Тёмный

DUUH: PROF. JAY AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI MKUTANONI, AWATAKA WANANCHI WAMPIGIE MAKOFI NA SHANGWE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

#millardayoUPDATES

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@KaristiOtto
@KaristiOtto 9 месяцев назад
My role model,big up professor jay,mbunge wa binadamu na wanyama❤
@johanesjohn8471
@johanesjohn8471 4 года назад
Huyu sasa ndio definition ya mbunge 100,%
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 4 года назад
professa Jay kiboko!!!!yaani kidogo tu anze kuimba.
@patrickmuhangi4071
@patrickmuhangi4071 4 года назад
😁😁😁😁😁
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Hehehe
@reginasoki5025
@reginasoki5025 4 года назад
😂😂
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 года назад
Vijana mnaweza...professor Mungu azidi kukuongoza
@abdoulrahimmigomba3885
@abdoulrahimmigomba3885 4 года назад
Nmuona Mbunge wangu kwenye Green. Big Up kiongizi PrfJ
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 года назад
Prof jjjjjzzzzzz nakukubaligi sana ila kona uliyopo ndio inakufanya ubakie ulivyo ila nikikutazama nakuona zaidi ya mbunge kama utafanya maamuz sahihi
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Zikiwa simba na yanga ndio mpira utanoga ikiwa timu moja si itajipendelea😂🤣
@iuem5792
@iuem5792 4 года назад
Huko huko Aliko ndio kumemtambulisha.Akae huko huko
@japharybbudal5953
@japharybbudal5953 4 года назад
@@leokamil6284 Kweli mm namkubali mr JPM ila vichwa kama hivi viendelee hukohuko ndipo upinzani utaleta chachu.
@shollodegeorge9056
@shollodegeorge9056 4 года назад
Nani karudia mara mbili kama mimi kumsikiliza profesor jay
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 4 года назад
Umewatendea haki wanainchi wako Safi Sana, wamitulinga, mchawi wa ryms, mti mkavu,
@BonaNgatuni
@BonaNgatuni День назад
Mungu akuponye profesa j siku Moja uje kuwa Waziri una uwezo mkubwa sana wa uongozi
@ambrosdavid4484
@ambrosdavid4484 4 года назад
Eti kwikwi, prof upo juu kaka, Mikumi mpeni kula zote profesa j
@experanciamom8473
@experanciamom8473 4 года назад
Alie sikia sauti kama ya mchungaji fanya👍👍👍
@nathankihiyo2791
@nathankihiyo2791 4 года назад
Dah! Inastahili kuwa mbunge umefanya kitu kilichowashinda wenzako. We unatambua kuwa maendeleo hayana chama japo Nina mashaka na chama chako ambacho hakipendi kusifia hata vinavyostahili kusifiwa nahis watakutosa
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 года назад
Prof j ni ccm isipo kuwa alitembea na upepo wa siasa kulizungukia jimbo ivyo ccm hatutaweka mtu sereous wa ku compete naye bcz ni kivuli chetu
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 года назад
Yani profesa J nakupongeza una nidhamu sana, na Rais wetu anakupenda kimya kimya!
@ezapesambili2130
@ezapesambili2130 4 года назад
Tunamhitaj prof mjengon please kwa malanyingine tena
@maigathomas2353
@maigathomas2353 4 года назад
Safi sana prof J
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 года назад
Prj ni atali yan anajua kula na vilema
@innocentandrew401
@innocentandrew401 4 года назад
Good MP professor Jay
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 4 года назад
ha ha ha professor J hatariiiii,jamaa ni very bright saana,..nilijua anaimba kumbe anaongea dah big up jay
@samwelmoshi4054
@samwelmoshi4054 4 года назад
Saluti kwa professor dk chache ameongea mambo mazito na ya msingi hili ni jembe
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 4 года назад
Maendeleo hayana Chama.
@josephswai6725
@josephswai6725 4 года назад
Anaongea kama lwakatare like kama umesikiaa
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 4 года назад
Huyu anafaa kuwa mbunge
@lupasaintertainment6166
