Тёмный

KWA MARA YA KWANZA OMMY DIMPOZ AFUNGUKA YA BABA YAKE WA SUMBAWANGA “HAKUMZIKA MAMA,SINA MAPENZI NAE” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 183 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 950   
@annwanjiru8897
@annwanjiru8897 2 года назад
Umeogea ukeli kaa mimi baba mtoto wangu alikataa mtoto wangu nikiwa na miba.sasa hivi ajitokeze siwezi kubali na hiyo May God bless you
@elishajuma2615
@elishajuma2615 2 года назад
Xaxa xikaja kukusaidia kulea au nawew mtoto kaixhakua star
@lalyilaoman5800
@lalyilaoman5800 2 года назад
Tena huyo mzee chizi, haupati laana yoyote mm mtt wang hajawai hata kumuona baba yake mm ndio kila kitu anasubir kesho na kesho kutwa waje walalamike mm baba wafulan nawachukia mababa suruali
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
@@lalyilaoman5800 pole,Mimi naita madumeee misuruali haswaa
@umarwa6915
@umarwa6915 2 года назад
Ata mm
@123kerim23
@123kerim23 2 года назад
Mjifunz sasa dad zetu msipend kutegeshea wat mimba kila kitu ni makubalian ya wawil uko sik zako za hatr tumia soksi atak sepa mtakuw masing parent wa kutosh kam hamjitambui..
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 2 года назад
Ommy muombee baba yako aishi maisha marefu ili azidi kuona mafanikio yako na iwe fundisho kwa wengine
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 2 года назад
Ndio maana kasema ana muheshimu sana
@sauda1236
@sauda1236 2 года назад
Pole Kaka
@HellenRanny
@HellenRanny 2 года назад
Kwa yeyote anaeona kama OMMY anakosea, trust me hajavaa viatu vyake pindi alipokua anapitia ugumu wa maisha..cz am sure if u do sidhan km kuna mtu angekaa upande wa baba mtu!!!🥺🥺🥺 🙏🏾Tusiwe wepesi kuJUDGE na kumkandamiza mtt kusamehe au kumuhudumia mzaz wake cz nobody knows a story behind maisha ya kutelekezwa!! 🙇🏽‍♀️I can relate ndomana namuelewa Dimpoz.. “THE STRUGGLE IS REAL!!!!🙌🏿” Acheni tu..🤦🏽‍♀️
@biggysantos4903
@biggysantos4903 2 года назад
Especially siku alimppoteza mamake alafu hakupata hata pole kutoka kwa baba!!! you feel like dunia imeisha!
@restitutorcharles4253
@restitutorcharles4253 2 года назад
Ni kweli kbx jmn unakuta baba anaombwa tu ht kumhudumia mtt anakujibu anavyojua
@lgdnce8309
@lgdnce8309 2 года назад
upo saiii hata mm iyo imenitokea
@kallandoshija5121
@kallandoshija5121 2 года назад
Msamaha ni kila kitu kwa maisha yake
@kelvinmasele9008
@kelvinmasele9008 2 года назад
P
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 2 года назад
Wa llahi 😭 dimpozy tupo pamoja 🤝 Sana kakangu,na nimekupenda buree 🥰wa nataka waume hii iwe dawa kwa waume wote
@makoledukani6425
@makoledukani6425 2 года назад
Nikwel
@husnasamdia4176
@husnasamdia4176 2 года назад
Alhamdulilla, Mimi nimelea mtoto wangu ,ikiwa na mimba aliambiwa ukinitaja nitakuwa,basi nimelea mtoto wangu, kwakweli nashukuru mwenyenzi Mungu,Leo hii mwanangu ananipenda
@elizabethmwalukomo9949
@elizabethmwalukomo9949 2 года назад
Wazazi upande wa wanaume mjifunze hapa jamani,, Wazazi kama hawa wapo wengi sana,, ukijua kuzaa jua na kulea watoto bila kubagua,FUNZO HILO. Pole sana Ommy I wish angekuwepo mama yako aenjoy maisha😪
@somji_tz5389
@somji_tz5389 2 года назад
Mungu Anizidishie Kipato.. Kamwe Siji Kutelekeza Watoto Wangu.. Watoto Ndiyo Ndugu Wa Ukweli... Ommy Amkazie Huyo Dingi Mpaka Mwisho..
@Baby-ps3xk
@Baby-ps3xk 2 года назад
Story yako ommy ni kama ya mwanangu mungu akusimamie kwa kila japo mkatae saba mara sabini
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 года назад
Pole sana Ommy Dimpoz wahenga walisema Fainali Uzeeni.....alidhani atakufa mapema Mungu kataka ayaone Matunda yako...Relax Happy birthday to U darling.
@deboraadolfu4011
@deboraadolfu4011 2 года назад
Najiulizaga kila siku mzazi mwenzangu aliniambia hataki mtoto wa kike kwa mdomo wake na kwa vitendo hajawahi kumhudumia Toka mimba mpaka Leo hajui anaitwa nani hajui anaishi wapi miakq kumi na mitano sasa namwomba Mungu tu anikuzie asome amche Mwenyezi Mungu awe na maisha mazur na mwisho akifanikiwa kumwona baba yake amuulize kwa nini alisema hataki mtoto wa kike kwa nn hakumtunza kwa nn hakua anajua hata jina lake na kwa nn sasa amwite baba ?
