Тёмный

DUDU BAYA AFUNGUKA MAZITO KUTUMBULIWA KWA NAPE NNAUYE/muimi nimefurahi sana 

BONGO 24 NEWS
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@kelvinmalahu3522
@kelvinmalahu3522 Месяц назад
Daah Nilikuwa Nakuchukuliaga Konki Bangi Bangi Kumbe Kichwani Akili Imetulia. Safi Sana Ngosha Umeongea Point😂🎉🎉
@user-nz8bv6xn9r
@user-nz8bv6xn9r Месяц назад
Konk master vzr nakkbal wakat unazungmza ishu ya nape mm nlkusapoti mpaka nkasema mm sio mwanasiasa lakin kwa utumbo huu wa nape naanza harakati za kisiasa kukomboa nchi ameizalilisha sana chama chetu
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Месяц назад
Ukiona mtu yupo Ccm lazima uwe na wasiwasi na uelewa wa akili yake huwenda Kuna masilahi anapata tofauti na hapo ni mjinga wa akili.
@daniellaurent800
@daniellaurent800 Месяц назад
Dudubaya....uko very smart. Keep it up msema kweli
@willenmtafungwa1920
@willenmtafungwa1920 Месяц назад
Huyu jamaa huwa anaongea point sana.👏🏾👏🏾 Big up Dudu baya
@erickmuli1030
@erickmuli1030 Месяц назад
Mungu akusimamie Konki,tuendelee kutetea maslai ya wananchi tutafika tu! Tanzania nchi yetu❤
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k Месяц назад
Hongera sana kaka dudubaya kutujuza mengitusiyoyajua mungu akuweke zaidi
@ndementriavermand8010
@ndementriavermand8010 Месяц назад
walah sikuwahi kidhani huyu msami yupo vizuri hivi keep it up brother umechambua Hadi raha
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 Месяц назад
Wasukuma ni kbila linauchungu san na hiyo nchi ya tanzania na wazalendo wa kweli
@geey7893
@geey7893 Месяц назад
Sure, mwangalie Biteko na Makonda
@augustuss4503
@augustuss4503 Месяц назад
Mimi ni mngoni na nakubali , wasukuma wapo vizuri sana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Месяц назад
Msema kweli konk master msulimoto
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Dah uko vizuri sana kaka
@djmurphyoffcial3595
@djmurphyoffcial3595 Месяц назад
Huyu konk aangliwe Kwa jicho latatu aki tengeneza anaweza kua Kijana Bora Kwa taifa anakitu kikubwa Cha tofauti Anauthubutu pia na akipata sapot Mtaona ujasiri wake katika faida
@EnockChingula-gw1po
@EnockChingula-gw1po Месяц назад
Konki apeweuwaziri wa michezo atafanya vizuri
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Месяц назад
Hakika huyu jamaa tangu movement za kuteta haki za wasani akimpinga Mwana Fa nilikubali anakitu ilikuwa 2010.... Anafaa kuwa waziri wasekta husika sanaa itapata mtu
@cassianhaule3681
@cassianhaule3681 Месяц назад
😂😂😂ndeza wewe waambiwe ukweli ila uwe makini watakufinya hawachelewi
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Hivi huyu jamaa anaelimu ganu? Kama elimu yake inatosha atafutiwe kitengo cha uchambuzi wa masuala ya kusiasa kokote kule. Lakini pia hata kwenye chama chochote anatosha kukisemea chama. Kiufupi jamaa ana madini yakutosha nimesikia interview zake nyingi yuko vizuri mno.
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 Месяц назад
Magufuli nitaendelea kumkumbuka kama Rais mwenyemaono ya nchi baba pumzika Kwa amani mchapakazi
@ValelianMbuma
@ValelianMbuma Месяц назад
Huyu jamaa ana uelewa wa vitu vingi sana safiii
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 Месяц назад
Damu ya Magufuli itawalilia Hadi wa Mwisho Kila aliyemsaliti atasalitiwa
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 Месяц назад
Mungu alali... Damu yake... Ipo siku watakuwa kujua.
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Месяц назад
Zimwi la JPM halitawaacha salama
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Месяц назад
Didubaya uwa sikuelewi ila Leo nimekuelewa uko vizuri Kuna kaukweli frani
@JuliusTanzania
@JuliusTanzania Месяц назад
Umeongea vizuri sana brother. Nina imani aliyeteuliwa kusimamia Wizara hii ya Sanaa na Michezo akichukua ushauri wako huu anaweza kufika mbali zaidi.
