Тёмный

EXCLUSIVE: DODOMA KAMA ULAYA STAND MPYA KAMA AIRPORT YASHIKA NAMBA 1 TANZANIA, INA KANISA NA MSIKITI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 538 тыс.
50% 1

#millardayoUPDATES #DodomaBusSTAND

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@AhmadHassan-hx6oh
@AhmadHassan-hx6oh 4 года назад
Kama unataka rais wetu aendelee kuongoza nchi hata baada muhula wa pili kuisha,gonga like hapa
@gabrielgodwin7465
@gabrielgodwin7465 4 года назад
Atake asitake Ataongeza muda
@bunayamgonjwa4436
@bunayamgonjwa4436 4 года назад
Inafaa ktk Sheria ya Uislam kumuombea Dua Mtawala ili atengemae, kwan Rais akitengemaa ndo Raia pia wanatengemaa
@partnersah8802
@partnersah8802 4 года назад
@@bunayamgonjwa4436 amen
@jackmichael1953
@jackmichael1953 4 года назад
habari mimi naona huyu jpm akimaliza awamu yake ya pili aongoze milele masai dodoma
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 4 года назад
Ni vyema akaongezewa muda ili Tanzania iwe Kama ulaya
@yohanamaulid9493
@yohanamaulid9493 4 года назад
Kama ulaya hivi duh?! Tanzania bila Mh.Magufuli hakuna kitu kwakweli,wanaosema Magufuli aendelee hadi miaka 15 mbele gonga like yako hapa tutambuane.
@jofreywilson5878
@jofreywilson5878 4 года назад
aendere miaka 20
@jofreywilson5878
@jofreywilson5878 4 года назад
nataman kuja kupaona sema ivi gesiti bei gan etikaka
@herielstephenmsanga
@herielstephenmsanga 4 года назад
Naomba ni comment japo sio kwa ubaya maana sipo upande wowote ila tujiulize suala la msingi kwa ukubwa huo ilo jengo na hali iliyo mtaani wakina nani watapanga kufanya biashara.?? Kwa maana tunaona huku mtaani hasa Dar es Salaam, Mwanza na Arusha majengo mengi mapya kwa sasa hayana Wapangaji zadii ni mabango ya "TO LET CALL ....." sasa tujiulize kama hayapati wapangaji faida yake inarudi vp na lini.?? NARUDIA NIMEULIZA IN GOOD SENSE SO NAOMBA MAJIBU IN GOOD SENSE NO MATUSII
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 года назад
Mm nipo hapa ni aendelee tu kwa kweli
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Rip mungu ampe shufaa
@fitcyprian9784
@fitcyprian9784 4 года назад
Really Tanzania mko kwenye another level about maendeleo
@munamamirisho2466
@munamamirisho2466 4 года назад
Wazi
@danielmkinga4231
@danielmkinga4231 4 года назад
Kabisa bila kumumunya maneno twawakaribisheni. Tanzania inakua kwa kasi sana.
@fitcyprian9784
@fitcyprian9784 4 года назад
I see amazing work there I wish my president seek some ideas from your President
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
Fit Cyprian which president!
@fitcyprian9784
@fitcyprian9784 4 года назад
Kenya 🇰🇪 president
@MrBornleader45122
@MrBornleader45122 4 года назад
Mbona kuna station kibao za mabasi (bus) hapa U.S.A hazioni ndani kwenye hii station. TZ inasonga mbele bwana.
@swaumuswaumumshamu8239
@swaumuswaumumshamu8239 4 года назад
Wambie kaka niwakati wetu tuwe wazalendo tumepiga hatua
@josephsamwel8145
@josephsamwel8145 4 года назад
We upo kigoma sio USA
@masanjadeogratius7247
@masanjadeogratius7247 4 года назад
Hata lifanyike zuri gani hamtaweza kusifia mpaka Yesu Arudi
@MYCYOBEL
@MYCYOBEL 4 года назад
@@masanjadeogratius7247 Haya yesu akirudi watampiga mawe, hiyo ndio akili ya watu walio na akili hasi
@MrBornleader45122
@MrBornleader45122 4 года назад
joseph samwel Daaah kumbe? Nilikuwa sijui ndugu yangu. Haya Kigoma sehemu gani naishi?
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 4 года назад
Ma sha Allah Rais wetu Allah ambariki na azidi kumuongoza Tanzania kama Ulaya inawezekana
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 4 года назад
Tunamshukuru Mungu kwa raisi wetu ila wtz twapaswa kujipongeza maana hizo ni kodi zetu. Mungu apewe sifa zote kwa kutuwezesha sote
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
WAKO SIO WETU
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 4 года назад
@@sponsor7882 Pole
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
Hadija Salum kwa
@HASASON
@HASASON 4 года назад
@@sponsor7882 kunywa sumu
@wanjemulina3423
@wanjemulina3423 4 года назад
If we can have presidents like Magufuli in all Africa we will not be called fools. From KE
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 года назад
Hakuna ambae angeleta dharau na Afrika wngeshika adabu.
@aquinataagonga5427
@aquinataagonga5427 4 года назад
Thank you my sister. Iam just mesmerized
@adindamangira7196
@adindamangira7196 4 года назад
That's true.
@hersonlawrence4279
@hersonlawrence4279 4 года назад
For sure!!!!!
@rabiusmagafu5056
@rabiusmagafu5056 4 года назад
Well said
@vyuguruzumwangumwereka
@vyuguruzumwangumwereka 4 года назад
I'm proud of the current development of #Tanzania...long live #JohnPombeJosephMagufuli...Love from #Rwanda
@adindamangira7196
@adindamangira7196 4 года назад
Proud of all Africans who love Africa
@ambrosdavid4484
@ambrosdavid4484 4 года назад
Milad wewe janjanja sana that why Tv yako inapedwa sana tz, mm mwenyewe nakukubali mzee baba.
@munnahali349
@munnahali349 4 года назад
Mashallah
@frankd1156
@frankd1156 4 года назад
Dodoma is Dodoma....why compare Dodoma with Europe you slaves?acheni mambo ya fikra za kijinga pumbavu..
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 года назад
we ndo mtumwa wa fikra mimi kwenyewe nipple Europe lakini Pumbavu Tanzania is developing fast utake usitake. kama hutaki kunywa sumu ufe
@frankd1156
@frankd1156 4 года назад
@@ernestsinje8693 wewe ndio mwehu kabisa...hujaelewa nilichosema.Go re-read again.