@nurukiwia93
@nurukiwia93 2 года назад
pole tupo wengi mama
@mamananga2849
@mamananga2849 2 года назад
Khaaaaa mawazo yake tasa kweli
@reganshao
@reganshao 2 года назад
Dah ! Natamani nikufaham zaid lakin basi tu dada yangu ,pole sana , mtumaini Mungu kila wakati na usiongee chochote kuhusu huyo mwanaume nyamaza tu ,kuna siri kubwa katika kunyamaza ,hakika inaumiza ila we nyamaza tu
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Utasikia na yeye analalamika mtoto kamkataa
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 2 года назад
itakusaidia nini ?
@katetejoseph7290
@katetejoseph7290 2 года назад
Safi sanaaaa Ommy, kila mtu apambane n hali yake...
@evajoseph2491
@evajoseph2491 2 года назад
Mwijaku anatabia za hovyo sana
@sherryeverest2522
@sherryeverest2522 2 года назад
Ommy pole sana watoto wengi mnoo wanapitia hayo maisha wanaume wengi awapendi majukumu wanapenda ule muda wa kustaregeshana baada hapo wanasubiri wasikie mtoto wako ni mtu flan anaingiza mkwanja hapo ndipo anapotaka kuwa baba Wanaume tambuen ile mimba unayoikataa au yule mtoto unamtelekeza na kumkimbia ipo siku utatamani utambulike kupitia jina lake
@dinnahsamwel9607
@dinnahsamwel9607 2 года назад
Well said jamani 🥺 Mungu anipe umri mrefu nimlee mwanangu Imani♥️🙏
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 2 года назад
Amiin sote ln Sha Allahu
@dinnahsamwel9607
@dinnahsamwel9607 2 года назад
🙏🙏
@mwalimumasoudy4699
@mwalimumasoudy4699 2 года назад
Ameen
@itNeza
@itNeza 2 года назад
Ommy Big Up Mafunzo Haya tena yanatufunza Sisi Vijana. ( Nipo na Wewe 100% ) ❤️✅☑️
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 года назад
Duh...hiii ni fact tupu I say...wababa tunafeli wapi kushindwa kuwashughulikia watoto zetu na wakati tumekula raha na mama zao kitanda kimoja then tunawaachia wamama wanateseka maskini na kudhalilika mitaani....Ila pia kijana OMY umeongea point kwny uislamu mtoto wa nje ya ndoa sio wa baba na hawarithiani hawa..So hili la kukutupa na kuzaa nje ya ndoa inatosha kumuwacha na yeye akala nyota ya jiwe....Imeisha hiyo iwe funzo kwa mababa wengine...I swear ya kwamba ntakula, kuvaa, kuishi na kulala na wanangu mpaka roho yangu itapochukuliwa...Love u my children.
@eugeniaevarist1697
@eugeniaevarist1697 2 года назад
Kuwa baba sio kuwa na watoto, kuwa baba ni kuwajibika kwa wototo. Ommy D big up brother. Hakuna laana yeyote itakayokupata kutoka kwa mtu ambaye hakuwajibika
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 года назад
Anatakiwa kusamehe
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Kwanza anayetoa laana ni mungu si binadamu
@aishajuma18
@aishajuma18 2 года назад
Yana watu banah wanaona rahisi sana kusamehe sijui wao wangeweza kusamehe gafra gafra tu
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 года назад
Sana,na baba ana zambi itakompata kumtenga omi,maana siwa alali yake,zambi itabakia kwenye uzinifutu
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 года назад
@@ahz6907 nakwanza amusu kwasababu si baba yake,yani omi kapatikana nnje yandoa uslam,ndounavyo sema mtoto wannje yandoa ni wamama, siwa baba duniani mbaka fil akhera
@petersimba3663
@petersimba3663 2 года назад
Pole sana ommy dimpoz mungu alikunyanyua wewe kwasb baba yak alimsaliti vibay sana mama yak we usijl hakuna laana itakupat mungu yuko na ww ndo mana uko juu
@samwelizetii4479
@samwelizetii4479 2 года назад
Nimekubali Sana broo tumetelekezwa wengi saivi maisha safi hata Mimi natamani Sana babayangu anitafute
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 2 года назад
Mmmmh Mzee umeongeaa kiumeee🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥 asa Mwijaku nae wakuumiza kichwaa Akili hamnaa yulee
@erickjmgema3923
@erickjmgema3923 2 года назад
Mwijaku siku zote uwa ni mnafiki..sasa kama alikuwa ana jua hayo yote ali yaonyesha ya nini..ni kweli ata mimi baba yangu alini chukia ivyo ivyo ommy kama wewe..we piga kazi mungu ata kusimamia..
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 2 года назад
Mujaku katusaidia hadi tukajuwa stori hiyo
@kadilamore802
@kadilamore802 2 года назад
Mwijaku mjinga..mnafiki mnafiki mnafiki tena
@nurukidakule9468
@nurukidakule9468 Год назад
Barikiwa kaka sana, Mungu akutunze tu, Mungu HUWA ni wa huruma, hatuchukulii kama wanadamu wanavyotuchukulia, ukionekana ni wa nini leo, kesho thamani YAKO itaonekana
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 года назад
Safi sana Ommy! Ungekuwa maskini acngekutafuta.
