Тёмный
No video :(

Duni Ateta Sakata la Bandari.'Kosa Sababu Rais Mzanzibar'.Wako Mikoani Huko Wanazunguka 

The Chanzo
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Juma Haji Duni ambaye ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo alikua akiongea kwenye mkutano wa hadhara wa ACT Wazalendo uliofanyika Bubwini Zanzibar hivi leo Agosti 06,2023
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 432   
@mollelyally5213
@mollelyally5213 Год назад
Safii mzee duni haji Allah akulinde na maadui wa ndani na nje inshaalah
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 Год назад
Wabaguzi hao, Mwenyezi Mungu Awalaani . Mwenyezi Mungu Ambariki Rais wetu Mama Samia.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
@shukurukoll7269. WABAGUZI NA SERA YAO Huo Ubaguzi wa Zanzibar ni Sera ya Chama Cha Mapinduzi ulioanzishwa na Baba wa Kanisa Julius Nyerere. 1) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Mapinduzi yalouwa Waislam wengi wa Zanzibar kuwa Kafara. 2) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Muungano wa lazima bila ya ridhaa ya Baraza la Mapinduzi la Zanzibar. 3) Nyerere alitumia Ubaguzi kufanya Chama Cha Mapinduzi bila ya ridhaa ya Wazanzibari. 4) Sera ya Ubaguzi wa Chama Cha Mapinduzi umemfanya mama Samia kuwa Rais wa Tanzania Kikatiba. UCHAGUZI WA UBAGUZI NA WIZI i) Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa Siku Mbili, Tanganyika Siku Moja. ii) Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa wa Sera ya Ubaguzi ufuatao: 1) Siku ya Kwanza kwa Watawala. 2) Siku ya Pili kwa Watawaliwa. BILA UBAGUZI HAKUNA MUUNGANO
@MussaMgonola
@MussaMgonola Год назад
Naam MashaAllah hakuna marefu yasiyo ncha ,ni kweli kabisa wawape nchi yenu mna bendera yenu ,bunge lenu ,wimbo wenu ,jeshi lenu na rais wenu
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 Год назад
Hii spana ya Mkataba wa Bandari, Iko vizuri Sana. Inafungua Kila kitu.
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Год назад
Kwa haraka wenye kujua tatizo lilipo ni lazima wajue ccm ndio ugonjwa sugu wa hii nchi
@mulasaid2959
@mulasaid2959 Год назад
Na chadema wabaguzi
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 Год назад
Haya sasa yameibuka ya raisi kuwa mzanzbari kwani Mzee Mwinyi sio mzanzibari? Yameletwa ya udini.hizi ni mbinu chafu zinazobuniwa na roho ya wizi,ufisadi na uonevu..Watu wachache kujiaminisha was ndio kila kitu ni U zuUZI ulioptilliza.Raia kupindua serikali haijawahi kusikika kokote duniani
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 Год назад
Tatizo sio ccm tatizo ni kanisa katoliki,kuwa wao wako kama Muhimili wa nnchi toka zama hizo,wanashindwa kusoma nyakati watatue matatizo yao na serikali ihangaike na yake,kauli ya maaskofu katoliki sio kauli ya watanzania,na kauli za Vatican mama wa ubepari duniani kupitia kanisa imepitwa na wakati
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Год назад
@@kassimmuktarymurji4242We huna akili hata kidogo, Akili yako inawaza tende, You ar Stupid…
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Год назад
Bandari imetujulisha mengi kumbe ACT kilaza
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Chadema ndio vilaza
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Год назад
Kwan unaona Zitto anaongea????
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Год назад
Ndo maana kumbe Kila ya kishinda yanazurumiwa kumbe ni mapumbavu ivi!!!
