Тёмный

DULLY NA TID WAFUNGUKA DIAMOND KUPOSTIWA NA CHRIS BROWN, WASIMULIA ENZI ZAO KUPERFOM UK 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@King_186
@King_186 3 месяца назад
Hakuna asiyemkubali Diamond Africa hii,,bali ktk maisha ukiishafika juu watu huitaji kukushusha,,,mwamba ndio kwanza anazidi kupaa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 месяца назад
Ata Chris brown anashangaa views zimekuwa kubwa sana kwake i think kaona nguvu ya diamond platinumz
@ChuxDaniel
@ChuxDaniel 3 месяца назад
umeongea kitu kikubwa sana❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@allykwaya
@allykwaya 3 месяца назад
​@@ChuxDaniel point kwa waelewa
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 3 месяца назад
Fact🎉
@ommyjay4622
@ommyjay4622 3 месяца назад
🎉🎉
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 3 месяца назад
Ata mm nme sema hivyo
@sammasika3627
@sammasika3627 3 месяца назад
Dully kanyooka sana hana makando kando
@hassankhamis7380
@hassankhamis7380 3 месяца назад
Kaka dully umeongea fakti bro watu ni wanafki kazi za tz ghost singer hawapendi kazi zake hasa huyo ombaomba mwijaku
@GavyoleJonas
@GavyoleJonas 3 месяца назад
Diamond ni 🔥 hata wengine wasipomkubali,sisi tunaomkubali tunatosha pamoja na chris
@sevastierkalumba7556
@sevastierkalumba7556 3 месяца назад
Me here too I love him ❤🎉
@ahz6907
@ahz6907 3 месяца назад
Pamoja sana....team chrisplatinumz 😂
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 3 месяца назад
Kweli kabisa
@channyanjen9047
@channyanjen9047 3 месяца назад
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@AbdallahMzonge-pg9il
@AbdallahMzonge-pg9il 3 месяца назад
Mungu amzidishie kwenye muziki?
@ChuxDaniel
@ChuxDaniel 3 месяца назад
Dully ameongea kupitia uvungu wa moyo dahhhh😢😢 nakubali sana kaka hiyo roho usije ukaiachia maana dahhh kwaimani niliyonayo naona milango inafunguka kwa simba la masimba dangote
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 3 месяца назад
Milango hipi? Wakati kalipia hiyo post
@lakasid3860
@lakasid3860 3 месяца назад
​@@allenonesmomwebembezi6248unauhakika kalipia? Unarisiti ya malipo aliyofanya 😂 wabongo bana wivu tu
@BizabishakaZuhura
@BizabishakaZuhura 3 месяца назад
😂😂😂​@@allenonesmomwebembezi6248
@MussaJabiri-l5y
@MussaJabiri-l5y 3 месяца назад
​@@allenonesmomwebembezi6248vp mlikuw pamoj wakt analip
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 месяца назад
​@@allenonesmomwebembezi6248😂😂😂😂😂jmn
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 3 месяца назад
Mimi nikishamkubari #Diamond inatosha wasiyompenda shahuli yao.
@GermiaSuala-u9t
@GermiaSuala-u9t 3 месяца назад
Simba la masimba dangote
@KenedyGodwin
@KenedyGodwin 3 месяца назад
Asante mond😊🎉🎉🎉❤
@isakachisunga7004
@isakachisunga7004 3 месяца назад
Unyama san👏🏿👏🏿👏🏿
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 месяца назад
diamond platnamz ❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎵🎵🎵🙏🙏
@mtazycomedy
@mtazycomedy 3 месяца назад
Huu mwaka wa platinum
@ahz6907
@ahz6907 3 месяца назад
Hili ni trela bado picha lenyewe😅
@MagomaPato
@MagomaPato 2 месяца назад
Watanzania tusikubali Harmonize aendelee ku abuse Diamond Platnumz na uchawi...kuroga kazi za Diamond Platnumz....Harmonize ni laana kwenye sanaa🇹🇿😮😮😮😮
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 3 месяца назад
My brother Diamond platinum 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰🥰🔥
@feisalibrahim2876
@feisalibrahim2876 3 месяца назад
On time 💯💯
@mtazycomedy
@mtazycomedy 3 месяца назад
Wata shazam weng
@noelmunuo4660
@noelmunuo4660 3 месяца назад
Hii channel ya Millard Ayo si wanajifanyaga hawapost habari za mondi Leo VP??
