Тёмный
No video :(

Elizabeth Maliganya - Gushoka Kaya (Official music video) 

Elizabeth Maliganya
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 439 тыс.
50% 1

#ELIZABETHMALIGANYA #GUSHOKAKAYA #HARDTONERECORD
Elizabeth Maliganya - Gushoka Kaya (Official music video)

Опубликовано:

 

20 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@emmanuelsamamba6645
@emmanuelsamamba6645 Год назад
Aliyerudia huu wimbo kuuangalia gonga like nyingi wimbo mzuri safi sana unahamasisha kupambana ila tukumbuke nyumbani walau kusalimia mara moja kwa mwaka
@housnayousif780
@housnayousif780 Год назад
Nimeupenda sana🥰🥰🥰
@kijaemanuel4068
@kijaemanuel4068 Год назад
sana
@PendoMasunga-cp1kt
@PendoMasunga-cp1kt Месяц назад
Huu wimbo nimekuelewa sana
@SaidNzumbi
@SaidNzumbi 22 часа назад
Nakukubali sana mwanamama wetu kwa nyimbo nzuri sana
@kasaranimrudi7310
@kasaranimrudi7310 Месяц назад
❤ umenigusa eliza...KWELI turudi nyumbani
@IsayaKuzenza
@IsayaKuzenza 10 дней назад
Eliza kuna mtu ana hitaji uje uimbe kwenye sherehe tukupateje tuko magu
@peterndutu8885
@peterndutu8885 Год назад
Nimesikiliza zaidi mara kumi haunichoshi.
@bujumburatv2925
@bujumburatv2925 Год назад
Bonge la Ngoma asee,nmerudia kama mara 30 na naendelea nayo🙏🙏🙏❤️
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 Год назад
Mjeshi niko hapa kuchukua nyimbo ya Eliza dada yangu kipenzi hongera
@isayaemmanuel2505
@isayaemmanuel2505 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zacharialubazu3481
@zacharialubazu3481 Год назад
Kazi nzuri,Wasukuma kuiga mambo mazuri sio dhambi.Tuige Wachaga wanavyofanya kila mwaka 25 Desemba wanarudi nyumbani kukutana kula pamoja na kuhamasishana maendeleo,Wasukuma tuamke sasa,Hatujachelewa!
@SabinaPaul
@SabinaPaul Год назад
Hakika
@zacharialubazu3481
@zacharialubazu3481 Год назад
@@SabinaPaul ulimhola?
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 7 месяцев назад
Ungevaa asili yako ingekaa poa zaidi
@KulwaMasanja-yd5kn
@KulwaMasanja-yd5kn 11 месяцев назад
Kama ww ni msukuma gonga like hap 💥 2:22
@FestoMarco
@FestoMarco Месяц назад
Kasem😮a
@wilsondotto9332
@wilsondotto9332 Год назад
Kwahuu wimbo umenisababisha mwaka mpya nikashelehekee nyumbani
@paskokazimilimanawa9272
@paskokazimilimanawa9272 Год назад
Kazi nzuli
@fabianjulius5274
@fabianjulius5274 7 месяцев назад
Anajua sanaaa
@gracegrace2561
@gracegrace2561 Год назад
Hongera sana mama wimbo mzuri sana
@khamisrashid9645
@khamisrashid9645 Год назад
Wapi sukuma mieeee I love shy tbr mwnz smy geit dushoge kaya
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
tupooooo
@helvetasswiss4638
@helvetasswiss4638 Год назад
Malibhoto 😂😂😂 upo vizuri sana dada Eliza unanikumbusha mbali sana ,,,,nipo Dodoma napanga harusi yangu nikuite tu unajua aisee
@emmanueldeke9603
@emmanueldeke9603 8 месяцев назад
Yaan nimeurudia lakini sichoki kuuuangalia, tushokagi kaya, mpaka machozi ya furaha yananitoka😅😅❤
@RestutaRobert-mb9dc
@RestutaRobert-mb9dc 2 месяца назад
Unadumisha mila yakisukuma kasoro mavazi sijapenda kuvaa kimasai tena
@jtv4044
@jtv4044 8 месяцев назад
Nazunyagha sengi ong’wise 😊wabeja sana
@luciaboniphac9369
@luciaboniphac9369 Год назад
Mnakubushwa Jamani mlioenda kutafuta maisha alafu mesahau kulundi nyumbani kusalimia wazazi
@lufungaoscar9368
@lufungaoscar9368 11 месяцев назад
Sawa ilombolyane, wayomba na kosombola yawiza Bhole..
