Тёмный

#EXCLUSIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@hopechidera
@hopechidera 2 года назад
I hate kuona mtu anahojiwa na huku akitafuna kama mbuzi😏please Diva sometimes muwe mnawaharifu wakiingia ofisini kuwa wasitafune wakati wa kuhojiwa...
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 года назад
Yes ndg upo sahih Maana ata maelekezo ya uandishi yanaeleza hivyo
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 2 года назад
ukiona rafiki mpuuzi mpunguze good sana faiza nimekupenda bule
@rehemanowa809
@rehemanowa809 2 года назад
Inaonyesha zama anajifanya anajua
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 2 года назад
Sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Mnooo ata Dina Marios walishindana
@saidahj2543
@saidahj2543 2 года назад
Msema kweli mpenzi wa Mungu...nice Faiza
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 года назад
Faiza She's very good person..i know her for a while but for Zamarad hapana nakumbuka hata Dina Mario's na yeye Hawako sawa ni selfish sana dina alimsaidia vitu vingi sana ...end of the day yamekuwa hivyoo .
@nancynyaga7675
@nancynyaga7675 2 года назад
Seems zama is selfish.
@nancynyaga7675
@nancynyaga7675 2 года назад
Seems zama is selfish.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Na Irene Paul nae aliojiwa akasema hawaongei
@annamasebo2061
@annamasebo2061 2 года назад
Nakuonaga mcharuko kumbe mstaarabu hvo ukiongea
@pillypriyah8511
@pillypriyah8511 2 года назад
She is so smart
@hanifaally4694
@hanifaally4694 2 года назад
I love Faiza ❤❤❤❤❤❤❤
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 2 года назад
kawaida uyu dada anaonekana simutu mzuli mtu mwivu simutu mzuli hata kidogo mimi simu tanzania ila uwa nafatilia sana zama uwa ananifanya nifate nyao zake kiukweli wew dada unawivu na mwenzio zama 💜💜💜💪
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 2 года назад
Kama unafata nyayo za zama na ww toa siri za mtu ulikuwa na kwenye mahusiano kama yy alivyo toa voice za malehem Ruge
@KuruthumAbdallah-ti9no
@KuruthumAbdallah-ti9no Год назад
😂😂😂
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 года назад
I Love You Faiza 💕 Allah Anipe Utulivu, Hekma na Busara Kama Zako Bi Idhnillah 🤲🙇‍♀️🙏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Asante kwa Ubuyu
@mariyamariya6514
@mariyamariya6514 2 года назад
Nakwambia ubuyu vooo😂😂😂😂
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 2 года назад
Nakupenda sana faiza uko vizur
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
Faiza❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ashaissa9468
@ashaissa9468 2 года назад
Nakupenda faiza unajitambua super woman
@rosewilliams989
@rosewilliams989 2 года назад
Cthani Kama Kuna mtu Hana kovu la marafiki.ukipata rafiki wa kweli mshikilie saaana
@innosenciajoseph9967
@innosenciajoseph9967 2 года назад
Naomba urafiki....ha haaaaaa
@rosemarygaudence5075
@rosemarygaudence5075 2 года назад
👏👏👏
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 года назад
I still love zamaradi
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад
🔥🔥🔥
@abdallahseifkingazi6518
@abdallahseifkingazi6518 2 года назад
Tatizo wasanii wengi hampendi kuambiwa ukweli huyu alianza kumchukia zama toka kipindi kile amepiga picha zake za uchi kipindi cha kujifungua.. Zama aliumizwa akaongea sana na hilo ndio lililokufanya umchukie.. Inshort umepoteza madini mengi kwa ujinga wako zamaradi ni mwanamke na nusu.... Kubali kuambiwa na mwenzio... Sura mbaya muongo huyo😏😏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Ila walipendezana sana jamani loooh
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
Tatizo kila mmoja amemzid mwenzie marifa
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 2 года назад
Kutafuna mabig g ya nn wakat unaingia kwa kipind mnaboa wasikilizaji
@andrewjulius6796
@andrewjulius6796 2 года назад
Kwani maneno huyasikii,,,acha kupangia watu jinsi ya kufanya utamu wa big g unakuhusu nn ww 😡🤔
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 2 года назад
@@andrewjulius6796 sawa Faiza
@teclanembuka156
@teclanembuka156 2 года назад
Kanifanya na mm nikanunue nitafune
@letshavealiltalk2313
@letshavealiltalk2313 2 года назад
@@teclanembuka156 😂😂😂😂kakujaza tamaa hahahha
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 года назад
Nice
@abiudyelius5216
@abiudyelius5216 2 года назад
Wew nae me ata ckupendag afu ukiingia interview ingine usiwe unajitafna tafuna ovyoo
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 года назад
Ye alikuambia anakupenda?