@mkude
@mkude Год назад
Chadema wasahau kabisa kushika mamlaka makubwa ya Tanzania
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Zitto haongei kwasababu kamezwa na act wazanzibar
@omarijuma5007
@omarijuma5007 Год назад
Hello duni Safi Sana wakae wakijua kukosa muungano Zanziba wangeiona Dubai hakuna kisiwa masikini duniani waambie hao wanyawima
@maximillianmayani5119
@maximillianmayani5119 Год назад
Mentality za kiarabu zinawaumiza huo ni utumwa
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 11 месяцев назад
​@@maximillianmayani5119bora utumwa wa kiarabu kuliko utumwa wa watanganyika
@biteyubwoba492
@biteyubwoba492 Год назад
Wazanzibari simameni kidete vunjeni muungano ili watanganyika wajihangaikie wenyenyewe,
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
Kama Hussain Ali ni Mzaliwa wa Zanzibar na avunje Muungano kabla ya 2025 atakuwa Jabari na Shupavu.
@chescokagali5962
@chescokagali5962 Год назад
Nimeamini Hawa jamaa Wana umoja kuliko sisis Watanganyika
@agustinokimaro1483
@agustinokimaro1483 Год назад
Watatumaliza hawa lao moja,,na ss watanganyika tupo tuu
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Год назад
Kwa hiyo ACT inatetea agenda ya ccm hivyo ni aibu sana kwa zito
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
No manager yake umesikia zito kaongea??
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
KOTI LIVUENI MCHUKUE NCHI YENU @paschalpaul3862.Watanganyika wamshukuru Rais Mzanzibari amewaamsha kudai nchi yao.
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Год назад
Tuliza akili uwelewe huyo hasemei ccm wala Act huyo anasemea Zazibary na Tanganyika
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
@@maftahmusa9513 SHUKRAN JAZEERA🙏👍
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Год назад
@@khatibal-zinjibari6956 🙏
@jamesswai1683
@jamesswai1683 Год назад
Hii mijitu ya hovyo Sana..hakika nawaambia act inafutika Zanzibar..wazanzibar sio wanafiki kamwe na hawako tayari kukaa na watu wanafki..mara ngapi metendewa madhila na watanganyika wamewatetea
@sadih5333
@sadih5333 Год назад
Lining, zaidi ya kuleta jeshi kudhalilisha watu.
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Год назад
😂
@Allybinamour
@Allybinamour Год назад
babu duni umeongea vizuri sana,ila mimi najiuliza hawa watanganyika wanaodai tanganyika yao kwani tanganyika yao anayo nani?
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 Год назад
Ni matope tu au naona mwenyewe wadau
@yusufujuma1859
@yusufujuma1859 Год назад
Kweli bhana unaona matope ,ukiwa macho huna hutaona kitu
@selemanimchana3598
@selemanimchana3598 Год назад
Ameingia mikataba mibovu, na mbona hajaziweka na hizo za huko?
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 Год назад
Si muondoke kwani kuna watu wanawatakeni????
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Год назад
Nimemsiklz vizuur mzee duni. Kumbe ndio watanganyika wakawa wanatoka mapovu ktk comments zao mzee kauwa nyani. Ivi kwann jamani mpka tukielezwa ukweli ikawa tunapinga tu sisi ? Ndio mpaka leo tukawa watumwa wa wazungu na papa wa Ital kwa ujinga wetu.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
JUMA DUNI ON INTELLECTUAL RESPONSIBILITY IN ZANZIBAR "It is the responsibility of intellectuals to speak the truth and to expose lies of (The Union Government)." [Source: Noam Chomsky in The New York Review of Books February 23, 1967]. TUCHUKUWE ZANZIBAR YETU CHUKUWENI TANGANYIKA YENU.
@InnocentKapwani-mp2po
@InnocentKapwani-mp2po Год назад
Duni acha mipasho
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
@InnocentKapwani-mp2po JUMA DUNI WAPASHE NA WAFICHULIE Wapashe na Fichuwa Waliyotuficha Zanzibar na Tanganyika. ALOYAFICHA JULIUS NYERERE 1) Serikali ya Tanganyika imefichwa na Koti la TANZANIA kama ni Utatu Mtakatifu wa Daima na Milele. 2) Afro-Shirazi Party imefichwa na Kizibao cha TANU ya Tanganyika. 3) Zanzibar imemezwa DODOMA kuwa ni Bamkwe ya Mandera.
