Тёмный

Elia Mtishibi - Ninashukuru (Live Recorded Video) 

Minister Elia Mtishibi
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Umbali huu,Uzima,afya,akili njem,Roho wake,familia,kazi, biashara,Wokovu,haki, neema, na mambo mengine mengi siwezi kuyamaliza nikiyaorodhesha ni mambo ambayo MUNGU amenifanyia na ninamaanisha kusema kwamba siwezi kuelezea ndani yangu ikainuka sauti ya shukurani na wimbo huu ni zao la shukurani moyoni mwangu karibu kuungana na mimi kumuinulia Yesu shukurani kutoka kwenye kilindi cha Mioyo yetu..
Wimbo huu ulirekodiwa katika ibada ya #MANINCHRIST (MACHE2023) #THEFULLARMOUROFGOD ninaombi yangu ukafanyike ibada kwenye maisha yako..
Special Thanks 1st to JESUS THE KING
2nd to the team MUSICIANS
Md 1@Erick kanju on main
Md 2 @am_kusula on auxiliary
@hezekiahkalisti on layers
@Jerry on organs
@john ntete music arrangement
@Amos belvin on bass
@Ben ngowi bassist 2.
@Nahum gideon on Sollo
@Izack on rythm
@ibrahim on drum
Aux post production @Ndege
Vocals Sopranos
@Jojo
@Glory
@mercy chilijila
Altos
@iam_milgel
@marry Fashola
@Catherine Sebastian
Tenor
@Emmanuel Robert
@Paul Peter
@Wisdom Stanslaus
@emma fransic
Audio capturing,mixing and mastering
@SADOCK ELIAS from B&W productions
Video production
@SP VISUALS
sound engineering
@Emmanuel Balisidya and Shepherd music Technology (Rhoden danda)
lights
by PETER LIGHTS (peter jilala)
Uniform design
Suluvazi
Venue
New vine Church

Видеоклипы

Опубликовано:

 

10 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 176   
@l.emusickg1230
@l.emusickg1230 5 месяцев назад
Penye Nia pananjia mtumishi mtishibi umepasua mawimbi baba Mungu azidi kukuinua aisee .......Asante ooooooooh safi sana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 2 месяца назад
Tanzania nchi yangu inawatu wazuri sana,tena wanaompenda Mungu wenye vipaji vikubwa sana na wameamua kumtumikia Mungu
@esthermbithembithi5342
@esthermbithembithi5342 3 месяца назад
Haziwezi tosha karatasi kuandika uzuri wako, ninashukuru ninashukuru Haziwezi tosha ndimi elfu kuzitaja sifa zako, ninashukuru ninashukuru Hayawezi tosha mahesabu kuhesabu wema wako ninashukuru ninashukuru Umenileta, kwenye mlima huu wa uzima ,ninashukuru ninashukuru Mahali pasipo na mashindano ndipo mi nawewe ninashukuru ninashukuru Palipo maninio ya baraka, na umande ya mvua yako ninashukuru ninashukuru Kwenye mikono ya mwindaji hazikupatikana nyama zangu ninashukuru ninashukuru Umeniiua miguu yangu kama ya kulungu ninashukuru ninashukuru Umeniokoa na makucha ya Simba na dubu ninashukuru ninashukuru Asante ooh , Asante ooh Na inua mkono ninakushukuru kwa wema wako.
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 Месяц назад
Ubarikiwe mno
@neemaskayo3047
@neemaskayo3047 5 месяцев назад
Hatimae wimbo niliokuwa nausubir sana huu hapa❤..ninashukuru is 🔥.. ninashukuru ni ibada, ninashukuru ni maneno ya moyo wangu😢😊.