@danielmoses2244
@danielmoses2244 4 года назад
@@frankd1156 *re-read again* ndo nini?
@salummpala4176
@salummpala4176 4 года назад
Amini usiamin kila mtanzania Anaetumia Smartphone Lazma Millard Ayo Uchukue mb zake Mana duh upo 🔥
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Moja wapo mm aisee na mkubali sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
Asia Juma ivoh!
@EddazariaMsulwa
@EddazariaMsulwa 4 года назад
Tuacheni unafki raisi Magufuli amefanya kazi kubwa sana kwenye hii nchi
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Sana yani ata akaye milele kama wanavyo tawala masulutani
@nancyg8664
@nancyg8664 4 года назад
Sana yan
@samsonmshana7965
@samsonmshana7965 4 года назад
Huyu ndiye rais wakuigwa duniani anafaa aongoze Kama nyerere mpaka watz tumpate Kama yeye bigup mzee magu
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 4 года назад
StoryZaEddy tz bahati mbaya wapo wanaopinga.
@devotawaitara2333
@devotawaitara2333 4 года назад
Hata mm Naona hakika
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 4 года назад
Ah! I'm just crying for happy,be blessed JPM
@yohanabillges6131
@yohanabillges6131 4 года назад
TANZANIA 🇹🇿viva Dodoma Viva Rais Magufuli 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@thegreatwise3280
@thegreatwise3280 4 года назад
THIS IS AFRICA... VERY NICE PLACES. LIKES FROM BURUNDI
@annasamo7063
@annasamo7063 4 года назад
Thank you
@NasikikaTV
@NasikikaTV 4 года назад
Kama si milad ayo nisingejua mambo mengi sana aliyofanya rais presentation ya kiwango cha juu sana ningekua raisi kwa maadili yako ningekupa kazi ikulu kama mwandishi maalum
@brightnetwork7406
@brightnetwork7406 4 года назад
Rais kajenga au ni Halmashauri ya Jiji la Dodoma limejenga kwa kodi za wananchi .....muache kuaminisha uma kila k2 kafanya rais, vingine vimefanyika mbona kabla hata hajawa Rais, Kwa mfano sisi huku Halmashauri yetu imekopa pesa kabla hata Magufuli hajawa Rais, kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za Manispaa, na sasa hivi Manispaa imependeza sana na wameweka na taa, sasa hapo utasema ni rais na wakati ni Kodi yangu nayolipa katika Halmashauri yangu,.....ndio sikatai ipo miradi ya Rais ila kwa Miradi hii inayohusu Halmashauri huwezi sema ni Raisi maana kila mtu anajua kodi au mapato ya Halmashauri hufanya kazi gani na ndio hayo maendeleo kama Zahanati, Stendi, Miundo mbinu, nk.
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 года назад
@@brightnetwork7406 mbona ilikua haitekelezeki kirahisi wakati wote wa nyuma kubali ndugu rais ndio anayepewa sifa apo angeweza kuwaacha wapige izo hela lkn anasimamia mpka halmashauri wanaona aibu kuiba hela za wananchi maana ilikua ni kawaida lkn saiz JPM amerudisha heshima hivyo huwezi zuia kusifiwa yeye ni mtu makini na nchi iko chini yake ukitaka uamini hilo alipoenda chato wakati wa Corona wapinzani walitaka wajenge hoja kua anakimbia majukum lkn alichokifanya dunia inashangaa angalia watoto kesho wote wanaendelea na masomo kwasababu ya ushujaa wake
@yusuphmayanga9478
@yusuphmayanga9478 4 года назад
Ungejua gharama ya hiyo stand wala usingethubutu kutoa comment!!
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 года назад
@@brightnetwork7406 nan anaidhinisha fedha kumbe ukizingatia mladi mkubwa ka huo km c rais ata km usipo umkubali Ukitulia bila kusema c mbaya ndg kuliko nawe kusema anatuaminisha akat tunaona, pole sanae
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 года назад
@@brightnetwork7406 pia nadhan umesahau sahv pesa yote serikali kuu afu ndo mnaletewa haya hzo unazosema za halmashauri wanakopa wap fkr ata km humpend sahv tunampenda kiongozi anaeleta vitu tukaona
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 4 года назад
Millard Ayo ni kweli standing Ya Dodma ni kama Airport Hongera Rais wetu kwa.kaizi nzuri.
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 4 года назад
Samahani simu yangu ina matatizo na alphabeti ya kiswahili.
@awadhally1052
@awadhally1052 4 года назад
Kwel nzur sana mashaallah
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 4 года назад
Kama unaamini kuwa Tanzania tukiamua tunaweza Gonga Like 👇twende pamoja
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 года назад
Kama airport.alafu umchague kiongozi wa upinzani kweli.labda niwe marehemu
@saidijafari2812
@saidijafari2812 4 года назад
Tena kiongoz wenyewe Tundu
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 4 года назад
@@saidijafari2812 😀😀😀
@pastoreliamsika9355
@pastoreliamsika9355 4 года назад
@@saidijafari2812 😂😂😂😂
@sophiajackson5001
@sophiajackson5001 4 года назад
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀usiku anapiga faru john kiongozi mwenyewe
@zaijack4719
@zaijack4719 4 года назад
@saidi jafar 🙌🙌🙌
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Serikali ya John Pombe na team yake wamefanya kazi nzuri...Waziri mkuu amekumbiza sn,tumeona Waziri Jafo akikimbiza...hongereni sn
@munawwaradam8993
@munawwaradam8993 4 года назад
Mashaallah, na sehemu ya ibaada ipo mashaallah
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 года назад
Duu mzee baba magufuri anatuletea ulaya kinoma noma magu baki saanaaaa jembe letu ni zawadi tuliopewa kutoka kwa mungu
@selector728
@selector728 4 года назад
Siyo magufuri sema magufuli
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 4 года назад
Acheni ushamba, ulaya siyo majengo ni values na investment waliyoweka ndani ya watu wao
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 года назад
@@olivabutoyi434 kwani hkuna ombaomba
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 4 года назад
@@olivabutoyi434 inaonesha una roho mbaya sana, hufai hata kuwa mama mlezi..... Mambo yako ya ulaya peleka huko ulaya hapa ni tz.... Upo?
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 года назад
@@olivabutoyi434 we ndo mshamba sio sie afu mdada unakoment pumba kakae huko ulaya
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 года назад
Asante sana AYO TV na timu nzima, JPM safiiiii, ASANTE SANAAAA JPM , SHUJAAA WETU , TANZANIA HIYOOOO !!!
