Тёмный
No video :(

DUDU BAYA AMCHANA MANARA KUHUSU MAKONDA| PUNGUZENI DHARAU SASA MMEUMBUKA 

Maximum Tv Online
Подписаться 449 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@aishaissa2512
@aishaissa2512 9 месяцев назад
Napenda huyu jamaa huwa nimkweli sana🎉🎉🎉dudu baya❤❤
@nazirjorgedasilva
@nazirjorgedasilva 9 месяцев назад
Dudu baia salute.mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@augustinhopastory1142
@augustinhopastory1142 9 месяцев назад
NO BAD ENERGY, ALL THE WAY UP HOMEBOY @Dudubaya
@dassustephen731
@dassustephen731 9 месяцев назад
Sikuwahi kudhani Dudubaya ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujieleza.Hongera yake
@user-th9dr8uj3i
@user-th9dr8uj3i 9 месяцев назад
konki the dudu baya pole Sana kaka mwenyezimungu mkubwa atakulinda Amina ,Mimi wako master karongo king of lindi
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 9 месяцев назад
DUDU BAYA UNA KITU CHA KIMUNGU NDANI YAKO AMBACHO WATU WENGI HAWAKIONI NAKUPENDA SANA NAKUKUBALI SANA ❤❤❤❤
@saidaal1679
@saidaal1679 9 месяцев назад
😂😂😂ila konki bwana.😂😂 machawa popote mlipo kula chuma hicho kutoka kwa konki master leo umenichekesha sana😂😂😂
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@damianmwalyego7870
@damianmwalyego7870 9 месяцев назад
Konki anaogopa majukumu, angependa alelewe watoto. Hata hao watoto anaosema ni wake yawezekana aliwaachia mamazao.
@MihayoMageta
@MihayoMageta 9 месяцев назад
Pole sana na Hongera sana wakunyumba, tuko pamoja!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 9 месяцев назад
Kutoka Ugiriki pole sana baharia dudu baya tupo pamoja mzee wakutubuatumbu😂😂😂
@user-yn2lr9qh9y
@user-yn2lr9qh9y 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 9 месяцев назад
Hongera Sana konk kwa kusema ukweli
@SwaumuMussa-xp1zo
@SwaumuMussa-xp1zo 9 месяцев назад
Konki namkubali sanaaa Gongaaa mezaa yani unapenda sana kucheka mda wote ww happy safiì sana bro Mungu atakupa nguvu utapona
@Pedeshee01
@Pedeshee01 9 месяцев назад
Ila mwijaku ana matako mazuri 😍 😍
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 9 месяцев назад
Mwandishi uko poa kwa maswali,konki majibu muruaaaa 🔥🔥
@williammkoba1895
@williammkoba1895 9 месяцев назад
Brother conk nakukubari sana una imani sana ya Mungu barikiwa sana
@user-vl2ux2wl2l
@user-vl2ux2wl2l 9 месяцев назад
Konk master upooo ndugu yanguuu, G nice hapa mwanangu.
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 4 месяца назад
Sasa dudu baya si ufungue kanisa❤❤
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 9 месяцев назад
Pole Sanaa ngoshaaa seba agopeje❤
@sudiabdi4400
@sudiabdi4400 9 месяцев назад
Jamaa yupo vizuli
@serianjamal8254
@serianjamal8254 9 месяцев назад
God bless you Dudubaya and may your mother live longer 🙏 ❤️ yaani maneno yako mengi yamenigusa bro😊
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 4 месяца назад
WEWE MTANGAZAJI YOU ARE SO GOOD / MASWALI YAKO NI YA MAANA SANA KWAKWELI KEEP IT UP MAN KONK MASTER I AM INSPERED WITH YOUR INTERVIEWS YOU ARE THE MASTER OF THE KONK-THE KONK MASTER
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 9 месяцев назад
Niliwamiss wote Zahir na konk master
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 9 месяцев назад
Hapo mwishoni umeongea maneno Konki sana.
@fahidashishi255
@fahidashishi255 9 месяцев назад
Dudu baya njoo uniowe❤
@MrNdanguza
@MrNdanguza 9 месяцев назад
Hahahah
@fahmafahmavas
@fahmafahmavas 13 дней назад
Hahahahahahaha hahaahhahahahahaahahahahahahahhaaahahahahaaaahahahahaahaaaaahaahahahahhahahahahahahahahaahahahahaha
@piucomuga3375
@piucomuga3375 9 месяцев назад
Respect brooo
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 9 месяцев назад
Nakupa tano
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 9 месяцев назад
Akili nyingi dudubaya
@ASTONVILLA_254
@ASTONVILLA_254 7 месяцев назад
Amen Oili chafu Kama Yesu yupo nasi tuko Konki mara 3
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 4 месяца назад
Konk konk konk master ❤❤
@user-bs4oh4cf1n
@user-bs4oh4cf1n 9 месяцев назад
Big up mamba👆
@benjaminmartin4548
@benjaminmartin4548 9 месяцев назад
Upo vizuri Ila tafuta mke u owe mama atafurahi zaidi. Uzee unakuja.
