Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE: Baba Ommy Dimpoz Afunguka A-Z baada ya Maneno ya Ommy | "Nitazikwa na Manispaa" 

TZ Trends
Подписаться 223 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@bobsalim4285
@bobsalim4285 Год назад
Wacheni ujinga nyote wawili. Omy hajakasirika kuhusu interview zako,ameeleza ukweli kuwa hakujui kama baba koz hukuwepo katika maisha yake. Swali ni' ulikuwa wapi na kwann hukuwa ukimshughulikia. Omy hana 15yrs,ni mtu mzima,so maisha yoote utokee leo. Ushindwe.
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Год назад
Mm namsifu sana Mzee Kwa nn umbembeleze mtoto safi sana kuwa na msimamo huo Mzee mradi unajiweza mwenyewe piga kazi
@jesuspower2390
@jesuspower2390 Год назад
kwanza vyombo vya biashara ungeachana navyo tu vitakuvuruga muulize baba diamond
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed Год назад
Mzee kwanza una dhambi ya zinaa, pili umemtia mimba mwanamke wa watu then ukamtelekeza. Tatu mtoto aliezaliwa pia hukumhudumia kwa chochote mpaka kawa mtu mzima tena star, halafu ww ndo unajitokeza kifua mbele ati baba yake. Mzee nakusihi bora ungekomaa vile vile ukauchuna tuu, kwanza ulikuwa sawa kumhudumia was ur choice haikuwa lazima kwako cos ni mtoto wa nje ya ndoa kidini sio mwanao. Lkn sasa hivi unaanza kufuja unang’ang’ania awe mwanao na unajuwa fika kuwa si mwanao kidini na humrithi na wala yy hakurithi. Bora tuliza mshono endelea na maisha yako na yy muwache na maisha yake km ulivomuwacha alipokuwa mtoto, period.
@jesuspower2390
@jesuspower2390 Год назад
PILI maandiko yanasema '' UKIRICHO KWA KINYWA NDICHO UPOKEACHO'' huyu baba alisema yeye huya hatafuti watoto ila watoto ndio wanamtafuta yeye... sasa OMARY bado mdogo akikua atamtafuta analeta kelele za nini... ningekuwa OMARI ningemjibu baba bado sijakua nikikua ntakutafuta.😄
@actionscene4753
@actionscene4753 Год назад
Kwani ww kwenu hakuna mtoto wa Zina na huenda hata ww ni wa Zina
@bakariathumani8105
@bakariathumani8105 Год назад
Kabla yakutaja aibu yamwenzako.. je,wewe hujawahi kuzini?
@wilsonjonas5481
@wilsonjonas5481 Год назад
Mbona maelezo mengi ommy kakosea Kwan Mzee alimuomba hela au kama ni dam yake ulitaka aseme nn maana Yale ni mayai yake
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Год назад
Ulivyoorozesha makosa ya mwenzio utafikiri ww huna dhambi..mnafiki mkubwa
@ashobozakabalimu9212
@ashobozakabalimu9212 Год назад
Kwa ufupi ulikimbia majukumu. Imeisha hiyo.
@mteulemnyama7858
@mteulemnyama7858 Год назад
Ulikuwepo
@kushcultureralph568
@kushcultureralph568 Год назад
DAh kumbe mzee hana time!mzee wewe ni mwanaume hasa tena hasa!huyo bwege atakusaidia nini kwanza unaonekana huitaj msaada wa mtu!big up sana jembe wewe ni baba wa kuigwa!skia mzee huko dar wanaume wamekua mashoga!huyu tupa kule atafte baba yake anae mjua kwani anakusaidia nini wanskuza maada wakajua labda ni omba omba kama mzee abdul
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 Год назад
Ommy kaza Buti achana nae huyo, hata nyani ana baba asikusumbueeeee. Ambambane na Hali yake.
