Enock achana na mziiki na usipo aacha utasemwa na kila mtu hapo umbea wa watangazaji utakuumiza achana na interview nyingi kwenye Radio hawatakusaidia chocote wewe ni fundi tafuta kazi nyingine au wende kusoma University utapa Maisha yanatafutwa pote kaza boot na usijiunge na wasafi kama wewe ni mukristo usibadili dini .utakuja kujuta