Nimetumia hii Zaburi 23 kwakuikariri kabla ya kufanya mitihani yangu,,,,na nikiwa naendelea kufanya mitihani endapo sikumbuki nilichosoma nilikuwa nairudia kuukariri hata Mara 3 Kisha na mwambia Mungu "ahsante kwa kunikumbusha Mungu" kiukweli hivi navyoongea nimefaulu Mitihani yangu vizuri kabisaa,,, Ahsante pastor kwakutufundisha namna ya kuyajua na kuyatumia maandiko katika maisha yetu
Hili SoMo limeguza maisha yangu kabisa ya miezi Saba iliyopita. Nilipitia changamoto hizi hizi lakini yesu aliniokoa. Asante pastor kwa SoMo hili zuri limegusa maisha yangu halisi.
AMEN🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞hakika wema na fadhili zake bwana zitanifuata milele;.na sitaogopa nipitapo katika magumu;hila nitazidi kukiri kwa imani mungu atasimama nami daima🙏🙏🙏barikiwa sana mtumishi wa mungu;mungu na akuzidishie daima.asante kwa maombj yako pia inanibarikinkika siku🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞
I am not a Sabbath but truly this man of is so much inspired to me and every who gets time watching his videos. Mungu akubariki sana mch. Mbaga. Najifunza sana sana kupitia ukombozi ibada usihubirizo.
Hili mafundisho limenipata siku ya Jana lakini mungu ni mwema Kila saa na Kila siku.asante mungu Kwa kuanda ibada kupitia pst.mbaga.barikiwa Kwa Jina la Jesus
Mtumishi hakika mkono wa MUNGU ujuu yako unafundisha hata kama ajielewi una haza jielewa toka niaze kukusikiza unduma yako sijawai jutia bali ubarikiwa na kujegewa kitu kipya dani yangu MUNGU azidi kukupa ekima na baraka daima 🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor naomba uniombee kijana wangu wa kiume tumbo inawaka moto karibu miezi tatu amejaribu kuenda hospital amepewa madawa amejaribu kunywa imekataa Niko America kijana ako nyumbani Kenya majina ya kijana ni Geoffrey mongare kinyosi,Mimi ninaye kukuandikia mama yake kutoka America napenda kufuatiria mahubiri yako pastor.
Huwa nafarijika Sana ninaposikiliza mahubiri haya.Zawadi kubwa ya kukupatia nakuombea Kwa Mungu siku Moja ukairithi nchi ya aHadi.Endelea kubarikiwa katika utumishi wa bwana maana ni heri kufariji kuliko kuhukumu.
MCHUNGAJI NA KUOMBA ULICHUNGE KUNDI HILI WALA KANISA HILI,SABABU LINA MPENDEZA MUNGU ,WALA HERENI NA VISUKO VISIONEKANAKE NDANI YAO,WALA VIPONDOZI HILO NI CHUKIZO KWA BWANAMUNGU WETU MWENYE UWEZO NA NGUVU .KAZA BUTI YESU ANA RUDI.
Nawe ukumbuke kulichunga lile kundi pale tumekuachia nisisikie visuko wala dawa ya nywele wala heleni linapendeza ,Barikiwa ukibariki wengine nawe ubarikiwe .Mama Melissa