Тёмный

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 121 тыс.
50% 1

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo mei 23, 2024 amezungumza na Wananchi wa Longido mkoani Arusha kwenye Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Namanga ambapo amesikiliza na kutatua kero mbalimbali za Wananchi wa Wilaya ya Longido ikiwa ni siku yake ya Kwanza kati ya sita za kutembelea wilaya zote za Mkoa wa Arusha yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 246   
@globaltv_online
@globaltv_online 4 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@GrayMgonja
@GrayMgonja 4 месяца назад
At sa
@eliyandondole
@eliyandondole 4 месяца назад
Watanzania wanataka kiongozi sio mtawala Arusha mmepata jembe hilo. Hatakufa njaa
@Tatu-mb9nl
@Tatu-mb9nl 4 месяца назад
Mama samia kupitia Makonda tumegundua kazi zako nauwepo wako unafanya kazi mama ila uongozi na watendaji waliowengi ndiyo waliotaka tukupoteze, inshaalla Mungu yupo nawewe RAISI WETU.
@josephyamathlaizer-op9sw
@josephyamathlaizer-op9sw 4 месяца назад
Mkuu Mungu awe pamoja nawe kiongozi wetu tunakuombea kwa mwenyezi Mungu akulinde uzidi kuwa pamoja nasi kila siku kwa kutenda kazi nzuri ulio chaguliwa na Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 4 месяца назад
Makonda yupo vizuri wote wangefanya hivi urasimu usingekuwepo kabisa kweli hili zao la JPM ❤
@IbrahimMallya
@IbrahimMallya 4 месяца назад
Minawaambiaga makonda nikiongozi anakipaji hajafundishwa siasa anakipaji huyu broo yupo vizuri
@cathelinemanyara4670
@cathelinemanyara4670 2 месяца назад
Ila mm naogopa jaman mbona magu ameacha mbegu nzuri katika serikal yetu rais ajae
@jerryshah4880
@jerryshah4880 4 месяца назад
This administrator understands his job.I wish we could have another Makonda in Kenya.
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 4 месяца назад
Na nyinyi kenya wapo wabazilifu kama kwetu tz sio
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 месяца назад
AFRICA YAKO INAMATAPELI NA WEZI WA KUNYONGWA KABISA​@@hamisimwandu5675
@kazikazini1042
@kazikazini1042 4 месяца назад
Haya hayawezi kufanyika kwenu. Mfumo wa sheria katika utawala unatofautian
@hamisimwandu5675
@hamisimwandu5675 4 месяца назад
How
@sarahpendo515
@sarahpendo515 4 месяца назад
Tungepata Makonda wengine wa kila mkoa naamin lile neno la Hayati Magufuli ya kwamba Afrika tunaweza kujilisha bila kuomba omba msaada ya nje litatimia .Mungu akulinde makonda wangu🙏🙏
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 4 месяца назад
Najiuliza Sana ivi kwenye mkoa kuna wakuu wangapi ukiacha mkuu wa mkoa kuna wakuu wa wilaya madiwani ivi shida kama izi kweli huwa hawazioni au Mpaka mkuu wa mkoa afike jmn ina maana kuna watu Wana lala tu maisha yanaenda mungu apendi KBC
@RaphaelMlaga
@RaphaelMlaga 4 месяца назад
mama samia mama yetu unafanya kazi kubwa sana tatizo lipo kwa watendaji wako anayoyaona makonda Arusha yapo sehemu karibia sehemu zote, hawa wakuu wa mikoa waige kwa nakonnda huyu mwamba anapiga kazi sana.
@shadrackmwampote4615
@shadrackmwampote4615 4 месяца назад
You are the best leader.God bless u!