@alphoncekihongosi4084
@alphoncekihongosi4084 4 года назад
Jamani watanzania naomba tuyatunze mazingira na miladi iliyo jengwa ili tuweze kufaidika nayo maana tusipo yatunza ita kuwa nisawa na kuchota maji kisimani na kumwaga baharini Mungu ibaliki Tanzania #Mungu# mubariki lais wetu asante
@ntihemukasalumbethel87
@ntihemukasalumbethel87 4 года назад
This is amaizing %% first stand bass in African
@lydialyaruu7156
@lydialyaruu7156 4 года назад
What can one say more than "Thank you God " ....it's good we can feel proud to be Tanzanian.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 года назад
My Vote it's already in your pocket my President JPM👏👏👏👏👏
@karanidicky4489
@karanidicky4489 4 года назад
Yani nawaskilia wivu wabongo..kutoka 🇰🇪, Mhe Magufuli Ako Juu i sei..yani niko Qatar 🇧🇭 lkn sijaona stendi ya mabus kama hii..
@egnomsigwa6061
@egnomsigwa6061 4 года назад
Hata huko Qatar hakuna
@alfanm.8221
@alfanm.8221 4 года назад
Ni kweli bro lazima tuwaonee gere maana walipata raisi ambaye anajali inchi yake na sio kama sisi wakenya mukiamka mapya lazima yaibuke.
@jumamchau1456
@jumamchau1456 4 года назад
Hata hapa Emirates sijaona kwa kweli
@HASASON
@HASASON 4 года назад
Sasa ukiona ya mbezi Itakuaje? Sababu ile ni balaa
@karanidicky4489
@karanidicky4489 4 года назад
@@HASASON Kwa Kweli Sitoshangaa Na Sio Siri,Kwa Kua Nafatilia Sana Khabari Za TZ Hata Kuliko Za Kwetu..Mko Kifua Mbele Kimaendeleo
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 4 года назад
Mungu ibariki Tanzania lakini pia na Nchi zingine ambazo Hadi leo hii amani imetoweka Vita kila Kona Hadi wananchi wametawanyika kila pande za dunia kama Nchi yetu ya congo Nina Imani tu siku moja utatuteulia mtumishi wako atakae ongoza Kama upendavyo nao wafurahie matunda ya Nchi Yao Kama wengine 🙏🙏🙏🙏
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Amen 🙏🏾
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 4 года назад
Ameen
@shubemponda5470
@shubemponda5470 4 года назад
Da! Imeniuma umeandika kwa hisia sana, kwakweli inaima dunia yetu sote lakini kwaajili ya wenye tamaa wanasababisha baadhi ya binaadamu wasione raha kuwepo duniani, wanasababisha vita kila kukicha duniani., IPO siku yataishatu Dada.
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 года назад
Amen
@mpulitv8011
@mpulitv8011 4 года назад
polen sana ipo siku mungu atawasahaulisha
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 4 года назад
Wow! Asante sana Millard Ayo kwa kupost hii clip. This should be the best in the entire continent of Africa! Kinachobaki ni watanzania kumuunga mkono mkuu JPM, aendelee kuliongoza taifa. Mungu ibariki Tanzania. This is beautiful!
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 4 года назад
Tunaoishi dodoma tugonge like hapa
@araphakilango6081
@araphakilango6081 4 года назад
iko maeneo gani
@lovenessabel2218
@lovenessabel2218 4 года назад
@@araphakilango6081 nanenane
@nawesulle3566
@nawesulle3566 4 года назад
Atar na nusu
@husnasalim5739
@husnasalim5739 4 года назад
Kama ulaya😃😃😃naipenda Tanzania yangu nampenda RAIS wangu MH JONNY POMBE MAGUFUL MUNGU akulinde akupe afya njema daima
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 года назад
Azidi kumuongoza aendelee kufanya mazuri na makubwa zaidi na zaidi, maendeleo yajae nchi zima
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 4 года назад
Ulaya hakuna anayempa raisi credit kwa kufanya wajibu wake. Kila mtu anajua ni kodi zao na zwapaswa kujenga nchi
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 4 года назад
@@olivabutoyi434 hapa sio ulaya
@aminaabbe3395
@aminaabbe3395 4 года назад
@@hadijasalum6373 saf san
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
Hadija Salum pole
@RpixProduction
@RpixProduction 4 года назад
Safi sana. Uncle Magu amefanya kazi kwakweli. Nampenda sana
@brightnetwork7406
@brightnetwork7406 4 года назад
Rais kajenga au ni Halmashauri ya Jiji la Dodoma limejenga kwa kodi za wananchi .....muache kuaminisha uma kila k2 kafanya rais, vingine vimefanyika mbona kabla hata hajawa Rais, Kwa mfano sisi huku Halmashauri yetu imekopa pesa kabla hata Magufuli hajawa Rais, kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za Manispaa, na sasa hivi Manispaa imependeza sana na wameweka na taa, sasa hapo utasema ni rais na wakati ni Kodi yangu nayolipa katika Halmashauri yangu,.....ndio sikatai ipo miradi ya Rais ila kwa Miradi hii inayohusu Halmashauri huwezi sema ni Raisi maana kila mtu anajua kodi au mapato ya Halmashauri hufanya kazi gani na ndio hayo maendeleo kama Zahanati, Stendi, Miundo mbinu, nk.
@wilyfredelisante7991
@wilyfredelisante7991 4 года назад
@@brightnetwork7406 ubishi wa bure mbona awamu nyingine hayakufanyika hizi ni juhudi za usimamizi wake thabiti kwa taifa letu
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 года назад
@@brightnetwork7406 Hata akina Daud walikua hawaendi vitani kipindi chote lkn wanajeshi wake wakishinda alikua anatambulika kua ni Daudi kashinda acha ubishi kiongozi wako ni JPM ndio sifa zinamuelekea kua watu walio chini yake wanatimiza maagizo na pia ni irani hio ya CCM kwahio usilete ubishi bila sababu Magufuli apewe miaka 20 basi Mzee wa watu anaijua Kazi ya urais kama amesomea kumbe ni kipaji tu Mungu kampa
@rehemadamas9730
@rehemadamas9730 4 года назад
Nani aliyesimamia ustuchoshe ndiyo ni pesa zetu wanainch pia mbona marais waopita walifanya faida kwenye matumbo yao wakajisahau pesa zote zikaisha ila magufuri katusimamia na wala hana tamaa na pesa wala mali katufanyia maendeleo na kasimamia ipasavyo
@egnomsigwa6061
@egnomsigwa6061 4 года назад
Kunawatu wabishi utazani dawa ya kufukiza utake usitake msimamizi wa lasilimali za watanzania ni jpm stendi ya Dodoma hakuna nyingine kwa hapa afrika
@shadowmedia7644
@shadowmedia7644 4 года назад
Kama una mkubaliiii mzee MAGUFULII MY PRESENCE NO ONE LIKE HIM IN THE WORLD GONGA LIKE
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
Halafu utasikia wajinga fulani eti wanataka kuikomboa Tanzania.. mara wanataka mabadiliko.. mabadiliko kwa wake zao.. kwa mambo haya anayofanya magufuli. Naanzaje kuhangaika na watanua mikono.. nitawafikiria JPM akiondoka madarakani.. kwa sasa nipo kwa JPM.
