Тёмный

Sakata la bandari, Babu Duni atema makavu Bumbwini, awapa vidonge vyao Watanganyika 

Weyani Tv
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 162   
@V24hrs
@V24hrs Год назад
Hongera babu duni ..I Love ACT Wazalendo 💜💜💜
@V24hrs
@V24hrs Год назад
Chao ni chao lakini chetuni chao.. maneno mazito haya.💜💜💜
@anyelwisyestephen4690
@anyelwisyestephen4690 Год назад
Duu! yamekuwa haya?. Asante Mzee Butiku ulisema mpasuko unakuja hili lirekebishwe mapema yaonekana sasa. Ya Sudani yaja Tanzania.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Год назад
Act pambaneni na wazanzibar, sie tunapambania Tanganyika yetu
@khairatkhamis5845
@khairatkhamis5845 Год назад
Watanganyik mnatutes san tu na Zanzibar kila mtu ana uhuru wake kutoa maoni yao kuhusu nchi bc tumeshawachok machogo hamn akili nyinyi
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 Год назад
Machogo wasio na akili wanawatawala wasio na chogo tena wenye akili.Yaani asie na akili anamtawala mwenye akili,hii imekaa vizuri. Kwa uchunguzi wangu Matahira wengi hawana vichogo. Badala ya kujenga hoja za msingi unadhihirisha udhaifu wako pole.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Год назад
​@@omaryramadhani6664Jama jama mbona Makombora!!
@iam1366-o7b
@iam1366-o7b Год назад
Duh! hatari sijui kama tutafika
@justinewalwa7387
@justinewalwa7387 Год назад
Yaani nyie Wazanzibari mtamuua bure huyu mama mzanzibari mwenzenu.Fikiria hapo alipo anapambana na sakata la bandari tena mnamletea sakata la Muungano!!! Kwa akili zenu mnadhani mnapambana na Watanganyika kumbe mnapambana na mzanzibari mwenzenu
@chicagousa2695
@chicagousa2695 Год назад
Safi babu nimekuwelewa sana
@MussaMkubwa-l6t
@MussaMkubwa-l6t Год назад
Zanzibar oyeee
@JRN2612
@JRN2612 Год назад
Hahahah, ukitaka kujua kama babu kaeleweka angalia majina ya watu wanaocomment utumbo hapa😂😂😂😂😂
@inukaonlinetv7969
@inukaonlinetv7969 Год назад
Nimekuelewa mkuu, kumbe unajua kufanya tathimini
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Год назад
Unasema hamtaki kujua kama mkataba wa Bandari ni mzuri au ni mbaya..Hii inaonyesha Wazanzibar hawana uchungu na mali za Tanganyika na ndiyo maana Samia anagawa bandari zetu kwa Waarabu. Na sio bandar za Zanzibar kwa sababu anauchungu nazo. Kwa hiyo kila ni wajibu wa kila Mtanganyika mzalendo kuhakikisha bandari zetu za Tanganyika zinarudishwa. Ni aibu kwa chama cha CCM kuzunguka nchi nzima bila aibu kuwadanganya na kuwalaghai Watanganyika kwa kutetea ugawaji wa bandari za Tanganyika kwa Waarabu. Kumbuka Muungano ukivunjika Samia atarudi kwao Zanzibar bandari zao zitakuwa salama na za kwetu atakuwa amezigawa. Hii ni aibu kubwa kupata kutokea duniani .
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Год назад
Kaongea point Sanaa huyu mzee wenye akili ndio watamuelewa
@kitomariKitomari-ge9pr
@kitomariKitomari-ge9pr Год назад
Hongera sana babuduni na babujusa.
@abdisalim7900
@abdisalim7900 Год назад
Tuliosoma Cuba tumekuelewa hw Panyaroad wasikushuhulishe,Bigup BAB DUNI
@muhamadhusein5260
@muhamadhusein5260 Год назад
Hutuba ya karne, asante sana babu duni
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Год назад
Samia Zanzibar wanakuhitaji, ondoka, hatukuhitaji.