@badaral6167
@badaral6167 Год назад
Mzee ulikua na uwezo wa kulea omaly lakini ulimuacha baci endelea kumuacha Acha maneno mengi
@hollymore4904
@hollymore4904 Год назад
Unajisifia au sio
@aishaally4831
@aishaally4831 Год назад
Mzee unababaika ujui hata unachoongea hiyo ndio inaitwa fainali uzeeni, ujana maji ya moto,
@siwonikewiliam5104
@siwonikewiliam5104 Год назад
Huyo mzee yupo vizuri Hana njaa km unavyofikiria wewe
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@rithatarimo2
@rithatarimo2 Год назад
Huyu mzee atulie kabisaaa abatapatapa hakumjua mtoto wakati wa shida na wakati wa raha iwe ivoivo sio mtu wakuhudumia watoto uyo
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
😂😂😂Nimeamini ukiwanajina ni shida baba ulikuwa wapi wakat ana teseka kijan wako mam alimtoka mapem
@gladnesskennedy6238
@gladnesskennedy6238 Год назад
Kwa hiyo huyo mzee ni mkongo tuanzie hapo kwanza
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 Год назад
Hahahahaha
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Mzazi ni mzazi tuiu ndugu zanguuu hata km akukulea bado ni mzazi tusitowe maneno mabay kwa mzazi
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 Год назад
Kbs ndiyo maana ommy dimpoz hajaacha kutumia ubini wa baba yake
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Kwani Ommy katoa neno gani Baya? Kasema Hana mapenzi nae mlitaka ajilazimishe na hakumlea?
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 Год назад
@@sarahgaula2220 mengine ya family bhn
@ayubuomondi4911
@ayubuomondi4911 Год назад
Jina ulimpa ukiwa hujui kesho atakuwa nani kwahyo usijisifie kwa kumpa jina
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Pole sana Mzee, ndii Uzazi huo na watoto wanalishwa Sumu nyingi sana na kina Mama bora huna unyonge Mzee wangu simamia Kwa unachoamini.
@truthmediatz861
@truthmediatz861 Год назад
Mtoto atalishwa sumu sawa lakini actions speak loudeer than words ! Huyu mzee angekua na mapenzi na mwanae in any way mtt mwnyw anajiongeza lkn inavoonekana tabia za mzee na sumu za mama yalikua yanaendana
@ericnzabonimpa765
@ericnzabonimpa765 Год назад
Alizaa kama nyoka na ajipiga kifua ‘´pumbavu
@fawzalbusayid7232
@fawzalbusayid7232 Год назад
Anajifanya kuongea kwa feelings ili aonewe huruma mm si kublock tu ninge sahau kabisa kama nna baba😂😏
@providencekusinza7122
@providencekusinza7122 Год назад
Wewe uko mu congo original kabisa kwa majigambo ayo 😀😀😀😀😀😀😀😀
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Год назад
Omba msamaha kama kuna shm ulikosea siyo huna hoja
@evanjau4481
@evanjau4481 Год назад
Ulikuwa baba bata kwan bata ajuwi kulea watoto mkisha ona watoto wamefanikiwa ndiyo wa baba lakini kabla ya hapo ni wamama egeandika ata kuku nini omy
@s.flavor38
@s.flavor38 Год назад
Bora www kuliko mwenzio anajing'atang'ata Kule Tandale 😬😬😬
@litangongo2451
@litangongo2451 Год назад
Mmaniema hawezi kujing'ata hata kdg akisema mafu basi kwisha hiy
@faithkapondo5383
@faithkapondo5383 Год назад
Yaan hyu baba km mwanaume wng nlyezaa naye watoto wawil yaan wanapenda kujitetea ikiwa wamekosea,,,jmn Mung aniweke Dunian nlee watoto wng kwa roho nyeupe yeye ale tu ujana wanaume siku hz n shda kwa kwel
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 Год назад
Mzee huyu mkorofi... Jeuri... Roho mbaya... Halifai
@mshikamanojames7610
@mshikamanojames7610 Год назад
Hamna mzee umefeli unajitafunasana
@truthmediatz861
@truthmediatz861 Год назад
Mzee kufa tu kibudu ! Unavuna umanyema wako leo ..
