Тёмный
No video :(

Dulla Makabila - Nikizipata (Official Video) 

Dulla Makabila
Подписаться 270 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Available On
Audiomack: audiomack.com/...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 778   
@YothamuMadinda
@YothamuMadinda Месяц назад
Kama unatazama hii singeli mwaka huu 2024 Gonga like hapa👎🏽✍🏽
@user-le9jy7uf3j
@user-le9jy7uf3j 23 дня назад
🙏🏾
@YothamuMadinda
@YothamuMadinda 23 дня назад
@@user-le9jy7uf3j 👍🏼
@robertmbatha8188
@robertmbatha8188 2 года назад
Wakenya tunaompenda dulla mko wapi?💯💯
@paulinemailu7543
@paulinemailu7543 2 года назад
Tuko area kama bacteria 🦠😂😂
@onesmomgaya9973
@onesmomgaya9973 2 года назад
Humohumo
@eunicethoya6021
@eunicethoya6021 2 года назад
2po
@omar-bu4jg
@omar-bu4jg Год назад
Sanaa kenya 🇰🇪 ❤❤❤✌👍💪💯
@hamadibente2718
@hamadibente2718 Год назад
Tuko hapa, nkizipata namroga Ruto na Raila😂
@eddirahmayor2389
@eddirahmayor2389 Год назад
Kwa kweli "Pita huku" ndio nyimbo imefanya nikapenda Dulla....its a bang bro much love from 🇰🇪
@_lexuslexy
@_lexuslexy Год назад
Pia mm
@hshshshsh8484
@hshshshsh8484 Год назад
Aki dulla i like you song bro bigap
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 Год назад
Mm pia
@SOS_VILLA
@SOS_VILLA Год назад
Twafanana kumbe
@dariokabalero4096
@dariokabalero4096 Год назад
Bilakupepesa machonamie ndohivo
@Mpanda_boy_Tv
@Mpanda_boy_Tv 2 года назад
Mwenye Roho ngum apite bila likes kwa dulla
@snedemc
@snedemc Год назад
P1
@iddyramadhani2962
@iddyramadhani2962 Год назад
KING OF SINGEL Hakuna kama wew voice
@kivumbidejunior9375
@kivumbidejunior9375 2 года назад
We bwana unajua mpka unaboa fala ww ngoja nizipate nakuachisha mziki uje uwaimbie kuku wangu
@mamafatuma138
@mamafatuma138 2 года назад
Sasa ombeni mungu nisizipzite mana mtajuta mnao nipenda na msio nipenda wapi kelele ya wa Kenya 💃💃💃💃💃💃😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PendoPaul-jq9kb
@PendoPaul-jq9kb 7 месяцев назад
Dulla katulia anaimba hatoki jasho we sikiliza mistar❤
@kelvinmwaka4188
@kelvinmwaka4188 2 года назад
Dulla ni bonge Moja la msanii kwenye tasnia ya singeli bongo namkubali Sana kwa uandishi wake cleartivity.
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 2 года назад
Hii ndio Singeli ya Kwanza kuiona ya brother Dullah na zingine bila vile vijora jora vyao mwishoni mwa nyimbo... 🔥🔥🔥
@snedemc
@snedemc Год назад
Kweli kabisa bb
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 7 месяцев назад
Hiiii nimotoooi
@evansmakokha88
@evansmakokha88 2 года назад
Yaaah,Dullah! Hii umeifanya vyema Sana hamuna kucheza chura. Hizo zingine hauwezi ona hata na wanao. Endelea hivi Dullah toa chura kabisa.
