Тёмный

Elia Mtishibi Ft Bella Kombo - Nakujia (Official Live Video) 

Minister Elia Mtishibi
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 186 тыс.
50% 1

• Elia Mtishibi Ft Bella...
1samwel 17:45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
MWAKA HUU HATUENDI KIENYEJI
TUNAENDA KWA JINA LA BWANA NA MALANGO YAKUFUNGUKIE...
Nakujia by Elia Mtishibi ft Bella kombo karibu nisaidie kushea
Wimbo huu ulirekodiwa katika ibada ya #MANINCHRIST (MACHE2023) #THEFULLARMOUROFGOD ninaombi yangu ukafanyike ibada kwenye maisha yako..
Special Thanks 1st to JESUS THE KING
2nd to the team MUSICIANS
Md 1@Erick kanju on main and arranger of the song
Md 2 @am_kusula on auxiliary
@hezekiahkalisti on layers
@Jerry on organs
@Amos belvin on bass
@Nahum gideon on Sollo
@Izack on rythm
@ibrahim on drum
Vocals Sopranos
@Jojo
@Glory
@mercy chilijila
Altos
@iam_milgel
@marry Fashola
@Catherine Sebastian
Tenor
@Emmanuel Robert
@Paul Peter
@Wisdom Stanslaus
@emma fransic
Audio capturing,mixing and mastering
@SADOCK ELIAS from B&W productions
Video production
@SP VISUALS
sound engineering
@Emmanuel Balisidya and Shepherd music Technology (Rhoden danda)
Uniform design
Suluvazi
Venue
New vine Church

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 350   
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Maelekezo haya niliyapokea kwa Bwana kwajili Yakila mmoja atakaeamini. akasema Kabla ya mtu kufanya chochote kitamkie nakujia kwa jina la bwana i.e ukiamka tu Unakiri NINAKUJIA KWA JINA LA BWANA EWE SIKU YANGU, nakujia kwa jina la bwana Ewe BIASHARA YANGU.. fuata maelekezo haya na utakua shahidi wa Malango yako kufunguka
@WinnerElizabeth
@WinnerElizabeth 7 месяцев назад
Aminaaaa🙏🙏🙏
@HassanKangwa-sz4gn
@HassanKangwa-sz4gn 7 месяцев назад
Wimbo mzuri ujumbe mzuri mziki mzuri
@mariamalexander411
@mariamalexander411 7 месяцев назад
Amen 🙏
@NumberOneProductions
@NumberOneProductions 7 месяцев назад
Amen
@NehemiaAboud-zk8mk
@NehemiaAboud-zk8mk 7 месяцев назад
Amenn
@bellakombo
@bellakombo 7 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 uwiiiii
@SunilKadzo
@SunilKadzo 4 месяца назад
Awesome!!!
@VictisBukutsa
@VictisBukutsa 2 месяца назад
Youl lot it
@johnwainaina6542
@johnwainaina6542 7 месяцев назад
Nakujia By Elia Mtishibi ft Bella Kombo Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ewe kazi yangu Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee masomo yangu Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee adui yangu Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu X4 Najua umejipanga vizuri kunikabili ewe Goliathi Nawewe umasikini umejipanga sawasawa kunidhalilisha Niimekuja sana kwa akili zangu, ukanishindaa Ila amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana ni juu ya vyote Ila amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana ni juu ya vyote Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu X4 Bwana ametupaa funguo za mbinguni, funguo za mbinguni ALL: Funguo za mbinguni Lolote lile tutakalo fungua hapa duniani na mbinguni ALL: Limefunguliwa Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu Ninakuja kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi Nakujia kwa jina la Bwana Bwana wa majeshi ee malango yangu X4 Malango yangu ALL: Funguka, funguka, funguka Funguka, kwa jina la Bwana X4 Wamtumainio Bwana ni kama ALL: Mlima zayuni hawatatingizika Milele Amina X4
@ushindileonard3525
@ushindileonard3525 7 месяцев назад
Ni kwa JINA LA YESU TU si vinginevyo Glory to JESUS CHRIST
@Bea-ei9fv
@Bea-ei9fv 5 месяцев назад
Jamani tuwe makini tunapoandika Jina MUNGU AU BWANA kwani tunapaswa kuanza na herufi kubwa MUNGU awabariki wapendwa.