@omarimohammed8892
@omarimohammed8892 Год назад
Kaka Omi kwamaelezo yababa yako inaonekana anakutafutia matatizo anae ukumu mungu ulicho nacho msaidie auna bac ucongee mengi kaka we mtoto najua unaumia nanaelewa maumivu yakukosa malez yababa maana mmi mwenyewe nimepitia umoumo kaka kinywa maji pambana namaisha yako ucereze mengi utajiongeza maumivu kaka
@ramaosman8060
@ramaosman8060 Год назад
♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma
@fawzalbusayid7232
@fawzalbusayid7232 Год назад
Sio sababu kutokua na mawasiliano kipindi iko huyu mzee anatufa umaarufu na sifa
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 Год назад
Wananzengo wenzangu tuwe na uelewa wakutosha, mzee amesema hatafuti msaada wala hataki kusaidiwa
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Wajinga hawawezi kumuelewa na wengi wanaangalia upande mmoja na kuhukumu bila kujua kilichotokea awali.
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Kweli wee mzee wa kigoma mana watu wa huko kwa misifa hata wahaya wanasubiri
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Ww kabira gani achana na kabira za watu
@kushcultureralph568
@kushcultureralph568 Год назад
Jamani naombeni namba ya huyu mzee nna zawadi yake
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 Год назад
Mzee wa hovyooo! huyu mwe!
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 Год назад
Mzaz ni mzazi tu alafu mzee hana shida ya msaada dimpoz acha maneno ya kuambiwa
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Kaambiwa nini kwani matunzo yanahitaji kuambiww si unajua tu.
@omarimohammed8892
@omarimohammed8892 Год назад
Nymbani wanamkubar ungemtelekeza wee mzee nimshezi tu
@Mimi.Official
@Mimi.Official Год назад
Mmmm huyu mzee analo jambo, Anajitahidi kueleza lakini ndani kuna uongo ,amekuwa mtumzima ndio unamwita mwanao .
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Год назад
Fadha, kubaliana na pigo la matendo yako ya ujana. Allah anasema “Laa takrabu zzinaa(Wala msiikaribie zinaa.” Wewe ukaikaribia na ukazini. Tena ukatelekeza. Tumikia jeuri yako kwa Amri ya Muumba. Wacha mikwara ambayo itaishia kukuletea presha ambayo ulisha msababishia Omar na mama yake!
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 Год назад
Wewe Mzee huna inshu kuwatelekeza watoto
@nyasizobonny805
@nyasizobonny805 Год назад
🙃🙃😉
@gracekessy9150
@gracekessy9150 Год назад
Mungu anawapa umri mrefu ili mteseke kama hivi😂
@tukolivemedia
@tukolivemedia Год назад
Wewe ndo wale wakina mama mnaojaza watoto ujinga ety wawachukie wazee wao f***
@gracekessy9150
@gracekessy9150 Год назад
@@tukolivemedia unawashwa ee kajambe mbele🖕🏽
@aimfetty1641
@aimfetty1641 Год назад
😂😂😂😂 nimecheka sana walah
@tukolivemedia
@tukolivemedia Год назад
@@gracekessy9150 ukweli unauma Kafiri mkubwa wewe
@jesuspower2390
@jesuspower2390 Год назад
PILI maandiko yanasema '' UKIRICHO KWA KINYWA NDICHO UPOKEACHO'' huyu baba alisema yeye huya hatafuti watoto ila watoto ndio wanamtafuta yeye... sasa OMARY bado mdogo akikua atamtafuta analeta kelele za nini... ningekuwa OMARI ningemjibu baba bado sijakua nikikua ntakutafuta.😄
@wanaupendotv7183
@wanaupendotv7183 Год назад
Mmanyema wa Kwetu
@janembalinga7074
@janembalinga7074 Год назад
Mtu yeyeote ambaye anajua nafasi yake hatumii nguvu kujitambulisha kuwa mm diye baba ukiona unatumia nguvu ujue hukuijua nafasi yako ipasavyo😏😏😏
@milliondollarvoice4055
@milliondollarvoice4055 Год назад
Tumejifunza laikini Mzazi ni mzazi Tu.... Ommy ajishushe Tu, bila kukutana na mama yake asingekuwepo, vitabu vya dini vinasema muheshimu Baba yko na mama yko siku zako zipate kuwa nyingi hawakusema mambo ya maleZi wala Tabia za mzazi, Watu wenye akili wamshauri ommy
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Год назад
Mzee ww ndo ulikosea unapiga mimba mtoto wawatu unalaza mbee kwel
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
ah Kumbe ulimzaa nje ya ndoa? ulitakiwa ukae kimya mana ulishafanya Dhambi ya zinaa utubie usijitangaze
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Acha wehu Mzee huyo mama yake kafa miaka ungetaka kumtafuta ungemtafuta. Watu walikuwa wanapata Taarifa mbali miaka hiyo na walitembeleana na kuzikana. Mtoto asomeshwe ujombani unaona sawa. Mzeee pambana na Hali yako.