@benjaminyakobo7792
@benjaminyakobo7792 Год назад
Wewe Naye mchochezi tu hunaunalo lijua waretehao warabu kwenu zanzi
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Год назад
Sijamuelewa hata kdg
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 Год назад
Ongea baba duni,sisi waislamu tunaishi ukweli kwani imani yetu kuna maisha baada kifo,hii nnchi sio ya wakatoliki na kauli yao sio ya watanzania,tupige kura hao wakatoliki wako wangapi?kuamua mustakabali wa watanzania
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Год назад
ZITO NI MTU HATAR SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl Год назад
Ni ndumila kuwili huyo
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
Zanzibar haipaswi kuwepo kama ilivyopotea tanganyika, tufute tofauti Tanzania iwe moja,
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 Год назад
Muislam yeyote atakae itukuza chadema ataenda motoni
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Год назад
kweli
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Hoja ni kwa nini Bandari za Zanzibar hazimo kwenye huo mkataba. Hoja Sio Uzanzibar, UARABU au Uislam.
@sospeterthomas3342
@sospeterthomas3342 Год назад
Haya kuhusu kauze za kwenu
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Год назад
Useless speech.. hatuhitaji umbea katika mambo serious ya kuikomboa Tanganyika yetu. Bandari sio jambo la mzaha hata kidogo
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Год назад
Kweli akili ndogo ndoinayoongoza akili kubwa
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Год назад
kama unaona hivyo unamatatizo ama ya akili au ya macho kila siku akili kubwa ndio huongoza akili ndogo basi hiyo unayoiona ndogo ndio kubwa hiyo wahi kutibu macho au akili uelewe vizuri
@user-pw2tv1qg8r
@user-pw2tv1qg8r Год назад
Ongea yako tu unaonekana mnafki
@NetoKatundu-yb7ug
@NetoKatundu-yb7ug Год назад
Wewe unaongea kama hujui wakati unajua Ccm ndo haitaki
@alexandermalima610
@alexandermalima610 Год назад
Hivi wewe ndo ulitaka kuwa makamu wa rais,hata hivyo nilikuwa na wasiwasi na wewe
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 11 месяцев назад
Huyu Duni Ana matatizo. Eti Chao Ni Chao ,na chetu Ni Chao. Sio nyie mnataka serikali yenu?Rais wenu? Bendera yenu? Wimbo wa taifa lenu?kwani Kuna lipi wanalo wazanzibari.kati ya Zanzibari na mbara Nani Ana FAIDA,Nani jafaidika? Duni njoo hata uchukue wazenji kibao wamejaa.wachujue ndugu zako.Wee Duni waarabu wanakununua. Zanzibar Ni ya sultani
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Tuijadili Zanzibar yetu tu Babu Duni tatizo la Zanzibar ni hivi vyama vyenu na usitaje kabisa CCM kuhukumiwa Dodoma wakati vyama vyote mnahukumiwa huko huko Tanganyika tofauti ni mitaa tu.
@issaburhani3455
@issaburhani3455 Год назад
Attention!!! Kuna jambo baya linaweza kutokea TZ maana kila pembe kuna moto unawaka. Rescue inahitajika otherwise......