@mtausi6995
@mtausi6995 2 года назад
Kukosea kupo na kusamehe kupo,Achana na mitandao Omary msamehe baba yako alijikwaa na huna mzazi mwengine ebu rudisha upendo huyo ndio mzazi wako aliebaki mpendw maisha yaendelee .Hivi ndivyo pepo inavyotafutwa maneno ya watu yasikuvuruge. Nakushauri msamehe baba alafu utaona maisha yako yatavyonyooka zaidi
@bigdad1816
@bigdad1816 2 года назад
Well said Brother msamehe mzee wako sisi wote hapana duniani sisi wote ni wapita njia mimi mwenyewe Baba yangu Mungu hamrehemu alinitupa lakini nilipofanikiwa nikamsamehe na mpaka mauti yanamkuta nilimuuguza bila kuwa na chuki moyoni wala hasira wewe endelea kupigana lakini mzee msamehe wazee wetu wa zamani wengi uelewa wao ulikuwa mdogo na mazingila waliyokulia sio kama Leo our generation ni tofauti. Pls toa hasira chuki uchungu moyoni naona wewe ni mcha Mungu so forgive him and let it go na pia epuka kujibishana kwenye mitandao. Talk to him try to educated him.
@lalyilaoman5800
@lalyilaoman5800 2 года назад
Hakuna kusamehewa ale raha yy kwa msaada upi alioutoa kwake
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Si babaake ndo mana kidini hawana uhusiano Wa baba na mtoto
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Huyo Mzee hautaji msamaha anachotaka ni msaada angekuwa anataka msamaha angekuja wakati hajafanikiwa
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 2 года назад
Exactly hii dunia tunapitaaa amsamehe
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 2 года назад
Ilaaa Mwijako has a very shallow Mind
@bettymasitsa9504
@bettymasitsa9504 2 года назад
Ommy uko sawa kabisa ❤️❤️❤️wanajitokeza wakati watoto wako sawa
@rehemabryson5101
@rehemabryson5101 2 года назад
Uko vizuri ommy,wababa kama hawa wanastahiki na kupigwa na bastla kabisa,enzi anakula bataaa alijiona maisha yotee kayapitia fainali sasa ndio anaiona uzeeni shenzi kabisa.
@zaitungosbert9495
@zaitungosbert9495 2 года назад
Dah inauma.sanaaa MUNGU nisaidie nimlee mwanangu awe na moyo kama wako nakupendaaa
@natashakindamba4351
@natashakindamba4351 2 года назад
Watu wambezi tujuwane hapa omy kasema atakula nasisi ,💞💞
@blandiblandiblandi.blandi3063
@blandiblandiblandi.blandi3063 2 года назад
Ujakosea.kaka..baba.asiye.leya.mtt.ana.mana
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 года назад
Mwijaku Ana Mambo Ya Kitoto Sana .. Anyways Utoto Ni Wa Kwake.... But ommy Yuko Sawa ,Mm Binafsi Nampenda Baba Yangu Coz Amenilea Na Kunipenda Na Mama Yangu The Same ... But Wasingefanya Hvyo Nisingekuwa Na Mapenz Nao .. Fullstop
@saraphinasahani5104
@saraphinasahani5104 2 года назад
Kama mie
@sergiopauloagostinho7322
@sergiopauloagostinho7322 2 года назад
Ommy a djakoseia amioguea visury alikua na mama bila o pendo WA Baba Sasa leu mungu ka mbariki a me pata rizik ,Sasa uyo baba anataka kudjisogueza kwa Ommy sio visury aendelee na maicha yake,Samany mimi ni Moçambicano sidjui kwandica viry lugayeno.
@mussangali1694
@mussangali1694 2 года назад
Namuunga mkono ommy dimpoz maana yaliyonikuta yanafanana na situation ya maisha niliyopitia kabisa yani wazee wetu mfumo wa hovyo sana bila kujua anayepanga maisha ni mungu na sio mwanadamu maana nakumbuka hata me toka nimezaliwa sikuwahi kupata malezi wala huduma yoyote kutoka upande wa mzazi wangu wa kiume sasa je nitakuwaje na upendo zaidi kwao
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 2 года назад
Achana nae asikuumize kichwa kula maisha alijua utakuja kuwa mwiz au alijua utkua mtu ambae haelewek Mungu anajua kuwaumbuwa watu km hao kajua utateseka ndo Kwanza Mungu anazid kukunyooshea Mm hap mjmzt mwanaume kanikataa akinambia nitoe au nitafute mwanaume mwingine sina mama Sina baba nailea mimb yang kwa tabu Sana Nina iman ipo siku CZ Allah hulipa hapahapa dunian shd ninazopitia kesh uje useme Nina mtt Wang ooh MTT Wang Aiseee 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 Allah anipe nguvu nielee MTT Wang vyema InshaAllah 🙏🏼
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 2 года назад
Asee nitafute wewe Dada, please,
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 2 года назад
@@sheckycobb5240 nakutafutaje
@bensonshukuru8181
@bensonshukuru8181 2 года назад
BigUp brooo nimekubali ndo inavyotakiwa...Mimi nakuunga mkono 👊👊
@goldengordian6835
@goldengordian6835 2 года назад
Pole sn Bro... ua not alone! Tupo wengi! Kubwa ni Kusamehe na Kumtanguliza Mungu.