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Год назад
sumbawangahio wachainyeshe tuonepanapovuja
@sadikijuma4560
@sadikijuma4560 Год назад
Acha ujinga ww mzee , endelea na maish yk hutakiwi, mtoto star ndio unajipendekeza, pumbavuuuuu😏😏
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
Ana ustar gani huyo chokoo jinga sana huyu
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 Год назад
.
@bosschick2417
@bosschick2417 Год назад
Tala kaka, mafout hahaha 😆 😂
@janethhendry6734
@janethhendry6734 Год назад
Dua la kuku likurudie wewe bwege
@lm6373
@lm6373 Год назад
Anaona wivu vile kamuona Cristiano ronaldo . wa baba wa ki Africa ndo sana wanatupa watoto sasa kaona mtoto kawa maaruff maneno yanamtoka toka uko .mzeee hata sura yako unaonekana mkorofi,
@zaidankasamya2211
@zaidankasamya2211 Год назад
Ommy ajui vinzur istory ya utoto wake..yeye Anajua vitu jujuu tu
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Muelezeee kama unaijua
@bakariathumani8105
@bakariathumani8105 Год назад
Mzee huenda anauwezo kuliko omy.. sizani kama,Mzee anaziki
@sarahsulubu8587
@sarahsulubu8587 Год назад
Baba jamani so ommy wanni kama huna shobo nae wazazi wengine jamani sasa madharau haya piA
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 Год назад
Mzee Mmanyema huyu hatari !
@mazagazagaonlinetv9775
@mazagazagaonlinetv9775 Год назад
Mzee unalolote
@janethhendry6734
@janethhendry6734 Год назад
We mzee huna akili ,eti wakimsomesha kuna shida gani ,,bwege wewe
@hassansuleiman4139
@hassansuleiman4139 Год назад
Fala om hana akili pumbavu zake
@elizabethamon7454
@elizabethamon7454 Год назад
We mzee unaonekana jeuri huna hekima sasa damu yako imekuwa jeur
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Bado na yeye anapambana na mitandao kama Baba wa Diamond.
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 Год назад
🤣🤣🤣😂
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Kwa kweli huyu Baba ni boya anajikanyaga kanyaga tu hana lolote. Pambana na hali yako huna wasiwasi kaa kimya interview zote za nini kaa na msimamo wako. Unamvua nguo ama akuvue nguo?
@dylanmingi5064
@dylanmingi5064 Год назад
Story na familia za watu wacheni kabisa..Mzee katoroka Majukumu wakati umefika akule ukatili wake...
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Unakosea
@robertoantonio5682
@robertoantonio5682 Год назад
Mimi baharia wewe ni mkongo
@mtktv597
@mtktv597 Год назад
Kuna maboya wanabwabwaja kumsema huyu mzee vibaya ivi mnajua process ya kutia mimba mtoto akazaliwa ? Kuma nyie wote
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Год назад
Ipi mana waliopata ndani ya siku 1
@maryammorekhamis6703
@maryammorekhamis6703 Год назад
Mzee wewe mzazi usiendekeze vyombo vya habari huyo ni mtoto wako mambo ya family yatabaki kuwa family
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Vyombo vinamfuata bwana Kwani hujui vinatafuta airtime
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 Год назад
Mmayema yyte hana haja ya kutafta mtoto....duuh aisee huy mzee mwehu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
Sasa amtafute ili nini we vip hata nyie wanawake mnashida sana hakuna watu makatiri kama wanawake shenzi nyie
@mteulemnyama7858
@mteulemnyama7858 Год назад
Kama wewe ulivyo mwehu
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 Год назад
@@mteulemnyama7858 hahahaa Acha hasira
@goodwellmutambo7607
@goodwellmutambo7607 Год назад
Mwehu mwenyewe Malaya mkubwa ww pumbavu
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 Год назад