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Waliparurana kipindi cha uchaguzi 2020..hawamtaki huko. Mama Samia aliwatukana wanaume wa zenji kuwa ni wambeya
@robertmhikwa8174
@robertmhikwa8174 Год назад
HATUNA SHIDA NA NYIE,SHIDA YETU NI MKATABA M'MBOVU KWENYE RASILIMALI ZA NCHI YETU.NYIE TULIENI
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Год назад
Zanzibar ninchi tanganyikw ninchi lakini zote zimekufa hii Tanzania inatutesa wote kila watu wawe nanchiyao
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Waongo wakubwa mafatani wakubwa muogopeni mungu waisalamu gani na ufatani mtupu muogopeni mungu wenu bac fitna mbaya wacheni kupotosha watu
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Год назад
Unajua hizi hongo au rushwa ni mbaya sana,sasa Juma Duni Haji anasema;Kuna watu wanakataa Warabu kupewa Bandari wakati Bandari ya Bagamoyo walitaka kumpa Mwarabu,hayo ndio maneno ya Duni,sasa tumuulize;Nani anataka Bandari zetu wapewe Warabu bila ya utaratibu wa maana na mikataba ya hovyo.?Tunataka mikataba yenye tija na yenye kuleta manufaa kwenye nchi yetu,hatuwakatai Warabu wa Dubai kwa Uislamu wao,tunawakataa ulaghai wao kwenye mkataba wa bandari zetu.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Mengine hujayasikia
@methodrweyendera6814
@methodrweyendera6814 Год назад
Huyu mbwa koko tu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Unaposema munakataa ulaghai wao!ni Sawa lkn sio Kwa domo Tu tuonesheni huo ulaghai walioufanya ni you na ktk kipengele gani cha makubaliano!sio kusikilizia maneno ya Maoadri na wanasiasa Tu,na kuhusu uladhai hao wanaopiga domo ndio walaghai wakubwa hapo bandarini maana wanatumia Bandari Kwa udhsifu wake na kupitisha mizigo Kwa kutumia nembo ya Kanisa bila kulipia ushuru na ndio unawaona Mapadri wamesimama imara kukosoa bila ushahidi wa wanalolisema kwasababu watakosa maslahi Yao,kwani ikiwa hao DP World watapewa kazi ya kusimamia Bandari hawatajali Kanisa wala Mskiti au kiongozi kuitumia Bandari Kwa kukwepa ushuru na hapo ndipo penye utata Kwa wapiga domo la kupewa bandari,sasa wanatoa dia na kulinasibisha na Uarabu!mara wengine kubadilisha na waislamu.Na tujiulize kwanini wakatumia neno Uarabu?na wasitumie neno DP World?maana hiyo ni Kampuni inayotoka Dubai!sasa walitegemea Dubai waweko Wachaga na Wanyakyusa?na pia kujuwa Hawa Wana Lao ktk maendeleo hayo yajayo ktk Bandari,pia wakambagua Rais na Waziri wa sekta hiyo kuwavua Utanzania wao na kuwabandika Uzanzibari!kama vile Baraza la Wawakilishi Zanzibar limepitia na kuridhia mkataba huo uliopitishwa na Bunge la Tanzania na mwanasheria wake!na pia Hilo Bunge Lina wajumbe wanaozidi Mia tatu(300)na Wazanzibari hawafikii hata Mia moja!sasa vipi leo Washutumiwe Wazanzibari wawili juu ya hili?kwani nchi hii inaongozwa na amri ya Rais? au Waziri?au Wazanzibari ndio Wana maamuzi ya hili? Wakristo wacheni chuki,tunajuwa hamuwezi kuacha Hilo lkn fanyeni kificho kidogo!na wala musione kwamba hayo munayoyafanya hatujuwi la hasha tunajuwa mengi lkn Sisi ni wavumilivu Sana ,lkn uvumilivu Una kiasi chake!
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Na wewe kama si Mkristo basi ni Muislamu usiyejitambua(Muislamu poa)
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
@@methodrweyendera6814 mbwa Koko ni wazazi wako sasa jiulize wewe utakuwa Nani?
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Год назад
Good
@francismwantolwa2329
@francismwantolwa2329 Год назад
Zitto atakufukuza kazi
@valeriokiputa3745
@valeriokiputa3745 Год назад
Kwa mkataba wa Muungano ni sahihi kabisa ni wa ajabu, lakini waarabu na mkataba wao wakafie qalikonywea sumu
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Год назад
Zanzibar people together front
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Год назад
Kwanza mshukuru wazanzibar mshukuru muungano. Ukiona mmeuvunja mjue mtaingia kwa passport kama Mtanganyika anavyoingia kwenu mpaka awe na passport. Tumewavumilia sana. Mlipaswa kushukuru muungano Kati yanchi yenye watu m.60 na nchi yenye watu milioni 1 halafu mnagawana mapato Sawa.
