Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