@joshuamwangalika2653
@joshuamwangalika2653 5 месяцев назад
Ndio ni Muhimu kabisaa, barikiwa
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 3 месяца назад
Ubariwe sana kwa elimu nzur
@costalucas6729
@costalucas6729 2 месяца назад
Ameeeen
@neemamsanga253
@neemamsanga253 2 месяца назад
àmina 🙏
@petermwangi8851
@petermwangi8851 5 месяцев назад
Kenya we are blessed really by God's anointing upon Tanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pastorjerrykayla7
@pastorjerrykayla7 7 месяцев назад
Bwana ametupa wimbo wa taifa kwa majira haya
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Amen pastor let's go
@Sylviaakoth461
@Sylviaakoth461 7 месяцев назад
,😭😭😭😭 eiiii mimi nimeshiba kaka...this is powerful
@TeddyMselle
@TeddyMselle Месяц назад
God bless you man of God
@robsononesmo
@robsononesmo 7 месяцев назад
Baraka Kusula MD, i can hear your effects, Minister Elia your ministry is absolutely amazing
@bettykageza1964
@bettykageza1964 Месяц назад
Umebarikiwa sana Eliya
@catherinecharlz2814
@catherinecharlz2814 7 месяцев назад
Woow be blessed Elia, Bella I like this chemistry, namwona rafiki angu akimtukuza MUNGU my classmate Maria ❤, I Love you all, nakujia kwa jina la BWANA napokea piaa
@GbpAud_King
@GbpAud_King 7 месяцев назад
Ila Bella Kombo Anajua nyieee hadi kazid
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 7 месяцев назад
This song makes me proclaim everything through Jesus name
@esterezekiel8173
@esterezekiel8173 7 месяцев назад
This song came at the right time …. Thanks MOG and WOG mmebarikiwa sana
@emasonnziliye8635
@emasonnziliye8635 7 месяцев назад
What a blessing song jameni🎉🎉🎉
@petermushi5048
@petermushi5048 7 месяцев назад
Drum iko very powerful there is power of God behind of it, Mbarikiwe Kazi nzuri sana
@janetleshao7336
@janetleshao7336 5 месяцев назад
Perfect one❤❤❤
@mammyaswani6455
@mammyaswani6455 7 месяцев назад
Tanzania has good gospel artist. Tanzania is blessed.
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Hallelujah Glory to the King 🙌🙌🙌
@faridasadi8036
@faridasadi8036 7 месяцев назад
POWERFUL SONG🎯......,,NATEMBEA NA UKIRI HUU KATIKA JINA YESU
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Amen malango yafunguke
@Whovswho68
@Whovswho68 6 месяцев назад
my brother your my no1 singer in gospel tanzania ,beloved brother unanibless sana na watu wengi sana and inspiration to youth your songs zinanguvu na ujumbe wa Mungu ubarkiwe sana elia mtishibishi.
@mercychilijila4572
@mercychilijila4572 7 месяцев назад
❤❤my best part "wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika"
@victorysiyame4108
@victorysiyame4108 7 месяцев назад
Powerful song ...best music arrangement ..drums ya kiwango cha rami❤
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
🙌🙏
@estercharles7339
@estercharles7339 7 месяцев назад
Big up brother.. it's 🔥🔥🔥🔥
@johnwainaina6542
@johnwainaina6542 7 месяцев назад
WOW.. Na Mungu azidi kuwainua katika maisha na huduma yenu.. Nakujia kwa jina la BWANA wa majeshi.