@josephyamathlaizer-op9sw
@josephyamathlaizer-op9sw 4 месяца назад
Huyo ni kiongozi wa kuigwa na watumishi wa serikali Mungu ibariki kazi ya makonda 🙏🙏🙏
@liannsambu7264
@liannsambu7264 4 месяца назад
Nafikiri njia ya kuvuna maji ya mvua ifanyike , kuna watu tunaujuzi wetu hapa mtutumie kiwasaiida kwenye hilo mvune maji ya mvua na kuhifadhi chini ya ardhi ili badae mtumie kulisha jamii
@andreajulla1473
@andreajulla1473 3 месяца назад
Hangera Makonda kwa utendaji kazi mzuri, na kusikiliza kero za wananchi
@ERNESTAMAHENGE
@ERNESTAMAHENGE 4 месяца назад
kweli Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Makonda usiwaombee kura watu wengine kila mtu atakula kwa kamba ya urefu wa kamba yake, wewe chapa kazi Mungu anakuona.
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 4 месяца назад
Watumishi wanapata tabu sanaa !! Lakini tuende mbele turudi nyuma watumishi wa Tanzania wanafanya kazi kwa bidii sanaaa
@HilaliJohn
@HilaliJohn 4 месяца назад
Huyu ndio anafaa kuwa rais wetu wa tanzania
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 4 месяца назад
Dada hongera sana. Ulianza kwa hofu lakini umemaliza kwa ujasiri. Hongera sana
@imanwilliam4073
@imanwilliam4073 4 месяца назад
Dada yuko vizuri sana
@allyhamic1255
@allyhamic1255 4 месяца назад
Je anayozungumza ni sahihi???
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 4 месяца назад
Tatiz na yeye ni mwiziii
@kalistomaapunda7018
@kalistomaapunda7018 4 месяца назад
Kama una akili. Dada anaongea kwa utafiti sio kukurupuka. Ukiona mkuu hana pa kumshikia ndo mana anauliza maswali mengi kutafuta week points.
@RASHIDMPUMU
@RASHIDMPUMU 3 месяца назад
RC P Makonda chapa kazi mioyo ya wananchi inamatumaini sana na wewe. Mungu akuongoze
@CristovaoMarioJaimeJaime
@CristovaoMarioJaimeJaime 4 месяца назад
Makonda mtumie Mungu acha kupindisha maneno Mungu kakupa Utawala Samia katumiawa na Mungu acha kuwaombea kura wanasiasa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Serikali inapatikana kwa kura kipitia vyama vya siasa. Kila mtumishi wa Serikali ana wajibu wa kutekeleza ilani ya chama husika chenye Serikali na kufanya hivyo ni kuomba kura automatic na kutokufanya hivyo ni kinyume chake. Mwache Makonda afanye kazi!
@EmmanuelJankey
@EmmanuelJankey 4 месяца назад
Tupiganie
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 месяца назад
Yaani hata asipowaombe, bado kuna holi la MKONO watapita tu.
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 4 месяца назад
Holi la mkono ndio nini?​@@monicamwita7865
@godfreybaitani602
@godfreybaitani602 4 месяца назад
Hujui ama hujaelewa kilichozungumzwa mkuu?
@RaphaelMlaga
@RaphaelMlaga 4 месяца назад
makonda unachokifanya sisi wananchi unatukumbusha magufuli piga kazi baba mungu anakuona na atakulinda na mabaya yote, mapigaji ni mengi sana, inaumiza kodi zetu zinapigwa sana, nakufuatilia sana kamanda japo kuwa nipo Dar
@Dtv732-vc4zw
@Dtv732-vc4zw 4 месяца назад
That woman looks honest
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 4 месяца назад
Sure!
@MidlastaLyimo
@MidlastaLyimo 4 месяца назад
KIKOKOTOO?KWELI??
@keffaonchiri7813
@keffaonchiri7813 3 месяца назад
This is a true leader,Makonda hoyeeeee!
