Тёмный

Dunia iko Mwishoni - Paschal Cassian (official lyrics video) 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

#0766998994 #call0688199370 #

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@gideonkoech964
@gideonkoech964 24 дня назад
First to comment,,wapi likes kwa nyimbo huu mzuri 👍♥️♥️♥️
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 24 дня назад
Mi sikuelewagi baadhi ya mahuniri yako ila ninakukubali Kwa kuwa ni mwinjilisti mzuri , na ninakubali Sana unapowaonya watu kupitia nyimbo , ubarikiwe
@kashidimaope559
@kashidimaope559 19 дней назад
Kwanza ujuwi kuandika Kiswahili
@aviosilona316
@aviosilona316 17 дней назад
Toa boridi kwenye jicho lako kabla uone kipenzi kwa mwingine hapa hakuna shule.... Wewe mwenye unajua Kiswahili ujuwi ndio nini???Ni hujui​@@kashidimaope559
@SokratesStallin
@SokratesStallin 16 дней назад
Kwanini haumuelew na badounamfuata
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 16 дней назад
@@SokratesStallin hujaelewa nilichomaanisha ,nyamaza mpendwa hujaelewa maanayangu,
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 24 дня назад
huu wimbo ni mzuri kama ule ulioutoa mwanzo ..ona wanavyomwabudu.....Barikiwe sana Mtumishi 🎉🎉
@ELISA2000TV
@ELISA2000TV 24 дня назад
Support from USA 🇺🇸 Marekani MUNGU akulinde kwakuwaelewesha watu
@giftsumari2653
@giftsumari2653 17 дней назад
Barikiwa sana Mtumishi Mungu akusaidie akulinde katika mapito yako damu ya Mwokozi wetu Yesu Kristo ikufunike
@SikituSiri
@SikituSiri 16 дней назад
Ee mungu tupe mwisho mzuri baba 😢😢❤❤❤ ubarikiwe kaka yangu
@ibrahimmgeta2453
@ibrahimmgeta2453 5 дней назад
nakubal
@preciousambani7822
@preciousambani7822 7 дней назад
Ufunikwe Kwa damu ya yesu mchana Na usiku,wasikupate Wana wa Elima
@JOHNKUBINGWA
@JOHNKUBINGWA 17 дней назад
Nakukubal paschal cassian kama unajihakikishia ulinz wako uko vizur bas endelea kutaja usifiche watu wajue pengine tumefungwa hatuelew kwa kuimba nyimbo za mafumbo. Mungu akutie nguvu na juhudi ili ufikishe ujumbe dunian kote
@ANNAJustine-d1k
@ANNAJustine-d1k 8 дней назад
Nikweli ila Mwamposa mtoe kbs huyu ni mtumishi wa Mungu aliye hai
@gabrielprocess6922
@gabrielprocess6922 21 день назад
Roma wa gospel😊
@OscarlucasKagombogombo
@OscarlucasKagombogombo 23 дня назад
Sinaaja ya kanisan nina bible nanyimbo za injili ninazo ntaomba mungu anipe mwongozo na mwisho mwema
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 23 дня назад
Ubarikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏🎁🎁🎁🎁
@BillMesso
@BillMesso 20 дней назад
Dah watumishi hao wote uliowataja ni wa uongo ??? Nyimbo nzuri ina ujumbe mzuri sana ila MUNGU AJUA YOTE
@hagaingailo8100
@hagaingailo8100 16 дней назад
mtumishi ulinzi wa damu na nyama unao kweli maana sio kwa kuwaumbua huko manabii wa uongo maana naamin ulinzi wa kiroho unao imara jee hawa manabii wa uongo wakija kimwili upo vizur kweny mazoez😂😂😂
@Meddy-Fafa
@Meddy-Fafa 10 дней назад
Nikuomba mungu mwisho mwema🙏🙏
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 24 дня назад
Kweli Mtumishi wa Mungu sema tupo nyuma yako
@SimoniSanduly
@SimoniSanduly 24 дня назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kaza mwendo
@jamesmutua766
@jamesmutua766 21 день назад
Clear massage, kataa usubiri hukumu
@RamanengaRama
@RamanengaRama 24 дня назад
Endelea kusema ukweli
@kasabalibraryseason4018
@kasabalibraryseason4018 22 дня назад
Ujumbe umefika....ila Ungeweka waazi tu
@MwanahamisiHashim
@MwanahamisiHashim 24 дня назад
Nyimbo hizi zinafunsisha sana
@JacklineSweetbert
@JacklineSweetbert 12 дней назад
Dah huyo pastor anaebeba watu nakuzungusha hvo tampata wapi jmn me napenda raha ka hzo😅
@bibianaamede7845
@bibianaamede7845 21 день назад
Ni kweli tunayaònà ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 6 дней назад
Na kweli I seeee
@MelvinInziani-v7d
@MelvinInziani-v7d 24 дня назад
God bless you,, sah sah watu wancheza n jina la mungu hwaogopi nyumba ya mungu sah imegeuka biashara 😊
@francisfidelis1703
@francisfidelis1703 24 дня назад
Bwana na akutumie kwa viwango vya juu wenye akili wafahamu Roho asema na kanisa
@biannapiter554
@biannapiter554 23 дня назад
Pamoja San mwijilisti wangu ❤❤❤❤mungu akulinde 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@NuruMbongo
@NuruMbongo 23 дня назад
Ukisikiliza huu wimbo ukisikiliza kwa kutumia ndio utaelewa asante mtumishi nimebarikiwa❤❤❤
@SideBoy-b2f
@SideBoy-b2f 20 дней назад
Congratulations brooh ❤
@tom4dj
@tom4dj 23 дня назад
Unaimba vizuri ila unahukumu sana,sasa mfano Good luck unamuitaje muimbaji wa uongo au kuwataja manabii hao? Si vyema,hata wewe Sasa unaweza kua muimbaji wa uongo
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 23 дня назад
Kashikamana na akina Geordev na amepewa magari kulee.