@Farida-jx5nz
@Farida-jx5nz 3 месяца назад
Diamond mwamba Sanaa jamaa
@MagomaPato
@MagomaPato 2 месяца назад
Mzee Popo Harmonize... uchawi umebuma 😂😂😂😂😂😂
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 3 месяца назад
Diamond anaweza sana
@vangraphixvan8320
@vangraphixvan8320 3 месяца назад
Dhahabu
@ShelayWamapozi
@ShelayWamapozi 3 месяца назад
Dhahabu inayochafuliwa kilasiku
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 месяца назад
👋👋👋👋👋👋
@KelvinAlex-x2i
@KelvinAlex-x2i 3 месяца назад
Simba la masimba
@ElishaZakaria-r8y
@ElishaZakaria-r8y 3 месяца назад
🔥🔥🔥
@MATIKO9640
@MATIKO9640 3 месяца назад
Kumbe TID anaakili kubwa tu
@KelvinAlex-x2i
@KelvinAlex-x2i 3 месяца назад
Simba la masimba
@GivenMtambo
@GivenMtambo 3 месяца назад
Sema tid kama hajakubali xana.mbn kuna maneno hanyooki hyo english inaficha what
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 месяца назад
Amsterdam tid alikuja na rau c waliwekwa kwenye majumba ya watu na wakaanzia kuvuta unga Amsterdam
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 3 месяца назад
Ila wa bongo ni watu wa kushangaza saana sasa Chris Brown njo kitu gani ao njo nini mbona mweye mnacheza ngoma zao awawatangazi ivo
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 3 месяца назад
Tid tunaongelea diamond sio wewe😂
@kijakazimussa9236
@kijakazimussa9236 3 месяца назад
Diamond pia ajifunze kwa hilo anapoona msanii mchanga tz anafanya vzr amsapot hata kwa kupost kaz zake
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 3 месяца назад
Sio kazi yake...
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 месяца назад
​@@godfreydavid6847Santaaaaaaa😂😂😂😂
@FatumaMfaki
@FatumaMfaki 3 месяца назад
Alimpa support harmonize alimpa nn zaidi y kumshusha kutumia machawa wake
@Ramadhanikisodya
@Ramadhanikisodya 3 месяца назад
Acheni kusapot upumbafu
@malitozzy3538
@malitozzy3538 3 месяца назад
Sio mnafiki tu huyo nyoko sanaaa tena kkkkkkkkk kubwaaaaaaaaaaaas😅😅😅😅😅
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 3 месяца назад
Dully kanyooka sana ana moyo wa pekee
@waziliLyamosi
@waziliLyamosi 3 месяца назад
😂😂😂, Nchi ya ovyoo kisenge Chris Alisha post MISO MISONDO achani promo za kipuuzi af huo ushamba hio ni kawaida sana kwa Chris brown, alisha post madogo wa kenya waliofanya covering, 😂😂😂😂
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 месяца назад
Haya kameze wembee ,,chuki tuu kupiga mswaki aah idiot
@OwdenLivingstone-kq5dy
@OwdenLivingstone-kq5dy 3 месяца назад
Azijakukaa
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 месяца назад
Wembe ni bei chee sana, chukua mmoja umeze
@Matakaissa
@Matakaissa 3 месяца назад
Vp misomisondo
@samwelfundi1527
@samwelfundi1527 3 месяца назад
Ifike mahala watanzania mujitambue sijuwi ila naomba samahani sijui wengi wenu kama wanaelewa siasa ya hawa wamerekani, naishi hapa USA 🇺🇸 ni miaka 15 ila hawa jamaa wakikuposti ujuwe yy anafaidika, ila ww utabaki mtu wa tiktop tu akuna utakachovuna
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 месяца назад
Diamond has more money kuliko WEWE mbeba maboksi
@annethsongwe6063
@annethsongwe6063 3 месяца назад
​@@rahmaidd8818😂😂😂😂
@mdumashop7423
@mdumashop7423 3 месяца назад
Daaa
@allytv1714
@allytv1714 3 месяца назад
At tenge wa uganda kashapostiwa na huyo mshikaji tena kacheza kile kinyimbo chake mbn mambo ya kawaida sana hayo mnakuza ivo
@ziggertv3185
@ziggertv3185 3 месяца назад
Utakufa mwaka huu😅😅😅
@allytv1714
@allytv1714 3 месяца назад
@@ziggertv3185 tatizo watanzania wengi ujinga ndo unawasumbua toka enzi za Nyerere
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 месяца назад
Na badooo chuki tuuu kuoga janaba aaah shenz
@wanasisi7709
@wanasisi7709 3 месяца назад
Tunafanyaga hawa wazungu nikama mungu wetu ndo maana wanatubebanga ufala kupistiwa 2 Africa kumbe bado tunatawaliwa
@Ramadhanikisodya
@Ramadhanikisodya 3 месяца назад
Mm sioni chajabu hapo jamani mbona dogo ngomayake ili fanyapoa ulaya mavokali
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 3 месяца назад
Diamond for G ......Big D❤
@emmanuelmurekezi9937
@emmanuelmurekezi9937 3 месяца назад
Simba la simba❤❤❤
@malikissa8251
@malikissa8251 3 месяца назад
Mbona ata miso misondo hamkumpa maua yake
