Woooi,for the first time tunaweza kusema tanzania has an icon,majibu yameenda shule,hamna kuropoka,majibu sio ya social media,this girl lives a real life and she is making the rest of us outside see ukweli uliopo kwa kila Relationship.these are the interviews to listen coz you can learn something that is real.thank you zamaradi.if you know you know.
Nakukubali sana Zamaradi u r so special woman. Wewe ni Super woman. Ukipendwa pendeka naamini na mumeo anakupenda sn ndo maana unaonyesha hisia ht nje watu tuone. Nakupenda sn na lyf style yako na mumeo. Mungu azid kuwatunza💖💖
A very calm and composed woman. Beautiful outside and inside. Loving and carying. I have learned alot from this interview. You have inspired and revived many marriages. Be blessed and keep the good work.
Nimekukubali Zamaradi hakika anastahili tuzo kwa jinsi ulivyoitendea haki interview yako. Mungu akujaalie hekma zaidi na zaidi katika maisha yako. Mpende zaidi mumeo ndo ubavu ambao Mungu alikutoa kwake. Be blessed dear. Watajifunza tu kutokana na hii interview watake wasitake.🥰
*Zamaradi* kiukweli ulivyoongea uyu ni mimi kabisa niko hivyo ila sijampata wakunipenda nikaweka mapenzi yangu kama wewe, ila kiukweli mimi ni wewe kabisa nikipenda napenda kweli kweli ❤️
One of the best interview for my self, I real enjoy it. Millard kwa hakika wewe ni Legend kwelikweli kwenye tasnia hyo ya hbr na unaitendea haki ipasavyo, maswali yako yana mpangilio mzuri sana na yamebeba dhana halisi ya uhitaji wa hadhira, Zamaradi pia ametoa majibu yaliyo beba skills kubwa sana inayo ambatana na umakini mkubwa. Millard & Zamaradi you deserve the best
I rarely watch such interviews but this one i watched from the begining t the end without a twitch. Huyu dada ni mtu ambaye akili yake ipo well engaged in everything she does and say. Logically yupo vizuri. She is an inspiration.
Duuu Kuna wanawake ni wazuri jamani 😥😥😥😥😥wale mbwa koko wa kupaka mkorogo na kujichubua mmeona uzuri wa asili black beauty 😍😋😍😍😍😍zamarad you're so beautiful ❤️
Hongera Dada yangu kwa ukweli wengi wanakuwaga waongo hasa kwenye umri jamani,alafu unakaa katoto miaka na muonekano vitu viwili tofauti, umejitunza vizuri MUNGU azidi kukutunza
Mimi Nina watoto wawili wa kwangu na mapacha wa Mimi nayeye ila minaona kabisa akiwapa chochote atakuwaulizia Wala kuwapa ata miatano hajawahi na inaniuma ila kulinda upendo na vikwazo sipendi kuviongelea sababu ni moya wamtu nasiwezi zungumzia ilo! Wanaume Kama hao ni wachache..... Nimejikuta napata huzuni
Mm napwendwaa na mume wangu kuliko mdogo wangu zamaradi ila uwezo sina ila Allhamdullilah tunaishi na mume wangu duuu nashindwa hata kuelezee namuomba Allah atudumishe ktk ndoa yetu tuliee watt wetu
Mimi mwenyewe na mpenda sana mmewangu kuliko wanamme wote duniani sijui kwake sisemei moyo ila kiukweli nampenda kuliko kituchochote duniani nikisema hakuna atae niamini mimi bora niwenashida ila yeye awe ok kabisa nishinde njaa ye ashibe