Kiufupi nakupenda sna Muhammad bachu kwa ajili ya Allah,Allah akuzidishie elmu uzidi kuutoa Ummat muhammad kwnye Giza hata km watu wanakuchukia ila chuki zao zisikufanye ukarud nyuma katka kuuelimsha umma wa Kiislamu,Allah ndie anaejua yaliomo Moyoni mwako.
Nimekuelewa mia fil mia shehe. Nafurahia kuongozwa na Allah nikaingia kwenye dini ya haki. Kwenye ukristo hakuna mijadala,huko ni imani potofu. Allah atuzidishie ufahamu na Insha Allah umauti utupate tukiwa waislamu.
حفظك الله يا ابن باشوا وأطال عمرك في خير ورزقك الإخلاص في القول والعمل وأسأل الله برحمته الواسعة أن يجمعنا في فردوس الأعلى مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
Allah anasema " jisaidieni katika mambo yenu kwa kusubiri na kuswali hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri. Sio kutaka msaada kwa majini . Swala na subira
Elimu hii ni pana sana shukrani sheikh kwa ufahamu huu, ninachokiona kuna mstari mwembamba sana kati ya imani na ushirikina ALLAH atuepushe na ushirikina.
@@aswabikimaro3033suluhu la yote hayo ni kujisalimisha kwa Yesu Kristo pekee. Kwa jina lake kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni BWANA (Mungu). ..wanaopinga hili ipo siku wataungama
@@celestinshayo7295 Uislam una sheria zake muhimu kusoma Quran na kuifuata,na nyie huko kanisani kumejaa mapepo kila siku yanatolewa mbona hayeshi? Majini pia kanisani yamejaa na nguvu za kiza zimejaa muhimu ni kuslimu na kusoma Quran tu na kufata sheria zote.
Nimekupenda sana kama enzi za utoto wangu nilivyokuwa nampenda Marehem Baba yako Allah s.w amuhifadhi. Ahsante sana kwa kutumia hivyo vitabu kuvunja hoja yao, lakini mimi Binafsi nilishalikataa hilo na kuwa kinyume na Witch Dr. Sule mapemaaaaaaa kwa aya tu za Quran na ufahamu wa jumla lakini pia hii inaonesha wengi katika wale wanaoitwa mashekh hawaijui Dini na ni hatari sana hawa kwa Mustakbali wa Uislam na Waislam na jamii kwa ujumla maana sio tu ushirikina wao lakini pia wanasambaza mafunzo yasiyo sawasawa katika dini yetu
Mashallah leo nimependa hii Raddi ya kielimu na umeeleza kwa heshima sana...this is how it should always be...hataa kama ni kwa wale ambao hamuwafikiani nao.
ALLAAH AKUHIFADHI NDUGU NA KAKA YETU .... NIMESTAFIDI KUTOKANA NA WEWE NIKIWA SAFARINI HAPA NA NIMEKUSIKILIZA KWA MAKINI .. Maana Mzee na baba yetu Kiruwasha alitaka kuingia kwenye Hilo wimbi. ALLAAH AKUHIFADHI NA AKUZIDISHIE ELIMU NA WATU WAENDELEE KUFAIDIKA NA WEWE
Wallah,nataman siku1 Sheikh Muhaammad na Sheikh Qassim Mafuta wakae wawili waondoe tofauti zao kwa hoja za kielimu kisha wakaungana katika kusema hakki huwa nikiwasikiliza nafaidika sana na elimu wanayotoa na Allah amewajaalia ufasaha.
Ukiskiya back to back sasa ndohii yaani raha juu ya raha mashekh acheni kujifungiya navitabu tu vyumbani mwenu amkeni muje kuelimisha jamii,jamii inateketeya mashekh zangu .pwent yao kubwa utaskiya Nabii suleiman alitumiya majini nisawa ilakumbuka suleiman tumeambiwa tumuamini hatujaambiwa tumfuate. jaman hili ni balaaa shekh bachu Allah akubarik
Ndio zake huyo bachu Hana cha maana. Ukimswalia mtume kwake bidaa. Ukimpiga maulidi kwake bidaa kusoma wasilatu shafii kakwe NI bidaa sasa anataka tumfuate yeye
@@AbdulAbeldi-km4po wapi alisema kumswaliya mtume ni bidaaa sasa ww wapi kuna dalili maulidi ni ibada, hapa tuko kwenye darsa za majini ww unakuja na maulid mbona kimekuumeni sana bachu kuisema maulidi basi ww kaa hadharani funguwa vitabu uwaambiye watu maulidi ni ibada kwadalili hii nahii nahii kama yeye bachu anavyo kuonesha kitabu andiko hadi andiko usilalamike upenuni njoo hadharani. halafu muache kurukiya mada hapa tuko na darsa za majini maulidi sisehem yake mjomba
@@AbdulAbeldi-km4po Hata mfalme namrudha alibisha na nabii Ibrahim nahaki ikapatikana sasa ww ikiwa hautaki kubishana basi umtupu ktk dini jee utaweza kubishana na mkiristo kimaandiko ww ikiwa ww mwenyew unajiogopa
Sasa kama kumuabudu Allah na majini wako wanao muabudu Allah ambao ni waisilamu kama ww na wale wanao mshirikisha Allah niwale majini wabaya na hata binadamu kunao wema na wabaya utapata binadamu anamroga mwenzake atamtua huyo huyo jini na utapa binadamu mwengine anamtibu huyo aliyerogwa kupitia quran na pia aweza mtuma jini yule mwema kuchukua madawa msituni ambapo ww binadamu ukitumwa huwezi zipata dawa zengine
MaashaAllah sheikh bachu .waonyeshe hawo masheikh shetani wanachafua jina la Uislamu pamoja kuwapotosha waumini wa kislamu pamoja na jamii kufikiria Uislamu ni dini ya kufunga majini na kuwatumia watu ni shirk hiyo Subhanallaah ❤
Mm nasema kila siku na wallah lau watu wangemsikilixa mualim Muhammad nassor bachu kwa leng la kumuelewa na sio kimjib wangepata faida sanaaaaa, kutoka kwake , namuomba Allah akupe ilmu bora na nzuri ili tupate kufaidika tunaokufuatilia. ❤ Tumekumiss kwa ajil ya Allah masingini msikitini.