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 года назад
Naomba mungu watoto wangu wajekuwa na maisha mazuri baba yao ajeaumbuke kama huyu Mzee ninavyoteseka hivi mungu Ndo anajua
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 года назад
Inshallah mungu yu pamoja nawe
@salumally926
@salumally926 2 года назад
Ommy hakuna kitu kinauma kama kuishi na mzee mmoja alafu mtu anakukimbia anakuja kujileta piga chini kula Bata tu dogo.
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 года назад
@@dotnatajoseph2620 Ameen🤲🤲
@fridamusa8152
@fridamusa8152 2 года назад
Inshallah mungu atamuumbua zaidi ya huyu
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 2 года назад
Ameen Ameen atakufanyia wepesi mmungu
@queenmollel6739
@queenmollel6739 2 года назад
Ila Ommy samehe mtendee wema japo kidogo, Mungu mwenyewe atakubariki
@stevenmwakisimba8282
@stevenmwakisimba8282 2 года назад
Umejitambua kijana dimpoz huyu mshikaji kakwama Kwann asikuite?
@fatmachambo1188
@fatmachambo1188 2 года назад
Pole sn kua n msimamu huo huo mungu azidi kukupigania inshallah kakangu
@sanurahaji5194
@sanurahaji5194 2 года назад
Mwijaku mnafiki sana na mchonganishi baba mtu mzima Hana hekma
@lailaasked3570
@lailaasked3570 2 года назад
Da inauzunisha sana Pole sana huyu mwijaku ifike mahali ajiheshimu bwana kula raha zako kaja ommy achana nae
@allysimon2800
@allysimon2800 2 года назад
Hakuna aliyesahihi katika haya maisha msamehe baba yako amejifunza.
@kadilamore802
@kadilamore802 2 года назад
Nyamaza wewe hayajakufika
@kilengagasper3924
@kilengagasper3924 Год назад
Kweli pengine angelelewa na baba now angekuwa mtu wa kawaida tu
@zipporahogembo142
@zipporahogembo142 2 года назад
Is a touching story but.. you have to forgive him manaake mahali ulipo ni kwa neema yake mwenyezi Mungu
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 года назад
SAFI SANA, WABABA NDIO WALIVYO KUKIMBIA WATOTO. IVYOIVYO
@harmonymattondo4042
@harmonymattondo4042 2 года назад
Mm Mama alinikibia na hajawahi kufanya chochote ktk maisha yangu.Hata aliposikia baba angu amefariki hakuja msibani wala hajawahi kuja kunijulia hali....
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 года назад
@@harmonymattondo4042 pole sana lakini wababa ndio wanaongoza. Pole ulipata mama mbaya
@neemalema5312
@neemalema5312 2 года назад
Tuacheni kumsema na kumlalamikia Mwijaku , Hili limetokea ni mipango ya Mungu tu kuwakumbusha wazazi wote wana wajibu wa kuwalelea watoto au mtoto. Pole Ommy
@mtonigamba8993
@mtonigamba8993 2 года назад
Mwijaku needs to be human enougj not to cross certain bounderies regardless of his profession viti vingine ni personal sio for promotion he is heartless.
@fredrickallan5437
@fredrickallan5437 2 года назад
Umeongea ukweli kaka na mwijaku anakosea sana hasitumie njia ya kutafuta ugali wake kwa kuwatumia wazazi wa aina hiyo.
@annababuya233
@annababuya233 2 года назад
Uko sahihi kabisa omy, maana wanaume wanachukulia pow sana kuwatelekeza watoto, haya ndo yanayotokea baadae, mungu akupe maisha zaidi ya hapo! Mungu pekee ndo anaratiba ya maisha ya Kila mtu
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 2 года назад
Baba yako amekosea Sana.Lkn jukumu lako kumsamehe tyu bure na kushea nae baraka alizokupa Mungu. Usihesabu makosa maana Mungu angetuhesabia makosa Yetu, kweli tusingelikuwepo Leo.Shetani alimpotosha Baba yako akakukimbia,chunga shetani huyo huyo asikupotoshe na wewe umkimbue baba yako, ,maana mbele za Mungu mtakuwa na makosa yaliyo fanana wewe na baba pia
@ibrahimmakasi4690
@ibrahimmakasi4690 2 года назад
Usirahisishe hakuna shetani hapo.... Acha mzee nae asote kama alivyosota jamaa na hata laana haipo hapo
@onetoanotherglory2024
@onetoanotherglory2024 2 года назад
Ommy Baba ni Baba analo la kukupa ,hata kama sio tajiri Amin nakuambia
@tifahhamiar8739
@tifahhamiar8739 2 года назад
Umeongea point Sana ommy..na hio iwafikie wababa kama Hao wenye roho za ubinafsi....na adhabu kwa juu Sana...yaani siwapendi na sio Sawa hata Kwa mwenyezi Mungu....sisi wote ni binadamu tunaitaji faraja na upendo niwe wa nje au wa ndani kwani mi mtoto kosa langu...hana aibu huyo mzee na wazee wote wenye tabia kama hizo
@aishafahdi8355
@aishafahdi8355 2 года назад
Safi Sanaa nakuelewa Ommy na mim nakusii simama na msimamo wako huo huo!❤️❤️👍. Wengine watajifunza
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 года назад
Itambilike hiyi Mtoto wa nje ya ndoa sio wa Haramu Haram nikile kitendo walicho fanya wazazi Hamna Mtoto Anae tambua twaja kujuwa ukubwani Mungu Atusameh pole sana kweli Inaumaa wazazi wanao telekeza watoto sio poa hakki teseka na mwanao hujuwi ya kesho 🙏😥
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 года назад
Ni kweli
@naomymbuyu3058
@naomymbuyu3058 2 года назад
Kweli umefunza kitu
@gracemrope6198
@gracemrope6198 2 года назад
Ommy umenikumbusha mbaaali sana..umenipa mawazo sàana.ila pia umenitoa machozi🤲🤲🤲 🙏🙏🙏🙏
@hidayyahharoonsulhi8911
@hidayyahharoonsulhi8911 2 года назад
Thnx bro for narrating such an inspirational story luv udea
@charlesmatesorehani5012
@charlesmatesorehani5012 2 года назад
Uko sahihi kaka Mungu akubariki kwa kauri nzuri umetowa
@African511
@African511 2 года назад
Wazee wa sasa wanafer sana,hii situation inatokea sana kwenye hii life ikiwagonga hawa wazee,ndio wanaanza kufuatilia vijana wao,wakiwa wako safi kwa uchumi,wababa badilikeni acheni mambo hizi ninyi wazee.