@lupasaintertainment6166 4 года назад
Nakubali mbunge
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 4 года назад
mbunge makini.
@conasmalale1073
@conasmalale1073 4 года назад
Mb anaejua matatizo ya wananchi sio kusifia tu
@Kitenge12061981
@Kitenge12061981 4 года назад
Prof. Jay amejiroga kumsifia mh rais, chadomo lazima wamtimue.
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 4 года назад
Suleiman Said Hapana huyu Jamaa ni mpole sana na hana chuki wala bla bla za kisiasa yupo kisaniii zaidi
@martinndezi3111
@martinndezi3111 4 года назад
@@seifmassoud2686 ila chama chake chuki zipo na hawataki kusikia pongezi kama hizi so tusubir aanze kufanyiwa figisu au afukuzwe kabisa AS USUAL
@malegesinyeura6897
@malegesinyeura6897 4 года назад
Waleee wanamsubili chobingo ili wamuulize kwa nn umesifia, akitoka hapo anakutana na barua
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 года назад
Una kichwa chenye akili sana na ni mmoja kati vijana wa upinzani wenye hoja za msingi sana kila Mara upatapo nafasi mbele ya Rais na mbele ya watanzania kwa ujumla ila narudia tuu kusema kona uliyopo ndio tatizo kwako fikiri vzr nakwambia tena wewe ni zaidi ya mbunge watanzania wanakuhitaji zaidi ya nafasi uliyonayo
@neemahamisi4302
@neemahamisi4302 4 года назад
Prof j hamia ccm tu utainjoy Sana
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Timu 2 ni bora ikiwa moja inaboa
@neemahamisi4302
@neemahamisi4302 4 года назад
@@leokamil6284 hapo nimekuelewa👍👍👍
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
@@neemahamisi4302 asante sana
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
@@neemahamisi4302 🤝
@neemahamisi4302
@neemahamisi4302 4 года назад
@@leokamil6284 🙏🏻👍👍👍
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 года назад
Huyu Jamaa Chadema lazima wamfukuze subiri mtaona, mambo haya huwa wanayachukia mno
@JumaMabera-es7xj
@JumaMabera-es7xj Год назад
Wamitulinga
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 года назад
Mmmmh! Mbunge wa watu na wanysma? Kwani binadamu so mnyama, hebu nipeni jibu.
@emmanueljuvieh4316
@emmanueljuvieh4316 4 года назад
Uwezo wa kufikiri na kutatua mambo ni moja wapo ya utofauti wa binadamu na wanyama. Pili specie tuliopo sisi ni homosapienz ila ila kwa wanyama inategemea na grup la wanyama mf. Ukisema ng'ombe wako katika bovine spp ila ni vizur uka kaa ukaangalia we unafanana na mnyama gani afu utajua tofauti zaid.
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 4 года назад
Jiangalie ww ukijiona kua ni mnyama bc umepata jibu
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 года назад
@@khamisdaima1455 Nitajie sifa za mnyama.
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 года назад
@@emmanueljuvieh4316 kuna makundi mawili ya viumbe hai ambayo ni wanyama na mimea. Halafu katika kila kundi kuna makundi tena ndani yake.
@emmanueljuvieh4316
@emmanueljuvieh4316 4 года назад
@@kishimbamusic5116 haya mzee baba 2ache ss binadamu nyie wanyama endeleeni kuargue.... Hizo mada upeleke kene debate upate majibu zaid bt IQ yako na hao wananyama kama zinafana ndo undelee tutetea mada....👎👎👎👎👎👎👎
@soudybrown1494
@soudybrown1494 4 года назад
Huyu atafukuzwa chadema soon maana sisi chadema kazi yetu ni kuponda na kupinga tu
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 года назад
Wabunge wa upinzani wote wangekuwa kama huyu mambo yangekuwa shwali.
@ismailmagoma2981
@ismailmagoma2981 4 года назад
Safi sana mh prof J
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
Prof Jay awapagawisha Wanamorogoro mbele ya JPM
4:24
Просмотров 311 тыс.
🦊🔥
00:16
Просмотров 765 тыс.
Professor Jay alivyoingia na Style ya Kurap Bungeni
4:10
PROFESA J AMWAGA MISTARI BUNGENI AKIWATETEA WASANII
4:38