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Год назад
Sasa mpaka ngoma zetu tumewacha tumeanza kupiga mdundiko huoni msiba huo Babu duni
@nickjuma6020
@nickjuma6020 Год назад
Kama hii bandari haiwahusu mbona faida inayopatikana gawio pia hupelekwa Zanzibar!! ?? usilete mambo ya udini na Uzanzibar hapa hoja ni mkataba wa wizi na rushwa!!
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline Год назад
Lakini huko bara nyie ndo mnamuita Samiya Rais 'Mzanzibari'. Na viongozi huko wanasema wazi kuwa Wazanzibari yaani Rais na waziri wake wanauza bandari ya Watanganyika kwa mwarabu. So usiseme uongo hapa. Tatizo ni UZANZIBARI na udini pia ndo u awasumbueni Watanganyika.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Tokea lini gawio la bandari likagawiwa ?Udini unatoka huko bara,sikiliza hotuba ya mheshimiwa Lukuvu kanisani.
@salumiddi6500
@salumiddi6500 Год назад
Tueleze lini mumetoa gawio la bandari kwnda zenj?
@elsonkibasindila7526
@elsonkibasindila7526 Год назад
​@@WeyaniTvonlinekwani Samia ni mtu wa wapi?
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 Год назад
Lini mlowagaiya wazanzibar mapato yenu ya bandari mnafiki mkubwa wewe
@salyali7807
@salyali7807 Год назад
Babu Duni tumekumiss
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Год назад
😢Ama kweli....Samia una kazi!
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Samia Hana kazi nyie ndio muna kazi!si umesoma munaropoka yeye kimyaa kazi inaendelea!haiwezi kujadiliana na wajinga"She don't urgue with a fools"
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Samia kazi yake ni kujiingiza Tanzania na sio kujibizana na wajinga"SHE DOESN'T URGE WITH A FOOL"
@ahmedaltauqi7152
@ahmedaltauqi7152 Год назад
Pongezi Babu Juma Duni, kalishwa nini Bumbwini ana oneka kijana na hamasa zaidi .
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Msipate tabu hata siye hatuwataki kila mtu akae kwao kwa kutuletea warabu turudi utumwani hatutaki kila mtu akae kwao
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Kwan TANGANYIKA ukuwa kolon la waarabu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Год назад
Kuna ubaya gani kuja waarbu NA pesa zao kufanya anagalao mwarabu kuliko kuja wengreza au myahudi waarabu sio wabaya wala hawana chuki NA wa africa lakini waarabu hawajui wala hawaelewi kwamba wanachukiwa hao vijana wa dobai wanaelimu wanapenda kufanya kazi tu kote duniani sio tanzania tu NA kila mahala wanakaribishwa huko uarabuni vijana wengi sana wanafanya kazi kwa amani NA usalama bila ya ubaguzi
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Mjinga wewe
@yussufmussa8122
@yussufmussa8122 Год назад
Kijiji kwenu umeendaa lin😢?!
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
​@@alialamoudi9729tatizo sio waarabu, ni aina ya mkataba.. wawekezaji tunawahitaji,walete manufaa.. tunayasikia makesi nchi ambazo DPW wamewekeza
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Год назад
Sijui Chadema unawalaumu kwa kosa gani.
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
10:28 kama suala la bandari sio mambo ya muungano, kwa nini waziri anatoka Zanzibar
@alvinsanga2428
@alvinsanga2428 Год назад
KUMBE VIMEUZWA KWELI!! Sasa HAPA WATANGANYIKA FUNGUKENI AKILI ZENU
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 Год назад
Mbona huyu mzee hajaeleweka vizuri
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k Год назад
Huwezi kumuelewa kwa vile kiswahili sio lugha yako bro wee kausha tu sisi wenye znz yetu tumemuelewa
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Umeelewa vizur sana ndoman ukacomment VUTU weeeeeee
@mussabendera1751
@mussabendera1751 Год назад
Hawachukuliwi, kila mjeshi anataka kwenda safar za nje ya nchi.