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news
@Eusebia-e1y
@Eusebia-e1y 4 месяца назад
Malango yangu fungukaaaaa Maana namtegemea Bwana kama mlima sayuni wala sitatikisika milele
@AffectionateMountainRail-no3wy
@AffectionateMountainRail-no3wy 7 месяцев назад
Nice one.the instrumentalists are great.back up woow
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Appreciated
@OfficialLameck255
@OfficialLameck255 7 месяцев назад
Powerfull song
@gabrielmwakalobo3700
@gabrielmwakalobo3700 7 месяцев назад
being the first to hear this song is all I want....coming for all my enemies in the name of JESUS
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DStvy1XSjpA.htmlsi=efvCbOCvzchivuUK 1samwel 17:45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana. MWAKA HUU HATUENDI KIENYEJI TUNAENDA KWA JINA LA BWANA NA MALANGO YAKUFUNGUKIE... Nakujia by Elia Mtishibi ft Bella kombo karibu nisaidie kushea
@daudimpango4807
@daudimpango4807 7 месяцев назад
Kaka 🔥 .,, AMEN kubwa GOD BLESS YOU BRO
@gabrielmwakalobo3700
@gabrielmwakalobo3700 7 месяцев назад
AMEN Bros@@daudimpango4807
@gabrielmwakalobo3700
@gabrielmwakalobo3700 7 месяцев назад
AMEN @@eliamtishibi4129
@makolele_blackman5634
@makolele_blackman5634 7 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉my brother
@alexmaitha9286
@alexmaitha9286 7 месяцев назад
More Grace Bella ft Elia mungu awabariki Sanaa ... watching from Kenya
@Witness-fd2wc
@Witness-fd2wc 4 месяца назад
Drama jmn apewe maua yake
@bahatkisam8367
@bahatkisam8367 6 месяцев назад
This song is so powerful Jana nmeusikiliza kupitia Zion impact redio wakatoa na neno la biblia waliousimamia Suddenly i got hope from it,since then mpk saiv naimba huo wimbo ndan ya moyo wangu 1samwel 17:45❤
@winniekibet6281
@winniekibet6281 7 месяцев назад
Eh eh eh 🙌❤️
@ananemaemanuel8751
@ananemaemanuel8751 7 месяцев назад
Sitatikisika maana nimemtegemea Bwana na Malango yangu yatakua wazi kwa Jina la Yesu 🙏 Hongera Mungu azidi kukuinua sanaaaaa
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Hallelujah Glory to the King 🙌🙌🙌
@mamaglory7814
@mamaglory7814 6 месяцев назад
Amen 🙏🙏
@PriscaSamson-h6u
@PriscaSamson-h6u 7 месяцев назад
Ujumbe mzuri nmebarikiwa 👬🏼
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 7 месяцев назад
Blessed my brother 👏🏾👏🏾👏🏾🙌🙌🙌👏🏾👏🏾👏🏾🔥🔥🔥🙏
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
🎉
@officialPastorYusuphJoel-
@officialPastorYusuphJoel- 7 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥Glory glory to Jesus
@elizabethjonas5391
@elizabethjonas5391 7 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥
@juliusone5348
@juliusone5348 7 месяцев назад
wamtumainio bwana nikama mlima sayiuni hawato tikisika milele amina 🤗
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news
@Eden-Nation-Voice
@Eden-Nation-Voice 2 месяца назад
Amen 🙌🙌 Pamoja na Bwana tunashinda kila vita 🇧🇮
@johnmmasa
@johnmmasa 7 месяцев назад
🔥🔥Nakujia Kwa Jina la Bwana Wa Majeshi Eh Adui Yangu Haya matano sio mawe, Ni kombora za Mjeshi💯🔥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Safi tumchape makombora
@frankmanlong6833
@frankmanlong6833 7 месяцев назад
Glory to God🙏
@jacqulinemihayo3544
@jacqulinemihayo3544 7 месяцев назад
Hallelujah glory😊
@KelKeyzMusic
@KelKeyzMusic 7 месяцев назад
The song that i will be singing every day i wake up,God bless you for this song
@Gabriel-u2p7m
@Gabriel-u2p7m 7 месяцев назад
Hongera sana Mtu wa Mungu azidishe hayo mafuta mara dufu.
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Amen let's share the good work
@joycehaule9717
@joycehaule9717 7 месяцев назад
Wow hallelujah
@emmanuelrobert3648
@emmanuelrobert3648 7 месяцев назад
Uwiiih
@maryelias6055
@maryelias6055 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@gracemwakihaba9353
@gracemwakihaba9353 7 месяцев назад
Best song Im blessed
@lydiaayuma3855
@lydiaayuma3855 7 месяцев назад
More grace sending ❤from Kenya 🇰🇪
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Hallelujah Glory to the King 🙌🙌🙌
@Cr7stianfx
@Cr7stianfx 7 месяцев назад
My favorite gospel song 2024 God bless you guys
@benjaminmaduka6023
@benjaminmaduka6023 7 месяцев назад
Be blessed Man of God.