@khadijahussein5298
@khadijahussein5298 9 месяцев назад
Pole sana dudu baya😔
@bonefacejoseph4850
@bonefacejoseph4850 9 месяцев назад
Baba levo huna lolote kazi kuchunga wanaume wenzako
@OnlyRuky
@OnlyRuky 9 месяцев назад
Mmmmh hapo clouds amewasingizia tena Dahuu yupo very careful kwenye kipindi chao tena huwa ana mdhibiti kweli Mwijaku asije pitiliza kuropoka hata kwa bahati mbaya haijawahi tokea
@barikimakessy9542
@barikimakessy9542 9 месяцев назад
Pole sana ila tafuta mke uoe yeye ndiye angekusaidia mambo ya uani siyo mama yako
@frankmganda2424
@frankmganda2424 9 месяцев назад
Konki nakukubali broo
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 9 месяцев назад
konki afya imerudi hongeraaaa !
@Ramadhaningamba
@Ramadhaningamba 9 месяцев назад
Jamaa afichi kitu
@emmanuellaurent-uw7ym
@emmanuellaurent-uw7ym 9 месяцев назад
Angusha piano kali konk achana na ishu za ngumu
@serekachacha-zg2vp
@serekachacha-zg2vp 9 месяцев назад
Ndomaana huyo baba levo mashavu yamemshuka kama mbwa wa wema sepetu
@khadijahussein5298
@khadijahussein5298 9 месяцев назад
Ahahahha
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 9 месяцев назад
Mungu anakuona 😢
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 9 месяцев назад
Jamaa huyu ni kichwa na haongei uongo
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 месяцев назад
Hata wanaume wanapaka bwana. Ndio maana mnakuwa na Ngozi mbaya
@mohameddabwa7923
@mohameddabwa7923 9 месяцев назад
Mwamba ulitupiwa jini asee usiombe dhumuni wakupoteze mzee nimeshuhudia sana watu kadha walio pitia Hali km hy nanikweli dalili zake miguu kuwaka moto au kutoka jasho
@saphinamshana5037
@saphinamshana5037 9 месяцев назад
Pole sana namimi naumwa kama wewe hospitali hawajaona naomba uniambie dawa
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 9 месяцев назад
Pole sana dudu baya
@MawazoMwamba-fz5hr
@MawazoMwamba-fz5hr 9 месяцев назад
Pole sana Dudu baya 😢
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 9 месяцев назад
Pole sana Konki
@fridakakiko1217
@fridakakiko1217 9 месяцев назад
pole sana dudu
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 9 месяцев назад
Uwezo wakujisaidia ukiwa umecmama umekua ng'ombe konki
@ephraimmakaranga1795
@ephraimmakaranga1795 9 месяцев назад
Lolekunda uko vzr unanikumbuka
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 9 месяцев назад
Haji Ana ugonjwa wa ADHD, ugonjwa wa akili huo! Msaidieni akatibiwe. Siyo binadamu wa kawaida au IGP amweke ndani 24/4
@stanastana3199
@stanastana3199 9 месяцев назад
Konki umeulizwa mbona huowi jibu inakua ndefu sana bro
@pastorprospermlembasayunip500
@pastorprospermlembasayunip500 9 месяцев назад
Safi sana Dudu baya
@user-xi1pk6ll3e
@user-xi1pk6ll3e 9 месяцев назад
Mwijaku kumbe Huwa anapakwa mafuta?Alafu anageuza eti anapaka mwenyewe.
@danielmarwa3299
@danielmarwa3299 9 месяцев назад
One love mamba
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi 9 месяцев назад
Puttin babalaooo
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 9 месяцев назад
Your right konk,No one know about tomorrow.
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 9 месяцев назад
Mzee wa fact
@Mr.jambotz
@Mr.jambotz 9 месяцев назад
Mambaaaa
@user-xz5xe1ye2s
@user-xz5xe1ye2s 9 месяцев назад
Dudu baya amekua ssaiv
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 месяцев назад
Anaongea vizuri, lakini ataleta story ndefu,,badala ya kujibu
@mwarikimwariki2653
@mwarikimwariki2653 9 месяцев назад
Pole dudu
@deusisindwa616
@deusisindwa616 9 месяцев назад
😂😂😂😂 ndomaana kesi hazikuishi
@adambairu8362
@adambairu8362 8 месяцев назад
Makonda ana Nini? Nyote nyie ni Wauza Unga, Punguzeni hizo. Mnavyozidi kumuandama na maneno ya hovyo,ndivyo anazidi kupendwa na watu wengi. Mtaandika mpaka mkonde.