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
Kati ya hao wababa nimemuona X wangu😃😃😃😃😃😃😃
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 Год назад
😆😆😆
@daudcharles4816
@daudcharles4816 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
😂😂😂
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
@@letisiamakonda3873 🤣🤣🤣
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
@@daudcharles4816 🙈🙈🙊🙉😃
@pr.peterthefactministry5772
Hii poa Sana tamaduni ya kisukuma haijapotea kazi njema Ila tusimsahau Mungu Hilo la msingi pia
@annadotto2429
@annadotto2429 Год назад
Hakika dada wimbo mzuri sana tena unamafundisho mazur . Hongera sana
@user-uo1rj6vp5b
@user-uo1rj6vp5b 4 месяца назад
Nimesikiliza leo trh 18 mwezi 4 niminuka kwenda kukata tikek kueleke shy
@kulwaselemani8493
@kulwaselemani8493 Год назад
❤❤❤ wimbo mzuri hongera sana lakn kashinje apewe mafuta ajipake 😅😅
@allymagesa4431
@allymagesa4431 Год назад
Good creative Beat imetulia sana Wimbo mzuri unamafundisho makubwa sana hasa kwa vijana tunaopambana
@FredyJuma-yn6ui
@FredyJuma-yn6ui 10 месяцев назад
Lyembo lya wiza saana okabheja nwanike ukolyemba elembo ele
@NeemaCostantine
@NeemaCostantine 2 месяца назад
Bariadi moja♥️♥️♥️♥️
@MaliganyaIgegu
@MaliganyaIgegu 3 месяца назад
Safi sana ubarikiwe
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n Месяц назад
Umetisha wajinaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@wilsonlaurent1110
@wilsonlaurent1110 Год назад
Ujumbe muhimu sana kwa wa Tanzania wote. Hongeraa sana mama
@hamismashala6817
@hamismashala6817 Год назад
Kazi nzr Sana Dada yetu unazidi kutuwakilisha bariad ndani
@BenjaminJames-t5n
@BenjaminJames-t5n Месяц назад
Hizi zote laha za wasukuma
@MwajumaChacha-sx7ew
@MwajumaChacha-sx7ew 3 месяца назад
Hongera sanaaaaaaaaaaaaaa
@NdattuMtogwa
@NdattuMtogwa 4 месяца назад
Jaman Elizabeth umenikumbusha kaya gete
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 8 месяцев назад
Ling'waka lashilaga
@SaidyMhalule
@SaidyMhalule Месяц назад
Safi sana
@mussamazoya7994
@mussamazoya7994 7 месяцев назад
Sengi wabheja Kutwizukija
@HOJAROBERT-ug7rj
@HOJAROBERT-ug7rj Год назад
Wimbo mzuri nimeupenda
@lucysamson4720
@lucysamson4720 Год назад
Wimbo mzuri dada Elizabeth unamafundisho sana
@massanja21
@massanja21 Год назад
kushoka kaya shi
@GeorgeMsonge
@GeorgeMsonge Год назад
Hii video mwisho wa Maneno❤️💪💪💪 Beat lake ni Next Level-Big Up sana Studio👏👏👏 Ujumbe wake unagusa wengi✅
@NgelelaJohn-ui8vc
@NgelelaJohn-ui8vc 8 месяцев назад
Watu tumeupenda sana huu wimbo mama yetu endelea kutufunza
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 9 месяцев назад
Neyo mayo olekesoga gete
@magrethhazina2281
@magrethhazina2281 10 месяцев назад
Safi sana tufikie na uku Kwa kk Ako manyara
@user-we9er4rz2k
@user-we9er4rz2k 10 месяцев назад
Da wimbo mazur san mama ❤❤❤❤❤❤❤ wasukuma hyeeeeeeeeeedd❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@balagwakatambi6497
@balagwakatambi6497 Год назад
Dada yangu barikiwa Sana kazi tunaislewa yaan mpka imenigussa Sana ogomabhele maliloto, bhugali, nyamaa jangokomele ,na manda , nshigino dah❤️❤️❤️❤️😂😂😂
@chollejr_
@chollejr_ 8 месяцев назад
Kwani we ni maasai😂
@maganyilamandu7279
@maganyilamandu7279 Год назад
Daaaaah nimeikubal sana,,seba agwambeleje sana ilumbu wane o dutwa mchane🔥🔥
@user-ve8bz2ms8j
@user-ve8bz2ms8j 7 месяцев назад