@tabufredmakunga4769
@tabufredmakunga4769 4 года назад
Hahaa
@kefasonmahenga2917
@kefasonmahenga2917 4 года назад
Kwel aisee watuache kwanza
@annakulanga5415
@annakulanga5415 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂eti watanua mikono khaaa atii nimecheka jamanii, mbavu zanguuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@herielstephenmsanga
@herielstephenmsanga 4 года назад
Naomba ni comment japo sio kwa ubaya maana sipo upande wowote ila tujiulize suala la msingi kwa ukubwa huo ilo jengo na hali iliyo mtaani wakina nani watapanga kufanya biashara.?? Kwa maana tunaona huku mtaani hasa Dar es Salaam, Mwanza na Arusha majengo mengi mapya kwa sasa hayana Wapangaji zadii ni mabango ya "TO LET CALL ....." sasa tujiulize kama hayapati wapangaji faida yake inarudi vp na lini.?? NARUDIA NIMEULIZA IN GOOD SENSE SO NAOMBA MAJIBU IN GOOD SENSE NO MATUSII
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
@@herielstephenmsanga kwani unajua maana ya uwekezaji? Hilo jengo siyo la siku 2, wala mwaka mmoja.. litakuchukua miaka mingi. Kwa sasa dunia ina janga la corona.. mataifa makubwa ya magharibi bado yamejifungia. Hivyo ni lazima lazima kuwepo na tatizo la kiuchumi.. mzunguko wa pesa ni lazima ushuke.. kwa sababu third world countries tunaishi kwa kutegemea mataifa ya magharibi. Hali ya corona ikipita mzunguko wa pesa utaanza kurudi km mwanzo.. uchumi utakaa vizuri.. watu wataenda kuchangamkia fursa.. watawekeza.. ajira zinapatikana.. serikali itapata kodi.
@maarifatv4778
@maarifatv4778 3 года назад
Tumepoteza mtu Makin Sana Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako mapya mh magufuli
@sautiyamwanamke5560
@sautiyamwanamke5560 4 года назад
Tanzania hoyeeeee!!! Yaani kama ulaya. Asante Kwa Rais wetu mpendwa JPM 💪
@athanacnicholauc7613
@athanacnicholauc7613 4 года назад
Nakuasalute sana mr president. Mungu akujaalie uhai uendelee kuboresha nchi yetu
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 года назад
Millard saizi hadi unaogopwa anapiga kazi kubwa sana broo,,, najikuta napata akili kama wew si mwandishi na mtangazaji
@doreenadhiambo1880
@doreenadhiambo1880 4 года назад
Airport or bus station???Am a Kenyan Hongera sana Magufuli
@dismasswai5838
@dismasswai5838 4 года назад
Bus terminal
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 года назад
Waambie hao ndugu zako wakenya wakome kutuita sisi masikini, sijui kama KE mna stand ya basi hata moja
@francescorutinwa502
@francescorutinwa502 4 года назад
Bus station in dodoma
@quanemayne7680
@quanemayne7680 3 года назад
@@rajabmnyimwa3126 my friend bus station haiwezi kuwekea food kwa table
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 года назад
hii ni ya dodoma, ya dar es salaam ikitoka itakuwa kali sanaaa. Mungu Tunakushukuru mno kwa kiongozi huyu.
@paulchilumate9465
@paulchilumate9465 4 года назад
Lile eneo tunalojenga stand yetu dar linaingia hata mara kumi kwa eneo la stand ya Dodoma
@hamisimapalala7709
@hamisimapalala7709 4 года назад
Ya dar ni Zaid na hakuna tz hiyo bajet yake tu ya hatari
@hamisimapalala7709
@hamisimapalala7709 4 года назад
Vyote hivyo stand ya dar vinajengwa
@alimsomali7163
@alimsomali7163 4 года назад
NOMA SANA HIYO AFRICA MASHARIKI NZIMA NAMBA 1
@nachina3089
@nachina3089 4 года назад
@Change Mindset 🤣🤣🤣 kabla sijasoma nilicheka sana niljua wakenya watatajwa tu hapa, yaani kama ulikuwepo
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 4 года назад
@Change Mindset kenya awanaga stendi naonaga kama seemu zenye masoko ivii kwenye mikusanyinko iv 😁
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
@Change Mindset bila wapinzani hakuna maendeleo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 года назад
@@munarnkungu8654 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee nikweli
@kamaundirangu1833
@kamaundirangu1833 4 года назад
Njooni mtujengee kama hii Kenya
@mwinyimgawe9664
@mwinyimgawe9664 4 года назад
Asante ayo kwa kufanikisha utalii wa ndani ,,,tumeijua stand ya idodomya tukiwa sitting room
@jeccaonline7755
@jeccaonline7755 4 года назад
🤣🤣hiyo ndiyo idodomyaaa🤣🤣
@jumadaudi2583
@jumadaudi2583 4 года назад
Eti utaskia magu hajafanya lolote lisu ndy mkomboz na membe wachawi hawa mchana kweupe wenyewe hata roho zinawasuta kwa kinachoendelea tz
@husnasalim5739
@husnasalim5739 4 года назад
Sasa usie msifu MH RAIS ww nanii kwamfano kama sio mchawi
@awadhally1052
@awadhally1052 4 года назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂asie msifu Rais wetu atakuwa mchawi
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 года назад
Ni kweli ambaye hasifu jpm ni mwinzi
@azizamohamedi3161
@azizamohamedi3161 4 года назад
Acha kabisa JPM hatariii
@herielstephenmsanga
@herielstephenmsanga 4 года назад
Naomba ni comment japo sio kwa ubaya maana sipo upande wowote ila tujiulize suala la msingi kwa ukubwa huo ilo jengo na hali iliyo mtaani wakina nani watapanga kufanya biashara.?? Kwa maana tunaona huku mtaani hasa Dar es Salaam, Mwanza na Arusha majengo mengi mapya kwa sasa hayana Wapangaji zadii ni mabango ya "TO LET CALL ....." sasa tujiulize kama hayapati wapangaji faida yake inarudi vp na lini.?? NARUDIA NIMEULIZA IN GOOD SENSE SO NAOMBA MAJIBU IN GOOD SENSE NO MATUSII
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 года назад
khaa kama airport loh. Tanzania is developing fast
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 года назад
Watanzania MUNGU atupe nini tenaa ?? Au tunataka Rais wa aina gani tenaaa??? Duuuuh!!! Hii ni miaka mitano tuu. Nawaomba watanzania wenzangu wanaoipenda nchi hii tusifanye makosa October
@awadhally1052
@awadhally1052 4 года назад
Kwel kabisa ingekuwa ni Amri yangu ningependa Rais magufuli atawale mpaka afe.