@kilianmtotowamungu3885
@kilianmtotowamungu3885 7 месяцев назад
Funguka malangoooooo kwa jina la Bwana
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Yafunguke
@essaumkuye5024
@essaumkuye5024 7 месяцев назад
Blessed
@kenmatata1581
@kenmatata1581 Месяц назад
how are you my name is nelly rafiki do you now me yes or no
@MadelekeYegelaDavid
@MadelekeYegelaDavid 5 месяцев назад
I love this song sichoki kuisikiliza kila siku kila saaa inanipa ujasiri Sana .... MUNGU awabariki Sana Sana kabisa❤❤❤❤❤
@Officialsamuel_Michael
@Officialsamuel_Michael 7 месяцев назад
Ni umeme mzee wangu🔥🔥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Umeme tu
@essnduta6134
@essnduta6134 5 месяцев назад
Eiii I love this🔥🔥🔥
@Ms_Neema
@Ms_Neema 6 месяцев назад
Huu wimbo haupo boom play 🥺😔
@Leonard442
@Leonard442 7 месяцев назад
Asee Mungu azidi tu kukuinua hii imenibarki sana lazima malango yafungue mwaka huu God bless you ndugu yangu
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Lazima, hakuna unyonge
@Leonard442
@Leonard442 7 месяцев назад
​@@eliamtishibi4129Amen
@GraceMichael-jf7pb
@GraceMichael-jf7pb 7 месяцев назад
Aiiiih!!! This song!! 🙌🙌 May God bless you my brother Elijah... nakujia kwa jina la Bwana wa majeshii eeh masomo yangu sikia!! Maisha yangu funguka kwa jina la Bwana ❤❤
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Hallelujah Glory to the King 🙌🙌🙌
@ellymichael672
@ellymichael672 7 месяцев назад
Hii ni kubwa sana Neema izidi sana kwako my craziest brother
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Glory to Jesus
@gloryglory7553
@gloryglory7553 7 месяцев назад
WITHOUT DOUBT, THE BASSISTS ARE BORN AGAIN🙌🙌 HALLELUJAH
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news
@IsaacBarakMusic
@IsaacBarakMusic 7 месяцев назад
My Prayer Song this Season!!! No Settling For Less!!!!!❤ Blessings To You Minister Elia And Bella Mob Love From Nairobi 🇰🇪
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 7 месяцев назад
Safi Sanaaaa . Kazi nzuri.. glory to God.. nawapenda sana. Yanii nimewaelewa. Mungu azidi kuwatumia zaidi... Karibuni sana ( Ukerewe) UK ya Mwanza..
@ministermossesmungure
@ministermossesmungure 7 месяцев назад
My brother keep moving your blessed abundantly 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Glory to God !keep listening and share the good work
@gabrielmwakalobo3700
@gabrielmwakalobo3700 7 месяцев назад
Eeeh Elija this is the very best man 💥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
For our God
@serafinekidoki2079
@serafinekidoki2079 4 месяца назад
I like worship song mnanikosha wadau mbarikiwe sana
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 4 месяца назад
Haleluya
@Davidfinest
@Davidfinest 3 месяца назад
Nakujia kwa jina la bwana bwana wa majeshi ewe ada ya chuoni kwangu🙏🏽... Nimekuja kwa akili zangu ukanishinda sasa naja kwa jina la aliye juu ya vyote...JINA LA YESU.🙌
@antussatemba6676
@antussatemba6676 3 месяца назад
Amen
@antussatemba6676
@antussatemba6676 3 месяца назад
Amen na iwe ivo INJ
@groxymax96
@groxymax96 7 месяцев назад
What a wonderful revelations , nakujia ee malango yangu
@hellenpascal9605
@hellenpascal9605 7 месяцев назад
YOU ARE BOTH BLESSED
@janicekanana6031
@janicekanana6031 7 месяцев назад
Beautiful song .. goosebumps
@emmanuelfazil
@emmanuelfazil 7 месяцев назад
The song is 🔥🔥🔥🔥
@kulwashimiyu
@kulwashimiyu 7 месяцев назад
Barikiwaa sana mtumishi huu wimbo wamoto sana❤
@naomipeter2333
@naomipeter2333 7 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@meshakimsacky4746
@meshakimsacky4746 7 месяцев назад
I can feel the KADO arrangements kwenye finishing
@Shadyfancy7
@Shadyfancy7 7 месяцев назад
Amen, glory to God🙏🔥
@elimelamerii2342
@elimelamerii2342 7 месяцев назад
Namuona Drumist, mdogo wangu keep it up.