Ujalelewa vzr dear c makosa yako .... . Tafuta pesa hasira za bure zitapungua🤣🤣🤣
@sportsarenakingsoffootball8635
Ila Ommy siku zake zinahesabika, nimeanza kuelewa kwanini alinyweshwa sumu! Laana hii🤭
@ayubuomondi4911
@ayubuomondi4911 Год назад
We kenge nn au na ww ndo wale wale wakutelekeza watoto wakijakuwa na uwezo mnaanza kujipendekeza
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
@@ayubuomondi4911 we mbona unhukum sehem Moja we unajua mama omy alimfanyia vituko gani huyu Mzee we wanawake unawajua au unawasikia
@mwanaidhassan9977
@mwanaidhassan9977 Год назад
@@husseingabo5497 hakuna vituko vya mwanamke eti umsuse mtoto nyumba ngapi zina migogoro na baba analea watoto yaani mateso tunayopitia wakati wa ujauzito na wakati wa kuzaa mtoto wko akikosa mahitaji mama anaumia mnooo chuki inayojaa moyoni sio ndogo sawa mama ulikua na ugomvi nae vip alipofariki ilikuaje bado alikua na chuki na marehemu wakati mtoto mdogo kaachwa mwenyewe na vip ommy dimpoz alipoumwa alikua wapi mbona hatukumuona hapo hakuna laana hata aongee nn hakuna kitu apo ww ni muislam kama dini unaijua hakuna laana hapo
@tugabiz4286
@tugabiz4286 Год назад
@@husseingabo5497 mama yake amekufa Ommy akiwa bado shule ya msingi. Sasa kama baba alikua na ugomvi na mama je baada ya mama kufariki kwanini yeye baba hajaenda kumchukua mtoto wake na kumtunza?
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 Год назад
Ulimsomesha
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Год назад
Kwani ommy kasoma mpaka Elimu ya level gani? Msishabikie msivyovijua.
@wilsonjonas5481
@wilsonjonas5481 Год назад
Kumsomesha sio shida yeye kumzaa tu inatosha kitu kikubwa sana
@pachaerick8057
@pachaerick8057 Год назад
Safk
@vradmirlenin8290
@vradmirlenin8290 Год назад
Mzee amna kunyenyekea mtu makaratasi kaza adi mwisho huyo choko asikubabaishe wapo walio lelewa na wazazi na hawatoi msaada wowote
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Год назад
Ww taiya auna dhambi ww? Ujafanya zinaa ww?
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 Год назад
Mbona ulimuomba canter
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 Год назад
Uko sahihi mzee yule mwanao limbukeni hata dini haijui maana hajui kusamehe kishakuwa shetani
@svt3
@svt3 Год назад
Frank Mwinuka: mzee kakinbia majukumu kwa Omy, ila ana watoto alio chukuwa majukumu sababu walikuwa wa ndoa mbona hawafuate hao ila anafuatana na haramu, mzee afuatane na hao watoto wengine
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 Год назад
Yaan mnajifanya mnahukum ...watu wanateseka huku njee jmn ...mzee anaonekana mwehu
@svt3
@svt3 Год назад
@@jeniferemmanuel4251 kweli ni mwehu na hakuchukuwa majukumu, ila anaona mtoto amepata ka kitu ana kuwa mimi baba, mbona haendi kwa hao wa toto alichukuwa majukumu yao? Ama hao sio wa kujivunia
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 Год назад
@@svt3 yaan hana lolote lile na anajiproud et mm mmanyema siwez mtafta mtoto atajileta yeye..ni ujinga na upuuz tu..af mm sipend mtu mzima anajisifia sana....ukimwangalia tu unajua alikuwa mwehu sana enzi zake.....watu msijifanye wema kumsapot ndo kuendekeza ujinga wa wazee kama hawa
@svt3
@svt3 Год назад
@@jeniferemmanuel4251 nakubaliana na wewe kabisa huyu mzee mhuni saana
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Год назад
Omy arihumwa koho muda mlefu mbon hakumtafuta mtto na kujitokeza mitandaon miaka yote hakumlea wala alivyo humwa hakumjari ungu mzee hapambane na hari yake
Далее
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
Просмотров 54 млн