@saviomlelwa
@saviomlelwa 28 дней назад
Huyu jamaa anajielewa na anajua Mambo mengi Sana.. Apewe kitengo.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Месяц назад
Your hero bro natamani hata siku moja nikuone live
@michaelkojesa7741
@michaelkojesa7741 Месяц назад
Huyu mwamba naomba awe anaingia live Instagram tunaongea nae atuone watanzania mana Kuna vitu anavyo vya ziada sanaaa❤
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c Месяц назад
Konk una point sana Mzee baba♥️💯
@albertjames6845
@albertjames6845 Месяц назад
Huyu jamaa yuko woke kuliko wanavyomchukulia baadhi ya watu. Yuko vizuri kichwani
@michaelkojesa7741
@michaelkojesa7741 Месяц назад
King konki🙌🙌👑
@bonymawenya679
@bonymawenya679 Месяц назад
Dudubaya nakukubali Sana mjombaaa Mungu akulinde....
@starjay3052
@starjay3052 Месяц назад
wanaomba omba nguo 😁😁 naijua iyo ndio zao umepiga kwenye mshono
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Месяц назад
Dudu baya vema sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Alpha-ff5sf
@Alpha-ff5sf Месяц назад
Nakukubali sana Mr konki ila Yale matusi uliyomtukana Shetta duh hatari sana
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn Месяц назад
Nape alikua mnafiki Sana maripo ni hapa hapa Duniani konk master shalp bro
@user-us6ee5dr8r
@user-us6ee5dr8r Месяц назад
Huyu Jamaa Kichwa Sana, Sio Dudubaya yule wa enzi zile. Jamaa Kawa mtu nanusu, namfatilia Sana interview zake skuizi
@AsBd-r8u
@AsBd-r8u День назад
Kweli hapo nimempongeza Raisi
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад
Jamani Dudu baya apewe uteuzi ata mkuuu wa wilaya au wizara ya sanaaaa hiki kuchwa kinajua mambo Mengi kina siriiiii nyingi sana
@annasimon9296
@annasimon9296 Месяц назад
Kapime kichwa chako ndugu
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 Месяц назад
Mimi kwa maoni yangu namshauri raisi asitengue tu kama mtu ameiibia serikali pesa nyingi bali atengue na kutaka pesa zirudishwe ila asimfunge ili akafanye kazi zingine za kutunza watoto kama wengi tunavyo fanya kazi huku .sio mtu ana teuliwa ili akaibe kwakuwa hazirudishi eti ata tenguliwa tu..
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p Месяц назад
Poa
@shabanimbega40
@shabanimbega40 Месяц назад
Konki master una busara sana
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Месяц назад
Dudu baya uko vizuri sana
@aswilekibona9861
@aswilekibona9861 Месяц назад
Huyu jamaaa ni kichwa sanaaa
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 Месяц назад
DuDu Baya Anawanyosha kikweli kweli.
@kelvinnassary6165
@kelvinnassary6165 Месяц назад
Konki master ametisha sana ukweli mtupu 🤝🤝🤝
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Месяц назад
Mungu hutumia mtu usiyemdhania kukuokos/kushaur/kukussa nk😅😅😅
@starjay3052
@starjay3052 Месяц назад
😁😁 baba paloko
@habibamfaume9013
@habibamfaume9013 Месяц назад
Hongera mama kwa kufumbuwa macho hao walikuharibia sana
@AmiriShabani-p9n
@AmiriShabani-p9n Месяц назад
Duuh huyu jamaaa kumbe ni intelligent 🧠 kias hiki 🤭
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w Месяц назад
Aisee kumbe hili jamaa linajua sn. Leo nimemkubal rasmi.
@dojachomoka7643
@dojachomoka7643 Месяц назад
Suku moja dudu baya akifa ndio watagundua uwezo wake waku changanua mambo ila sasaivi wana mchukulia poa. Ndio ugumu wa nchi hii
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 Месяц назад
Dudu baya unajua sana,,sanaa yetu Inge fika mbari sana. ,,,DJs wanamaisha magumu sana
@shafiichusi1897
@shafiichusi1897 Месяц назад
konki master.... fact....👊👊👊👊
@SalumRamadhanj-fz2mw
@SalumRamadhanj-fz2mw Месяц назад
We we uko Tanzania gani cheo cha pili kutoka kwa rais ni kipi kama si waziri hawo mama kafanya mazuri hakuna lawama hawafai tena tangia mwanzo siwapendi nape ni mwipwa wangu lakini mdomo umemponza
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Месяц назад
Uko vizuri ila tatizo umakufuli umekukaa sana japokuwa alikuwa wa hoooovyo.