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 4 месяца назад
Hii ana kwa ana viongozi na matatizo ya wananchi nliona Rwanda,yani hua ni fire 🔥 mpaka kiongozi anataman akimbie. Makonda kwa uwezo wa Mungu usimamiwe mpaka mwisho Mungu atakapo chukua uhai wako Insha Allah 🎉
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 4 месяца назад
Sasa nyinyi mnaosema asiwaombe kura viongozi, kwani hapo kajiweka mwenyewe? Hapo kawekwa na sabia na akiamua samia hatantoa hata leo, sasa munataka hamsifu babu yenu au? Hivyo vyeo hunapandiswa na mtu na sio vinginevyo hata huo huraisi kuna watu huwa wanakupa na hukitaka hudondoswe jalibu kuwazalau huwone
@ZakayoCashmoney8819
@ZakayoCashmoney8819 4 месяца назад
Mbona povu linakutoka tena 😅😅😅😅
@MezdDimoso
@MezdDimoso 4 месяца назад
Kiongozi akiwa mfuatiliaji utendendaji wa watumishi sehemu frani utasikia mzalilishaji kumuuliza mtumishi ili atoe ufafanuzi wa jambo utasikia watu wanasema fulani kzalilishwa 😮
@januarysungura8119
@januarysungura8119 4 месяца назад
wanaosema uzalilishaji ni baadhi ya watendaji ambao huwa wanakaa ofisini bila kujali na kuwajulisha wale wanaowatumikia matatizo na mikwamo aidha hata fahamu wa kazi zao hawataki watu wengine wazijue
@DM_15
@DM_15 4 месяца назад
Wananchi wa hovyo kabisa hawaelewi nini kinacho zungumzwa ushsbiki unawasumbua, nivzur makondakutumia hizi nafasi pia kuwaelewesha wananch, nikweli tunataka maendeleo nihao hao wananchi huwa wanskata mabomba, wananchi ushabiki oyaoya niujingahuo. Hongera dada Mungu awe nawewe ukovzri
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 месяца назад
Mkuu wa Mkoa asema ukweli Wananchi uharibu Bomba ya kutoa Maji sehemu nyingi bila kujali na kosa liko kwa Wananchi asante
@ShabaniMbwilo
@ShabaniMbwilo 3 месяца назад
Jamani ingekuwa rahisi apelekwe Kila mkoa maana Kuna wapigaji wengi watu wananyang,anywa haki zao sana Mungu am bariki sana makonda na amlinde popote pale alipo maana mh! Viongozi wadilifu kama huyu adimu kuwapata........................
@FloraSiyame
@FloraSiyame 3 месяца назад
Makonda mungu akuweke mtetezi wa wanyonge
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 4 месяца назад
Jamani.. serikali haiendeshwi hivi..no strategy????
@emilykisawa5972
@emilykisawa5972 3 месяца назад
inaendeshwaje labda? kama wameshindwa jiendesha!!
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 4 месяца назад
Makonda ni lijitu likubwa lenye uthubutu wa kazi , pambana sana mkuu kusaidia wananchi wengi tunakuunga mkono unachokifanya ... mwenyezi mungu akulinde na manyangau yanayotaka kufifisha juhudi zako
@PhilbianJohn
@PhilbianJohn 3 месяца назад
Makonda ongeza makali ya spana kuwatetea wanyonge mungu akubariki sana.
@mremaelisenguo
@mremaelisenguo 4 месяца назад
Endelea kuwakomboa watanzania. Kazi yako ni ibada kubwa kwa Mungu
@EditaManyama
@EditaManyama 3 месяца назад
Hongera Mh Makonda
@MurulaAhmadi
@MurulaAhmadi 3 месяца назад
HONGERA SANA MAKONDA KWA KAZI UNAYOFANYA MUNGU AKUTANGURIE
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd 4 месяца назад
0:35 makonda ana maswali utazani mungu
@RazakiMatochi
@RazakiMatochi 4 месяца назад
😂😂😂
@JohnGomano
@JohnGomano 4 месяца назад
Tanzania inahitaji viongozi kama hawa ili kuweza kuendelea just imagine viongozi wote wakifanya kama huyu makonda leo hii tungefikia sehemu nzuri katika maendeleo ya kijamii,siasa na hata kiuchumi
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 3 месяца назад
Makonda viva
@RajabuLanda
@RajabuLanda 4 месяца назад
👍hapo kwa ccm nisawa nakusema kitambi mbere xhida nyuma
@johnurio9151
@johnurio9151 3 месяца назад
Haiko sawa
@klystry1234