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
As ndio maana Naye Samia aneleta mkataba usiyo na mwisho Kama muungano!!! Ndiyo maanaaaaa
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Hata hivyo muungano ni changamoto sana 😂😂😂😂 Duni Haji😅😅👏🏽👏🏽👏🏽 Tunakukumbuka wakati wa Lowasa
@tindatinda7330
@tindatinda7330 11 месяцев назад
Kama kosa ni kuwa mzanzibar basi utanzania UNASIHI wapi?ACHA umaarufu WA kutafuta popularity
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Год назад
Funga domo jinga wewe
@martinsokoi397
@martinsokoi397 11 месяцев назад
Wee duni we mbona zijawahi kuona rais wa Zanzibar akitokea Tanzania,
@chescokagali5962
@chescokagali5962 Год назад
Hayo unayozungumza ni sawa lakini hoja siyo dini Wala uzanzibar ni mkataba
@LumolaSteven
@LumolaSteven Год назад
Leo unasema Rais Mwinyi Mzaramo ina maana Mzee Mwinyi sio Mzanzibar na Hussein Mwinyi ni Mzaramo kama baba yake. Mnaanza kubaguana nyie kwa nyie
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Год назад
Mimi ni kada wa ccm sijifichi ila mzee duni yupo sahihi
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 Год назад
Tanganyika wezi wakubwa sana na wanyonyaji sana uonevu umezidi Zanzibar
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Год назад
hamna kitu hapo
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 3 месяца назад
WAINGEREZA NDIO WANAOWATESA WALIKATAA MUWE TAIFA WAKAWAKABIDHI KWA TANGANYIKA SASA MKITAKA KUWA HURU KAENI MEZA MOJA NA WAINGEREZA HUENDA MKAPEWA NCHI YENU
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 Год назад
Chadema wabaguzi sana
@issalyanalijr-8610
@issalyanalijr-8610 Год назад
Correct ni chama chenye ukanda,,udini ,,upuuzi tu,,,,tutapigia CCM,,,😢 forever
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Mzee anaremba sauti kama shoga wa makunduchi.Hakuna cha Zanzibar yenu, Zanzibar huko tuendako lazima uwe mkoa miongoni mwa mikoa ya Tanganyika.
@saidikatalambula
@saidikatalambula Год назад
Kaka jibu hoja matusi hayajibu hoja hata , anayeongea ni sawa na baba yako
@fredernestonline6011
@fredernestonline6011 Год назад
Hawa wazanzibar wangekaa kwao huko. 😢wafanye Mambo yao
@rebeccamsami4580
@rebeccamsami4580 Год назад
Kabisa
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Год назад
Na wewe unadhani utapona muungano ukifunjika.
@maximillianmayani5119
@maximillianmayani5119 Год назад
Wahame dar et
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Год назад
​@@maximillianmayani5119dar mpaka mlandizi Tanga mpka Mombasa kama hujui ni zanzibar. Kwa hiyo mjiteyarishe kuhama. Nyinyi bahari yenu ni Mtwara na mabwawa. Mkafuge samaki huko. Mtuachie dar yetu na tumeijenga wenyewe wazanzibar.
@mohammedsaid3045
@mohammedsaid3045 Год назад
Kafirane huko mkiambiwa ukweli mnaanza ubaguzi mbwa ww
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Год назад
Kwani hajawahi kuwepo Rais Mzanzibari! Mbona mnageuza maneno?
@DeogratiasLekariro-gq3gk
@DeogratiasLekariro-gq3gk Год назад
Duni kama jina lake! Aende kwenye point ya msingi; mkataba wa bandari,
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 11 месяцев назад
Kwani hii Tanganyika yao kaichukua nani mpaka wanaidai? hapa Kuna mengi yakujiuliza. "Muungano"(kupe ) Kuna nini hapa? Na Kwanini Kila anaedai kuvunjika muungano wanamfunga au kumpoteza kabisa .
@emilbocco5895
@emilbocco5895 Год назад
Mbona mkataba wa ges ametia samia? Nishati si shirika ndio maana mafuta ya zanzibar mnasema si ya Tanzania
@studio..07
@studio..07 Год назад
Mbona zanzibar hakujawahi kuwa na Raisi Mtanganyika? Nyinyi tu hamruhusu sisi tuwatawale Ila nyinyi ruksa kututawala shame upon you all
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Год назад
imeisha hiyo hakuna muungano tena
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Год назад
Kusoma sio ujinga kwisha mzee baba achana nao wajinga wale wana makelele tu akili hawana huyo Dr. silaa na Lissu ndio ovyo kabisa najionea makelele tu. Sio wataalam wa mambo hayo
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Kwa hiyo wewe mzee duni unafurahia bandari za Tanganyika kufanyiwa uwekezaji wa hovyo kama huu?