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 4 года назад
Ndio maana wengi wetu tunatamani huyu kamanda atutawale maisha
@Tiner_cakes
@Tiner_cakes 4 года назад
Natamani hata hela za uchaguzi tujenge hospital tusifany uchaguz tena!
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 года назад
@@awadhally1052 Kabisaa kamandaa
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 года назад
@@eaglecrown1101 Kweli kabisaa kamanda maana hii miaka tano tuu Tanzania inashine kila kona
@gventanzania9548
@gventanzania9548 4 года назад
Hizi dozi noma sana. Dah my president JPM inatosha sasa. Maana tunapigwa back to back hatari. Tupumzishe tu. Viva JPM #2020
@johel882
@johel882 4 года назад
😂😂dozi inaendelea..tulia ww🔥😂🇹🇿
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 4 года назад
Big up sana Rais wetu JPM kwa maendeleo yasiyo na mfano ktk jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla. Kweli kabisa bila kumumunya maneno, stand ya mabasi Dodoma ni nzuri sana kama Ulaya. Hongera sana Milard Ayo kwa kutuonyesha live muonekano wa stand ya mabasi Dodoma. Natamani nikija huko nitatembelea hiyo stand pamoja na Ikulu yetu mpya ya Dodoma.
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 года назад
Jamani Rais Magufuli sio wa mchezo ana fanya mambo mazito sana . Yani ambacho nimejifunza kumbe kiongozi akiwa mzuri nchi inapona hadi korona , mashamba yanasitawi , mito nayo ni mitulivu, Ardhi inarutuba pia na maendeleo ya kutosha
@marympango9247
@marympango9247 4 года назад
Ha haaaaaaaaa @ prisca...hata wanaume wamejenga sana kipind mwanaume Yuko madarakani.
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 года назад
@@marympango9247 haahaahaaa qwel aisee nimeliona hilo pia
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
comment yako imenigusa sana Prisca. Umesema vyema
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 года назад
@@temuemanuel4671 hiyo ni fact brothervimagine marais wote waliopita wangekuwa na upendo na nchi yao na wakafanya haya anayoyafanya Rais magufuli Tanzania leo ingekuwa wapi?? Madini wanafaidi wadhawa inapendeza sana . Yani unajisikia uko kwenye nchi huru jamani
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
@@priscambwambo1030 Napenda watu wazalendo kama wewe. Tuendelee kuwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Tanzania baada ya miaka michache tutakuwa mbali sana. viongozi wa upinzani au walioko ndani ya CCM wasiokuwa na nia njema na taifa letu washughulikiwe ipasavyo. Ikiwezekana waende uhamishoni kabisaaa. Hatutaki tena siasa uchwara na za kiwizi
@tanzanian8847
@tanzanian8847 4 года назад
Allahu Akbar. Alhamdulillah Wallah Mungu ampe maisha marefu JPM JPM kiboko yao
@zainabuseif757
@zainabuseif757 4 года назад
Dah mzur ata eirpot ya ephiopia yenye bad mbaya tz ❤️
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 года назад
Kweli
@michelleemmanuel6237
@michelleemmanuel6237 4 года назад
Zile choo zao zinavyo temaga sasa 😂
@zainabuseif757
@zainabuseif757 4 года назад
@@michelleemmanuel6237 😂😂Mimi nafika pale siend choon najua natak kushuk kwa ndeg nisubr ya tz lzm niend Choo cha mule ndan ya ndeg
@mariamm2724
@mariamm2724 4 года назад
Kweli
@madahaimani1258
@madahaimani1258 4 года назад
Yah hii ndo stand ya mabasi Dodoma, stand namba 1 kwa sasa Tz nzima, tusubiri ya Dar
@jamalfauz4264
@jamalfauz4264 4 года назад
Kuna mijinga ishabonyeza dislike.. yaani hayapendi yanachokiona. Watu wa namna hii hata wakiingizwa peponi watasema Mungu huku ni pabaya hatupataki..
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 4 года назад
Wachawi kasoro vitendea kazi tu ndo hawana
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
😅😅
@furahacleo6128
@furahacleo6128 4 года назад
Wachawi hawaishi wakiisha Dunia imepita hv wasamehe tu buree
@ceciliaathanas751
@ceciliaathanas751 4 года назад
😂😂😂
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Maendeleo Hayana Chama Asante JPM kwa kutuletea Maendeleo wa Tanzania🙏
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 4 года назад
Asante ,kura zote kwa magufuri
@brightnetwork7406
@brightnetwork7406 4 года назад
Rais kajenga au ni Halmashauri ya Jiji la Dodoma limejenga kwa kodi za wananchi .....muache kuaminisha uma kila k2 kafanya rais, vingine vimefanyika mbona kabla hata hajawa Rais, Kwa mfano sisi huku Halmashauri yetu imekopa pesa kabla hata Magufuli hajawa Rais, kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za Manispaa, na sasa hivi Manispaa imependeza sana na wameweka na taa, sasa hapo utasema ni rais na wakati ni Kodi yangu nayolipa katika Halmashauri yangu,.....ndio sikatai ipo miradi ya Rais ila kwa Miradi hii inayohusu Halmashauri huwezi sema ni Raisi maana kila mtu anajua kodi au mapato ya Halmashauri hufanya kazi gani na ndio hayo maendeleo kama Zahanati, Stendi, Miundo mbinu, nk.