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 2 года назад
Hakika kaka
@mkadammkadam
@mkadammkadam 2 года назад
Pole sana Ommy Dimpose pia hongera kwa ufafanuzi wako mzuri. Ni mtihani mkubwa lakini Mwenyezi Mungu Muumba atakuongoza.
@djkayumba
@djkayumba 2 года назад
Mwijaku hanaga akili timamu huyo jamaa ni chizi mi nawambia
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 2 года назад
Ommy hupo sahii sana mpe mtaa tu huyo mzee ana mpango bro hata ukitazama maojiano ya yule mzee unatambua tu mzee yupo duniani kwaji yakuongeza idadi ya watu
@zubeirkhamisabdallah8090
@zubeirkhamisabdallah8090 2 года назад
Ila dini inakuruhusu kama ulkuwa mtoto wa nnje ya ndoa sio babako huyo mama ndio kila kitu achana nae.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 года назад
Zabeir Khamis Abdallah...Ni Dini Gani hiyo inayo elemea upande mmoja?? kuwa ukiwa mtoto wa nje ya ndoa kuwa huna baba?? na kwanini usiseme mama yake pia sio mama yake??
@mwajumayassir2251
@mwajumayassir2251 2 года назад
Dini inakataza mtoto ila zinaa inaruhusu
@abdallahally1309
@abdallahally1309 2 года назад
Umesha ommy una baya sio ww wazee Kam hao wapo wengi tu usjar
@isackmichael1571
@isackmichael1571 2 года назад
mwijaku unamamboo ya kishoga mbog
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@mwajumayassir2251 unakufuru,,,
@patrickmwambuji8284
@patrickmwambuji8284 Год назад
Acha maisha yapite lia baba ni baba Hakuna mubadala wake USIPO shukuru kwa kwa maisha uliyo pita Basi shukulu kwakuwa chanzo cha kuwepo wewe hapa duniani Maana kuja kwako hapa duniani ndio njia pekee uliyo pitia hilo nalo je utasahau Usivune maumivu ya hapa duniani Vuna UPENDO uliyo kujanao Ili uwepo sababu ya wewe kuwepo hapa ❤️❤️❤️❤️💘💘💘💘
@zainabujuma7870
@zainabujuma7870 2 года назад
Nakuelewa sana dimpozi anaekulaumu hajajuauchungu wakulelewa namam pekeyake wakati baba yupo hataki kujua majukumiyake halafu leo anajitokeza baba fulani inauma Sana napole Sana nimeumia Sana wababa wanatakiwa wajifunze kutekeleza majukumu yawatoto hata kamaunamaisha magumu kiasigani hataupendo tu wamtoto muonyeshe lakini wapi mtu unakuta tangu azaliwe hamjui baba nababa yupo kweli hivi kweli mtoto akikua wataka akutambue Kama baba
@jamilalucas5274
@jamilalucas5274 Год назад
Yani umenitonesha ommy umenitonesha kidonda changu nakuombea kwa mw/mungu uwe baba Bora kwenye kizazi chako ♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mariamone2406
@mariamone2406 2 года назад
Msiterekeze watoto hata Kama humpendi mama wa toto mtumie hata matumizi kidogo
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 года назад
Pole ommy wazaz wa hvii weng sanaa ,hata mm nkiwa na jina baba angu aitokeza anadaim mm mwanae ,duuu ntachukua mdaa kumsameheee,ila msamehee tuu kaka
@dancun217
@dancun217 2 года назад
Clouds maboya,,,,mwijaku mnafki
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 года назад
Yaani ommy unetumia hekima Sana MUNGU akusimamie tu upo sahihi kabisa
@marckione5100
@marckione5100 2 года назад
Uko sahihi ila msamehe maana hata Mungu atajitukuza juu wema wako
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 2 года назад
UMEONGEA POINT
@mammam4701
@mammam4701 2 года назад
Kabsa
@angelraphael8754
@angelraphael8754 2 года назад
Hamna kumsamehe,ili wengine wajifunze siku hizi wengi wanakimbia majukum ilighali wanajua watasamehewa.
