Тёмный

EXCLUSIVE:DR.SULLE NA MKE WAKE MPYA WAFUNGUKA SABABU ZA KUOANA/HAWA WANANITOSHA 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

#drsulle #tanzania #islaamic #health

Опубликовано:

 

6 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@NadharMohd-ek8wl
@NadharMohd-ek8wl 8 месяцев назад
Dct Asante kwa mtangazaji jasiri,Mungu awe nae Amin
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 7 месяцев назад
Kiukweli nimeipenda hii historia yao ya ndoa.Allah awape kila la kheri kwenye ndoa yenu.na awaepushie na husda
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 8 месяцев назад
Mtangazaji anajua Mashalah doctor Sule keep it up.
@husseinsalum1983
@husseinsalum1983 8 месяцев назад
Mwenye zimungu akuhifadhi docta sule nakuku bali sana
@jumakhamis226
@jumakhamis226 8 месяцев назад
Jazaka Allah khaira shekh
@azeezaya8510
@azeezaya8510 7 месяцев назад
MashaaAllah nimependa sana
@djumapiliamina1139
@djumapiliamina1139 7 месяцев назад
Mashaa Allah
@SaidiChikojo
@SaidiChikojo 8 месяцев назад
Mashallh
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 8 месяцев назад
Asante studio❤❤❤❤
@NadyaOmar-du6be
@NadyaOmar-du6be 7 месяцев назад
Shekhe sule hongera Sana lakin Kama mkeo mwambie avae hijabu na lipstick izo VP Halali au haramu na yupo macho juu kama sio mke WA shehe Mie nakukubali sana hutba zako lakin kwa hili Naona panamakosa kdogo😢
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve 8 месяцев назад
MASHAALLAH
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 7 месяцев назад
Mashallah, hongera sana shekhe 🙏
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 7 месяцев назад
Mashaallah ❤❤
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 7 месяцев назад
MASHAALLAH ALLAH AWABARIKI
@RamadhaniMwandambo-fx9sb
@RamadhaniMwandambo-fx9sb 7 месяцев назад
Asikwambie mtu kuzibadilisha raha bwana, hongera dr. Sule. Hakuna haja ya kujificha kichochoroni wakati Allah ametupa ruhsa.
@tiffusumaiya1342
@tiffusumaiya1342 7 месяцев назад
Islaah jina la mtoto wangu mashallah ❤❤❤❤
@user-gp5lc7wc8t
@user-gp5lc7wc8t 8 месяцев назад
Mashaallah
@bibieahmedseif5022
@bibieahmedseif5022 8 месяцев назад
Masha Allah Dr. .sule
@aishanuru9565
@aishanuru9565 7 месяцев назад
wake wakubwa najaribu viatu vyao havinitoshi jaman..... Allaah atuongoze sote
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 7 месяцев назад
mashallah
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 6 месяцев назад
MASHEKHE HAWA BANA ALLAHUL MUSTAAN
@matswelomphela972
@matswelomphela972 7 месяцев назад
❤❤❤❤
@msamgunda7684
@msamgunda7684 7 месяцев назад
Unajimba sana shekhe
@asiaa6573
@asiaa6573 7 месяцев назад
Alf mabrooq ikawe ndoa ya kheri sheikh ni haki yako kuowa
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 7 месяцев назад
Kuoa ni jambo la kher lkn haya mambo ya mitandao hayafai .Allah atusamehe pale tunapokosea
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 месяцев назад
Mtangazaji uko vizuri sana.
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 7 месяцев назад
Ndoa za wake wengi mmmmmh kazi IPO hapo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
@@Alexthadey-lm3ju uislam unaruhusu
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 7 месяцев назад
@@Catherine-mh8sw mmmh kwakweli wanawake wa kiislam poleni maana huo ni mtihani kwakweli
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
@@Alexthadey-lm3ju kweni wakristo hamchiti
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
@@Alexthadey-lm3ju pia watu wa bara mnaoa zaidi ya wanne na si waislam. Kweni hujuwi watu walioa wake zaidi ya mmoja na si waislam?. Au ndiyo unachuku na waislam.