@omarsharif-ok6wf
@omarsharif-ok6wf Год назад
SII MTU WA SIAS ila dini uko sawa
@labanigalusi874
@labanigalusi874 Год назад
muungano wawa sisi wenyewe atuutaki
@alvinsanga2428
@alvinsanga2428 Год назад
MKUKI KWA NGURUWE UMEONGEA KWELI MATANGANYIKA MAJINGA SANA
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Год назад
We tulia weye Babu duni tuwache tumejichokea roho tuwache tucheze msewe na vibati vyetu weye subiri kaburi tu
@dadymanzy1068
@dadymanzy1068 Год назад
Wataelewa tu mpaka kieleweke
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
❤❤❤
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
saf kabisa izo hoja nlitaman kuzsikia Leo rais samia anatetewa na ict.
@franciskulwa2322
@franciskulwa2322 Год назад
Cjamuelewa hata kidogo anapo sema tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamiri cjaelewa
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 Год назад
Zanzibar iliyo huru
@salyali7807
@salyali7807 Год назад
Itabidi ukajifundishe kiswahili ili umuelewe
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k Год назад
Utaelewa wakati ukifika tulia tu kwa vile sio shida yako huwezi kuelewa, hata sisi hatuwaelewi mkipigia kelele mkataba wa bandari.
@5amediaonline335
@5amediaonline335 Год назад
Chukua daftar na peni nikusomeshe
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Mkataba wa bandari mzur sana kwa watanganyika
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Год назад
Samia nenda kwenu ukafanye maendeleo tuache susi na mali zetu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Год назад
Sasa mbona hamwendi Mahakamani kupinga hayo?
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Год назад
Hii mijamaa kumbe mipumbavu sana, kwani nani aliyesaini huu mkataba mbovu? Kuna mtanganyika aliyesaini? Kwa maneno haya sioni kama kuna muungano tena.
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz Год назад
Kwa Hiyp Babu Duni Ndio Unatuchambaaaa au😅😅😅
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Год назад
Historia ya ACT WAZALENDO ILISAJILIWA WIKI UCHAGUZI MKUU UKO MBELE GARI NYINGI MAJIMBO YOTE WALISIMAMISHA WABUNGE WAO. UMOJA WA CUF MAALIMU,DUNI MWENZA,NA CHADEMA LOWASA.MLIPATA WABUNGE WENGI LEO.DUNI MAALIMU SEIF,MNAJIUNGA NA ACT?ILIYOPEWA MSAADA NA......KWELI MKO SALAMA?
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
10:28 hapo hujasema ukweli. Viongozi wa dini walikuwepo wote..kwa nini unawasema maaskofu tu..
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 Год назад
Siasa za lawama ni laana tupu. Kabla ya uhuru tuliwalaumu wakoloni kuwa ni chanzo cha shida zetu. Haya tukapata uhuru. Lawama zimeendelea kwa vyama vyetu. Sasa lawama zinaendelea kila upande dhidi ya mwingine kati ya Tanganyika na Zanzibar. Kati yao dhidi ya Muungano. Ni lawama politics
@justinewalwa7387
@justinewalwa7387 Год назад
Chakufanya mwambieni au mlazimisheni atengue kiapo na kuvunja muungano ili muwe huru kama mnavyodai. Na kwa vile yeye ni rais, maana yake yeye ndo kila kitu. Na asipofanya hivyo, basi mjue huyo ndo msaliti wenu namba moja na si Watanganyika
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Yeye ni dereva Tu lkn gari Lina wenyewe na wenyewe ni akili na Kikwete na Watanganyika wenzake
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Год назад
Mtaendelea kulia hivyohivyo maadamu mumeanza kutukana Wabara badala ya kushirikiana nao kukomboa nchi zenu.
@yussufmussa8122
@yussufmussa8122 Год назад
Tuna Allah anatutoshaa bro?!!!
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Год назад
Duni umechoka haswa
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Год назад
Mmmmh hawa mlenda tu....hakuna kitu hapo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Na nyi ni Kisambu
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Год назад
Kwa hatua ya muungano ilipofikia ni bora ukatazamwa upya maana kila upande unalalamika bora uangaliwe muundo unaofaa
@profs.a5412
@profs.a5412 Год назад
Mbona mwinyi hujamtaja??
@denisjoel2833
@denisjoel2833 Год назад
Sauti gani hiyo mbona haikufai kama mwanaume? Umeilemba sana mwisho tukushtukie mbona haukuwa hivyo!