@shumbusho8579
@shumbusho8579 4 года назад
@@brightnetwork7406 huko halmashauri hipi iyo??? hivi tangu tupate Uhuru halmashauri zilikuwa hazikusanyi mapato????? Kwa nini mambo haya yanafanyika wakati huu??? HACHA WIVU MAGU NI JEMBE!
@nehemiaisakwisa8604
@nehemiaisakwisa8604 4 года назад
@@brightnetwork7406 wivu umekukuta uwe nawewe rais uone kama halmashauri inasikiliza watu bila kua na wito wa kua rais acha ubishi usio na sababu
@ayoubamir5797
@ayoubamir5797 4 года назад
Halmashauri sio serikali na kama ndivyo inaogozwa na viongozi wapi na wanasimama kwa niaba ya nani??
@Kingnelbo
@Kingnelbo 4 года назад
@@brightnetwork7406 uo unaitwa uchoyo wa fadhira cousin yangu ,. Usitake uwa Aminishe watu vitu ambavyo ata chizi uwezi kumuaminisha . Tume yaona mengi yalio pita kwamba izo almashauli azikuepo before .,! Tujifunze ku Eka uchama pembeni kwenye maswala ya kimaendeleo ktika taifa letu ,.nchi kibao zina tamani kua Na Rais kama ambae cc wa Tanzania mungu katugea Tumpe credit zake ili awe Na moyo wakufanya makubwa zaidi.,
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 года назад
Tanzania imebadilika sana asante Mungu kwa kutupa Raisi Mwema mwenye off ya Mungu anayejali nchi yake Mungu akubaliki sana na akuweke
@moodychanday9220
@moodychanday9220 4 года назад
Makofi kwa JPM 👏👏👏 huyu haitaji kampeni kwa kweli alichokifanya Kipo bayana
@kimwerionlinetv5574
@kimwerionlinetv5574 4 года назад
Daaaah hapa sasa naona kodi yangu inatumikaje safi sana Mr. President.
@yusrahemed21
@yusrahemed21 4 года назад
MAASHA ALLAH mzee baba yaani usinge Sema ni stend ya mabasi ninge amini ni airport WALLAH
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 года назад
Xjaonaga stend kama iyo before aisee
@floramolel4283
@floramolel4283 4 года назад
Asante Milan na rais wetu jmn vitu adim tanzania hizi
@yusrahemed21
@yusrahemed21 4 года назад
@@boylondontztz920 umeonaee,,, yaani hii haija wahi tokea,...
@josephgekone6109
@josephgekone6109 4 года назад
Mi mkenya kiukweli jpm anafanya kazi kubwa sana natamani aje kenya akue rais wetu pia
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
Tuko pamoja jirani. Natamani EAC iwe na uchumi mkubwa na itikise dunia. Tukishirikiana kwa upendo wa dhati tutaweza
@petermabiki7798
@petermabiki7798 4 года назад
Njoo uwe Raia wa Tanzania
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 4 года назад
Hakiyamungu huyu mzee aongezewe muda jamani vitu kama hivi tulijua vinawezekana ulaya tu dah apige hata miaka 20 tu jamani
@peterbayo4677
@peterbayo4677 4 года назад
Ndo maana unabii unatimia kuwa nabii hakubaliki isipokuwa kwao. Watanzania hatuoni yale yanayoonekana na mataifa mengine. Asante sana Ayo kwa kujuza umma habari za nchi yetu na yanayotendwa na Rais wetu Dkt JPM.
@thomassiruri6256
@thomassiruri6256 4 года назад
Jamani jamani nawaombeni Rais jpm akimaliza mda wake wa miaka kumi tumlazimishe hata kwa maandamano nchi nzima aendelee hata miaka 35 atake asitake ili nchi hii tufike mbali na sisi tukopeshe
@tabiafataki8917
@tabiafataki8917 4 года назад
Allah mjaalie Rais wetu amalizie ahadi zote alizo ahidi mwaka 2015 wakati wa kampen
@nginapatitabeatrice3960
@nginapatitabeatrice3960 4 года назад
This beautiful I wish Kenya government can do this
@mfaumeally1862
@mfaumeally1862 4 года назад
Njoo tz
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 года назад
Nyie mmejaaga majivuno ya kijinga tu kujifanya kila kitu mko juuu
@maryamnhussein3967
@maryamnhussein3967 4 года назад
Wooooow Hongera sana muheshimiwa magu Allah akulinde akuepushe na kila baya akujalie mwisho mwema hiv kuna haja gan yakufanya uchaguz jaman binafs magufuli tuongoze tu baba mpaka mwisho wa dunia
@naomisamatwa6690
@naomisamatwa6690 4 года назад
Jmn ni pazur sana jmn kama airport
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 года назад
Airport hapatii mguu
@martinkinene5420
@martinkinene5420 4 года назад
Hongera Rais wangu Magufuri kwakutujenge stendi nzuri ya dodoma, MUNGU akubariki JPM
@magangakiyabo3429
@magangakiyabo3429 4 года назад
Mimi nipo ufaransa yaani sijawahi ona stand ya basi huku kama hiyo yaani hongera sana Magu yaani tunajivunia kwetu stand kiboko
@slimmbaazi1452
@slimmbaazi1452 4 года назад
🤣🤣 acheni bangi nyie,......
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 4 года назад
Justine. Sikuona vizuri vyoo vya Walemavu. Samahani. Hongera sana Raisi Wetu kwa jitihada kubwa. Kwa kweli ni stendi ya ajabu. Millard Ayo ni mtangazaji mzuri. Kila la kheri.
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Na vip pia alienda atuonyeshe atujaona
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 года назад
Hivi kumbe mambo yanawezekana . Nani huyu ni Rais wetu alietukuka kwa maadili asie mbinafsi tunaona kazi yake jamani. ,Ama kweli jamani . Libarikiwe hili tumbo la huyo Mama aliemzaa huyu Rais magufuli Amlizaa hazina kubwavsana . Alizaa mtu wa Thamani kubwa . Alizaa Mfalme mwenye hekima , mcha Mungu mpenda watu wake na Taifa lake. Ninani kama Rais magufuli Tangia kuubwa Kwa Tanzania hajawahitokea kiongozi wa namna hii . Hili ni Jembe la chato . Ni mwaume pekee aliesimama kupinga ushetani wa corona duniani mana hili gonjwa lililetwa na siasa vitisho vingi ila huyu Mwanaume wa wanaume Peke yake alisimama na Mungu wake na Mungu akamsaidia . Kiongozi akiwa mcha Mungu nchi inapona . Mungu hapendi watu wanowategemea wanadamu. Nakupenda sana Rais wangu. Umeitendea Tanzania haki na watanzania . Nakushukuru sana Rais wangu Magufuli .wewe ni Rais wangu wa kweli .