@kombrashid-bn2gr
@kombrashid-bn2gr 7 месяцев назад
Mbona mambo ya ibadauyo khadija,mmebenzi kuitanua dunia2,Dr sule nahisi anakoelekea ckosasa,tumeumbwa kwaajili ya ibada
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 7 месяцев назад
Mke wa sheikh anajianika huku amejipodoa :anavyoongea t utadhani si mke wa sheikh anarembua hiyo mikono sasa kama anavyofanya kama wasichana wa 2000 alafu ni mtu mzm :kwanza mke gan wa sheikh anavaa kama hana elimu :mke wa sheikh anajisitir hata wengine waige vazi zuri :
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Acha wivu kwa mwanamke mwenzako na bado tutaowa mpaka machangudoa wa bar
@abushaddad989
@abushaddad989 Месяц назад
Mganga au shehe
@malila4582
@malila4582 7 месяцев назад
Mh! Kunamapungufu menge kwa mashekhe wetu jamani yanajitokeza kila siku
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 7 месяцев назад
Nakwambia mwenzanguu weee😊
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 7 месяцев назад
Mapungufu kama nini
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Acheni roho mbaya kwa wanawake wenzenu mtaingia jikoni kwa roho mbaya na ubinafsi tuu na wala sio dhambi zengine.Unadhani madhambi ya atakayofanya sheikh na nyie wenye chuki moyoni ipi lina uzito kwa Allah?😢😢
@asiaa6573
@asiaa6573 7 месяцев назад
Hahaha Sheikh kunifurahisha kula vyako sheikh wetu kwa raha zako
@user-by6fo2yl1u
@user-by6fo2yl1u 7 месяцев назад
jaman mtangazaji
@zuenazuena5690
@zuenazuena5690 8 месяцев назад
Shenk huo niudayuth huna wivu na mkeo
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 7 месяцев назад
Jamani nae sule shekhe!!! Mtihani
@konshazikonsha6180
@konshazikonsha6180 7 месяцев назад
Kwani Sheikh maana yake ni nini Kwa ufahamu wako wewe??🤔🤔🤔😇
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 7 месяцев назад
@@konshazikonsha6180 ndugu yangu uislam ni dini na ni mtindo wa maisha vile vile yaani Kuna utamaduni wa kiislam ,kuufuata ni lazima,Sasa kwa mtu kama sule ambaye anajinadi ni shekhe ,kiongozi wa kidini,angetakiwa angalau hata kidogo aonyeshe athari juu ya kile anachokiamini ,ili wanafunzi wake waelewe vizuri kile anachokihubiri,lakini sule kavuka mipaka katika kuacha asili yetu yaani utamaduni wetu ,yaani uislam,yeye Sele anaaminika na watu wengi muonekano wake tu na maneno yake ni athari Tosha kwa jamiii ya kiislam.aheshimu nafasi yake .
@user-wq1yq1pd2g
@user-wq1yq1pd2g 7 месяцев назад
Vizr kwa jambo hili na ndio sheria
@sophiahalfani1870
@sophiahalfani1870 7 месяцев назад
Ongera awe na roho nzur
@maase2023
@maase2023 7 месяцев назад
Sasa waislamu tunaadhirika kwa kweli dah! Katokea wapi huyu lkn mbn mtihani huu
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 7 месяцев назад
Mke wako kumitandao Ivo kweli anacheka kama sijui Yani siwaelewi vraiment
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Wanawake mna roho mbaya sana kwa wanawake wenzenu nyie kesho mtakuwa kuni kweli kweli wala mungu hajakosea kusema mtakuwa wengi motoni
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty 8 месяцев назад
Hana tofauti na mwamposa wanatafuta hela tuu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 8 месяцев назад
Ukishaisaliti akili yako lazima uropokwe tu
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 8 месяцев назад
Wivu ni kidonda na wewe tafuta ela km rahisi
@abuufarha6562
@abuufarha6562 8 месяцев назад
Nikweri hawa sure kishki mazinge niwatu wadunia na hamasatu allah atawahukumu ni wajanya wa mjinitu hao 25:37
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 месяцев назад
Hata wewe tafuta hela,mnafki,yanakuuma nn?eti mwamposa? Umekalia njaa na umbea wako.