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 21 день назад
Kwa hiyo wewe umeona ni mwimbaji wa kweli? Muulize Roho Mtakatifu atakuambia, shida iliyopo ni kwamba, msaidizi yupo, lakini tunaongozwa na akili zetu. Pole.
@francisoloo4448
@francisoloo4448 21 день назад
Analoimba hapa Ni kweri Sana...Huu ndo mtindo Kwa makanisi siku hizi Ni drama Ni movies... Mungu hutumia kitu chochote kuwasilisha ujumbe..Huu ndo ujumbe was Sasa hivi..
@Saidi1581
@Saidi1581 23 дня назад
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri mtumishi wa Bwana ,Amen 🙏🇨🇩.
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro 14 дней назад
God bless you cassian
@azizimohamed9171
@azizimohamed9171 16 дней назад
kweli kaka dunia iko mweishoni mwenyezi mungu akujali kwakazi nzuri sana maana manabii wauongo niwengi sana
@danielhalimenshi4649
@danielhalimenshi4649 24 дня назад
Hongeraaa sanaa Mtumishi Umenawa tayar Mwenye masikio na asikie na kuelewa Mungu akubariki sana
@JeremiaNindi
@JeremiaNindi 21 день назад
Kaka upo vizuri ujumbe mzuri
@emilianakangusi
@emilianakangusi 19 дней назад
Ni kweli wengine ni wa uwongo,lakini wengine sio
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 23 дня назад
Ndipo ukatimiza" Mathayo 10:32" .... atakayenikana mbele za watu NAMI nitamkana mbele za BABA YANGU aliye mbinguni" umejilipua ili watu wasingizie sikua na kipimo cha kuwajua manabii wa uongo!!!Sasa umemaliza mwenye masikio na asikie!!!
@jamesmutua766
@jamesmutua766 21 день назад
💯✔️
@JohnMewa
@JohnMewa 18 дней назад
Ameeen😢
@janengaga2928
@janengaga2928 24 дня назад
Maandiko yametimia kwao manabii wa uongo .Hawashtuki.huzuni sana
@SokratesStallin
@SokratesStallin 16 дней назад
DUNIA HAINA MWISHO ACHAKUPOTOSHA WATU
@LUCKDRE
@LUCKDRE 14 дней назад
Wewe endelea kuipenda Dunia ndio maana uko unaipinga mpaka biblia
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 13 дней назад
Dunia haina mwisho ila mwisho wako ni siku ambayo utakufa
@SokratesStallin
@SokratesStallin 10 дней назад
@@LUCKDRE Biblia ni ya wakoloni waliileta iliwatutawale waibemali ya afric weumeshaona mtume au manabii kwenye biblia wakiafrika mfano mangi shirima ngosha zulu
@artskillsworld254
@artskillsworld254 24 дня назад
The true end-times gospel,watu wamejipenda na kupenda dunia. Lets repent and embrace holiness, christ is coming soon
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 15 дней назад
kweli ubarikiwe mtumishi imba unatufungua macho watu wengi watumishi wasikuhizi anajua MUNGU na binadamu wa sasa tulivyo tunakimbilia miujiza hatutaki kuishi na mtenda miujiza
@bonifacewasonga8295
@bonifacewasonga8295 17 дней назад
Very prophetic. Uzidi sana kubarikiwa mtu wa Mungu.