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 2 года назад
Kusamehe kasemehe...kunatofauti kubwa ya kusamehe na kujifunza. Kusamehe ni kuponya jeraha ila kujifunza hakuna hisia za mapenzi yeyote.
@saralema4589
@saralema4589 2 года назад
Naona hujamuelewa keshakwambia kua dini yke inasema mtt wa nje ya ndoa ni mtt wa mama Sasa wewe unasema amsamehe amsamehe hyo vpi lbda?
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 года назад
kazi ya kumuadhibu baba ako ,,sio yako ommy,,niya Mungu mwenyewe,,kumbuka pepo yako ipo chini yake,,, sisi watoto tunapaswa kuwa samehe wazazi wetu,,hatakama walitukosea sana,,lakini wao ndio chanzo cha uhai wetu,,wana daraja kubwa sana kwenye maisha yetu,,msamehe ,na muishi mazuri,,Mungu anapendezwa na maisha ya mapatano sio ugomvi,,mna mpa shetani nguvu na kuwa vuruga familia nzima ,,nakusihi sana ommy,,msamehe baba ako
@salmaadil7122
@salmaadil7122 2 года назад
Kwa dini yetu yakiislam huyo sio baba yako nawala humrithi wala hakurithi chochote kama ww umezaliwa nje ya ndoa...so upo sahihi tu wala huna dhambi broo ishi maisha yako...na jitahid umfanyie sadaka mamaako zitamfikia huko aliko nakumueka pahala pazuri.ammin
@bintik2311
@bintik2311 2 года назад
Salma nimependa ushauri wk.Safi.Allah akulipe
@Sheba4651
@Sheba4651 2 года назад
Bila shaka yupo sahihi. Si babake.
@user-rv2zz2wh3k
@user-rv2zz2wh3k 9 месяцев назад
Pole sana mpenz allhah aendelee kukusapot inshallhah❤
@machachehardware5975
@machachehardware5975 2 года назад
Hapana mzee kwa jinsi alivyo si kwamba anashida sana. Mahitaji yake anakidhi mbona yuko vizuri anavyoonekana cha msingi amsamehe mzee wake maisha yaendelee kuna mengi katika ndoa
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 2 года назад
Huyo Mzee mpenda kitonga, Mzee wa mjini
@anastaziajoseph7682
@anastaziajoseph7682 2 года назад
Huyu mwijaku ni kichaa.hajuagi hata kuwa kuna mapito katika maisha ya watu wengine
@sanaayetu4615
@sanaayetu4615 2 года назад
Omyy dimpoz brother,!! Nakubali ulichokiongea nifact na ni point sana !! Wew pekeeako ndiye unayejua maisha uliyo yapitia kaka lakini ikumbukwe tuuh!! Hata kwenye kitabu cha Allah inajulikana kuwa ndie baba alie kutaa kiunoni mwake, haina budi kumweshu nakusamehe yote fadhila zitatoka kwa Mungu kakaangu mfanyie kheri baba ako kwakumshukuru kwanamna ya kukuleta duniani broo Nakuomba mpe fadhila ata kidogo coz ni baba mzazi uyo kula nae meza moja mwonyeshe upendo nayeye ndiye alie mpa furaha marehem mamaako kabula ya yote ayo huwez jua season behind ila muone ni mzazi roho ya kisasi kwenye damu yako usithubutu kurehemu Ndo ibaada kuu utamwambia nin Allah ikiwa kwa baba umesema Nooh!! 🙏🙏🙏 Naomba huu ujumbe umfikie ommy kwanamna yeyote please@mirady Ayotv
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 2 года назад
Mh! Mungu anisamehe
@abdallahathman8306
@abdallahathman8306 2 года назад
Sio rahis kam unavodhan alaf ksheria mtoto wa nje ya ndoa hatambulk kidin yaan:baba hawez kumrth mtoto wala mtoto hawez kumrth baba kwahyo ksheria ya din hatambulk mtoto ni wamama kam ni wa nje yand0a
@alicembulumi6903
@alicembulumi6903 2 года назад
sio wewe tu ommy ata sio wewe tu wengine baba walitukataa mpk mzaz kafa awakukubali kbs mungu anawaona wababa wote wanao kataa watto
@zainasalum1110
@zainasalum1110 2 года назад
Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama kwahyo usiwe na wasiwasi upo sahihi
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 2 года назад
Wasitokee mashehe waje wamuambie Dimpoz anakosea Kama Dini yenu tu inaagiza hivyo.
@stellakagemlo8095
@stellakagemlo8095 2 года назад
Kumbe hata alipokuwa anaumwa ommy baba hakuonekana .inasikitisha sn
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 года назад
Yeah
@angelinaomare9015
@angelinaomare9015 2 года назад
You are right…Mzazi kamili ni ule aliekulea…haijalishi Ni Baba wa Kambo au jamii…Wazazi wengi sana wamezoea kutekeleza watoto wao wanasahau Mungu Ndio anampa Mwanadamu uhai
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 года назад
STORY Yako na Yangu hazitofautiani sana.