@user-vn6so3on7z
@user-vn6so3on7z 8 месяцев назад
Kikishiki ni kweli mnamuonea tu Yule ni waukwli,100%
@maimunasalim7946
@maimunasalim7946 7 месяцев назад
Dah mtihani kwenye orodha ya mashekh huyu namtoa asaa naona kabadilika kabisa haya sio mambo ya kislamu mambo ya kipuzi kabisa hawa ndo mashekh wetu wa siku izi nambo ya nyumbani kwake anayanika mitandaoni kwenye uislamu yapo kweli haya
@miishhassn
@miishhassn 7 месяцев назад
😂😂😂haya bwana allah awalinde na awaepushe na wabaya 😂❤
@HusseinAhmad-re6nc
@HusseinAhmad-re6nc 7 месяцев назад
Docta sule usijinasibishe na ushekhe kwani unadhalilisha ushekhe Sema ww nimganga wakinyeji muogope Alla ww
@shamimusalim8719
@shamimusalim8719 7 месяцев назад
😊😊 apo kwenye shanga jaman😂
@user-fc7nn5ou7u
@user-fc7nn5ou7u 7 месяцев назад
Mtihan kwakweli japokuwa hatupaswi kumhukumu binadamu mwenzako lakn kwa hapa kwa mke huyo haya tumuombe allah maana hayuko kabisa kwenye stara ya mwanamke napia ogopa mwanamume anaeowa kwa malengo huyoo ni wakuchuma tu
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Choyo na roho mabaya t Allah yeye anajuwa zaid acheni kuropokwa naona mnataka kuingiliya maisha ya watu
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Allah ndyo mpangaji wa maisha ya waja wake
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f 7 месяцев назад
Jaman waja lipi jema kwenu mashallah da hadija hongera
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 7 месяцев назад
Ma cheikh wa Tanzania pole uyo mwenzenu ma cheikh wetu wa Burundi ongereni kutokujianika Ku mitandao
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 месяцев назад
Huyu mtangazaji ni mtoto wa sule au
@khadijaamiri6629
@khadijaamiri6629 7 месяцев назад
Hapana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
@@khadijaamiri6629 Asante sana
@user-wq1yq1pd2g
@user-wq1yq1pd2g 7 месяцев назад
Vyema kw hili
@user-yn9ch8sd3l
@user-yn9ch8sd3l 7 месяцев назад
Shekhe hiv unachowaonyesha watu ni sahihi kweli? Ukowa wap na Aya za allah
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 7 месяцев назад
Docta nilikuwa nafuraiyaga mawaidha Yako lkn ivi naona umekua tofauti un homme sage comme toi kumitandao Ayo siyo tena mafunzo inakua kuigiza kwani uyo nimke wa ajabu kuliko ulio kutwa nao uyo ni usta
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 7 месяцев назад
Ulitaka akuoe ww?
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Huyu mwanamke itakuwa anammezea mate sheikh mbona akili yake iko kwa sule.idadi imeshatimia tayari ya wake wanne ww kama unataka basi njoo nafasi huku bado ipo ya wake wawili 😂😂
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 7 месяцев назад
huu niushmba tu
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 8 месяцев назад
Tunasubiri hizo darsa
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 7 месяцев назад
Huyu si shekh
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 7 месяцев назад
Acha bana
@MaadamAisha-qx5pu
@MaadamAisha-qx5pu 7 месяцев назад
Hanaga ushekhe uhuni tu
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 7 месяцев назад
Sheikh ni wewe Dunia nzima wengine ni wahuni TU SIO.. HONGERA
@mussabuhe8881
@mussabuhe8881 7 месяцев назад
komenti zawatu bwana kwanini mna wivu sana muwacheni dokta wetu bwana kura Raha ana na wenye wivu hawa
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 8 месяцев назад
Ndo tunaambiwa wanaume wanapenda ushangingi wanawake tujiangalie unazani apo kafata nn 😥
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅
@zuhuramwanafuno1851
@zuhuramwanafuno1851 7 месяцев назад
Hahahaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 7 месяцев назад
@@zuhuramwanafuno1851 wallahi tena
@hanifa9153
@hanifa9153 7 месяцев назад
Kafata nin mbona adi kilio tena😂😂😂
@YasminYasmin-pc4po
