Тёмный

ENG. HAMSIN AWAAGA WATENDAJI ARUSHA KWA KOPYUTA ZA KISASA, DC AKUMBUKA UTENDAJI WAKE ULIYO TUKUKA. 

MOTIVE TV_TANZANIA
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Eng, Juma Hamsin amewaaga watumishi wake ambao ni watendaji wa kata zote kwa kutimiza ahadi yake aliyo wahaidi kuwanunulia kompya ambazo zitafungwa mfumo maalum wa kuwarahisishia utendaji wa kazi.
Akikabidhi kompyuta hizo Mkuu wa wilaya ya Arusha Felician Mtahengerwa amesema watamkuba Eng. Hamsini kwa utashi wake katika utendaji kazi hasa katika kupeleka mbele maendelo ya jamii katika nyanja ya Afya na elimu na kuhahidi huvilinda vituo vyote vya afya.
Naye Mkurugenzi mpya wa Jiji hilo John Kayombo amesema kuwa ataendeleza yale yote serikali iliyopanga kufanya katika jiji la Arusha na kuwataka watendaji wote wa halmashairi hiyo wakutane kazini.
#video #breaking #tranding #arushatanzania #tanri #wasafifm #wasafitv #zanzamin #gambar

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее