Тёмный

DUDU BAYA AFICHUA MADUDU YA SARAH WA DIAMOND, WAMEFANYA UPUUZI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@mustafamichenje7020
Nazipenda sana interview za Dudu Baya. Najifunza mengi sana. Mustafa Michenje from Pemba Mozambique❤
@wapnewsTv
wote tunaomkubali dudu baya like ziwe nyingi hapa
@AllenMwalimu
Bro wew ni mkubwa Tanzania..be blessing bro
@DonMooSTUDIO_Express
Mtangazaji unapendeza sana ukivaa hivyo. Nimefurahi kuona umeendelea kuvaa mpaka baada ya mwezi wa Ramadhan. Sidhani kama kukaa mwili wazi ndio kupata mafanikio katika jambo lolote. Vaa zako stara, piga kazi unapendeza sana 100% unavutia sana ukiwa umevaa stara ❤ Hongera kwa hilo dumisha stara ❤
@abelmbijima4324
Dudu baya nakukubali sana kijana wangu you're very very genius fanya tuwasiliane kuna vitu nataka ni share na wewe
@user-jb7nh5pp2e
Bigger up dude baya...unajua kuelezea....
@shabansumaiya4770
Umepngea ponti sana
@user-xc5or1ph8x
chini ya utatu mtakatifu Ameen
@DonMooSTUDIO_Express
Mtangazaji jaribu kuwa unaangalia video zako ukivaa hivyo na zile ukivaa kihuni uone wapi unavutia... Hapo ukovizuri sana dada angu ❤ endelea kuvaa mavazi ya stara. Hata ZUHURA YUNUS aliyekuwa wa BBC alikuwa akivaa stara siku zote na alikuwa maarufu na aloporudi Tz kapata ajira nzuri tu na yupo ktk vazi lake. Raisi wetu mama Samia ❤ hadi raha kwa mavazi yake ya heshima. Hakuna vazi la kiisilamu na la kikristo sote tuvae nguo za heshima kwa wanawake wafunike vichwa vyao wataheshimika ❤
@elvisnzovu8282
Nakuelewa sana, kuishi na mwanamke miaka mingi sio kigezo cha kumuoa
@mariamalongo8803
Du bara ni ❤❤
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 28 дней назад
Dudu ❤❤
@damianwambura8314
Mbengo TV wanampenda sana dudu
@GeraldSwai-ty1hr
❤ mamba dudu baya
@shukranisibale1739
Eti kulinda walevi
@user-el7vo4up8n
Muwe mnamlipa bhana
@SamwelEdward-on7if
Dudu baya ana akili nyingi sana ! Na anakipaji Cha kujua mambo m engine sana kongole sana kwake !
@SamidaKhamis-vm7od
Yup know how to explain big up
@blacksingapore
Leo nimekuwa wa kwanza eti ku watch,😂😂
@D-Man.B-Free
Dudu baya ni level nyingine
Далее
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 3 млн
I Built 3 SECRET Rooms In School!
33:34
Просмотров 13 млн
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 3 млн