@bakariamour1024
@bakariamour1024 Год назад
Na nyinyi mlivyokuwa mkikusanya pesa za TRA na kuzipeleka kila uchao mbona hamuyasemi ?
@yusufujuma1859
@yusufujuma1859 Год назад
Sio babu duni peke yake anaefurahia karibu wa Zanzibari wote wanataka Kila kitu kiuzwe ndio dawa ya mzulumaji
@studio..07
@studio..07 Год назад
Kumbe mnaajenda ya Siri kutuuza si ndio?
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Год назад
Akili ni nywele kila mtu ana zake....Nyingine zimepunyuka.kama za paka aliyekula nguru..
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Pumba ondokeni na mzanzibar went ovuoooooo yang udini
@jitunzetweve9873
@jitunzetweve9873 Год назад
Bandari imefungua akili za watu. Ili amani iwepo mkataba ufutwe kabisa. Tanzania itakuwa salama
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 11 месяцев назад
Hakuna wakuifuta labda ufutike Wewe
@kenethmwangoka981
@kenethmwangoka981 11 месяцев назад
Leo mnanza kubaguana kuwa mwinyi sio mnzanzibari ni mzaramo kesho mtapewa kinzanzibar chenu mtanza kuchapana mapanga kumtafta mnzanzibari ni nani mana mnaendekeza ubaguzi na jaziba za kasumba kuweni makini hata nje ya mungano bado mtaendelea na malala miko na kubaguana kama mnavyo wakataa wenzenu sasa
@richardkorogokorogo4840
@richardkorogokorogo4840 Год назад
Hao wote Marais waliopita waliwahi kuuza kitu Cha Zanzibar hata kimoja?
@zabronjonathan2264
@zabronjonathan2264 Год назад
SEMA Mzee tunakusikiliza mengine uko vizuri.
@user-bw8lt8wy1i
@user-bw8lt8wy1i 8 месяцев назад
Huyu no mpemba asili ya wapemba asili ya mpemba no mnafik mpemba no mnafiki hao waliwasalit was unnguja na kumpelekea mapinduz kupinduliwa waliwasalit
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Год назад
NYIE NIMACCM TUNAWAJUA VIZURI SANA
@mkude
@mkude Год назад
Na chadema ni chama Cha kidini Hilo linajulikana vizuri wasahau kabisa kushika mamlaka makubwa ya Tanzania
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Год назад
Ongea sera za chama chako mzee
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Год назад
Ndio anaongea sera miongoni mwa sera zao nikutokuwa wabaguzi
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 Год назад
Hamjashirikishwa kwa7b mkataba haujawajumuisha, na panapoonekana pana shida ziundwe serikali 3, shida ni mkataba mbovu au hamuoni
@salamathiastz274
@salamathiastz274 Год назад
Dpw wapeni bandari za zanzibar ,ya dar es salaam tuachieni hatutaki
@annamwanakatwe233
@annamwanakatwe233 Год назад
Uelewa. Mdoho Samia Anapoteza Raslimiali yetu Tunakuomba unyamaze utalaniwa nakizazi chetu mbona unajua kumbe Bandari unajua Ni chanzo Cha uchumi. Kumbe tuungane kufuta Mkataba mbovu sisi hatutaki ujinga mliofanyiwa huko
@user-tb1gd4dp9s
@user-tb1gd4dp9s Год назад
Jitengeni sisi atuwataki kwanza tanganyika tunajitosheleza
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 11 месяцев назад
Kama mnajitosheleza musinge ing'ang'ania zanzibar. Kasikilize hutuba ya Lukuvi akiwa kanisani ndio utajua umuhimu wa zanzibar kwa watanganyika
@martinsokoi397
@martinsokoi397 11 месяцев назад
Unamtetea kwa sababu ni ndugu Yako acha ubaguzi,
@monicambossa4937
@monicambossa4937 Год назад
Act wazalendo kimeanzishwa lini na makao makuu yako wapi
@emilbocco5895
@emilbocco5895 Год назад
Mbona nyinyi mnamsema Hussein mwinyi ni mtanganyika
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 11 месяцев назад
We noma
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Acha kupepesa macho kwa sababu ya siasa, Wazanzibar HATUUTAKI tena Muungano wala uonevu uliopo hausababishwi na Katiba iliyopo.