Sheikh Muhammad Allah akulipe malipo mema kwa kutuelimisha katika jambo hili. Naomba nitoe ushauri. Kama itawezekana, angalia uwezekano wa kuandika kitabu kitakacho husu suala hili. Kitabu hicho kitumie lugha nyepesi pamoja na mifano iliyo hai ili Muislamu wa kawaida aweze kunufaika. Kwa uwezo wa Allah, huenda jambo hilo likatoa manufaa makubwa zaidi kwa vizazi vijavyo. Nasema hivyo kwa sababu, ikiwa hata Baba Kiruwasha anahalalisha kutumia Majinn, ujuwe kuwa hali si nzuri kwa Waislamu wengi ambao hawana ufahamu na elimu kama alivyo jaaliwa Baba Kiruwasha.
Muhammad Bachu ALLAH azidi kukuongoza katika uadilifu na akujaalie kheri Duniani na Akhera. Nimejifunza mengi sana kupitia darasa zako tofauti tofauti.
Masha'Allah. Ilimu kubwa sana Shekh wangu umetupatia. Anayefuata mambo hayo baada ya sasa hana sababu zaidi ya ukaidi tu. Allah akuongezee ilmu na ufahamu amina!
Subhaana Allah sheikhe muwe manfanya hivyo ili kuelimisha kwani mkikaa kimya na hayo maarifa wapotoshaji wanaongea na waislam tusiojua mambo tutakosa pakushika ila sheikhe umezidi kunifanya nijione mwenye amani na kuendelea kumuamini Mungu wangu ni zaidi ya mafundi.ALLAHU AKBAR.
Asalam aley kum mm kiu YANGU namtaka sheikh kishki naye azungumzie kadhia hii sheikh muhamadi bachu katuelimisha tumemuelewa.ila na sheikh wetu nurduni kishki nayeye atupe elimu pia amlinganie Swahiba wake DK Sule naona amekaa kimya!!!
M Mungu azidi kukuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu,kwa hakika unaelimisha watu,na kuwatowa watu tongo,unazungumza kwa ufasaha yoyote atakuelewa tu,labda wale wanozitia nafisi zao katika upumbavu,na asiekuelewa wewe..basi hakuna mwengine watakaemuelewa.M Mungu azidi kumrehemu na kumpandisha darja za juu pamoja na mtume wetu Muhammad (saw) Sheikh Nassor Bachu,kwa hakika katuachia gitf,tunanufaika nayo..Alhamdulillah
shukran ustadh kwa kutuelimisha Mungu akupe afya njema na umri mref wenye manufaa kwako na kwa jamii nzima ya kiislam na wasiokua waislam tumuombe Mungu atuongoe kujua haki tuifate na batil tuiepuke jazakallah.
Wallah sheikh huko mwisho nimekuelewa vzr sana tena mno ila je kw mtu wa kisalafii ambae anafata sunna je huyo anaweza kupata jini mwema akamsaidia bila ya mafungamano yyte kw hofu ya kumuogopa mungu?
Shekh asantee sana na endelea kuelimisha umma.Yani elimu itolewe sana, maana baadhi ya mashekh wanasababisha waislamu waonekane wanaukubali ushirikiana na uchawi wakt kumiliki majini ni ktk madhambi.Allah akulipe kila la kher na Babu Kiruwasha ikiwezekana umuite umuelishe physically.
Wallah mimi nilikuwa miongoni mwa wale ambao hawakuwa wakimukubali bacho,ila leo nimekukubali sheikh nimeelewa kabisaaaa alhamndulillah, basi mwenyezi Mungu akulinde na akupe umri mrefu wenye baraka ndani yake na atupe mwisho mwema 😭😭😭, nimengundua kumbe wenzetu waislamu weengi wako kwenye shirki kubwa, nayoote nikukosa tu i'ilmu