Mimi Hadi Leo nipo nyumban
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l 7 месяцев назад
Tunarudi madam tupo nyumban❤❤❤😂😂😂
@HardtoneStudioKahama
@HardtoneStudioKahama Год назад
Moto go peteroliiiii💥💥💥
@eliahmashala5180
@eliahmashala5180 8 месяцев назад
Wimbo mkali balaa,,,hongera sana mama
@user-qu3cn5ik6p
@user-qu3cn5ik6p 11 месяцев назад
Wimbo mzur ubalikiwe mama❤❤
@neypeterbenjamin9172
@neypeterbenjamin9172 Год назад
Nakupenda mnoo mama angu💋💋💋🥰🥰🥰🥰
@user-we9er4rz2k
@user-we9er4rz2k 10 месяцев назад
❤❤❤❤safi san
@yogeshkumar-zp3tl
@yogeshkumar-zp3tl 10 месяцев назад
Duh kweli huu wimbo umenikumbusha mbali
@jovinpaul6937
@jovinpaul6937 Год назад
Piga kazi dada wimbo mzuri sana pia Ujumbe mzuri
@RachelThomas-ox3jr
@RachelThomas-ox3jr Год назад
Unanikosha sana na nyimbo zako ❤❤❤
@HappynessLucas-cs6oc
@HappynessLucas-cs6oc 6 месяцев назад
Paulo sira
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
💯💯💯👌👌🌹🌹🌹🌹😍😍😍😍😍🥀🥀wimbo unanibamba nikiwa gulf weuweeeeee natikisa kichwa nikiwa hamamuuuuu Nalibehi kwiza nkoi🇴🇲🇴🇲🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@marypeter161
@marypeter161 Год назад
Umeuwa dada ake
@marypeter161
@marypeter161 Год назад
❤❤❤
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
@@marypeter161 😍👌👌👌👌😍😍😍😍🔥🔥kaya nikukayaaa
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
@@marypeter161 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💋
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 Год назад
Waooooooooh wa kukaya❤️❤️❤️❤️
@somanda8140
@somanda8140 Год назад
Umeua sana eliza daaaa
@user-we9er4rz2k
@user-we9er4rz2k 9 месяцев назад
Asante mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@User255tv
@User255tv 6 месяцев назад
Lyimbo lya wiza. Aliyo lulu ingobho sha mashigela, nuzwalile ngobho sha kukaya nu bhegije no bhagheshi.
@ngwashoog7165
@ngwashoog7165 11 месяцев назад
Nanja kushoka haha😂😂😂😂
@brorichardmusingithe7th11
@brorichardmusingithe7th11 9 месяцев назад
Eliza tisha sana nakutafutia platform ufanye kazi kubwa Mikoa ya nyanda, za juu kusini yote..... ❤❤❤❤
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 Год назад
Neyooo lulu ahaaa nanigwaa luluu dushokagiii kayaaaaaa🙆🏾‍♂️
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
tojage nkoi😁😁😁
@sagudangussa3348
@sagudangussa3348 Год назад
Hongera mama kwa huyu hongera
@ibrahimmartine9185
@ibrahimmartine9185 Год назад
Wimbo mzur san ,kaz nzur san
@sidesalehe9601
@sidesalehe9601 Год назад
Hakika wimbo wako unagusa sana
@veronicapaul2314
@veronicapaul2314 Год назад
Aiseeee nmemis nyumbn kwa mama yangu gafra..hapo kweny mashishanga sasa daaaaah💕💕💕
@user-jz5yz7fx9v
@user-jz5yz7fx9v 10 месяцев назад
Wimbo mzuri Sana Mimi sio msukuma ila hii nyimbo inaujumbe
@christinankila6945
@christinankila6945 Год назад
🎉🎉🎉🤗🤗 Barikiwa sana Kwa wimbo mzuri I🎉🎉🎉🎉
@khadijajacobo627
@khadijajacobo627 Год назад
Ivi asili yawasukuma kumbe vazi Kama lakimasai amependeza Sana jmn
@user-jr3pl4ge4w
@user-jr3pl4ge4w 6 месяцев назад
Kwanini wewe elizabhet uigize mila ya kabila ambalo sio la kwako harafu ujumbe unaelenga kabila lingine
@jamesjohn9160
@jamesjohn9160 Год назад
Obeja Mayu Kulaga Uhangame
@user-cp6sv4qd9l
@user-cp6sv4qd9l 4 месяца назад
Naomba mawasiliano yako kuna sherehe naitaji uimbe kwangu dada
@gubimalongo2174
@gubimalongo2174 Год назад
Kipaji kikubwa sana, watu kama hawa wanatakiwa kupewa support.