@juliusone5348
@juliusone5348 5 месяцев назад
The greatest song from the greatest man of GOD 🙌
@wisdomstanslous2398
@wisdomstanslous2398 5 месяцев назад
❤❤
@reinhardjesmart169
@reinhardjesmart169 5 месяцев назад
Thank you Lord for this minister in our time, May God increase you Mtishbi. All love🎉
@eunicechacha6883
@eunicechacha6883 4 месяца назад
This song is my testimony 🥹🥹🥹God has been so good....yaan makaratasi hayatoshi kuandika uzuri wake Mungu Zangu tu ni shukurani❤❤❤🙏🙏🙏
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 4 месяца назад
Glory to God !keep listening and share the good work❤
@benjaminkambona7783
@benjaminkambona7783 5 месяцев назад
Huu wimbo umenifanya nilie sana.... Barikiwa sanaaa mtumishi
@user-mm2bh1ct4l
@user-mm2bh1ct4l 5 месяцев назад
Ongela kijana
@enocmasuka8925
@enocmasuka8925 5 месяцев назад
Mungu akubariki xn,, ndg, u made it
@user-bq4ju3mf7p
@user-bq4ju3mf7p 5 месяцев назад
Eliaa naomba jina l mpig ngoma
@RachelMakalanga-du2oj
@RachelMakalanga-du2oj 5 месяцев назад
My God this man is something else glory to God for such blessing of this song tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu may this song reach many for his glory
@user-rq6ms8oi1m
@user-rq6ms8oi1m 5 месяцев назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU Ibada hii njema sana
@leadmetv8489
@leadmetv8489 5 месяцев назад
Nimebarikiwa sana na wimbo huu kaka Elia. MUNGU AZIDI kukupa mafunuo zaidi yatakayogusa maisha ya watu wengi zaidi
@ElijahDavid92
@ElijahDavid92 4 месяца назад
Powerful be blessed bro 😢
@mercymeccyGoto
@mercymeccyGoto 11 дней назад
Barikiwa Sana Mtumishi Eliya
@user-qm3rj6ch4y
@user-qm3rj6ch4y 5 месяцев назад
Hongera kijana na muona Mary anazidi kuchana
@boazanthony3818
@boazanthony3818 5 месяцев назад
Eliya MUNGU akutunze sana twendelee kumtukuza huyu MUNGU..Tumain ilikuwa imebeba watu wakuu sana wa ufalme wa MUNGU
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Amen brother
@ErickMassawe-jd8sp
@ErickMassawe-jd8sp 2 месяца назад
Amen amen hakika Mungu Yupo pamoja na wewe kaka
@stellakinyua1361
@stellakinyua1361 5 месяцев назад
Thank you Sir God has done it again. I 1st Heard your song sitara....in Arusha at a conference Gloryland and I was Soo blessed ❤❤ More Grace Sir. Hudumu yako izindi kukua na kubwa BARAKA kwa wengine. From Mombasa Kenya.
@trulykabia
@trulykabia 5 месяцев назад
@ngatatv1365
@ngatatv1365 5 месяцев назад
Kaka kaka kaka kakaaaaaa MUNGU amekuinua aise😢😢 hii ni ya pekee mpangilio wa sauti jamani 😊 nimebarikiwa sana naludi ludia kwenye Asante oh Asante ooohoo😂❤❤❤❤❤❤❤
@neemakway8389
@neemakway8389 5 месяцев назад
Kwa kweli kutoka moyoni naungana na wewe Yesu asante saaan maana amenifanyia kicheko kwenye maisha yangu mwanzo wa mwa huu nilichosubiri kwa miaka sita nashukuru Mungu saaaan tena saaan
@kaliminwalukas2966
@kaliminwalukas2966 4 месяца назад
MUNGU akubaliki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿ujumbe mzuri
@amosijohnmanota4472
@amosijohnmanota4472 4 месяца назад
Yesu akutunze mtu wa Mungu
@angekasongo6256
@angekasongo6256 5 месяцев назад
My grateful 🙏🏽
@sulupeacecharles1397
@sulupeacecharles1397 5 месяцев назад
Another worship hitting song from my brother elia mtishibi ninashukuru
@imaniericshoo
@imaniericshoo 5 месяцев назад
Your blessed Man of God TANZANIA 🇹🇿 TUNAJIVUNIA KUWA NA WEWE
@ellahbilohe2755
@ellahbilohe2755 5 месяцев назад
Wimbo mzur wa mguso, barikiwa mno Minister Elia
@catherinecharlz2814
@catherinecharlz2814 5 месяцев назад
Asantee Elia kwa wimbo mdhurii, ubarikiwe mnoo❤
@daynessmollel9962
@daynessmollel9962 5 месяцев назад
🙌❤❤🙏🙏
@onesmompwaga6655
@onesmompwaga6655 5 месяцев назад
Haleluya Haleluya Very revelatory words. Ahsanteee Oooh. Thank you Lord Jesus.