@alikhamis3723
@alikhamis3723 Год назад
Weye ndo mpuzi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Kwani wewe ndie Muumba?Hiyo ni style yake mdivo alivoumbwa
@bigdad1816
@bigdad1816 Год назад
Cheap politics Mungu saidia
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Elaborate for us to understand
@papaj6795
@papaj6795 Год назад
Fella if you don't get keep Quiet instead of looking for a solution everyday complain complain this why African we are behind selfish Religious we don't think big we think ccm or other political part same boat.
@AbdulSalim-xb6mm
@AbdulSalim-xb6mm Год назад
Imewauma lakini imewaingia na bado nondo zitarushwa bila kukoma wakufa afe
@karachiwala5419
@karachiwala5419 Год назад
uyy
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Wacheni kupotosha umma na ufatani mtupu Wacheni kupotosha umma bhana uongo mbaya na muwajua fika
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Weka wazi huo uwongo wake
@bekabeka-ww2mn
@bekabeka-ww2mn Год назад
usipo muelewa utakua chizi
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 Год назад
Mashoga wengi sio walevi tu hamuwezi kaz mpo kishoga shoga2
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Shoga ni baako
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 Год назад
Na nyie manaweza kazi gani zaidi ya wizi tu mmsotosheka na vipato vyenu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Год назад
zanzibar hakuna wanasiasa ni ujinga mtupu
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k Год назад
Unavoona wewe kwa vile na wewe ni mjinga unafkiria watu wote ni wajinga kama wewe, respect ujinga wa watu kama wewe ndio ulowafikisha hapo mlipo mkajikuta mko pending mpaka leo hamjijui ni watu wa wapi sie unaosema ni wajinga tunajijua ni nani ni wazanzibari na wewe unatujua ni nani ingawa wewe mwenyewe hujijui
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
MWAMBA NGOZI HUVUTUA KWAO
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Ni kweli maana Watanganyika mumeivuta Hadi sasa inataka kukatika
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 Год назад
Huyu mzee maskini hajui anaongea nini
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Na akili zake na mwenye maoni mazuri
@karenstephen8738
@karenstephen8738 Год назад
Waiteni dp zenj wawajengeeni misikiti tusisumbuane stupid
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Ndio hao wa akina Lukuvi
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
It's very stupidity ideal,Bandari ni ya Watanzania na sio ya Tanganyika na tukienda mbali historia unahukumu ni Nani mwenye Bandari hiyo
@omarsaid6059
@omarsaid6059 Год назад
Ndio tunataka tanganyika yetu
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Ukatafute na kitu umoja wa mataifa Mana kilichopo ni cha Zanzbar
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Tanganyka ipo tanga
@karenstephen8738
@karenstephen8738 Год назад
Mchukueni huyu bibi yenu kwanza Muungano mshauvunja
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Kwani aliwekwa na nani?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Na nyie mchukuweni huyu kijana wenu wa Mkuranga!
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline Год назад
😂😂😂
@inukaonlinetv7969
@inukaonlinetv7969 Год назад
😂😂😂
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Год назад
Tumchukuwe Sisi kwani ndio tuliomuweka?kama ni kumchukuwa chukuweni nyie halafu muweke Bibi yako wewe mwenye msalaba na kichwa wazi akiwa amevaa kimini mapaja nje!
@methodrweyendera6814
@methodrweyendera6814 Год назад
Umefilisika akili tu wewe
@khairatkhamis5845
@khairatkhamis5845 Год назад
Nick juma huna akili ww upelekwe mental
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Si itakuwa bora wewe ukapimwe kwanza
@yussufmussa8122
@yussufmussa8122 Год назад
Hazina kwetu broo?!
@denisjoel2833
@denisjoel2833 Год назад
Hauna aibu miaka yote Wazanzibari mliishi kwa jasho la Watanganyika hamjawahi kuuchangia muungano hata kidogo iko siku kitaeleweka tu.
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Год назад
Usolijua usiku wa kiza kinene. Bora unyamaze tu.
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Год назад
Miaka mingi wazanzibari hawstaki muungano, kama ni mzigo kwenu kwa nini hamuwaachii nchi yao??
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Год назад
Huna aibu wewe tena hujui lolote juu ya znz inavyonyanyasika kwa muungano huu.
