunza
@mudizzotz7908
@mudizzotz7908 5 лет назад
R.I.P pumzika kwa amani
@kairanmahmoud5234
@kairanmahmoud5234 5 лет назад
ALL IN ALL kazi ya mungu haina makosa na kifo ni ahadi ya mola wetu
@dnmedia3172
@dnmedia3172 5 лет назад
Dr Issac kumbe ndo ulvyo ckudhania km utakuwa na minywele hyo duuuuuh but Rip
@najatmgaya974
@najatmgaya974 5 лет назад
Anakuaga ivyo mbona
@aishamabiruhatar5932
@aishamabiruhatar5932 5 лет назад
@@najatmgaya974 hajawahi muona huyoo
@sadahaluna1768
@sadahaluna1768 5 лет назад
Dr. Isaac mbona uko tofauti na sauti yako,, all in all rip ruge
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 лет назад
BONGO DAILY TRENDING NEWS hahahahaaaahaah kumbe kayanki tu nilizani daa bonge la kitu mzee
@pendotitu7754
@pendotitu7754 5 лет назад
BONGO DAILY TRENDING NEWS 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@giftwhiteson1667
@giftwhiteson1667 5 лет назад
Rest in Paradise legend
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 лет назад
Acute Kidney Disease siyo kweli. Haimfanyi mtu akasumbuka kwa muda mrefu. Ni reversible condition. Unless anaongelea Chronic Renal Disease to End Stage Renal Failure. Causes zinaweza kuwa divided into pre-renal, renal na post-renal. Uchunguzi unalenga katika hizo causes. Sababu zipo nyingi tu.
@bennylove6021
@bennylove6021 5 лет назад
RIP
@joelntile9078
@joelntile9078 5 лет назад
Jamaa anajua sana
@shakaboyshumaka823
@shakaboyshumaka823 5 лет назад
(kilakitu kina sababu specially ktk MAUTI, hakuna anae fariki bila kupatikana reason pamoja nakua kila mmoja wetu ataonja KUFA) but prevention ni muhimu kwa binadamu. kunywa maji sana nikuiprevent kabla ya kupata tatizo la Kidney, baada ya kugundulika tatizo, kutokana na maelezo ya Dr Isac Maro hazikufuata hatua zilizo stahinki ,
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 лет назад
Nimejifunza kitu wacha niaze kunywa maji coz huwa sipendi kunywa maji Sana
@erickbakamaza8114
@erickbakamaza8114 5 лет назад
Mtangazaji unajua
@alicenadiope2038
@alicenadiope2038 5 лет назад
Why him?soo sad selikale would have done something kidney failure omg RIP +4179
@dullahmodo4651
@dullahmodo4651 5 лет назад
Dk isak unapatika wapi kwani maelezo yamenitoshela ukiacha kufanya kazi clouse unaofis wapi?
@geofl32
@geofl32 5 лет назад
Yupo TMH Sinza
@msowanelson5452
@msowanelson5452 5 лет назад
Kumbe yanaitwa mafigo
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
😆😆😆😆
@sadahaluna1768
@sadahaluna1768 5 лет назад
😂😂😂
@blesseddeebrownie7334
@blesseddeebrownie7334 5 лет назад
ukimaanisha ulikua hujui kidney kwa kiswahil ni figo?😂😂
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
@@blesseddeebrownie7334 ameshangaa wingi wa figo
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
@@blesseddeebrownie7334 kiswahili kimepita kushoto
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 5 лет назад
Great Loss.
@KIZOB
@KIZOB 5 лет назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@samsonmanyaha7729
@samsonmanyaha7729 5 лет назад
Wanasayansi wengi hua na minywele
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 5 лет назад
Mmmhh wewe
@boniphacejonas4109
@boniphacejonas4109 5 лет назад
Halafu msiumie sana kama vile mmeanza kuona watu wanakufa jitasimini ww unae fuatilia zamu ya mwenzio kwenda kwa baba
@kingkhanjunior4930
@kingkhanjunior4930 5 лет назад
FACT.....💯💯👈👈
@zakayombangoissaya5697
@zakayombangoissaya5697 5 лет назад
kiukweli huu msiba kila Leo nalia hivi kweli sitakuona tena Ruge
@marymasawe6764
@marymasawe6764 5 лет назад
Kwani figo haitolewi
@saoamy7168
@saoamy7168 5 лет назад
Iende wapi
@elizabethjohn6483
@elizabethjohn6483 5 лет назад
Yani dcr isac MUNGU azid kukutunza ulinisaidia sana pale muhimbili sasa figo yangu inaendelea vzr nipo vzr maji nakunywa sana ubarikiwe sana
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 лет назад
Uwa yaweza kutolewa na ukaekwa nyengine ata nashindwa kwa nini walikuwa wanapenda na ni mtu alikuwa akisaidia watu.. Mbona moja wao akutokezea kumpa Figo moja
@godfreymgaya2025
@godfreymgaya2025 5 лет назад
Huyu jamaa amepotosha sana...Inaonekana hayupo kwenye field ya udaktari muda mrefu so kasahau vitu vingi..The best way ilikuwa ni kunyamaza kuliko kupotosha coz kuna watu wengi wanamwamini
@benedictamaganga614
@benedictamaganga614 5 лет назад
Godfrey Mgaya mi nadhani alikuwa anaeleza kwa kifupi na lugha nyepesi ya kieleweka kwa watu wasio.na fani ya udaktari. Saza km. Amepotosha hebu wewe weka sawa alipokosea.