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 Год назад
Kosa sio Rais Mzanzibar. Ingawa ni kweli Mzanzibar. Kosa ni mkataba mbovu. Nadhani umewasikia wanasheria nguli kama prof. Issa Shivji, na Jaji Joseph Warioba, mama Tibaijuka na wengine.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Tibaijuka yule aliyeiba billion 1 na million 600 kwenye Tegeta Escrow amekuwa mzalendo lini.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Год назад
NYIE NIMACCM TU
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Год назад
​@@frankcharles3980shida anapambana na upinzani pasipo kupambana na ccm inayowatesa
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Год назад
​@@hajihassan5433haijalishi mwizi lakini katiba mbovu haivumiliki
@user-ve5nc3ny3g
@user-ve5nc3ny3g Год назад
Kanisa baba, kanisa baba!!
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up Год назад
Safi sana mzee.....we ni mzalendo.....kila mtu kwake Tanganyika kwao Zanzibar kwao
@user-xg2wb9ye2g
@user-xg2wb9ye2g Год назад
Mtanganyika Mzalendo wa kweli ni Filipo mpango tuko pamoja na Filipo mpango kaziiendelee
@sospeterthomas3342
@sospeterthomas3342 Год назад
Na ajili zako Ni Dini kaka Jina lako
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
Baada ya Karume kuuliwa Afisi ya Bamkwe imehamishwa Dodoma😂
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x Год назад
😂huyu mzee hajielewi,muungano siujui najua bandari, samia awe mzanzibar awe mmafia, naangalia tanzania, zanzibar mna bendera na Zanzibara hatuna bendera,tunatumi ya tanzania,ww ndo unataka zanziba cyo wazanzibari.
@MohamedMrope
@MohamedMrope Год назад
Muda umefika kilamtu afe nachake
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 Год назад
Allah atawasimamiaa inshaa Allah
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Год назад
Acha ujinga wewe haujielewi mna ubaguzi samia kavuruga nchi kaeni kwenu
@mkude
@mkude Год назад
Alieanzisha ubaguzi ni nani wewe,au akili zako za matope
@MrLusekelo
@MrLusekelo Год назад
nimemuelewa sana, ametoa hoja nzito
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Год назад
ACT CCM B
@user-tb1gd4dp9s
@user-tb1gd4dp9s Год назад
Asi muondoke nae uyo raisi sisi watanganyika
@aggreykwilabyanoni1581
@aggreykwilabyanoni1581 Год назад
Umeeleweka Mzee watu watafute Tanganyika Yao.
@theonaskalyalya9109
@theonaskalyalya9109 11 месяцев назад
Babu Fun acha kupotosha hayo mbona Mwinyi hakusemwa alifanya viUri
@halfankawambwa9008
@halfankawambwa9008 Год назад
Ujinga mtupu umejifuta mwenyewe kwene akili yangu
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Год назад
Hapo cjui anaongea Nini
@user-im9my8wk2d
@user-im9my8wk2d Год назад
Umeme wa tanesco nyie mnapata umeme kutoka Comoro!? Kweli akili duni
@aybkham5795
@aybkham5795 11 месяцев назад
Umeme sisi Sio tatizo bahari tuko nato fasta tu tinawasha
@djsandi4419
@djsandi4419 11 месяцев назад
@@aybkham5795 we kuma kweli maji ya bahari hayawezi zalisha umeme maisha
@mtz5582
@mtz5582 Год назад
Wazanzibari washamba ila hawajui Tu....washambaaa...na mapazia ya Dubai....Nani mjanja wa Leo anaingia ubia na waarabu..all intellectuals in Arab world is foreign imported....