@AgreyPaul
@AgreyPaul Месяц назад
Oooh Barikiwaa Sanaaa 🙌
@pastorjameskalekwa
@pastorjameskalekwa 5 месяцев назад
Asante oooh 🙌🏿
@wokububerwa446
@wokububerwa446 5 месяцев назад
YESU NINASHUKURU🙌🙌🙌
@BenBass1
@BenBass1 5 месяцев назад
🔥
@christsflowe.r
@christsflowe.r 5 месяцев назад
HALLELUJAH 🙏
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 4 месяца назад
✊✊✊✊✊✊✊
@denniswilhard3879
@denniswilhard3879 5 месяцев назад
We keep enjoying the Grace of GOD working over your life Mann in CHRIST. Keep the Fire Burning And Always Keep Humble and The Cloth of Humility. Bado Haujaona pale Unaenda Hata sasa Haijafika thelusi ya pale BWANA anakupeleka. Unaonja tu Maonjo machache ya Kile BWANA amekuandalia. Ni kama unachungulia tu na kuiona nchi ya ahadi My Bro maziwa na Asali ziko Mbele. Humility and Humbleness zitakuweka sana hapo mda mrefu
@LEONARDMWALILI
@LEONARDMWALILI 5 месяцев назад
Wimbo juu umenibariki sana kaka🙏🙏Mungu akuinue zaidi
@dorahmwambemba9032
@dorahmwambemba9032 5 месяцев назад
Ooh 😭😭WEWE ni muujiza Tisha Elia
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 5 месяцев назад
#NINASHUKURU
@davidnkini9811
@davidnkini9811 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Leonard442
@Leonard442 5 месяцев назад
Asee Mungu wa mbinguni akuweke umenibariki asee
@gracecontent9866
@gracecontent9866 5 месяцев назад
❤❤❤
@goodluckmomburi5372
@goodluckmomburi5372 5 месяцев назад
THE WAITING IS OVER CHAKULA HIKI HAPA ✍️✍️🙏
@maryelias6055
@maryelias6055 4 месяца назад
😢😢😢😢😢 Yesu wewe ni Mungu ninakushukuru
@gracefrank4197
@gracefrank4197 5 месяцев назад
Natafta lyricx ya huu wimbo siipat jmn maneno mengine syaskii vzr 😢
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 4 месяца назад
Maneno ya part gani?
@justinzefania5277
@justinzefania5277 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mosesnkumba1184
@mosesnkumba1184 5 месяцев назад
Kaka Mungu akuinue zaidi na zaidi
@teddylwego9196
@teddylwego9196 5 месяцев назад
God is good,kwa kweli ninashukuru🙏🏿
@gracenicholaus6018
@gracenicholaus6018 5 месяцев назад
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@kulwashimiyu
@kulwashimiyu 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥
@trulykabia
@trulykabia 5 месяцев назад
Collabo na zoravo sasa …bwana akubariki
@scayoscayo3998
@scayoscayo3998 5 месяцев назад
Complete package, such a masterpiece from man of God Elia mtishibi-Glory glory!! your indeed a blessing to this generation-Umenibariki
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Hallelujah Glory to The king Jesus keep on loving God
@paulpeter_official6359
@paulpeter_official6359 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@janethmashapatrishanmasha2489
@janethmashapatrishanmasha2489 3 месяца назад
Ninashukuru yesu
@christinemoriasi8507
@christinemoriasi8507 5 месяцев назад
What a blessing.... Lord am grateful 🙏🙏
@eliya_benjamin
@eliya_benjamin 5 месяцев назад
Wimbo wangu 🔥
@Tinna887
@Tinna887 5 месяцев назад
Niliungoja kwa hamu sana, be blessed
@st.juniorsilwimba9691
@st.juniorsilwimba9691 5 месяцев назад
ASANTE SANA KWA WIMBO HUU WA SHUKRANI ❤❤❤❤❤ YOU ARE BLESSED MAN OF GOD
@nancyabraham3490
@nancyabraham3490 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peninaisaya8055
@peninaisaya8055 5 месяцев назад
Hakika haziwezi tosha karatasi, Barikiwa sana mtumishi wa Jehovah😢
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Amen Ainuliwe Yesu
@Bshine_Og
@Bshine_Og 5 месяцев назад
🙏🙏🙏ninashukuru
@BeatriceDumi
@BeatriceDumi 5 месяцев назад
Nashukuru sana kwa neema ya ajabu iliyowekwa ndani yako. nyimbo zako zinainua sana huduma yangu na kutotaka kukata tamaa. Sitaki kujua Nikoje au nitakuwaje🖐️Ila nainua mikono nakushukuru kwa wema wako❤️❤️
@henrytarimo9802
@henrytarimo9802 5 месяцев назад
Nina ninashukuru....