@samtuga6480
@samtuga6480 Месяц назад
Hata wewe kuna watu wanakuona wa hovyo!!
@ZephaniaMashimba
@ZephaniaMashimba Месяц назад
Wasukuma asilimia80 wako vzuri kwanza cyo wanafiki hawawezi kujpendekeza
@dn.n4983
@dn.n4983 Месяц назад
Ni ukweli mtupu Makufuli aliona mbali jamani
@TALLUBOY
@TALLUBOY Месяц назад
Inatakiwa hata wasiludi tena Hawa jamaa wanae jifanya Ccm yakwako kuitia mifukoni Ikiwemo nape na January Wasilud tena KAKA DUDU BAYA UPO MAKINI SANAAAAAAAA MUNGU AKULINDE SANA KAKA YETU WA TAIFA TUTETEE PIA NAWEW FUNGUA CHANNEL YAKO ONLINE TV UTAKUWA UNAINGIZA PESA ITHINK KAMA NIMEIYONA SEHEM DUDUBATA TV SJUI IPO IVYO
@mkalimala3564
@mkalimala3564 Месяц назад
Mamba una kichwa kitamu kwa ushaur unafaa Vijaya wadogo waje kwako kupewa ushaur mpya wa maisha kabla hajaamua kupiga hatua
@DonDesdery
@DonDesdery Месяц назад
Alikua wazir wa habari,na sio habari sanaa na michezo
@user-zt1vu4ho2y
@user-zt1vu4ho2y Месяц назад
Jamaa yupo vzr sn kichwani
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 23 дня назад
dah kumbe, hapo nimekuelewa
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Месяц назад
Hayati Magu alimwondoa na akaomba msamaha lakini alitupwa pembeni hakurudishwa kazini
@ShabaniKindaile
@ShabaniKindaile Месяц назад
Dudu unajua kweli waandishi watangazaji wananyonywa sana huo ndio ukweli maslahi kidogo
@ansilangatoluwa2894
@ansilangatoluwa2894 Месяц назад
Yaani mungu akupiganie, umeongea ukweli,
@sijaonalujinama
@sijaonalujinama Месяц назад
Hata mkomenti matusi ila konki kaongea point.
@HurumaJames-x4i
@HurumaJames-x4i Месяц назад
Konk master umetisha bro
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Месяц назад
Makabila nayo ttizo muangalieni sna wa wapi yule?
@Kenethkalinga
@Kenethkalinga Месяц назад
Safi sana konk
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Месяц назад
Kichwa sna segment ya siasa inakufaaa jipange ugombeee ubunge
@user-kw8ng6gf3q
@user-kw8ng6gf3q Месяц назад
Respect bro
@user-gs1qw5on1b
@user-gs1qw5on1b Месяц назад
Mama ampe dude baba shavu ht awe mkuu wa wilaya bunda atetee wachimbaji,uchumi wa bunda umeshuka cna,
@merinakassembe118
@merinakassembe118 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉dudubaya🔥🔥🔥🔥👍👍👍
@EmanuelMwamwaja
@EmanuelMwamwaja Месяц назад
Umeeleweka vizur sana
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Duuuh uaga nakutukana ilaa leo nimesalenda uko vizuli
@francismgusi5388
@francismgusi5388 Месяц назад
Baba Wile huyo.
@peterkayanda5782
@peterkayanda5782 Месяц назад
Akili nyingi sana konki
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Nape hana akili kbsa Yaan kila wakt hana haya anajicfia kua ni bngwa wa kuiba kura Tn anasaidiwa na tume ya uchaguzi? Hii tume ynyw pia ilitakiwa ijiuzulu
@apollokayungi4090
@apollokayungi4090 Месяц назад
Apollo Kayungi wa Uhindini Dodoma M'kiti na Wajumbe Asalaam Aleykhum WWB natumaini mmeamka Salama,Watumishi wa Umma tuwahudumie Wananchi kwa kuzingatia "Mkataba kwa Mteja" Maendeleo ya Nchi yapo Mikononi Mwetu.