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
@@FarhatSeif-p3t Mwinyi . Mkapa na kikwete ndio wametufikisha hapa. Waluza rasilimali zetu kwa wageni sasa Samia nae anauza bandari swala na hoja kubwa ni bandari au rasilimali zetu kuuzwa kwa wageni na hakuna chochote Zanzibar au Tanganyika inafaidi watu tunaishi kwenye halli duni Tanganyika na Zanzibar tusijigawe tuungane tupiganie uhuru wa kiuchumi pande zote huyu MZEE anatugawa hii haitasaidia kiuchumi. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k Год назад
Kwa vile wewe ni mtoto mdogo sana ndio maana hujui unachokiongelea sababu ya huo muungano hasa ni njaa yenu ndio Mwalimu wenu alikopa sana znz mpaka akaona atashindwa kulipa ndio akafanya ujanja wa huo muungano feki ili aendelee kula pesa zetu na le deni alipotezee asilipe na kumpoteza Rais wetu ili kuuwa ukweli na hata hati ya muungano wenyewe hakuna mnaendelea kutuibia mpaka leo tumechoka na muungano wenu feki mkatuunga sisi nyie mkapotea kizani muko wapiii mmepotea kizani miaka 60 ndio mnaanza kuona mwangaza sasa poleni sana karibuni kwenye mapambano
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Mzee unaumasikini wa kufikiri Naona unawaongopea ndugu zetu wanzanzibari Hoja ni mikataba mibovu Alioingia Raisi na Seriksli yake
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k Год назад
Sisi pia tunawafikiria nyinyi mna umasikini wa kufikiri kama ni mikataba mibovu ishapita mingi sana na mlikaa kimya hatujawahi kuwasikia mkicomplain mnapambana na njaa zenu na mikataba inaendelea kulisha wachache sisi haituhusu hiyo yoote mnayoongelea nyie unaotuhusu ni mkatakaba mbovu mmoja tu nao ni wa muungano sio mwengine na huyo ndio mama wa hiyo mnayoongelea nyie leo mlipozinduka baada ya kuzimia miaka 60 ya mnaoita uhuru
@alikhamis3723
@alikhamis3723 Год назад
Pale mulipo sema wazanzibar wamewauzia bandari yenu mulimanisha nini???
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Halafu ninyi makafiri acheni chuki na waislamu nusu ya raia wstanzania bara ni waslamu na wanamuunga mkono Samia
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 Год назад
Nusu ipi mkuu unayozungumzia? Rais haungwi mkono na Waumini wa dini yoyote maana anawakilisha CCM wala siyo Uisilamu wala Ukiristo. Kuweni makini sana na udini,maana tukianza kuchagua kiudini hatutatoboa. Kuhusu muungano nakubali mapungufu yapo. Kikubwa viongozi wakae chini kutatua tatizo. Ni raihisi sana. Wakiamua na tukabakia wamoja zaidi ya zamani.
@MariaOmary-dw4yl
@MariaOmary-dw4yl Год назад
Subhanallah pumbavu wewe muislam gani anamsapoti Samia labda wewe peke vk
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
@@MariaOmary-dw4yl wewe ni kafiri sio muislamu fala wewe
@EnockFumbuka
@EnockFumbuka Год назад
Zanzibar bila TANGANYIKA Sultan msingemzuia kurudi makao makuu yake kwa kutumia Majambia.Zanzibar hakuna kitu zaidi ya karafuu na Utalii .
@alikhamis3723
@alikhamis3723 Год назад
Hujui historia wewe nyamaza
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Jinga kabisa ili. Visiwa vina mafuta www unafanisha na punda milia... Unafanisha bahari kuu na mappri!! Au hujui kama TANGANYIKA haina bahari kuu bila meli kupita zanzibar haifiki uko. Unafanisha katafuu na korosho VUTU wewe kwa zahabu ina kazi gani zaid ya kujipamba
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Wewe ni kijana usiofaham ya kale.Kabla ya Uhuru wa Tangamyika,mulikuws
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Wewe ni kijana usiofaham ya kale.Kabla ya Uhuru wa Tangamyika,mulikuws
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Wewe ni kijana usiofaham ya kale.Kabla ya Uhuru wa Tangamyika,mulikuws
Далее
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 13 млн
MSIMAMO MKALI WA JUMA HAJI DUNI KWA SERIKALI YA CCM
13:37