@klystry1234 4 месяца назад
Viongozi hawajishughulishi kuweka Haya mahesabu vizuri huu ni ukweli Yaani Haya maswali yote wanatakiwa wawe nayo kwenye makaratasi na wasiwe wanakisia Tena kwa wakandarasi ndo hovyo Yaani bashungwa anapitia changamoto sana na wahandisi Yaani masihara ni mengi sana nchini mnakula hela mnasahau kutoa huduma
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 4 месяца назад
Huyu Mwanamke ni mchuzi sana. Muonewe, kuna watu wanazihitaji hio nafasi yakr
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 4 месяца назад
Huyu ni mshenzi sana fukuza yeye
@januarysungura8119
@januarysungura8119 4 месяца назад
watendaji lazima wayajue majukumu yao na kuwa na uwezo wakujieleza wakati wowote
@nailamimi20
@nailamimi20 4 месяца назад
Watu wa namanga mbona wote hawana Nuru usoni jmn 🥺 kama vile walevi sana
@JeanBaptisteBasumingera
@JeanBaptisteBasumingera 4 месяца назад
Eti walevi konyagi njo inatembea😂😂😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 месяца назад
Kwani si ni mkondo huohuo wa wadudu ndugu yangu
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 4 месяца назад
Mirungi pia inawamaliza watu hapo
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 4 месяца назад
Water boozers disconnect water so as to sell water. That was my experience in Kenya. You will find that water boozers are owned by people in water ministry. So the ones who are supposed to solve the problem also end up creating problem for financial gains
@HenryKasaje-on4xq
@HenryKasaje-on4xq 4 месяца назад
Ila saizi mko kuisafisha ccm kwakua uchaguz umesogea ila bado tumeshituka
@KamaradaSaidi
@KamaradaSaidi 4 месяца назад
Makonda kwa kazi nzuli hii unayo fanya unafaa kwa hakika kua rais wa nchi hii mung akubaliki baba piga kazi
@selector728
@selector728 4 месяца назад
Nzuri sio nzuli,,akubariki sio akubaliki
@epimackjohn461
@epimackjohn461 4 месяца назад
Labda nchi hii igawanywe upande kwanza (1)wa watu mbumbumbu mwingine wa (2) wa wenye akili timamu yeye awe rais wa na (1)
@ramygichero1016
@ramygichero1016 4 месяца назад
Mkuu Makonda nakukubali
@Josephmutua-sy7mm
@Josephmutua-sy7mm 4 месяца назад
This is a bit confusing! Is this a law court or just a public "make crowd feel good" gallery??. Just what's the end game here? Not a place to delve into the intricacies of hydrogeology... honestly!??
@AnnastaziaMniko-up2iy
@AnnastaziaMniko-up2iy 4 месяца назад
Inamaana sikuhizi hamnaga vikao vya watumishi mpaka mkawahoji mbele yakadamnasi Namna hii? Mimi naona kama niuzalilishaji et.
@bethkonga7944
@bethkonga7944 4 месяца назад
Kwan mkutano wa hadhala kat ya wananchi na wakuu wa idala mbele ya wananchi ni kosa
@BongerwaFanincialservices
@BongerwaFanincialservices 4 месяца назад
Akili kidogo
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 месяца назад
Hii sasa haipendezi too much Kama kuna shida ongeeni ofisini na watu husika Kuliko namna hii
@EsterNdalu
@EsterNdalu 4 месяца назад
Huu ni mkutana wa hadhara baina ya wananchi na viongozi wao so hajakosea angewasikiliza viongozi tu wangemdanganya tu alafu wananchi bado wanakelo zao
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 4 месяца назад
Akili yako kisoda acheni chuki
@geoffreykoech56
@geoffreykoech56 Месяц назад
Kumbe hata maji ya kenya yanafika huko? Amdhulillahi.
@FaridiRashidi
@FaridiRashidi 4 месяца назад
Adumu sanaa
@GOODNEWSTV-nf5qx
@GOODNEWSTV-nf5qx 4 месяца назад
Jamani tumpate wapi kiongozi kama Makonda wilaya ya Ubungo aje askilize kero zetu za maji hiku kata ya Saranga maana DAWASA wanatukatia maji ili tununue maji kwenye magari yao, alafu mwisho wa mwezi wanatuletea bill za upepo.