@thomassiruri6256
@thomassiruri6256 4 года назад
Asante sana kwa kumpongeza Rais wetu mpendwa pongezi za dhati kabisa kutoka moyoni mwako ubarikiwe dada. Mungu ibariki Tanzania mungu mubariki Rais wetu mpendwa kipenzi cha wengi Tz jpm
@winifridarobart9014
@winifridarobart9014 3 года назад
Prisca mbwambo.hakika mungu. anawajuwa walio wake.tunakila sababu ya kumshukuru mungu, kwa kutupa kiongozi mahiri shujaa.mchapakazi.kubwa kuliko.mwenye hofu ya mungu.huyu ndo mfalme daud.mungu mlinde rais wetu.pamoja na nchi yetu.zidi ya watu.wabaya wasio itakia mema.nchi yetu.pamoja na rais.wetu...
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 года назад
@@winifridarobart9014 anina ndugu yangu Robart umeongea ukweli mtupu! Unaona na mawàzo yako ni sahihi kabisa. Me nawaambia watu hivi ! Nimezaliwa Tanzania nimekulia Tanzania najua nchi yangu vizuri . Huyu JPM ni kiongozi bora sana
@winifridarobart9014
@winifridarobart9014 3 года назад
Mbwambo.ndugu yangu.hi nchi hii niyaketu.nijukum letu kuilinda kwa nguvu zetu zote.na kupigania amanani yetu.tuwe wazalendo wa kweli.kwasababu tunaona vitu vinavyo fanyika. huko nyuma hatukuwahi.kuviona.penye ukweli uongo hujitenga.ninani km.magufuli.tuzidi kumuombea.
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 года назад
@@winifridarobart9014 Amina kaka yangu. Unajua Robert kuna watu me nawashangaa sana utazani sio wazaliwa wa Tanzania au kana kama huko nyuma hawajakuwepo. Yani nikiona mtu aneongea negativ kuhusu Rais wetu huwa nashangaa sana. Brother hukonnyuma tuliburuzwa tu. Na maskini alikuwa hana say yeyote ach ukiwa tajiri au mkubwa au hata rafiki wa mkubwa ! Unapeta? Nchi ilikuwa haina Adabu kabisa. Sasa ivi tuko sawa . Nampenda Rais magufuli anapenda watu wa hali zote. Angalia kipindi cha nyu mamantieie walivyonyanyaswa na Migambo jamani! Rais ana hofu ya Mungu. Tuzidi kumuombea sana Rais wetu.
@emmanueljames7775
@emmanueljames7775 4 года назад
Big up Mr President.., Tz tutafika pahala
@godfreymillardayoripota3002
@godfreymillardayoripota3002 4 года назад
Dahh imekaa vizur sana
@videralfred8889
@videralfred8889 3 года назад
Yaani mafisadi na wabinafsi ni watu wabaya sana sasa waliipita walishindwa kusimamia haya jamani hats kwa kidogo asante nyerere Asante Magufuli
@kulungumedia5161
@kulungumedia5161 4 года назад
Iko vizuri sana kazi nzuri 👍👍
@teresiamwende8606
@teresiamwende8606 4 года назад
Mimi n mkenya. Ila rais magufuli namkubali sana. I wish angekua n wa Kenya. Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee👍👍👍👍
@mahmoudmohamed344
@mahmoudmohamed344 4 года назад
Magufuli u are the real President.Plz come and help us Kenyans.
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 года назад
Ahsante sana mungu kwa ajiri ya Dodoma barikiwa sana JPM nakupenda sana rais wangu
@macklinadevids5670
@macklinadevids5670 4 года назад
I wish museveni can see this
@preciousnadia8525
@preciousnadia8525 4 года назад
For real...this place is twice better than Entebbe airport.
@preciousnadia8525
@preciousnadia8525 4 года назад
@Change Mindset lkn umri ndio umeenda Sasa mzee angekubali tu mtu mwengine awe raisi .. awe baba wa taifa Sasa.
@funsimple_ke3034
@funsimple_ke3034 4 года назад
uhuru ona mambo sasa
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
😁🤣😂
@TheMandela21
@TheMandela21 4 года назад
@@funsimple_ke3034 Tanzania Unforgettable
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 3 года назад
Daaaaah Serikali ya awamu ya tano keep it up kiukweli utendaji ni Wa Hali ya juu Tanzania Kama Ulaya tuuu
@africanchocolate4216
@africanchocolate4216 4 года назад
“🤩Haswa😍 👏🏾” 👇🏾 “Ndiyo inavyo takiwa namna hii 💪🏾” “🤩 Haya ndiyo maendeleo ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ali sema kwamba”; 👇🏾 “Wa Tanzania 🇹🇿 wana yataka ndani ya CCM, na waki yakosa tu, basi wata yatafuta nje ya CCM, ambavyo ni vyama vingi vya siasa” 👇🏾 “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 😍🇹🇿🦚🌴🏝🌳🥀🌹❤️” “MUNGU Ibariki Afrika 🌍, Amen 🙏🏾”
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 года назад
Kazi nzuri sana na pongezi nyingi sana kwa wote walioshiriki kufanikisha hili na Asante Mh. Rais JPM kwa uongozi thabiti unaosababisha mambo kama haya yawezekane Tz. Mtihani huu umekamilika ila mtihani mkubwa zaidi ni Matunzo "Maintenance", hii ni changamoto kubwa sana sana sana kwa nchi zetu nyingi za kiafrica, Flyover ya Tazara wajapan walikabidhi wakiacha na bustan nzuri ya majani leo ukiangalia aibu, daraja la nyerere wachina waliacha taa nzuri na nyingine za urembo leo haziwaki. So mkuregenzi wa Dodoma kwenye hiki kituo usituangushe! "Maintenance" iwe effective.
@mrishoomary9697
@mrishoomary9697 4 года назад
Aliyeona park station ya Johannesburg anipe like zangu kuwa stand hii haina tofauti na south africa
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Iiistendi kama ulaya 100 2 100 kwa magufuli blooo
@elibarikishole3359
@elibarikishole3359 4 года назад
Kweli tumepata mkombozi wa afrika mungu akubariki amen.