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 года назад
Usimpenda wew anapendwa na Mungu inatosha
@abiudyelius5216
@abiudyelius5216 2 года назад
@@claudiajames2003 alinambia hivo et
@abiudyelius5216
@abiudyelius5216 2 года назад
@@allthingdranabeauty Sa itakuaje
@nawechi4818
@nawechi4818 2 года назад
@@claudiajames2003 good question
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 года назад
Ilà Faizaa...ñdó maana nakupendaga¡
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
Diva remind your audience about chewing gum; it’s damn annoying
@mwanaidihabarugira2429
@mwanaidihabarugira2429 2 года назад
👌👌👌true
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
@@mwanaidihabarugira2429, Faiza is even hissing like a 🐍 😤
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 года назад
True
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 2 года назад
Sanaaa
@samwelshilungu4370
@samwelshilungu4370 2 года назад
Sugu na ruge zilikuwa haziendi, hivo hivo kwa wake zao, haziwezi kuiva.
@estermathias8354
@estermathias8354 2 года назад
Bora umenielewesha kumbe tatizo ndo hilo
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 2 года назад
Acha uongo hawa wamegombana wala sio mda mref ugomv wa sugu na ruge wala hauingilian hapa maana zama na ruge waliachana zaman sana na walikua hawana mawasiliano mazur na wala haiingilian na hili hapa
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 2 года назад
Wake zao? Waliwahi kuwaoa lini?
@hemedchande01
@hemedchande01 2 года назад
NYIEE MNAKULA STORY UKU WATU TUNA SUMBULIWA NA UGONJWA WA SOCIAL MEDIA KUTOWEKA 🤣🤣🤣
@salmaabubakar6442
@salmaabubakar6442 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@happynessbenard1319
@happynessbenard1319 2 года назад
😂😂😂😂😂daah nimecheka kwa nguvu
@hemedchande01
@hemedchande01 2 года назад
@@happynessbenard1319 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 2 года назад
@@hemedchande01 😂😂hatar
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 года назад
, 😂😂😂Ila ww
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 года назад
Hiki kipindi cha umbea au cha Mapenz
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 2 года назад
Nampenda faiza Hana kupindisha maneno anasema ukwel wake
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 года назад
Zamaradi is Super Super woman ww kila mara mitandaoni ebu punguza kuwa mitandaoni please
@richardyudas9909
@richardyudas9909 2 года назад
Hahaha ataliiii
@muzahramadhani8350
@muzahramadhani8350 2 года назад
Nakioenda sn faiza unakuaga mkweli sn niwachache sn watakuelewa
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 года назад
Mmefanya vema kuchokana ili kazi ziendelee.
@bennamush4616
@bennamush4616 Год назад
Tatizo wivu dada mnamchukia Zama kwa sababu ya mafanikio yake na familia yake kwa ujumla punguzen wivu wewe na hao wenzeko
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 2 года назад
Halafu cha ajabu na fedhaha ni waislamu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 года назад
Uisilam unahusiana vp na hao waislam majina tu wenye matendo km yako ww kafiri???
@hopechidera
@hopechidera 2 года назад
@@alhamdulillah5796 dini yako inasababisha umuite kafiri na yeye dini yake inasababisha kujua ww ni mnafki... wajinga watu wadini...
@happnessjoseph7191
@happnessjoseph7191 2 года назад
@@hopechidera Asante kwa jibu zuri kunywa soda mie Naja kulipa.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
@@alhamdulillah5796 dini ya ukatili kwa wanawake na ufiraji
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Wewe ni malaika???
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 года назад
Wasanii bana hahaha
@zulphaadam4671
@zulphaadam4671 Год назад
😂😂
@minnahmsangi6117
@minnahmsangi6117 2 года назад
Mue kama mm tu sitakagi lafoki
@estermathias8354
@estermathias8354 2 года назад
Ila mm nampenda zamaradi kuliko huyu
@marcsthinker3882
@marcsthinker3882 2 года назад
Wote wanakusaidia nini?
@estermathias8354
@estermathias8354 2 года назад
@@marcsthinker3882 kwan ukiwachukia wanapungukiwa nn.me najua zamaradi anachonisaidia
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 года назад
Hujamjua zama..zama anataka kunyenyekewa aonekane yeye boss..mm zama simpend mnafik sana
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 2 года назад
@@masalakulwa7601 hata mimi namuona hivyo
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 года назад
@@masalakulwa7601 unamjua au mambo ya mtandaoni?
Далее
BADO NAMPENDA SANA SUGU - FAIZA ALLY
4:54
Просмотров 45 тыс.