@shabanimbega40
@shabanimbega40 Месяц назад
Mama mruhusu konki master awe mshauri wa mwana FA kuondoa dhuruma kwa wasanii
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Tanzania ni tajiri watu wanateseka kwasababu ya uongozi mbaya
@JosefuSwai
@JosefuSwai Месяц назад
Mtu ukifeli maisha kila mtu unamuona mbaya kama dudu baya kaka acha kelele
@geey7893
@geey7893 Месяц назад
Huna akili ya Kuchambua hoja nzito kama yeye😂 acha kuumia
@EricaFrancis-kb5el
@EricaFrancis-kb5el Месяц назад
We nawe mwiz tu km kina nape
@user-qp2lc1ri2n
@user-qp2lc1ri2n Месяц назад
Mama upo sahihi❤
@user-gs1qw5on1b
@user-gs1qw5on1b Месяц назад
Francis nyamborya nakushukuru cna konki,huyo nape hafai
@kingkendrickk
@kingkendrickk Месяц назад
Konki master mwaga moto
@SweertbertPhilimon
@SweertbertPhilimon Месяц назад
Konki tatu big up
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g Месяц назад
Mimi ningependa kujuwa kuhusu dudu je yeye ni mwanaharakati au ni msemaji au ni mwanasiasa Kwasababu naona kila jambo anajitokeza na kulisemea liwe la kisiasa aidha mziki ebu tuweke wazi tujuwe uko upande gani bwana dudu
@kelvinmhanga3052
@kelvinmhanga3052 Месяц назад
Huyu ni mzalendo, kiufupi mzalendo anatakiwa kuifaham vyema nchi yake na huyu anaifaham kiasi chake
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Месяц назад
Dudu bay da nisahe san kwakukusema vibay ukovizuli
@augustinemainde
@augustinemainde Месяц назад
Konki bwana haishiwi!🎉🎉🎉
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Месяц назад
Kuusu nape niefurahi kwa sababu alimponda sana magufzmuli pia
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 Месяц назад
Ww ni Jembe
@ommyj-four6463
@ommyj-four6463 Месяц назад
sawa konk nape hamna kitu
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k Месяц назад
Kwanini rais samia asikuteue utajuzemengi maana unatujuzaa zaidii
@modestamakoye9319
@modestamakoye9319 Месяц назад
Ulo sswa❤
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Месяц назад
Wakufe kabisa wezi wakubwa
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 Месяц назад
Bado saa yamwisho tuna wasubiri mtani kwenye uchaguzi tuwapige chini kwa kauli zao
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 Месяц назад
Na bado mwingine ndio jambazi kubwa lao lazima atoke nae kwa staili yeyote ile
@MaarifaMaarifasnr
@MaarifaMaarifasnr Месяц назад
Bado nani hebu tupe za ndaaaaani
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 Месяц назад
@@MaarifaMaarifasnr anajijua
@kinigarm8239
@kinigarm8239 Месяц назад
Nadhani Ile radio ya chawa wa diamond ni ya Nape.
@lucygodwin7590
@lucygodwin7590 Месяц назад
Safi sana
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE Месяц назад
Kumbe jamaa anaongeaga point hivi sijawahikumsikiliza et.
@kelvinmhanga3052
@kelvinmhanga3052 Месяц назад
njaa ipo kwa Kila mtu na ukitaka uwakilishe vyema njaa Yako kijue unachokiongea au unachofanya ili uzime njaa Yako kaka uko vizuri kwa sababu unajiandaa vyema
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
Konki kama Konki napenda sana kufuatilia interview zako mdogo wangu
@PeterSamo-g7j
@PeterSamo-g7j Месяц назад
Godfrey Tumaini A.K.A DuduBaya
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Месяц назад
Huyu ndio Dudu baya konk
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Месяц назад
Ukiona mtu yupo Ccm hakika lazima uwe na wasiwasi wa uelewa wa akili yake.Watu wengi wapo ccm kwa masilahi yao binafsi.
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Месяц назад
SASA MTU kama konki du Baya janky mjinga mpumbavu anapewa nafasi aonge siyasa au mambo yanayo husu jami jamani mnakosea wapi nyinyi wenye media mnakosea
Далее
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36