@omarymakota8252
@omarymakota8252 2 года назад
Yaan na me
@lipulifreightforwarders1054
@lipulifreightforwarders1054 2 года назад
tofaut ye kapga pcha na ronaldo
@BigfarryG77
@BigfarryG77 2 года назад
Hatuishi maisha ya milele duniani, na tunafundishwa kusamehe ili nasisi Mola wetu atusamehe madhambi yetu maana hakuna mkamilifu chini ya jua, bora usamehe moyo ubaki na amani kwa huna deni
@Leesr-hp7yh
@Leesr-hp7yh 2 года назад
Umenena vema Faraja. Msamaha ni ibada muhimu sana. Hahuna asiyekosea. Mzazi atabaki kuwa mzazi tu hata akiwa na mapungufu makubwa kiasi gani.
@bahatikyusa8864
@bahatikyusa8864 2 года назад
Story yako ni kama ya mwanangu babaake arimkataa tangia yupo tumboni mpaka kazariwa bado anamkataa sasa anaumri wa miaka kumi na 2 napambana nae mwenyewe mungu yupo na hajawahi kutuacha
@simbaboymawe435
@simbaboymawe435 2 года назад
Umalay wenu pia nao unachangia akuna chiz akatae mtot kama hamkua na migogoro ya fumaniz kweny mahusian
@allyrashid3732
@allyrashid3732 2 года назад
@@simbaboymawe435 yaan sababu za mtoto kukataliwa hawasemagi,kazi yao kulalamika tu ht ukweli wa jambo kasababisha yeye
@Sheba4651
@Sheba4651 2 года назад
@Bahati Kyusa Huyo mwanaume alikuowa ama mlikutana guest tu. Sisi wanaume watoto wa short time huwa tunajua wana mababa hata mia, ukiwa uliolewa tena unatekelezwa hapo nakupa pole.
@michaelmotika5250
@michaelmotika5250 2 года назад
Mwijaku hajitambui mnafiki Sana na yeye amuo yeshe baba yake!
@suleymanally1465
@suleymanally1465 2 года назад
Mwijaku uchale umezidi mpaka unakuwa bwege, hicho unachokifanya sio sfa Bali unamtia unyonge dimpoz kwa kutaka kwako misifa, na wote wenye akili timamu tumekudharau mnoo
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed 2 года назад
NAKU-SUPPORT 100% OMMY DIMPOZ HUYO MZEE ACHANA NAE KABISA KM ULIVOSEMA KIDINI KWANZA SIO HATA BABA YAKO. HUMRITHI WALA YY HAKURITHI ACHANA NAE…….
@fatimamv2723
@fatimamv2723 2 года назад
We are the same mm pia simjui babayng alinikataaa inauma sn 🥲
@hamed_nassoro
@hamed_nassoro 2 года назад
Pole sana fatima
@fatimamv2723
@fatimamv2723 2 года назад
@@hamed_nassoro Asante ndo hivyo nmeshakuwa unajua watoto w kukataliwa ndo wengi wao ufanikiwa mm sai hata babangu atokee nitamwambia cjui
@asiaidd8813
@asiaidd8813 2 года назад
Wewe endelea na maisha yako Kaka,Ila mwijaku achana nae yeye anatafuta pesa.pia alitaka tu asikie Hilo baba litasemaje.pambana na Hali yako.
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 года назад
Wanaume wa kibongo wengi waho wanaroho mbaya wakisha gombana na mama watto wao wanaweka chuki mbaka kwa watto wanawasusa sio vzr mjue mtto unaemtelekeza kesho mungu anamuinua kuriko hao watto hunaowapenda kwa muda huo,sisi wa mama turiochiwa watto tunaptia mengi sana wababa wengi wapo ivyo wanakimbia majukum kwa kigezo atanitafuta tu sasa bola mnavyo wakomesha ivyo ivyo my bro nimefurai sana urivyo toa ushauri kwa waze wanaokimbia majukum mtto akikuwa hanajifanya ndio vidume na.ndio baba?
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
We hao sio wa bongo wakigoma
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 2 года назад
Nakama unahakika mama alikuambia yeye ndo baba yako lakini hakuleta matumizi basi wewe mjibu baba yako kea matusi ya tumtunza hadi aone aibu ukimtunza vzr hayo ndo matusi yanayomfaa baba yako cyo kumkana, wewe ushakua na ni meanaume je hujui vitimbi vya wanawake? bahati nzuri naona kama una uweleo kdg wa kini japo shetani kakuganda.
@mubarakatwaha7776
@mubarakatwaha7776 2 года назад
Hayo maisha tunayo wengi lkn tulisamehe kwa sababu mama zetu walituasa kusamehe, halafu ktk maisha yako Kama umeweza kutengeneza watu na wakakuthamini, na niwengi kuliko baba yako basi wanatosha kuwa baba zako, acha kisasi binaadamu tunakasoro nyingi sana, na uisilamu hauna deni ktk watoto wa aina zetu.
