Тёмный

IJUE HISTORIA ya JIJI LA DAR ES SALAAM, IKULU ya MAGOGONI na CHAMWINO! WAZEE WASIMULIA kwa KINA! 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

IJUE HISTORIA ya JIJI LA DAR ES SALAAM, IKULU ya MAGOGONI na CHAMWINO! WAZEE WASIMULIA kwa KINA!
HII ni makala maalum ya historia ya Ikulu ya Dar es saalam na Chamwino...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

19 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@user-wk4rc6cb4i
@user-wk4rc6cb4i 10 месяцев назад
Yes
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
❤️❤️❤️😍
@usafiaps318
@usafiaps318 3 месяца назад
Waarabu Waingie Tu;Lakini Iko Siku!!!!!!!
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 Месяц назад
Huyo Zuhura cjui hajui kwamba hapa duniani c kwetu! Tupo safarini tu!! Tujitahidi kutenda haki kwa kila mmoja!!!
@yusuphmtipa1478
@yusuphmtipa1478 2 месяца назад
8:54
@GeorgeNkhambi-gp6hh
@GeorgeNkhambi-gp6hh Месяц назад
😅
@MrKhatibu
@MrKhatibu Месяц назад
Kwahio ikulu ya Dar bandari ya dar imejengwa na mtawala wa Zanzibar 😊
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
HUO NI UTHIBITISHO KUWA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ILIKUWA MOJA, LEO TUNABAGUANA KWA SABABU YA MIPAKA TULIYOWEKEWA NA WAZUNGU.
@abdallahalbakri2561
@abdallahalbakri2561 Год назад
Jamani ndugu zangu kuna mtu anaijuwa email ya Bi Zuhura wa BBC nitashukuru sana manake nasikiya bado yupo single kama ni kweli yupo single nataka kupeleka posa kumchumbiya
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Год назад
Kesha olewa so tuliza mshono
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 26 дней назад
Haya mali ya waisilamu irudi kwa wenyewe wajerumani wahuni waliwadanganya watu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 3 месяца назад
Uache uchawa wakati huo rais alikuwa mmoja tu naye Magu Sasa ya mama yameingiaje
@usafiaps318
@usafiaps318 3 месяца назад
Kwa Nini Sasa???????
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 3 месяца назад
Mali za waislamu zirudishwe
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Год назад
Hivi kumtaja Magufuli kuwa mjenzi wa Ikulu mpya shida ninini? Zuhura huyo tangu BBC
@smartmusic9893
@smartmusic9893 Год назад
Hii ndiyo Tanzania 🎉
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Год назад
Watu wote wanajua shda nini sasa.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Год назад
Hujakatazwa kumtaja wewe Unaweza kumtaja asubuhi mchana na jioni ruksa
@yusufudongote6440
@yusufudongote6440 Год назад
Magufuri kumamake tu
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Mbona hamukumtaja kikwete kama kajenga daraja la kigambon na barbara za kuunganisha mikoa
@alalawiymuhammad446
@alalawiymuhammad446 Год назад
Kabla ya ushomvi kulikuwa na kabila ushomvi baada uhamiaj wa kabila mbili wabarawa na wazaramo ndio ukazaliwa ushomvi lkn kabla wabarawa kulikuwa na kabila likiitwa wamwambao
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 4 месяца назад
Shomvi na pazi ndio walioanzshisha mji waliuita mzizima kwa kizaramo mji wenye afya
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 3 месяца назад
Hakukua na kabila la ushomvi kk, shomvi na pazi walikuwa wakuu wa makabila y kizaramo na kikwelie basi, na hao shomvi na pazi ndio waliingiza choo cha kike wazaramo na wakwele kwa kuwapokea waarabu na kuukubali uislamu pia, wazaramo ndio waliowaonyesha njia waarabu kuingia bara hii ndio sababu wasukuma na wanyamwezi watani wa wazaramo
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
​@@user-um8xn4ge4iAcha uongo mpumbavu wewe, tulia na usikilize history ya ukweli.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
​@@user-um8xn4ge4iacha uongo na nyinyi kuukubali mfumo wa dini inayotambua ushoga na ndoa za jinsia moja kawaingiza nani cha kike?!
@mhagamachas8974
@mhagamachas8974 Год назад
Zuhura acha roho mbaya kwa Magufuli yaani unafahamika waziwazi toka ukiwa BBC
@maulidkigumi2834
@maulidkigumi2834 Год назад
Acha ukafiri wa kijinga huo
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
Wewe ndio unaongea utumbo gani?
@helper1099
@helper1099 2 месяца назад
Sasa Washomvi walikuja tu na hawakukuta wenyeji? Kwanini historia ya mwafika ianzie pale wageni walipofika. Acha zako....
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Walichanganyikana na wenyeji wa pwani na wao baada ya kuoleana nao na kuishi hapa pamoja nao kwa karne kadhaa wakawa sehemu ya jamii hiyo. Hawa wote kwa sasa ni sehemu ya wazaramo.
@hamynas
@hamynas Год назад
kama ikulu ni jasho na nguvu ya waislamu na ilikua ni kituo chao cha DINI mpaka pale wakoloni wa kijerumani walivyoliteka na SASA wameshapata jengo mbadala DODOMA ni wakati mwafaka kulirejesha kwa WAISLAMU MALI YAO...FAIR DEAL
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Год назад
Udini
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Год назад
Yani waislam Kwa udini hadi wanakela 😂😂😂
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 Год назад
Inawauma sana, ni haki yao waislam si udini.., futa basi anachoongea huyu mzee, au aje mwingine akanushe
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 Год назад
Jamaa amechanganyikiwa huyu
@hamynas
@hamynas Год назад
@@fadhilisecha4268 ukidai haki unakua mdini? pumbavu saana
Далее
ЛУЧШАЯ ПОКУПКА ЗА 180 000 РУБЛЕЙ
28:28
▼ЕГО БОЯЛИСЬ МОНГОЛЫ 🍣
32:51
Просмотров 328 тыс.
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Просмотров 47 тыс.