@ngukekadashi6608
@ngukekadashi6608 15 дней назад
🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@JaphetSalingu
@JaphetSalingu 5 месяцев назад
Amen 🙌🙌🙌 nakupenda sana mtumishi
@gracecheyo
@gracecheyo 5 месяцев назад
God bless you man of God kwa kazi nzur
@aikabillia7573
@aikabillia7573 Месяц назад
Katika mikoano ya muwindaji hazikupatikana nyama zangu! Bwana umeniokoa dhidi ya makucha ya simba na dubu
@MazikuMaziku-ku7sl
@MazikuMaziku-ku7sl 5 месяцев назад
Mungu aendelee kukutunza ,ubarikiwe sana
@stellasylvanus8204
@stellasylvanus8204 5 месяцев назад
Barikiwa sana mtu wa Mungu 🙏
@festusmrteem7097
@festusmrteem7097 5 месяцев назад
Great job!! Kazi nzuri sana wooow!!!🔥🔥🔥
@hellenongayo6883
@hellenongayo6883 Месяц назад
Ninashukuruu 🙏🙏🙏 Naeza pata wapi lyrics ya huu wimbo mtumishi wa Mungu
@geofreymaunde
@geofreymaunde 5 месяцев назад
Hallelujah Hallelujah Barikiwa sana Ndugu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Very Powerful
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Glory to God MOG
@lightnesssarakikya8073
@lightnesssarakikya8073 5 месяцев назад
NINASHUKURU BWANA 🙏♥️
@josephpeter9419
@josephpeter9419 5 месяцев назад
Hakika Mungu nashukur mnooo
@mercychilijila4572
@mercychilijila4572 5 месяцев назад
Wimbo wanguuu❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥 Elia Naheshimu mnoooo kile Mungu ameweka ndani yako🙏
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Asante kwa wimbo huo
@stellafidelis2800
@stellafidelis2800 5 месяцев назад
Tunajivunia wewe 💃 👏
@bomokaQuality
@bomokaQuality 5 месяцев назад
The SONG IS nashukuru mjombaaaa👊👊👊👊👊👊👊👊🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Mjomba mjomba
@evahmbaga3654
@evahmbaga3654 5 месяцев назад
I just find my self crying for his love and kindness in ma life...best song ever
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Hallelujah Glory to Jesus keep on loving God
@stellafidelis2800
@stellafidelis2800 5 месяцев назад
Napenda unavyoimba na kucheza UTUKUFU kwa MUNGU barikiwa sana 🔥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Ainuliwe Yesu sana
@mosesmatinde
@mosesmatinde 5 месяцев назад
Really 🙏🙏🙏🙏
@ibronet3815
@ibronet3815 4 месяца назад
God bless you
@jeromekato7
@jeromekato7 5 месяцев назад
Baraka kubwa sana ❤🔥🎺
@Jimmymanasseh_Official
@Jimmymanasseh_Official 5 месяцев назад
Amen Amen
@Dunamis11
@Dunamis11 5 месяцев назад
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@doricembata6906
@doricembata6906 5 месяцев назад
God has done it once again ....what a song ...Be blessed man of God🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
@perfectgodifrey3831
@perfectgodifrey3831 5 месяцев назад
Hallelujah hallelujah 🙌 Ninashukuru
@emmanuelikwanzi8395
@emmanuelikwanzi8395 5 месяцев назад
Ameeeeeen nimeusubiria sana
@johnntete5313
@johnntete5313 5 месяцев назад
Ninashukuru 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@Keizyfashionhouse
@Keizyfashionhouse 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@ministergilbertedward1123
@ministergilbertedward1123 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 congratulation my brother keep up
@sumacharles946
@sumacharles946 4 месяца назад
His faithfulness abides forever! Hazitoshi ndimi elfu🙌🙌🙌🙌🙌
@Joel_Otieno_Otieno
@Joel_Otieno_Otieno 5 месяцев назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤✨️✨️✨️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@marymusa9316
@marymusa9316 5 месяцев назад
Am grateful
@hatsonmwasaru1161
@hatsonmwasaru1161 5 месяцев назад
😍😍hata dunia ingekua kitabu haingetosha wala hakuna wino utakaotosha kuandika wema wabwana😇😇
@ambakisyekediely
@ambakisyekediely 5 месяцев назад
One of the greatest Servants of God we Have In Tz Proud of you keep duin the Lord's work
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 5 месяцев назад
Hallelujah Glory to the most high God
@shadrackrobert_
@shadrackrobert_ 5 месяцев назад
Big up Brother,, this is a Heavenly melody 🎆 so blessed and talented 🎉
@meshacksamsonmexher3377
@meshacksamsonmexher3377 5 месяцев назад
Itoshe kusema tu ni Halleluyah....Barikiwa sana..ndg yangu 🙏🙏🙏
Далее
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
Просмотров 15 тыс.
Wanangoja
11:25
Просмотров 5 тыс.
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 145 тыс.
Elia Mtishibi - Yahweh (Live Video)
12:36
Просмотров 86 тыс.
Асфальт
2:51
Просмотров 1,2 млн
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Просмотров 2,1 млн
5УТРА - Белая полоса
3:13
Просмотров 200 тыс.
Shoxruxbek Ergashev - Alam ekan (Official Music)
4:37
Artur Arakelyan - Ser Ka
3:02
Просмотров 322 тыс.
Big Baby Tape, Aarne - Supersonic
2:44
Просмотров 332 тыс.