2 года назад
Hii ni Moto🔥💥 Aisee Wapi Likes kwa Dullah
@jovinmajor8440
@jovinmajor8440 2 года назад
dulla unajua kinomaaaa nakubali sana ngoma zako hii na ile ya dua na ile ya sema kweli unaubunifu atar
@theresekwizerimana4044
@theresekwizerimana4044 6 месяцев назад
Hi imeeenda❤❤🙋
@hamchilla_ke1998
@hamchilla_ke1998 2 года назад
Daaah kweli king of singeli, jamaa anajua mbaya sanaaa
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 года назад
Hii noma
@josephombaka
@josephombaka 2 года назад
Kwa Mara ya kwanza naipenda singeli ya Dulah makabila good kijana coma lina maana coz waliozipata tunaona wanavyotusumbua hadi sasa
@jumannelamadhan7703
@jumannelamadhan7703 2 года назад
Uwezi kuzipata kwa matumizi ayo ata Mungu kashakusikia matumizi yako na kashakutoa kabisa kwenye foleni kwa ufupi utapewa tu pesa ya kula
@purityangle
@purityangle 2 года назад
Love your songs Dullaaaaa weeeeuweeeee 😘😘😘😘😘😘😘🇰🇪tunakukubali bro
@evens5554
@evens5554 Год назад
Team Kenya oyeeeee
@Vanisikaka
@Vanisikaka 2 года назад
Humoo Humooo🔥🔥🔥🔥🔥
@swahilimovie4436
@swahilimovie4436 2 года назад
Usichelewe sas
@Word_DJ.
@Word_DJ. 2 года назад
Oya wee😆
@princesskristy8550
@princesskristy8550 2 года назад
Yesirrrrr, my guy also commented ☺️☺️
@naylesh5212
@naylesh5212 2 года назад
Ati humtafuti mke wa pili Kumi na wawili na ka haitoshi....baba umeweze mistari zako nazo....,,,,,,
@MariamHamisi-og1um
@MariamHamisi-og1um 4 месяца назад
Love you dulla 😘.. hapa uliweza.. from 🇰🇪
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 2 года назад
Uyo aliyevaa element kwenye kikao ni noma😇
@karissamashauli8859
@karissamashauli8859 2 года назад
Uyo jamaa mfupi namfaham sana ananifrahisha sana
@MariamHamisi-og1um
@MariamHamisi-og1um 4 месяца назад
Love you dulla😘...yani hii hapa uliweza..from🇰🇪
@VianeyShimirimana-c1k
@VianeyShimirimana-c1k Месяц назад
Naikubal il peleka gali kituoni il neno hamekokea ajali akafa deleva na mdogo akapon mcepuko burundi 🇧🇮oyeeeeeeeeeeee
@user-hz5nf8qp5w
@user-hz5nf8qp5w 5 месяцев назад
Team dula ndo mm from 001
@yusramchande6503
@yusramchande6503 Год назад
Wallah wimboo uko vizuriiii
@VitalKapolobwe
@VitalKapolobwe 25 дней назад
Mimi niwezako ya Congo RDC asante sana
@julaynicholaus
@julaynicholaus 2 года назад
We jamaa unatisha ndo maana ukajiita KING wa singeri we ni creator aisee!!???
@raindoro5201
@raindoro5201 2 года назад
Singeli inawenyewe...back to the top...king of singeli..kaliiii makabila🔥🔥
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 9 месяцев назад
Huu mziki Kufanya ni rahisi sana mana waongea chochote hauna vina hauna chochote
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 9 месяцев назад
Never Dissapoint Makabila 🎉🎉🎉🎉
@meshackkangwe3414
@meshackkangwe3414 2 года назад
Kingofsingeri @Dullamakabila mwanangu sanaaaaaa we ni mbunifu mzeee hakuna wakukufikiaaa kwenye singeri
@wesongaboston5949
@wesongaboston5949 Год назад
Kaka Dula makabila napenda nyimbo zako sana. Ebu link up with me uje middle east upige bonge la show kweli.