@jungutungaraza3179
@jungutungaraza3179 3 года назад
Millardayo dodoma iko kama ulaya ni stand Bora kabisa ktk nchi hii aina mfano
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 года назад
Kweli? Manaake Mara ya mwisho July 2019 nimepita hapo vumbi tupu! Km ndo imekuwa hivi basi hekooo🙌
@eunicegerald732
@eunicegerald732 4 года назад
Urudi upaone tenaaa kwa sasa n fire 🔥🔥🔥🔥
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 года назад
Mbali ya stend mpya wananchi wamepata ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja . Mungu azidi kumbaliki Rais Wetu Magufuli pamoja na wasaidizi wake wote.
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 4 года назад
Daaaah never natanzanian get the good president like Jonh pombe magufuri,,,, we love you our president
@salummwanyiro9418
@salummwanyiro9418 4 года назад
Safi sana kwa kweli. Kumbe kila kitu kinawezekana. Mungu aendelee kumlinda huyu mwamba Magufuli hata kama nchi itakuwa na madeni kwa kujenga hii miundombinu tupo tayari kulipa hayo madeni kwa kulipa kodi kwa hiari.
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 года назад
Mashaa Allah mola awazidishie tz
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 4 года назад
MashaAllah kweli hyu INDIGO anaimani kubwa sana kwa Mungu yaan hadi Nyumba za Ibada zipo. Kweli Nchi hii inaongozwa na Mungu. Kwani kiongozi Mkuu wa Nchi hii anamtegemea Mungu wa mbinguni na c miungu Watu.
@Hanskapella
@Hanskapella 4 года назад
Afu Atutaki Muwe Mnasema Kama Ulaya Semeni Kama Tanzania Mpya.
@jamesnambunga2778
@jamesnambunga2778 4 года назад
sahihi kaka
@kalumunaanthony4203
@kalumunaanthony4203 4 года назад
Tatizo kaka la sisi watanzania kutunza vitu atuwezagi nakupa mwaka mmoja tena ukatuonyeshe ali ya hiyo stand alie nielewa agonge like yake twende
@babkey6702
@babkey6702 4 года назад
Tanzania tupo vizur mpaka maombi
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Asante sana MillardAyo kwa kutuonyesha Maendeleo Ya Nchi yetu Mungu akubaliki na akupe Uzalendo wa hali ya juu
@subirapaul8127
@subirapaul8127 4 года назад
Mbona Russian wamemwongezea Putin mda Africa wakiongeza utaskia ditecta magu daima na milele tz juu
@irenewile
@irenewile 4 года назад
Magu 2020 to 2035
@denismugisha2
@denismugisha2 4 года назад
Yani ukisikia mijitu mijinga haijui nini hitaji lao kama taifa,.. utasikia mara oh demokrasia mara uhuru wa kujieleza. Uhuru wa kujieleza unahitajika kwa daktari na kwa mwalimu wanaokufundisha na kukutibu mengine ni unataka kutupigia kelele tu. Wanaojua hufahamu kuwa watu kama Magufuli hutokea mara chache na wakiwaona huwag'ang'ania hadi wawafikishe mbali...mfano china, Urusi nk......sisi eti demokrasia, nimesema wanatokea mara chache si kwa maana ya uadilifu bali kuwa na vitu vingi kwa wakati mmoja..mtu anaweza kuwa muadilifu asiwe jasili wa kujitoa, au asiwe mfuatliaji wa mambo akaharibiwa na wasaidizi wake Watanzania tuache ushabiki tuipende nchi yetu acheni kushikwa masikio na wazungu
@abdulramanhemed3749
@abdulramanhemed3749 4 года назад
Kwa hakika mm natokea +254 yani kwetu kumeoza kama kuna uwezekano na mm nije niwe raiya wa tz kabla kura kufanyika nataka kumpa kura yangu mzee wa buswara ..mzee wa hikma .. mzee muaminifu .. mzee anae jali watu wote kwa jumla yani siwezi maliza kama nikumsifia ... chazaidi Allah amjazi heri mzee magufuli azidi kulinda boma lake love tz
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 года назад
Yanga lounge Wataipata kileleni.Hapo ni simba lounge nasio Ndala
@selector728
@selector728 4 года назад
😜😜😜😜😜🤸
@chrisgraphics.designer4261
@chrisgraphics.designer4261 4 года назад
Unaleta mambo ya mpara kwani umeona wameandika Simba Fc hebu jiongeze Jina la Lodge linahusu mnyama ndio maana ukiona national na wengine
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 года назад
Hahahaaaa we bwenge iyo simba lounge amemaanshwa mnyama simba na sio jina la timu ya mpira
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 года назад
Simba baba laoooo.!!!!!
@denismugisha2
@denismugisha2 4 года назад
Simba, Tembo, Nyani, nk, vyote ulivyoviona humo vinamilikiwa na wananchi.....mbaf, ukijitoa ufaham na ss tunajitoa ufaham vilevile
@alleytwaibdowile1580
@alleytwaibdowile1580 4 года назад
Ebana huku ndo tulipo,wambie nchi jirani we are coming,they better get ready🔥🔥🔥
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
😋
@danielkiroka6331
@danielkiroka6331 4 года назад
Kwle kabisa madam
@khamissindilah2196
@khamissindilah2196 4 года назад
Sfi an millArdd ayo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 года назад
Daniel Kiroka kumbe ni madam
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 года назад
Nyie kumbe tatizo lenu ni Kenya? Angalieni Konza city Kenya inajenga smart city hayo yote na zaidi yatakuwepo ndani
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 4 года назад
Nimetii Magu watching from Kenya. Magu arudi tena.
@zubedaselemani6220
@zubedaselemani6220 4 года назад
Thank u neiba
@officialmologa
@officialmologa 4 года назад
Kiukweli Magufuli Ni mkorofi lakini ukorofi wake unamanufaa kwa Tanzania 😂
@jeccaonline7755
@jeccaonline7755 4 года назад
Siku zote bila kuwa makini na kutumia akili huwezi fanaya hayo yote
@evelynkente1920
@evelynkente1920 4 года назад
Mtu makini Katika Marais wote waliopita ni magufuli kura yangu na marafiki zangu wote ni za ancle magu na majembe ya bunge
@mlionea
@mlionea 4 года назад
Napenda t z na mungu azidi kumpea vyongozi wema
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 года назад
Kama ulaya jaman hongera magufuli Mm naomba magu asitoke il nchi yetu iwe kama kwa wenzetu
Далее
Apple Event - September 9
1:38:50
Просмотров 25 млн
FUJO za Mange kim@mbi Leo kwa Raisi
4:26
Просмотров 684
10 Most Beautiful African Presidential Palaces
8:41
Просмотров 907 тыс.