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 9 месяцев назад
The Dudu, nakukumbusha kwamba kuna mamba wanaishi baharini. Ila pole sana
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 9 месяцев назад
Na huyu Manara big mouth.kazi yake kudsndia mambo 😂😂😂😂 akisikia Makonda basi basi nae kama ushuzi wa ngomani, akisikia Samia anapura na yeye huyo kadandia anaona kazimwa mdomo na FAT basi kupayuka payuka eee
@manarakassimmanara3132
@manarakassimmanara3132 9 месяцев назад
KULIKO mama Yako uchi wake ulivyo kuwa wazi🤫
@eng.mallya9532
@eng.mallya9532 9 месяцев назад
Dudu baya ana akili kiwango kikubwa sana
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 9 месяцев назад
Dudu hapo hukusikiliza vizuri ilikuwa ni miguu siyo makalio
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 9 месяцев назад
Mambaaaaaaa
@EvanceBujiku-dc9rh
@EvanceBujiku-dc9rh 9 месяцев назад
Safi dudu baya konki
@JuniorMasanyiwa
@JuniorMasanyiwa Месяц назад
Dudu ni jembe tena hembe la mambo ziwa Victoria
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 9 месяцев назад
Acheni ushamba kwani binadamu anakosaje mabadiliko kuwa mvi ni kawaidaa kwa binadamu musiwe wajinga kwani nyie hamtabadilika au kuzeeka
@user-gj7dn7vv5s
@user-gj7dn7vv5s 9 месяцев назад
mafala sana unachekaje uzee au ugonjwa,,..?
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 9 месяцев назад
Safisana binadamu kuugua au kupungua ndiyo kawaida kwanza hawa wanafikiri ukimwi lazima ukonde? Watu wameathirika na miili yao iko safi ugonjwa kwa mwenzako leo kesho wewe
@bernardmpakasi9729
@bernardmpakasi9729 9 месяцев назад
52:31 52:33
@nunuuali5316
@nunuuali5316 9 месяцев назад
Kuna kaka wa Ukimwi anaitwa Hepatite acha kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 9 месяцев назад
ni noma
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 месяцев назад
Acha pombe
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 9 месяцев назад
Kwel ngoja afeli figo
@rajabunyambi541
@rajabunyambi541 9 месяцев назад
konk msemakweli
@eddymwaifunga8361
@eddymwaifunga8361 9 месяцев назад
Una Baya konki
@subirajohn728
@subirajohn728 9 месяцев назад
KONK KONK KONK MASTER ! POLE SANA
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 9 месяцев назад
Waafrica kichwani hamna konki ujikomboe akili kwanza
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 9 месяцев назад
Nimecheka wallah kupaka matako mafuta na huyu kumzalia mondi
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 9 месяцев назад
Dah! Pombe noma jamaa kachakaa vibaya 😂😂😂😂
@mussakamando2678
@mussakamando2678 9 месяцев назад
Waandishi stupid kabisa.😢 Hilo swali la kumuuliza kama alipokuwa anaumwa alikuwa na familia yake ama alikuwa peke yake ni swali la kipumbavu!!
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 9 месяцев назад
Kaka zahiri mwambie huyo kaka minataka anioe
@Pedeshee01
@Pedeshee01 9 месяцев назад
Njoo nikuoe mimi ila una tako?
@Pedeshee01
@Pedeshee01 9 месяцев назад
Uwe na matako mazuri kama ya mwijaku
@Pedeshee01
@Pedeshee01 9 месяцев назад
Haraka nakuletea posa
@abdulbora812
@abdulbora812 9 месяцев назад
😅😅
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 9 месяцев назад
😂😂😂
@NGULYATI
@NGULYATI 9 месяцев назад
Putini
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 месяцев назад
konk master kadata mgonjwa wa pumu manara yupo imara kuriko huyo bashite
@tatotato506
@tatotato506 9 месяцев назад
18:26 18:31 18:47
@tatotato506
@tatotato506 9 месяцев назад
WENAE AKILI HUNA ET MANARA NAMAKONDA MANARA IMALA NDOA TUU ZINAMSHINDA KILA MWAKA ANAOWA NAKUACHA
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 9 месяцев назад
Yani umri huo huna mke wala mtt duuuh
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 9 месяцев назад
Watoto anao Aisha!!! Kuna Mariam Binti mkubwa Sana na kijana mmoja wa kiume mkubwa umri wa kuoa,,, kwa hao ndio ninao wajua
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 9 месяцев назад
Aisharamadan8358 hebu jaribu kumaliza interview ndio unakomenti sio wacomment wakati kajieleza watt alio kuwa nao wote acha kudandia gari mbele 😂😂😂😂😂
@timothymikola2317
@timothymikola2317 9 месяцев назад
Sio mtoto tu anawajukuu
@tatotato506
@tatotato506 9 месяцев назад
​@@zulekhasaud483 KUNA WATU WANALOPOKA TUU BILA KUSIKILIZA
Далее
would you eat this? #shorts
00:35
Просмотров 1,5 млн
Mkasi | SO9E09 with Dudubaya ( Extended Show )
48:44
Просмотров 111 тыс.
Mkasi | SO9E09 with Dudubaya
27:13
Просмотров 33 тыс.
would you eat this? #shorts
00:35
Просмотров 1,5 млн