@dickikahese9681
@dickikahese9681 Год назад
Noma sana mwamba dula makabila
@fumboog3285
@fumboog3285 2 года назад
Ata walio zipata dulla awajawai fanya kufulu kama boss wew unae ota ukizi pata
@juliusmbunda7920
@juliusmbunda7920 2 года назад
Pua yababa levo na mboso duuuuuuh
@leonardkabuti6932
@leonardkabuti6932 2 года назад
Tza huu ndo muziki tunapaswa kuusappoty sio hizo mapiano
@shangaziwataifa8675
@shangaziwataifa8675 2 года назад
Oparesheni ya mbosso na baba levo puani jamaniiii kerooooooooo
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 7 месяцев назад
😂😂😂🎉😂kulachumaaaaa💃💃💃💃💃🤸🤸🤸kweli nikizipata mtanikomaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂 kommet kamazoteeeee kwadulaaaaaa
@aswimjuomaly6415
@aswimjuomaly6415 2 года назад
Yaan maneno yote ayo baada ya kufukuzwa ........@@@umeuwaaaa
@aliabdallah8908
@aliabdallah8908 2 года назад
Dah we muuni nomaa unajuw mpka unakera unamtimua mpka mo simba dah
@vivianakizehe2885
@vivianakizehe2885 2 года назад
Hapo kwa mkatoliki🔥🔥🔥
@abudharimussa169
@abudharimussa169 2 года назад
Duuuh umeua dulla king utatamba
@abdalhmanmasongelah4716
@abdalhmanmasongelah4716 2 года назад
Oi bro shelia Sana iyo ndio ngoma sio semaa kweli wala moton nakukubal mdau madegah hapa home boy
@clintonarnold6291
@clintonarnold6291 2 года назад
Unajua msengeee ni nomaaaaaaa
@jumerramadhan1617
@jumerramadhan1617 2 года назад
For the first time nmeelewa mziki wa singeli through makabila you are great brother
@DrNick-hg6il
@DrNick-hg6il 2 года назад
Tofauti na waimba singeli wengine huyu jamaa anakujaga na Idea kali, na anazitendea haki. Kazi nzuri
@baghary1official879
@baghary1official879 2 года назад
Faken Umeupiga Mwingi yaani naamanixha Unyama Sana mzee mwenzangu
@yonakuko3357
@yonakuko3357 2 года назад
Jamaa anajua had nashindwa chakusema
@skmelody4551
@skmelody4551 2 года назад
Daaah mbosso Khan na baba Levo wapigwe operation za pua
@saumujawa3817
@saumujawa3817 7 месяцев назад
tuko wa kenya wewe wewe ❤❤❤🎉🎉🎉
@kessyally6939
@kessyally6939 2 года назад
Hii bonge la nyimbo mkubwa hongera
@khadijahadam466
@khadijahadam466 2 года назад
Funika xana ngoma hii bg up piga kazi.
@wimawendo2630
@wimawendo2630 2 года назад
I love ❤️ you from Congo 🇨🇩 and your song 🎧 is so good
@aloysiusrwehumbiza2229
@aloysiusrwehumbiza2229 2 года назад
🙌tutajuta kweli yaani,nyumba iko baharini na mlinzi getini 😁😁😁
@eunicethoya6021
@eunicethoya6021 2 года назад
😂😂
@PendoPaul-jq9kb
@PendoPaul-jq9kb 7 месяцев назад
Makabila hakosei huna baya unatupa Raha
@princessmakwega2444
@princessmakwega2444 2 года назад
Love broo nikiwa 🇦🇿🇦🇿
@MorrisNgete
@MorrisNgete 7 месяцев назад
Dulla mkali wao❤❤❤
@shangaziwataifa8675
@shangaziwataifa8675 2 года назад
I think dulla is underated..let's give him 200k subscribers
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 2 года назад
nimerudia kuangalia tena kwaajiri yako ili nihakikishe kama kweli vijora akuna😁😁
@naylesh5212
@naylesh5212 2 года назад
Amejaribu sana kwa kweli
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 2 года назад
I like this song 🇰🇪🙏❤️🌹
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Год назад
hongera sana bro upo vizuri
@justjustn3502
@justjustn3502 2 года назад
Nikizipata watajuta wahuniiii
@braysonyakuza5959
@braysonyakuza5959 2 года назад
Kabila Tisha Sanaa 📸
@snedemc
@snedemc Год назад
Kazi nzuli iyo kingi ofsngeli
@TheHunterTz
@TheHunterTz 2 года назад
Makabila tena 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@agnessaid
@agnessaid Год назад
Mungu azidi kukupa mwangaza uzidi kutoa ngoma nzuri ww kweli unatisha
@easydogo871
@easydogo871 2 года назад
Dulaa nina deal ...kenya .....