@RobertBelarmino-uh8xf
@RobertBelarmino-uh8xf 7 месяцев назад
Anaimba kisukuma Arusha ndiyo kwao?!!;
@gumadambiti4071
@gumadambiti4071 Год назад
Kazi nzuri nimeipanda sana dada
@hangimakina1263
@hangimakina1263 Год назад
Ujumbe mzuri sana tutafute ila tukumbuke nyumbani safi sana shemeji yangu
@masungangusa-ch1fz
@masungangusa-ch1fz Год назад
Mnyama
@user-om1cx1nu5w
@user-om1cx1nu5w 6 месяцев назад
❤yani kama vile zahabu ya kisukuma had mala 30 nalidia siuchoki
@MarcoBulenganija-xr7uf
@MarcoBulenganija-xr7uf Год назад
Mzazi Ni mzazi tukumbuke nyumbani jamn😢😢😮😮😮
@geldamkama5625
@geldamkama5625 5 месяцев назад
Good bless you
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v 11 месяцев назад
Kama wee unawapenda wa sukuma ngonga like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@manjalekubilu1416
@manjalekubilu1416 Год назад
Pamoja sana dada
@kiminyoelias4757
@kiminyoelias4757 Год назад
Nakupenda sana eliza pambana
@khadijajacobo627
@khadijajacobo627 Год назад
Alafu kapanda ngamia mwenyew kapendeza
@daudcharles4816
@daudcharles4816 Год назад
Nashokaga Kaya ❤️❤️❤️
@user-lc9js4qv1l
@user-lc9js4qv1l 7 месяцев назад
Nakukubari Sana kamanda pambana2 kipenz
@enockngereja
@enockngereja 5 месяцев назад
vzr sana alithabety
@IsayaKuzenza
@IsayaKuzenza 10 дней назад
Kunasherehe mwenzi wa tisa naomba namba yako
@khadijajacobo627
@khadijajacobo627 Год назад
Wimbo mzuri ajabu mm pia nimekuja nyumbani kula sikuu kuu yapasaka
@teamfocusfunny966
@teamfocusfunny966 10 месяцев назад
Wamasai Mko vizuri,wimbo mzuri
@lifechurchtv3571
@lifechurchtv3571 Год назад
Safi sana,umeupiga mwingi
@Lakhishi-oc3kt
@Lakhishi-oc3kt Год назад
Nakotokilwe sana mayo wane ukimbaga chidha
@salomemabula-oc3cb
@salomemabula-oc3cb Год назад
Uko vzuri dada
@user-ll6fb3eb8t
@user-ll6fb3eb8t 11 месяцев назад
Nyimbo Kali sana daah....😅😅
@vumiliapetrepaul462
@vumiliapetrepaul462 11 месяцев назад
Naipenda cn huu wimbo hongera dada
@user-dx3hb8lz9z
@user-dx3hb8lz9z 11 месяцев назад
Hongera sana wasukuma juu
@suzansalala9232
@suzansalala9232 11 месяцев назад
Wabeja sana ng'wanang'wise
@anethmakongoro5207
@anethmakongoro5207 Год назад
Nyimbo nzur sana ongera endelea ku2wakilisha vizur wasukuma lkn mavaz yakimasai tena mbona kama 2naiga tamadun ambayo syo yetu
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
kwenye mavazi kweli kachemsha hata kuruka ruka ivo kimasai kaiga
Далее
❌Ему повезло больше всех #story
00:41
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Просмотров 385 тыс.
Elizabeth Maliganya - Ushoga (Official music video)
9:17
Ng'wana Kang'wa _ Kisima Official Video HD.
10:57
Просмотров 373 тыс.
❌Ему повезло больше всех #story
00:41