@SalomeMlela-f9l
@SalomeMlela-f9l 4 месяца назад
Safi sana hakuna kitu hapo
@edjenmakwai2310
@edjenmakwai2310 3 месяца назад
Kwa kweli maji ni janga kwa mkoa wa Arusha wote. Sio Namanga peke yake.
@SheilaNanetia-nb7pd
@SheilaNanetia-nb7pd 3 месяца назад
It's true vandalization is true
@AbubakarJohn-bz9dj
@AbubakarJohn-bz9dj Месяц назад
Mheshimiwa ufikena Karatu tunapatashida ya maji sana
@josephatmwambega2874
@josephatmwambega2874 4 месяца назад
Big up Makonda😂😂😂😂
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 4 месяца назад
Hii ndio nini jamani mbona kama sio utaratibu au ni kuonyesha kitu
@KituRu
@KituRu 4 месяца назад
Ni udhalilishaji
@EastOneDiamante
@EastOneDiamante 4 месяца назад
Nakuteuwa kuwa Raisi Mr. @Makonda
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 4 месяца назад
Makonda fanya kazi yako maana watu hawajielewi wanashikilia manafas cha maana hawana watu tunateseka wananchi
@lightouma477
@lightouma477 4 месяца назад
Yaani Namanga inaukame mkali mnoo,ni zaidi ya miaka 30 sasa....Mungu awasaidie tu kwenye kuondoa ilo tatizo maana mmmhhhh
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 месяца назад
Mmechelewa watanzania ndyo tunapenda hivi makonda anavofanya
@RashidRamadhani-b5o
@RashidRamadhani-b5o 4 месяца назад
Mzee Diwani yuko ngangari kweli kweli alafu nikimcheki Diwani wa kwenye kata yetu nabaki kucheka tu mana ni wale tunaojiita nguvu ya Taifa ila ndo hamna kitu mamae
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 3 месяца назад
Hata kama tuna shida ya maji ni lazima wananchi wawe na ustaarabu wa kuwasikiza wahandisi badala ya kuwazomea. Mwisho wa siku Mhe anawategemea hao hao
@mr.exaudmshana5275
@mr.exaudmshana5275 4 месяца назад
Hongera mate Eng. Upendo🎉
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Sitegemei kama chanzo cha maji kinaweza kuhudumia watu waliopo 900 KM, kwa sababu hapa Zanzibar hakuna anaeishi 10 KM na hakujaenea maji lakini tatizo la maji hatufanani Tanganyika ni kubwa sana.
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 месяца назад
Hapo wanajadiri kuhusu mkoa wa Arusha pekee sio Nchi nzima
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 месяца назад
Tena ni wilaya ya namanga tu
@romanamassawe814
@romanamassawe814 4 месяца назад
Yanacheka ujinga tu
@joycemwango943
@joycemwango943 4 месяца назад
Tungelikua na MH,, MAKONDA KENYA tungeshukur,,, Anasikiza kero za wanaichi
@martinakyoo148
@martinakyoo148 4 месяца назад
Makonda ni teacher wa wakuu wa mikoa yote nchini Na Mama akimaliza muda wake please CCM msione ugumu kumpa nafasi ya Urais mtaenjoy na CCC itaenjoy na Wananchi Wataenjoy amini usiamini huo ndio ukweli. Tunataka kiongozi kichwa chake kinafanya kazi kama huyu
@DennisMungai-pf6rb
@DennisMungai-pf6rb 4 месяца назад
Masikini nchi yangu ,,watu wanakuja kufurahia wenzao wakidhalilisha
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 4 месяца назад
Co kudhslilisha,,,watendaji wengi waserikalini ni wazembe,,,,,,na hii n kutokana na kulindana kupita kiasi....na hapo usingalie sura....tunataka utendaji na uhadilifu....mwache poul makonda awanyooshe.......kama ukubali utendaji wake hilo n tatizo lako bnafsi lkn kwa wananchi Ana manufaa makubwa mno...
@salimabdul4424
@salimabdul4424 4 месяца назад
Aiseee tuna watendaji vilaza...hujui hata takwimu za mradi mkubwa kama huuu...