@jamaa2760
@jamaa2760 Год назад
A) Babu duni,, Mafuta Zanzibar si Muungano iweje Gesi ya Mtwara?? B) Mkata wa Bandari unabishaniwa masharti ya Mkataba.
@Euph59
@Euph59 Год назад
Huyu ndiye yule duni aliyekuwa na akili sasa aongea hivi? Wataalam wafanye kazi yao tu ya Kisheria na ikibidi tuirekebishe hii ndoa na wenzetu ambayo haina maslahi nasi kwa sasa. Sheria pekee ndiyo itatutatulia huu ukakasi.
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Год назад
Wewe una maslah na ndoa gani labda?
@johnmacha2194
@johnmacha2194 Год назад
crap! wazanzibari wako kila kona bara na hawabaguliwi acheni mineno mineno!
@gilbertnyanda5027
@gilbertnyanda5027 Год назад
Akili ndogo sana huyu jamaa
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Год назад
Akili ndogo kvipi? Waatakiwa kujibu hoja usipende kulahisiha huyo anahoja nuzuri Sana CCM hawataki maswali magumu wanataka majibu mepesi! Wametufiisha hapa tulpo kwenye maswali magmuui hawawezi kujibu!
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 Год назад
Tatizo la chadema wabaguzi sana bora ccm x1000
@YusuphJilala-it9bo
@YusuphJilala-it9bo Год назад
Bwegeee huyooooooo
@dulasaid2581
@dulasaid2581 Год назад
Sasa hivi watachana na kuidai tanganyika. Tukidai zanzibar.
@mkingajuliuas9673
@mkingajuliuas9673 Год назад
Wewe ni mjinga kalale hakuna unacho kiongea
@emilbocco5895
@emilbocco5895 Год назад
Hata mkijitenga ccm zanzibar itabaki madarakani ,
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Год назад
😂
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Год назад
MNAFIKI SANAA ZEE ZIMA AIBU SANAAA
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Год назад
Anaongea ukweli sema wewe huna unachokijua fatilia kuna mambo mengi Zanzibar wanafelishwa na bara coz Zanzibar kuna baadhi ya mambo mpaka wapate kibali kutoka uku bara kwenye bandari ndio mnawajua wazanzibari ila kwenye vitu vingine vyetu wote manake mmeanza kuleta ubaguzi kwann hasingeuza ya kwao Zanzibar wakati unajua kuwa hii ni jamihuri kama hamtaki muhungano vunjeni
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Год назад
Yanakuingia hayo maneno komaa wee kichogo
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu Год назад
Nyie wapinzani muungane ndipo mtapata mafanikiio ,chadema na act ni lazima muwe kitu kimoja ,,,matatizo yote haya ni sababu ya ccm ambao hawataki serikali tatu ,,tiba mi mabadiliko ya katiba kila mtu amiliki cha kwake na vyama vya siasa visiwe vya kimuungano yaani watanganyika wawe na vyama vyao vya kisiasa na Zanzibar vile vile ili kulinda haki na mali za taifa ,,,kosa kubwa kwasasa ni katiba
@agustinokimaro1483
@agustinokimaro1483 Год назад
Ndo ukaunga na MTU kama huyo kweli????ACT wana lao
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 11 месяцев назад
Chadema wabaguzi
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 Год назад
Acha pumba banna ila iko siku utajua Tanzania ni nini
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Год назад
Act imetekwa na wazanzibar, pole yao
@andrewassey5108
@andrewassey5108 Год назад
Babu jiheshimu kama tunavyokuheshimu ukianza uongo tutakudharau. Kwa nini hakuuza bandari za Zanzibar ana upendo gani na Tanganyika ambao Hana kwa Zanzibar? Kama kweli nchi ni moja?
Далее
SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA,  ATAJA MAMBO MANNE
4:29
MSIMAMO MKALI WA JUMA HAJI DUNI KWA SERIKALI YA CCM
13:37
BABU DUNI AMVAA TENA RAIS MWINI.HUTUBA YAKE HII APA
25:16