@YasminYasmin-pc4po 7 месяцев назад
Tufunsishe dua hz na ss tuwaonbee wenza wetu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 месяца назад
Swali swala ya istikhara
@maase2023
@maase2023 7 месяцев назад
Hivi hiyu yuko sawa kichwani kweli???😊
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 7 месяцев назад
😂😂😂😂Kwa nn umeuliza hivyo shekh
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 7 месяцев назад
Maana nahisi kama unataka kufanana na Mimi vile kimawazo😊😊
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 7 месяцев назад
Zamani ilikua wanaume njo wende hikma Léo wanawake njo tunakua n'a hikma kuliko wanaume iyo ni aibu Yako ya ndani unatoa inje wake wakubwa wa sure poleni la folie commence par le reste et sa terminé par le miracle mumchunge uyo mme wenu mumuangalie vzr
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Wewe lia kwa uchungu mwachie sheikh ale kitu cha moto apate kuinjoyi unataka ale vilivyochacha na bado sio yeye tuu dunia ya sasa tutafata system hiyo hiyo tutaowa hata 7 ngoja maana nilyenae bado hajanishibisha njaa yangu
@amanamazanda1028
@amanamazanda1028 7 месяцев назад
Penzi jipya bhana cheko kama zoote,subiri jini mkata kamba aingie mmmh! 😂
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 7 месяцев назад
We wacha
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Hapo na bado tutaowa mpaka hao majini makata wakijileta hatubakishi kitu😮😮😮
@InnocentCherryDumplings-rg1tj
@InnocentCherryDumplings-rg1tj 2 месяца назад
Inaonekana uyu hadidja anarohonzuri
@abdulmuminabdullah1296
@abdulmuminabdullah1296 8 месяцев назад
Dah, watu wanaamini watu wajinga wasiyo elimu ya dini leo wamepachikwa ushaikh badala ya Kuwaita waganga, huyu ni mganga, mtu mwenye elimu ya dini anaujua uislaam kisahihi hawezi kuwa na upuuzi wa namna hii, waislaam kuna haja kubwa ya kusoma na kuijua dini yenu, muepukane kusombwa akili zenu na waganga hawa
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 7 месяцев назад
Sheikh ni wewe Dunia nzima wengine wote waganga tu au sio. HONGERA
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Acheni ubifsi na roho mbaya
@zianasalimuhivikunamchunga5224
@zianasalimuhivikunamchunga5224 7 месяцев назад
Huna jpya
@mayasamissanga3736
@mayasamissanga3736 5 месяцев назад
Aibu naona mimi Kaka
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 8 месяцев назад
Shekhe mzima ukaoe mwanamke wa mitandao ndo mwaipopo akakupa makavu live😂😂
@sisifaty9183
@sisifaty9183 7 месяцев назад
Kwani kakoseya wapi
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 7 месяцев назад
Hajakosea my
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 7 месяцев назад
Ila watu siunamaneno,Watu Wanapenda sanah Kuona Kasoroo
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 месяцев назад
Kuna mwanamke hapa jirani wako na miaka 25 na watoto 6 😂😂😂 wewe sasa hta ndoa hna
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 7 месяцев назад
Hajakosea wamesitirana.pia ndoa hupangwa na Mwenyezi Mungu
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 8 месяцев назад
Dada umebugi huyo sio mumue watu wanamjua tunakupa mwaka tu
@user-vn6so3on7z
@user-vn6so3on7z 8 месяцев назад
Kumbe ndo alivyo Huyo baba,
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
He. Kumbe sule muhuni?
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 7 месяцев назад
Mume wewe apo Dunia nzima hakuna mwingine
@aishakinia4957
@aishakinia4957 7 месяцев назад
Muacheniii a play party yake😆😆😆
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Naona maningiliya yasio wahusu kwan Allah kakoseya kuwakutanisha hakujuwa yote
@a.katunzi5815
@a.katunzi5815 7 месяцев назад
Ya nini? Ya kwenu Tu. Staha.
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 7 месяцев назад
Kumaliziana mabando tu!