@epimackjohn461
@epimackjohn461 4 месяца назад
Huyu kiongozi anajitahidi sana kutatua KERO ,lakini huko anakoelekea akiendelea na MATUMIZI mabaya ya ULIMI wake ziara zake na yeye mwenyewe zitageuka kuwa KERO kudhalilisha , kulazimisha majibu anavyotaka hapohapo na kukatisha wataalam wanapojieleza .
@MidlastaLyimo
@MidlastaLyimo 4 месяца назад
INATUSIKITISHA SANA.SISI WASTAAFU KUKOSA MAFAO YETU LAKIKINI MABILIONI YA HELA YANAPELEKWA MIRADI.??NIKIFA WANANGU HAWSNA CHOCHOTE NI HAKKI KURA ZA WASTAAFU NI NO
@JumaAzam-hx6wl
@JumaAzam-hx6wl 3 месяца назад
😮
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 месяца назад
Mh Makonda Acha kuwaonbea wanasiasa kura unavyofanya hivyo NI kuwafanya wanasiasa wabweteke na hawatafanya kazi kwakua wanajua hatawasipo wahudumia wana nchi wanajua utawaombea kura . Acha waombe wenyewe wapate ugumu ema wapate au wapotee ktk siasa
@KusekwaKalory
@KusekwaKalory 4 месяца назад
Hogela raisi kwa uteuzi wahuyu kiongozi namkubali sana
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 4 месяца назад
Kichwa cha habari si kweli. Alitoa tu maelezo.
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 месяца назад
Kuna saa kweli makonda unafukua makaburi lakini kumbuka sio kuwaombea kura nikuwazika jumla maana tangu uhuru watu walio wengi wameishi hivi na dhuluma za hapa na pale kila kona ila kwa mhandisi hana lawama maana hana anapanga yeye anatoa proposal na budget yake ikizidi mnampiga chini lakini kiukweli kunawakati mzigo mnawapa kwa awamu na zinakua hazitoshi mpaka wangoje mwaka mwingine wa fedha unadhani mradi wakati wanangoja budget ijayo mradi unaenda kwa hela zipi inabidi wasubiri huku wakiendelea na viporo so wafikirieni msiwaonee kwakua kiutaratibu huruusiwi kutoboa siri za nchi moja kwa moja wanaificha hiyo ajili ya.kiapo lakini wakitaka kutoboa mtajakuta mzigo umeliwa na wajuu yako makonda wewe utafanya nini kama mfia kiapo
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 месяца назад
Maana kweli unaweza waswaga kienyeji nao wakaona kwanini wananchi wanawachukia kisa kitu cha siri ambayo wanalazimishwa kutoboa ili wawe wasafi maana ujue nao huko wanapokaa usidhani kwa hayo hawanyoshewi vidole vya yule mwizi mara paaap wanaamua kutoboa mzigo ulikuja na ukarudi au kupitia kwa flani hawa nadhani kaeni vikao vya ndani maana hili ni janga la kimaadili kwenye nchi watendaji walio wengi wa uma maadili hakuna wala heshima kwa mali ya uma hawana kila mtu ni boss na kila mtu anatoa maelekezo na usipotekeleza kazi huna sasa nani anakua tayari kupoteza kazi mambo yalivyo bongo kwa sasa inabidi ukubali kuumiza ili upone hatakama unajua na nafsi inakusuta ila hali inakulazimu
@MohamedUchungu
@MohamedUchungu 4 месяца назад
Na kweli hana adamu
@johnpella8703
@johnpella8703 4 месяца назад
Kweli inawezekana kumkamata mhalifu aliyekata bomba kwa sime usiku wa manane?
@wilsonkinga
@wilsonkinga 4 месяца назад
Watendaji wa nchi hii hawawezi kuongoza nchi hii maana wezi na wanyanyi
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 4 месяца назад
Ooooh hats secondary ulifeli hesabu Unsitoa wapi ww bashiii?
@SaumuJuma-mu1my
@SaumuJuma-mu1my 4 месяца назад
Kwani yeye ndio analeta hela?
