Тёмный

DUDUBAYA ACHARUKA, AWATAJA WASANII WACHAWI, ATOBOA SIRI YA MR BLUE, UGOMVI WA SUGU NA CLOUDS 

Mino TV
Подписаться 152 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Jiunge nasi kupitiaa mitandao yakijamii Facebook, Instagram na Twitter gusa link za zetu apo chini.
.
FACEBOOK: / minotv
INSTAGRAM: / minotv_tz
TIKTOK: / minotv_tz .

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@agpoison1
@agpoison1 2 месяца назад
Mmmh una maneno makali sana broo
@ramadhanurassa2410
@ramadhanurassa2410 2 месяца назад
Inaitwa Freedom
@AnthonySindabaha-de3xb
@AnthonySindabaha-de3xb 2 месяца назад
Mziki sio chakula cha roho ni chakula cha nafsi ilioungana na mwili. Roho inachakula chake mpendwa ambapo wengi hawajui.
@ednahumazi777
@ednahumazi777 2 месяца назад
Huyo dudubaya hata yeye ni mchawi ameishiwa asema ukweli
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Unaanza kuwa chawa dudu, unamshobokea jay, wewe mziki wako uko wap, au mziki umekufanyia muujiz gani?!! Acha maneno mengi!!.
@omarirama4297
@omarirama4297 2 месяца назад
Kwanini jamaa hatozi mkwanja kufanyiwa interview?
@AbdallahMpwatile
@AbdallahMpwatile 2 месяца назад
Dudu Kama Dudu
@OmarNgunde
@OmarNgunde 2 месяца назад
Dudu baya nakuunga mkono unayoyasema yote kwa mtazamo wangu
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 2 месяца назад
Sasa we Dudu Baya una nini hasa hadi hao Clouds fm wakunyenyekee? Ulivyo mnafiki sasa. Huku mitandaoni unawa ponda Clouds fm. Lakini vipindi vyao unavi sikiliza.
@NoahMwanjalila
@NoahMwanjalila День назад
We ndo mnafk
@khamis9187
@khamis9187 2 месяца назад
Umeishiwa wewee!!, uyo jay hakupi ata ela ya kula apo...kacheze unakochezaga, ulishindwa kuutumia vzuri mda, sàaiz unamponda mh.sugu, sugu ni mwamba..
@kawingasimkoko1391
@kawingasimkoko1391 2 месяца назад
Huyu ana loho nyeupe kwa wasanii wenzake wao ndo wana mkunjia
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 2 месяца назад
Dudu baya île magonjwa IKO nayo ni virus vya ukimwi njo maana ma dactari walimupa conditions za ma zoezi IKO njo na ukimwi magonjwa gani isio kuwa na mwisho ?
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 2 месяца назад
Unao uakika?
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 2 месяца назад
@@achawanunetv1167 ndio IKO na ukimwi magonjwa yake aya pone kwa sababu gani
@abdullahwaziri5499
@abdullahwaziri5499 2 месяца назад
Kwanza jifunze kuandika kiswahili bwege wewe hapo unaamini una afya njema?wacha Umaku shauri yako utapakatwa
@ayubzaka1598
@ayubzaka1598 2 месяца назад
Hahahaha
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 2 месяца назад
@@abdullahwaziri5499 matako Yako kima weye asa ni kwa nini yeye Dudu baya ana penda Ku tukana watu
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 295 тыс.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
UTACHEKA BABA LEVO ALIVYOMTANIA MR MANGURUWE ,DODOMA
13:48
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 295 тыс.