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Wewe umia tuu lkn vidume tumecharuka asahivi tutaowa mpaka vikongwe
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 7 месяцев назад
Seule kitu gani kimekupata ao uko n'a problème gani imekupatatizama vzr seule uko juste ao injuste cheikh wetu
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Hakuna problem yoyote mwachie ale steki ya motomoto bhana na ww subiria zamu yako uongezewe bata wa kizungu 😂😂😂
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 7 месяцев назад
Safari tunayo kwa ustadh mkewe anatakiwa awe na hijab kamili , hiyo yake si hijab bado, tuendelee kuombeana dua dini si lelemama
@abasikinjeki3075
@abasikinjeki3075 7 месяцев назад
acha kufanya dini kama adhabu anatakiwa kujistil sio hijabu kamili bhana dini haijaelekeza hvyo
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 7 месяцев назад
Hijabu unavaa weew Dunia nzima wengine wanaotembea uchi tu HONGERA
@hidayarashidi5484
@hidayarashidi5484 7 месяцев назад
Naam hii hijab sio kamili alafu kujiweka mtandaoni, ukweli unauma ndio maana wanakujibu vibaya,
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 7 месяцев назад
@@hidayarashidi5484 kweli unayosema kwasababi hawa ni walimu wetu inabidi tuwakumbishe nao ni binaadamu ndo maana mwisho nilimalizoa tuombeane dua kwa vile binaaaamu si mkamilifu na dini ya uislamu ni ya kuamrishana mema na kukataza mabaya
@shsjjdjhd9624
@shsjjdjhd9624 7 месяцев назад
Mbona mke wa shekhe kachonga nyusi hee
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 7 месяцев назад
Nakwambiaa
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 7 месяцев назад
haifai
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 7 месяцев назад
Sahii ameingia kwenye ndoa hatachonga tna
@maase2023
@maase2023 7 месяцев назад
Sulle bora rudi huko ukristo tu maana ishakuwa shabka
@aminakasim1198
@aminakasim1198 7 месяцев назад
Kwan,alikuwa mkristo
@maase2023
@maase2023 7 месяцев назад
@@aminakasim1198 nasikia alikuwa mkristo akasilimu! Huyu jamaa misifa mno mara akuonyeshe wake zake mara atangaze nyumba yake mara aonyeshe keki ya birthday ya mkewe basi ni mashaka matupu
@aminakasim1198
@aminakasim1198 7 месяцев назад
@@maase2023 aseee kweli ni mtihani na ulimbuken
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 месяца назад
​@@maase2023hakuwahi kuwa mkristo
@fareedufahamu8893
@fareedufahamu8893 2 месяца назад
Kumbe alikuwa mkristo?
@ibraoman2745
@ibraoman2745 7 месяцев назад
Shehe huyu mmmmmh ndio kaz yake kuoa na kuacha mmmmmh mambo yake anayajua mwenyewe kwakwl mola atusahem tu
@FuadHamed5804
@FuadHamed5804 7 месяцев назад
Usihukumie mwanadamu hujijui ww mwenyewe uko na wapenzi zaidi ya mmoja
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 месяца назад
Hajamuacha mtu
@rehemamlenga4937
@rehemamlenga4937 7 месяцев назад
Mke wa ngapi huyo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 месяца назад
Wa 4
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
​@@Catherine-mh8swHalafu ww unaonekana una wivu sana lkn asahivi mtakoma tutaoa mpk muzoee
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Acha umbeya ww
@user-oc5fe9vx1p
@user-oc5fe9vx1p 7 месяцев назад
Dkt sulle tunaomba bidhaa anazoziuza mkeo hadija raj zitufikie watu wa Tanzania
@missmoona4497
@missmoona4497 7 месяцев назад
Haya tushampata doctor mwaka mapya nae alikuja na kas hii hii, siku yakijitindiganya muyalete hapahapa watazamaji tumekaa paaleeee
@NadharMohd-ek8wl
@NadharMohd-ek8wl 8 месяцев назад
Dct Asante kwa mtangazaji jasiri,Mungu awe nae Amin
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 7 месяцев назад
Mke wa sheikh anajianika huku amejipodoa :anavyoongea t utadhani si mke wa sheikh anarembua hiyo mikono sasa kama anavyofanya kama wasichana wa 2000 alafu ni mtu mzm :kwanza mke gan wa sheikh anavaa kama hana elimu :mke wa sheikh anajisitir hata wengine waige vazi zuri :
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 3 месяца назад
Dawa yako na wewe uongezewe mwenzako ndio kitatulia hicho kidomo chako unaongea kama chiriku hasa hivi wanawake itabidi musaidiane kazi mumlee mwanaume bhana mmoja hatoshi kila mtu akamate kiungo chake wawili mikono na wawili miguu mambo yatakuwa sawa
Далее
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
Просмотров 83 тыс.