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 4 месяца назад
Baba unaupiga mwingi sana
@januarysungura8119
@januarysungura8119 4 месяца назад
ukitaka kujua wababaishaji utaona watendaji wabovu ni hapa ,mbona diwani ameongea amenyooka hata mimi niliye mbali nimemwelewa.
@salimabdul4424
@salimabdul4424 4 месяца назад
Nenda na full document dada...be smart nyoooka...
@samwelmkufya3694
@samwelmkufya3694 4 месяца назад
Mwenzenu nlichomolewa kwanye halmashauri moja hapa tanga kisa nlienda kuidai halmashauri yani hawa watu wakiwa ofisini wanajiona mamwinyi
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 4 месяца назад
Makonda bonge la mnafiki
@allymbaya6411
@allymbaya6411 4 месяца назад
Ila mimi huyu mdada nimempenda kwa ujasiri wake pamoja na kudhalilishwa kote lakini haja hajatetereka hata kidogo
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 месяца назад
Amedharirishwa na nani mbona hueleweki au kwa kuwa wewe uko na viwango vya juu
@margaretking9640
@margaretking9640 4 месяца назад
I wish ungekua kenya pia mayatima km ss tukapata haki
@KituRu
@KituRu 4 месяца назад
Makonda kazidi sifa bana,awe na adabu bana
@mupinimulila1762
@mupinimulila1762 4 месяца назад
Unaonaunaona ndo nakubali kama nyinyi wa Tanzania muna ukatili chinichini, lakini munajificha kama watu ambao muna roho nzuri, lakini kwa comment hii, natambua roho yako .mtu anataka musaidike lakini muna , unaleta viluga vyako eti adabu , makonda adabu ipo, apa anafanya kazi tu . Hiyo ma heshima zenu za uisha watu.
@kareem1182
@kareem1182 4 месяца назад
Basi wananchi ndo awana adabu maana waoo ndo wanao kataaa
@simonwenceslaus3745
@simonwenceslaus3745 4 месяца назад
We utakua na ndugu ako apo ila ungejua aza tunazopitia wananchi ata usinge lopoka
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 4 месяца назад
Apewe uwaziri mkuu
@SalimKiwale
@SalimKiwale 4 месяца назад
Hv nyie watu mnataka kiongozi wanamnagani ukiona kunamtu anamkosoa makonda hana akili tu
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 месяца назад
Hana akili kabisa.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 4 месяца назад
Hamna kitu hapo kiki tu, anapenda tv
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 4 месяца назад
​@@issacklyandala7023kafanye wewe
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 4 месяца назад
Makonda ni msanii tu anayetafuta umaarufu kwa kuwakejeli na kuwashambulia maofisa wa ngazi za chini ambao hawana majibu kwa matatizo yanayowakabili wananchi. He is a bully.
@WilsonKihanga-jb5fb
@WilsonKihanga-jb5fb 4 месяца назад
Deven we ni tahira tu
@magrethherin7110
@magrethherin7110 4 месяца назад
Makondo wanyooshe
@eluidmorery6411
@eluidmorery6411 4 месяца назад
Kiji cha patanumbe kina pori la Ngombe. Limeuswa na mavizandi tusaindiye kulirudisha
@salimabdul4424
@salimabdul4424 4 месяца назад
Sasa huyu anazomewa kwani yeye ni mwana siasa...yeye ni wakupewa mwongozo...kama hajatimiza ndo aulizwe..
@ZakayoCashmoney8819
@ZakayoCashmoney8819 4 месяца назад
Aijalishi mtendaji akifanya vibaya kwann asizomewe???
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 месяца назад
Mama alitoa, mama alitoa ! ! Serikali. Itatoaaa lini ?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Akitoa mama ndio imetoa Serikali.
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 4 месяца назад
😢
@YonaLaizer-nt4pc
@YonaLaizer-nt4pc 4 месяца назад
Usimpigie mtu debe kwaajili ya maisha yake wewe tumia hekima uliyopewa na MUNGU hivyo achana na mengine wewe tenda wema malipo kwa MUNGU atakurehemu
Далее