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 23 дня назад
Sio dunia ipo mwisho ila nyinyi mmechagua kutuibia kupitia dini
@AsheryandreaAndrealuchum
@AsheryandreaAndrealuchum 24 дня назад
Ubalikiwe sana mtumishi mungu azid kukutia nguvu
@mbungenyinge8401
@mbungenyinge8401 12 дней назад
Kula chuma hiyo nimekubari Mungu akubariki sana
@kassebo
@kassebo 23 дня назад
ole wa nchi na bahari...... ufunuo 12:12
@Ja_adwen
@Ja_adwen 18 дней назад
Nyaunyo Wachape kabisa. DUNIA IKO MWISHONI
@Linnah-wh5lx
@Linnah-wh5lx 21 день назад
Wimbo ni mzuri lakini kwenye kutaja majina ya wa2 ndo umeharibu
@manethmwiyanja2452
@manethmwiyanja2452 21 день назад
acha kama utaki maana kusikiliza hulazimishwi pengine nawe mmoja wao halafu kakusahau.
@DeoMollamu-ey4tk
@DeoMollamu-ey4tk День назад
Kweli sababu na wao ipo siku neema bwana utawashukia wakabadilika
@jamesgreatmwangi6276
@jamesgreatmwangi6276 13 дней назад
Kwanza hapa Kenya, ndio moto itaanza
@StanleyMathayo-v3v
@StanleyMathayo-v3v 21 день назад
Nyimbo nzuri sana kweli watu wanajisahau badara ya kuwa makini maana yote yalitabiriwa hakika Mungu akubaliki ili watu wajue niwakati gani tulio nao kweli watu watalalamika swali je niaheri tunyanze waangalie? Songa mbele Mungu akutie nguvu
@YusuphfrankDaniel-y8j
@YusuphfrankDaniel-y8j 24 дня назад
UBALIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI KWERI YOTE AYO YALITABILIWA NA YESU
@JudyJm-y3y
@JudyJm-y3y 24 дня назад
Na ni ukweli Dunia imeisha kabsa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Pabelu123
@Pabelu123 24 дня назад
Mungu akubariki sana na akuinue zaidi.
@LilianMosha-n1q
@LilianMosha-n1q 21 день назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Mungu akulinde sana maana wataungana kukushitakiankwa shetaani wao neema ya Bwana ukufunike
@ScholaNsanabandi-ey5fh
@ScholaNsanabandi-ey5fh 24 дня назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@heriseba8058
@heriseba8058 24 дня назад
Mi nakukubali bana uongo zambi
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 24 дня назад
Msisitizo wa huu wimbo unanipamba sana. Mwenye wivu kajinyonge kwa mti wa nyanya.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 23 дня назад
Siyo atubu na kuokoka
@JoyceHamsonmwashamba
@JoyceHamsonmwashamba 23 дня назад
Kwani wewe ndo mungu unayehukumu au wewe ndo umekamilika au wewe ndo mujuaji kuliko wengine kafie huko Toka
@QchiefuBarnaba-u3q
@QchiefuBarnaba-u3q 23 дня назад
Kwani makasiliko ya nini
@Java-king255
@Java-king255 24 дня назад
barikiwa mtumishi wa Mungu🙏🙏
@Joscris09
@Joscris09 15 дней назад
Wewe una tambuwa haya kama Nani, Mungu ndiye muhukumu wa kweli !
@LUCKDRE
@LUCKDRE 14 дней назад
Mnaoipenda Dunia lazima mseme ivo hamtaki kuambiwa ukweli
@ruthmwamburi756
@ruthmwamburi756 24 дня назад
Wenye masikio na wasikio.
@SundayBlasio
@SundayBlasio 24 дня назад
Mungu akunbariki saaaaana mtumishi wa mungu
@JoaquimSantosJosefo
@JoaquimSantosJosefo 24 дня назад
Amina
@AMINAJOHN-tx5eb
@AMINAJOHN-tx5eb 24 дня назад
Kaka kasian barikiwa sanaaaa
@gildasnyaki3812
@gildasnyaki3812 23 дня назад
Manabii wa kweli wa Mungu wapo, na kama una amini roho wa Mungu yupo atakuongoza, pia tuwe makini Mungu ana nguvu kuliko shetani tusije kumpa shetani utukufu kwa mambo anayofanya Mungu.Elisha aliita dubu wakala watu , Elisha aliita moto ukashuka . Wataje wa ukweli achana na waongo.