@mkayotheboss2289
@mkayotheboss2289 2 года назад
Hii ndy nyimbo sasa dulla
@hadija846
@hadija846 5 месяцев назад
Dulla we noma❤🎉😍💯
@kambibakari7654
@kambibakari7654 2 года назад
Good job Sema apo PA die gari zake sasa usitufanyie ivyo msanii wetu king makabila
@bokaloty5475
@bokaloty5475 2 года назад
Buza utawafanyia nini ukizipata😉wapelekee boksi za kondom
@ahmedkwacha5638
@ahmedkwacha5638 2 года назад
Kwani mbosso na lava wanna mapua makubwa
@Oxtradinary
@Oxtradinary 2 года назад
Yes,,, it's a hit song,,, thus why your always my favorite singeli artist,
@emanuelmnyukwa4471
@emanuelmnyukwa4471 9 месяцев назад
Unajua adi unajua tena King 👑🎉
@thepavilonempire9418
@thepavilonempire9418 2 года назад
Raha ya huyu boya singeli zake zina story tamu sio wale weka bahariaaaaaaa
@amourbenjaminmlindimla3151
@amourbenjaminmlindimla3151 2 года назад
Unazidisha ugomvii dulla watu wameshaachana Bado unawataja kina moze kusa .unt na rubby
@suleymaniabdallah4446
@suleymaniabdallah4446 Год назад
Dullah ni 🔥🔥🔥🔥sana kaka kipaji unacho pambana bro!!!
@evaomega6740
@evaomega6740 2 года назад
Mboso Khan na baba levo atawalipia operation ya pua 😂😂😂🙌
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 2 года назад
Jamaa unajua sana mzee
@nassoromchoya2370
@nassoromchoya2370 2 года назад
Twasubili sisi wakaz wa stakishari uje kupavunja tununue izo kuku
@hancebaga5990
@hancebaga5990 2 года назад
Singeli yakwaza kuisha vizurii bila ujinga
@hamadimtizi8801
@hamadimtizi8801 2 года назад
Nakubali mzee ,. Stua hapa
@paulitila7950
@paulitila7950 2 года назад
Uko vizuri brother
@sumayejumbe4112
@sumayejumbe4112 2 года назад
Gar za mondi zitakuwa tax nmechemka Sana hiiii💪
@erickymweta2871
@erickymweta2871 2 года назад
Good Music anajua sna hyu jamaaa 😁😁😅😅🙌🏾
@kamikazejoseph8799
@kamikazejoseph8799 2 года назад
😄😄😄😃😄nagundua kumbe mwana alikua anahama
@mamba9541
@mamba9541 2 года назад
Leo nikubali kama wew kwel ni king🤴 of singeli 🔒🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mejurashid628
@mejurashid628 8 месяцев назад
Yaan dulla weww big up
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 2 года назад
Kama na ww umeangalia mala nyingi kama mm nyo apa usema Dulah ndio no1 Kwenye singeli
@shadiaally2217
@shadiaally2217 2 года назад
Singeli bila vijora Kumbe inawezekana
@prospermoses9239
@prospermoses9239 2 года назад
Umeweza mzee baba
@ommy21media91
@ommy21media91 2 года назад
Nikizipata bonge la nyimbo salute
@allymtunge5530
@allymtunge5530 2 года назад
Safi congregation
@charleshenry5586
@charleshenry5586 2 года назад
Umeua sana Wajina wake Dingi
@faumamakwaia5095
@faumamakwaia5095 2 года назад
Nimeenda vijora hamuna hongeraa
@happyyun496
@happyyun496 2 года назад
Wowo dula always unajua baba yan unasikiliza uku unaenjoy na kamdundo
@kendrickwizz
@kendrickwizz Год назад
Damn😂😂😂
@sungura0
@sungura0 2 года назад
Jamaaa unaidea sana
@thobiasmushangaki9470
@thobiasmushangaki9470 2 года назад
Oyawe sio powa umetisha sana hiyongoma love song nami nikiziptata mmh weachatu sisemi big up dulla makabila
@yusramchande6503
@yusramchande6503 Год назад
Upo vizuri kaka
@ndollazephania3852
@ndollazephania3852 2 года назад
safi sanaaaa dulla good work ,nikizipata nauza tz yote
Далее
Dulla Makabila - Sema Kweli (Official Video)
4:54
Просмотров 1,6 млн
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Просмотров 7 млн
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 10 млн
D Voice - Kuachana Shingapi (Official Music Video)
3:22
MAN FONGO LAU NAFASI Oficia Video 2018
9:08
Просмотров 27 тыс.
Kontawa : Mwalimu (official Video)
3:20
Просмотров 1,1 млн
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
3:14
Просмотров 559 тыс.
SALAMU TMK (MKUBWA NAWANAWE) ~ NAFSI
4:47
Просмотров 3,1 млн
Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
5:24
Dulla Makabila - Makabila (Official Video)
6:45
Просмотров 1,6 млн