@selestinemchome7154
@selestinemchome7154 2 года назад
Mambo ni mengi kwa ground,sema tu maza katangulia mbele za haki so hatujui ukweli,unawezakuta hata mama alimwambiaga huyu sio mwanao..ndio dingii akala kona
@zainabumsafir1182
@zainabumsafir1182 2 года назад
Swadakta maneno mzuri kbs heshima kwa mama wote duniani
@aishaaisha4082
@aishaaisha4082 2 года назад
Ommy, i must commend you for having the courage to tell off that man how life goes. What makes you a man is not the ability to make a child, it is the courage to raise it. Ommy this man could be your biological father but he was not in your journey. Dont let him trap you na sarakasi zake
@kallandoshija5121
@kallandoshija5121 2 года назад
Acha wenge wewe bila baba yake angekuwepo?? Msipende kuropokaropoka!! Heshima kwa baba lazima iwepo haijalishi ni baba wa dhambi gani!! Au unaongea kwa sababu ushabiki kuwa halisi
@gracekabuje4183
@gracekabuje4183 2 года назад
Ommy uko sahihi kibisa nakuunga mkono bat wengi tumebitia hayo maisha mungu yuko pamoja nawewe sawa na ndomana Kuna maisha mengine baada ya maisha mengine
@truthmediatz861
@truthmediatz861 Год назад
@@kallandoshija5121 huyo sio baba yake na dimpoz ni mzee aliyesaidia kurutubisha yai la mama dimpoz mataCall wewe
@kallandoshija5121
@kallandoshija5121 Год назад
@@truthmediatz861 kitanda hakizai haramu upo tena awe na heshima na adabu kwa legend wake!!
@truthmediatz861
@truthmediatz861 Год назад
@@kallandoshija5121 kitanda cha nyoko !! ndo alishindwa ata kumzika mzaz mwenzie ! Oky hakua mkewe hamhusu , ata kumpa pole mwanae hakueza !! akala bati mazima ! uyo mzee ni kuma tu hakuna cha Legend ni kuma !!
@ayubuomondi4911
@ayubuomondi4911 Год назад
Sijui nikupe soda ya baridi sijui nikupe hongera kiasi gani big up ommy I trust u
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 года назад
Vizuri omary achana nae mtt wa nnje ya ndoa ni mtt wa mama
@yfhff5268
@yfhff5268 2 года назад
Safi sana ommy dimpoz endelea na maisha yako mazuri hakuna laana yoyote itakayo kupata kwa kumkataa baba alie kutelekezw ukiwa mdogo.kwanini mwinjanku asimchukue km baba wa ziada amsaidie.
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 года назад
Ujakosea nikweli
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 2 года назад
Mwijaku anadhalilisha sana watu jmn. Halafu nikasikia watangazaji wa Leo tena wakimsifia eti amefanya vzr huko Sumbawanga.dah
@rehemamshiko6753
@rehemamshiko6753 2 года назад
Umeongea vizuri sana ommy kwakweri
@clementbulabo7771
@clementbulabo7771 Год назад
Kizazi hiki Mungu atusaidie mzazi ni mzazi tuu hatakama hakutoa hata mia kwako hizo ni bengu zake umetoka kiunoni mwake ujajileta duniani nawala usihisi kama unamukomoa kusema asiwe ukaribu nawewe mari tutaziacha hapa hapa duniani hatukuja na vitu hivyo nivitu vya kupita ila mzazi hapiti samahani ya mzazi iko pare pare hatakama alitaka kukua ukapona ila itabaki kuwa mzazi wako tuu nawaote mnao sapot mtu kutengana na baba yake fikirini kwa mara nyingine mzazi ni mzazi tuu
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 года назад
Ommy pole sana huyo mzee hana wema inauma sana
@latifaalsh5421
@latifaalsh5421 2 года назад
Yani ommiy wewe hiyo story yako ni Mimi kabisa kinaga ubanga hata mimi baba angu Sina mapenzi naye hata chembe Maan nimeteseka na mama angu hadi leo bado mungu ni mwema na dua la kuku halimpati mwewe dayma acha atangaze Lakin Allah ndo kinga yetu
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 года назад
Sahau kuhusu hayo, kijana samehe na maisha yaendelee
@fralex_1276
@fralex_1276 2 года назад
Mwinjaku kayataka yote haya...SALUTE kwa dimpozi...
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Mwijaku mie naona yupo sawa Sasa tungepata wapi ubuyu
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 года назад
Wababa wanajisahau Sana wanaona ya leo ya kesho hawayaon mungu akutie nguvu ommy
@winny973
@winny973 2 года назад
Ni kweli namjua huyo mzee tena huwa anajitangaza kabisa yeye ni baba wa ommy dimpoz, anajisifu balaa na bajaji yake pale sumbawanga mjini
@najmathiney65
@najmathiney65 2 года назад
on point kaka uko sawa nakupenda sana bro
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Halafu mzee yupo vizuri tu na Wala hajalalamika kama mwanae hamuhidumii na Wala hajasema kama kakataliwa na mwanae hajasema hayo Leo Omy umepatikana mana Huwa unapenda kuyavalia njuga mambo ya wenzio.
@rehemakasebele4232
@rehemakasebele4232 Год назад
Naikumbuka nyimbo yako ya mama ulivyolia kwa uchungu kumbe ilikuwa kweli huna mama duu pole mzee
Далее
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 192 тыс.