@joycekidadai
@joycekidadai 20 дней назад
Blessings pascal 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 hawa watumishi watakuja tuvunja migongo jamani🙄🙄 huyo ni mtu amerushwa ivo🥺🥺
@faidaNshimirimana-e6r
@faidaNshimirimana-e6r 22 дня назад
My god blessing you so much 🙌🙏 mungu akufunulie mengi sana ya kutuubilia 🥰🥰
@MlekwaMatias
@MlekwaMatias 17 дней назад
Mungu akusimamie barikiwa sana🙏
@Meshack777-c3m
@Meshack777-c3m 23 дня назад
Ujumbe mzur
@MashilingiMatondo
@MashilingiMatondo 8 дней назад
👍👍👍💯
@TeddyPonera
@TeddyPonera 17 дней назад
Ww kama nani kuwahukumu wenzako unauhakika gani au ndio wimbo uende 😏
@AbihudKaale-vt6hn
@AbihudKaale-vt6hn 17 дней назад
Kwan ww unadhan anapata faida gan
@ZilaboAmbonisye
@ZilaboAmbonisye 16 дней назад
Unawapa Makavu live bila kuficha na Majina mpaka picha zao unaonesha kwelii ww Mwamba. 😂🙌
@Onesmoboyz
@Onesmoboyz 22 дня назад
🎉nakubali tupo dunia ya mwisho yesu anisaidie 🙏🏿
@focusmagayane
@focusmagayane 23 дня назад
May god bless you .upako upako wa roho mtakatifu ukufunike na roho wa yesu akuongoze
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 3 дня назад
Amen
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 21 день назад
Samahani mweshimiwa mie shabiki yako mwaupina naomba utuonye kwa mafumbo maana unapomtamka mtu dhahili wengine huwa wanachukia sana maana kila mtu nauelewa wake
@GabrielWilliam-p4c
@GabrielWilliam-p4c 22 дня назад
Mtumishi hili ni kombora limewafikia sana ubarikiwe 🎉
@DobroHenry3442
@DobroHenry3442 18 дней назад
Ubarkiw mtumishi ila kweny waimbaji ndo umemwona ni Goodlucky peke yake jaman😂😂😂 duuh ila me sjapenda ulvowataja inamaan umejchukulia mamlak ya kuwahukum wenzako😊we mbon kipindi hujaokoka hawakukutaja kwa baya lolote mtumish kwa hilo umezngua😮😮
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 15 дней назад
Ujumbe mzurii
@MonicaKayungilo
@MonicaKayungilo 20 дней назад
Nimekuelewa zaidi kwenye mavazi ya kikahaba makanisani umekuwa kama baa
@EstherOdindo-s4i
@EstherOdindo-s4i 23 дня назад
Ako sa hihi.hivyo ndio Mungu huongea na habembelezi
@PeterMathias-g2d
@PeterMathias-g2d 23 дня назад
Ubarikiwe mtu wa Mungu.
@Fr-jonasIlunga-nn9bw
@Fr-jonasIlunga-nn9bw 24 дня назад
Alléluia 🙏🎉❤
@tumainizlael6516
@tumainizlael6516 23 дня назад
Nikweli kaka mungu akubariki ❤❤
@IvethaGonza
@IvethaGonza 22 дня назад
Sawa ipo mwishoni ila tutajie manabii wa ukweli maana bible inasema watakuwepo wa ukweli na uongo wauongo ni wapi na wa ukweli ni wapi
@SafielMsuya-d2k
@SafielMsuya-d2k 21 день назад
Utawajua kwa matunda yao
@MusyokaJoseph-r4v
@MusyokaJoseph-r4v 22 дня назад
Amen wimbo mzuri sana mtumishi nami nisaidia kuimba sijui nianzie wapi plz
@lucysampa3325
@lucysampa3325 22 дня назад
Mungu atusaidie atupe mwisho mwema
@SunhighMkwazi
@SunhighMkwazi 22 дня назад
We nomaa unawajua kweli
@HawaYaya-km6ds
@HawaYaya-km6ds 14 дней назад
❤❤❤
@BettyNdiema
@BettyNdiema 21 день назад
Be blessed man of God🎉🎉🎉🎉🎉
@SatruminMasawe
@SatruminMasawe 23 дня назад
Mtumish mungu akubarik
@erastomkusi3007
@erastomkusi3007 19 дней назад
Ubarikiwe sana
@AdamAbadi-c8m
@AdamAbadi-c8m 22 дня назад
Nyimbo tamu sana
@RebekaNerisoni
@RebekaNerisoni 20 дней назад
Mungu akueinde
@rasaga5482
@rasaga5482 22 дня назад
Ni kweli yote yalitabiliwa
@AnastinaIshisha-lt2rn
@AnastinaIshisha-lt2rn 24 дня назад
Amina🎉
@alexisiahostiavai3699
@alexisiahostiavai3699 22 дня назад
😭😭😭😭 mungu tuhurumie😢
@abindompela6220
@abindompela6220 23 дня назад
ubarikiwe sana🎉
Далее
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 3,9 тыс.
WA ACHIENI WATU VIDEO OFFICIALY PASCHAL CASSIAN
11:53
Просмотров 372 тыс.