@henrickmruma
@henrickmruma 7 месяцев назад
Huu wimbo naupenda sana jamani. Mungu Awabariki sana sana. Bella umeshambulia sana rogooo 😂😂😂😂
@bellakombo
@bellakombo 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 rogoooooooo
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Kakakakkakaakkakkaak ainuliwe Yesu mnoo
@reginahwaithira8684
@reginahwaithira8684 7 месяцев назад
Great song 🎶🎶🥳🥳🥳... Nakujia katika Jina la Yesu 👌❤️❤️❤️... More grace Elia and Bella
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Amen let's share the good work
@Shine-minutes
@Shine-minutes 7 месяцев назад
Nakujia kwajina la Bwana Bwana wa majeshii eeenh fedha zangu amen❤❤❤❤
@ministerlunas
@ministerlunas 5 месяцев назад
Waooow!! What a nice and powerful song 🔥 🔥 🔥 God bless you mtishibi for this song
@philemonkageleja3858
@philemonkageleja3858 6 месяцев назад
My favorite song of the Year to me!. Keep on going Elia! Your fellow Mwanza Christian we love you!.
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 7 месяцев назад
We confess in Jesus name, all our life is thy name. Mpokee maua yenu 🎉🎉🎉 na Mungu awazidishie
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news
@voliansifuna5050
@voliansifuna5050 3 месяца назад
Eish....what a combo....Nakujia kwa jina la Bwana wa majeshi eeh malango yangu
@Wilsonjohnoffical543
@Wilsonjohnoffical543 7 месяцев назад
i blessed with your song brother
@faithkiilu7298
@faithkiilu7298 7 месяцев назад
This song is my anthem its my season may God bless you man of God much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Glory to God !keep listening and share the good work❤❤❤
@IsackDominiko_
@IsackDominiko_ 7 месяцев назад
Eagerly Waiting for the Song 🙌🙌🙏
@deborasimon422
@deborasimon422 4 месяца назад
Nawapenda sana mbarikiwe na Jehova!! Mafuta ya Roho Mtakatifu yaongezeke zaid juu yenu!
@faithwangari5523
@faithwangari5523 7 месяцев назад
I'm blessed by this song...God bless you ministers of God
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Hallelujah Glory to the King 🙌🙌🙌
@edithsawa7034
@edithsawa7034 6 месяцев назад
Jamaaaaniiiiii huu ni Wimbo ni shida sana kwa shetani. NABARIKIWA SAAAANAAAAAAAA, UWII YESU NAKUPENDA KILA SIKU. ubarikiwe mtumishi hakika BWANA alikupa message kubwa mno
@AgnessKiungulia
@AgnessKiungulia 6 месяцев назад
Amen
@MaryhannahMembe-ok4gu
@MaryhannahMembe-ok4gu 7 месяцев назад
Be blessed man of God.
@ConsolathaAmandus
@ConsolathaAmandus 6 месяцев назад
Mlima wowote uliopo mbele yangu nasem hiviiiii..."nakujia Kwa jina la Bwana wa majeshi"
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 6 месяцев назад
🙏🙌🙌❤
@ceomentalhaven
@ceomentalhaven 14 дней назад
Lemme tell you about this guy's psyche, He actually owned the song.
@evemwendemusic
@evemwendemusic 7 месяцев назад
Sheesh🔥🔥man of God this is powerful. Mungu awabariki sana🙏
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Be blessed. GLORY TO GOD let's share the kingdom news❤
@shadrackrobert_
@shadrackrobert_ 7 месяцев назад
Ooh Haleluyah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@prodallencharles5491
@prodallencharles5491 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Gprecious-jy8lj
@Gprecious-jy8lj 7 месяцев назад
Wow this new dropout blesses me a lot am just wondering where was I the whole week...........Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 7 месяцев назад
Glory to God !keep listening and share the good work❤
Далее
#kikakim
00:10
Просмотров 14 млн
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Wanangoja
11:25
Просмотров 12 тыс.
Edith Wairimu | Lifting Voices
27:55
Просмотров 569 тыс.
Elia Mtishibi - Yahweh (Live Video)
12:36
Просмотров 92 тыс.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 28 млн