@SwaleheSaad
@SwaleheSaad 3 месяца назад
Dully kaongea ukweli wa moyo wake kabisa
@JamalidinyahyaMembe
@JamalidinyahyaMembe 2 месяца назад
aipingwi😂😂
@faiasap8307
@faiasap8307 3 месяца назад
Kapostiwa au chris kajipost😂
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 3 месяца назад
I say daemongo ni Mkali
@MawazoMwamba-fz5hr
@MawazoMwamba-fz5hr 3 месяца назад
❤❤❤🥰🥰🔥🙏🙏
@JacksonFuliwa
@JacksonFuliwa 3 месяца назад
❤❤❤
@mtotowamanka
@mtotowamanka 3 месяца назад
Amapiano ni bongo fleva au... Sema msanii wa bongo fleva sy nyimbo ya bongo fleva muwe makin sku ingine 😊 congratulations 🎉
@francsamwel5791
@francsamwel5791 3 месяца назад
Kwan piano wa Niger hawaimbi au..... mziki una hitaji mixer coz ya biashara na kuteka mashabiki
@AlfaEnock-st9md
@AlfaEnock-st9md 3 месяца назад
We unaijua bongo fleva?? Hakuna mziki unaitwa hivo
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 месяца назад
HATA MISO MISONDO WALIPOSTIWA ..
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 3 месяца назад
IPO tofauti ya kupostiwa kama kichekesho na kujiposti akifanya kurudia ulichofanya
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki 3 месяца назад
Sawa miso misondo walipostiwa lkn hii chris ametenga muda wake akaweka dancers wake na mtu wa camera kacheza alipomaliza kucheza aka post huoni Kuna utofauti hapo
@AbdalaMaulid
@AbdalaMaulid 3 месяца назад
Miso misondo ni nan wechoko
@rosemuna5569
@rosemuna5569 3 месяца назад
Asante kwa kuwaelewesha maana watu hawajaelew utofauti​@@BILALIMSANGI-kw2ki
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 3 месяца назад
Aminiy Duri sesk
@Ramadhanikisodya
@Ramadhanikisodya 3 месяца назад
Mapiono nyimbo mnajisifia jamani
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
Wa sanii bongo machawa kwani misomiaondo mbona amja wa pongeeza leo mnajifa nya 😂😂😂 makellele mengi yule dogo mulimuonea wivuu nini
@MapradoMsonde
@MapradoMsonde 3 месяца назад
Kuna baazi ya watu wanamkataa diamond lakini utamkuta kwenye simu ya zimejaa ngoma za mondi jaman au mnataka mtu akifa ndo mumsifie
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 3 месяца назад
​@@MapradoMsondeila bado hoja ya misomisondo ujaijibu
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy 3 месяца назад
Kila mtu na nyota yake
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
Wapongeze wewe hao misomisondo au na wewe haujulkani 😅😅😅😅
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
​@@isayamsisika6255hao misomisondo hata ukiwasifia wewe inatosha😊😊😊
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
Nyinyi mjitambue pale kacheza kajua ngoma ya sauzee
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
😂😂😂😂😂kwel
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 3 месяца назад
inaonekana inauma eee!?
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy 3 месяца назад
Pole sana
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
😂😂😂 amapiano to the world
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
Diamond ni mmoja tu wengne ni nsensema mashenzi😂😂😂😂😂
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 3 месяца назад
😬😬Natamani ingekuwa ni bongo fleva, tatizo ni amapiano so respect to southafrica country.
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
Kwel
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
Bwege wewe
@svt3
@svt3 3 месяца назад
@andrewmassy5204 tz inawasanii zaidi ya elfu2 wamefikisha wapi bongo flevo? Hata wewe ni mu tz hii ni jukumu lako pia
@zedohmariotz741
@zedohmariotz741 3 месяца назад
Saw amapiano tz kwhy amapiano ilyofnyka n moja tu ya diamond sio....ngoz nyeuc ina matatzo
@svt3
@svt3 3 месяца назад
@@zedohmariotz741 sensema yenyewe pia ni Amapiano wanaimba na kucheza, na wanasahau mdundo uko juu kila mahali saa hii ni amapiano
@baikokokangamoko
@baikokokangamoko 3 месяца назад
Sisi Watanzania nibwashamba sana, kiukweli tunatia aibu sana, lakini pia hii inathibitisha kwamba sisi ni wadogo sana.
Далее
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 173 тыс.
Обменялись песнями с POLI
00:18
Просмотров 260 тыс.
Mapoz Behind the scene Part one (1)
12:47
Просмотров 608 тыс.
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 173 тыс.