Тёмный

DULLAH PLANET BONGO ATAJA SABABU YA KUACHA KAZI EAST AFRICA RADIO&TV/AMTAJA SALAMA/PLANET 

Carrymastory
Подписаться 468 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

DULLAH PLANET BONGO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI #DULLAHPLANETBONGO #DULLAHPLANETBONGOKUACHAKAZI #PLANETBONGO

Развлечения

Опубликовано:

 

2 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@austinmcharo928
@austinmcharo928 10 месяцев назад
My favorite Radio Presenter East Africa.....mpeni maua yake....kwa kweli kaupiga MWINGI.💐💐💐
@HusseinMassy
@HusseinMassy 3 месяца назад
Kaka pamoja sana nilitisha sana wew na jr
@stiffmenake4700
@stiffmenake4700 10 месяцев назад
Jamaa ana inspire sana huyu.. Mungu akutangulia katika Kila hatua utakayo ipiga Mjukuu you're the real definition of inspiration.. Keep that positive energy alive... Especially Kwa upande Rap game ya bongo umeifanyia makubwa sana bro thank you so much bro 🙏🙏
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 10 месяцев назад
Daaah nakumbuka 2008 nilikua naskiliza redio kwa jirani kila akirudi anafunguli radio namskia dula paka planet bongo basi nilijitahidi paka nikanunu Redio na TV na nikikua nalipwa mahali elfu themanini tu kwa mwezi lakin sasa tumesogea daaah legend Dula
@neemamsongo2006
@neemamsongo2006 10 месяцев назад
Dula nakumbuka ulivyolia siku ile ulivyochaguliwa. Hata mimi nililia sana. Hongera sana Dula
@mboowarodgers2173
@mboowarodgers2173 10 месяцев назад
Salute to Dullar planet, am from Kampala Uganda but am a fan of E A radio right from salam j up to today
@HansBwoi
@HansBwoi 10 месяцев назад
Wasafi
@salumuseif3324
@salumuseif3324 10 месяцев назад
Anaenda wap
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 10 месяцев назад
Mrudie ALLAH ' we huendani na mambo ya kidunia' nenda katangaze chanel za Islamic
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 9 месяцев назад
Ukienda ww inatosha
@irfanabdi8877
@irfanabdi8877 10 месяцев назад
Nakubali sana kazi zako 🙏🙏
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 10 месяцев назад
ULIFANYA KAZI KUBWA JOMBAAA... NISTOR NZURI NIKIANZA KUKUELEZEA NAZANI MASAA10 HAYATOSHI BINAFSI NAKUFATILIA NA UNAJUA KAZI.
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 10 месяцев назад
Dulla yani apo na dj mafuvu daaah nilikua sikosagi show kati ya ma dj hatariiiiiii tz fuvu SALUTE ZOTEEEEE saa ya ngumu nyeusi mafuv mafuvu baby JAMBAZI SHAROBAROOOOO maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 10 месяцев назад
Salama jabil alimuibua.
@abdilahijuma3373
@abdilahijuma3373 9 месяцев назад
Aseeeeh imeniuma sanaaaah ww kuondoka hapooo kaka ila no way out
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 10 месяцев назад
Congratulations My brother tutakumis SANA 🙏
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 10 месяцев назад
Kwa wenzetu walioendelea unatakiwa uanzishe ya kwako sasa! umeshapata Exspireance ya kutosha sasa uanche kuajiriwa tena!
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 10 месяцев назад
Nakumbuka 2014 ulimuhoji rayvan akiwa tip top alikua anarasta Kama afande sele
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 месяцев назад
Hongeraaaa sana Kwa kuowa ukiwa hujabaleee maana si Kwa udogo huwoo 😂😂
@frankhaule8570
@frankhaule8570 10 месяцев назад
Vpind vya vjana Sasa vitapoteza ubora. Alianza Sam misago WA enews hakuna kinachoendelea kule.
@irfanabdi8877
@irfanabdi8877 10 месяцев назад
Jamaa hodar sana huyu
@kikobyser370
@kikobyser370 10 месяцев назад
Sasa mtumzimA duLLa dakika 10 za maangamizii ndo imeishaa
@user-pc8bz3yz7c
@user-pc8bz3yz7c 10 месяцев назад
Broo namkubali sana uyu nakumbuka planet flani hivi ilikuwa ni siku ya mazishi ya Abdu Bonge....uku sound track ikiwa ni nyimbo ya Madee hatar
@LibentKagaruki-rw8sl
@LibentKagaruki-rw8sl 10 месяцев назад
Nasubilia uwo mchongo wa utangazaji
@christophermagesa430
@christophermagesa430 10 месяцев назад
Jamaa anaenda wapi aisee
@chaneldimbaofficial
@chaneldimbaofficial 9 месяцев назад
TVE TUJUANE
@giant1779
@giant1779 10 месяцев назад
Hata mimi ningeondoka EAFM na radio 1 maana sio kwa chenga zao za masafa kila siku lazima uweke vizuri antenna au earphones ili uisikie 😂😂😂 Kaka dulla nenda clouds au wasafi radio zao hazina chenga za sauti.
@user-ch4pm4vx5t
@user-ch4pm4vx5t 8 месяцев назад
Sidhani kama atapatikana mtangazaji mwingine kama wewe
Далее
Salama Na DULLA Ep 39 | GO HARD OR GO HOME... Part 2
24:09
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Просмотров 2 млн
Опасный момент
0:23
Просмотров 3,7 млн