@jamesmakundi9564
@jamesmakundi9564 5 лет назад
kabisa bora angesema mie msemaji wa ugonjwa wa marehem, coz tunawagonjwa wa figo tunawatibu muhimbili wanaish zaid ya miaka 8 na maisha yanaenda vzuri, naic kuna zaidi ya ugonjwa wa figo aliokua anaumwa boss ruge
@mariamsemy2924
@mariamsemy2924 5 лет назад
WEWE ULIKUA UNAMAJIBU YAKO NDIO MAANA UNAONA AMEPOTOSHA,NA KUNA JIBU ULIKUA UNALITAKA SASA HUAJALISIKIA,NA KAMA KWELI HAUKUA NA MAJIBU YAKO MSIKILIZE TENA HALAFU UTAJUA KUNA NINI KAKWEPA.TUSIWE HIVYO BIANADAMU JAMANI
@abubakaralliy8435
@abubakaralliy8435 5 лет назад
Lete ww shule bas
@godfreymgaya2025
@godfreymgaya2025 5 лет назад
@@abubakaralliy8435 Udaktari sio area of ur expertise so huwezi kuelewa..Sijawah kucomment youtube so I am out
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 5 лет назад
Mtangazaji mbea sana huyo mdaku ana lazima kujua labda aliwekewa Sumu ama ni Drugs kali alikua anatumia yani lazima Mtangazaji anataka aambiwe hivo na Dr ashasema ni sababu nyengi hutokea na hawezi kusema ni gani.. Stupid People wallah watangazaji wengine bure kabisa
@mariamsemy2924
@mariamsemy2924 5 лет назад
NAPENDA WATU WENYE AKILI KAMA WW SIO YA DARASANI N YA MAZIWA YA MAMA ULIONYONYA.MSOME NDUGU HAPO JUU GODFREY MGAYA,NAYE ALIKUA ANATAKA MAJIBU KAMA YA MUULIZAJI.
@mosesmkoma6882
@mosesmkoma6882 5 лет назад
Ichi ni kichwa kingine bora kabisa CMG Dr isac
@Aidenkuye
@Aidenkuye 5 лет назад
🤣🤣🤣4:40
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 лет назад
Tuzitunze figo jamani.
@ikombebusisi9017
@ikombebusisi9017 5 лет назад
ukisema alikuwa kiongozii hivii aisee mm sjaelewaa aisee mm najuaa rugee alikuwa DJ tu zaidii ya hapo mjanjaamjanjaaa tu sasa mbona wat mnajichamganyaa bana
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Yunge Fumbuka ,utazitunza tunaziona??
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 лет назад
huyo alikuwa na ukimwi na alijijua toka zamani kuwa muda wowote Atakufa, ndiyo maana alitoa husia mapema ikiwa yeye atakufa basi watu wasilie ila washeherekee. Na ndiyo maana dkk za mwisho alijitahidi kuwa mwema ili akumbukwe kwa mema yake...habari ndiyo iko ivyo.. nyie hamuoni tu mtu yuko na pesa ila afya yake haikufanana na mtu mwenye pesa.
@bayanamiraji9288
@bayanamiraji9288 5 лет назад
Annas Suleiman ivi kumbe madoct wa kupima mtu kwa macho Bado wapo!
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 лет назад
Hauwez kushindana na mwanadamu.mwenye kinywa
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 лет назад
@@bayanamiraji9288 bado tupo na huwaga hatubahatishi, sijawahi kukosea hata siku moja kwa lumuelezea mtu namna alivyo na atakavyokuwa kwa muonekaniko wake tu.
@marymgema5094
@marymgema5094 5 лет назад
Annas Suleiman Mungu ajuhurumie
@nyakoremarioba1539
@nyakoremarioba1539 5 лет назад
Ulitaka kitambi najua. Pole sana...kitambi ni umasikini naugonjwa.
@MOMBASARAHA
@MOMBASARAHA 5 лет назад
Ruge Mutahaba Euology (R.I.P) ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_wRfgQfr0zY.html
@ramsonkupela5542
@ramsonkupela5542 5 лет назад
Daktari ulimaliza course au ulidisco? Poor analysis kabisa
@petersume2780
@petersume2780 5 лет назад
anaficha kusema ukweli
@ramsonkupela5542
@ramsonkupela5542 5 лет назад
@@petersume2780 yawezekana kweli. Maana hata mtu wa Biology form 2 anamshinda.
@raphaelraphael5791
@raphaelraphael5791 5 лет назад
Wabongo bhna kosoa alafu toa mbadala sio kukosoa tu
@shukurusaria3051
@shukurusaria3051 5 лет назад
Elezea bhasi mkuu ww unavyoelewa
@calebmasaba5815
@calebmasaba5815 5 лет назад
Tuelezee basi indeep ndugu hiyo biology ya form 2
@augustinoktito8803
@augustinoktito8803 5 лет назад
R.I.P
Далее
How do you store FOOD in Italy
00:23
Просмотров 1,6 млн
Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
20:09
How do you store FOOD in Italy
00:23
Просмотров 1,6 млн